×

Habari

NBC wasisitiza kukuza michezo, sanaa na utamaduni

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza kuhusu adhma yake ya kukuza na kuendeleza sekta ya michezo hapa nchini kwa...

READ MORE

Lori la Magogo Lafunga Barabara Morogoro, Wasafiri Wasota kwenye Foleni Masaa Saba

ADHA ya usafiri imetokea kwa wasafiri wanaofanya safari zao kati ya Morogoro-Dar es Salaam baada ya Lori lililobeba magogo kushindwa...

READ MORE

Ugonjwa wa Ajabu Waipa Mateso Familia Babati, Waathiri Familia Nzima

MKAZI wa kijiji cha Imbilili Juu kilichopo Wilaya ya Babati, mkoani Manyara amezungumzia maumivu anayopata kutokana na ugonjwa wa ngozi...

READ MORE

Wivu wa Mapenzi Wazidi Kuleta Maafa Kwa Jamii, Kamanda wa Polisi Athibitisha

KATIKA kile kinachosemwa kuwa ni wivu wa mapenzi Jeshi la Polisi Masasi mkoani Mtwara Limesema Kifo cha mwalimu wa shule...

READ MORE

IGP Wambura Apanga Safu Yake Tena, Ni Makamanda wa Mikoa Mbalimbali Nchini Tanzania

MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya makamanda Polisi wa Mikoa leo Ijumaa, Agosti 12,...

READ MORE

Basi La Jambo Lateketea Kwa Moto, Hofu Yatanda Juu ya Vifo na Majeruhi

BASI la Kampuni ya Jambo Food Products lenye namba za Usajli T.841 DHY linalotumika kubeba wafanyakazi wa kampuni hiyo limeteketea...

READ MORE

Televisheni za Kenya Zasimamisha Kuonesha Matokeo ya Awali ya Kura ya Urais

  VYOMBO vya habari vya Kenya vimesimamisha kutangaza matokeo ya awali ya kura ya urais nchini humo, na hivyo kuzusha...

READ MORE

Waangalizi wa EAC Waridhishwa na Mchakato wa Uchaguzi Nchini Kenya, Wapiga Kura Wamelindwa

Ujumbe wa Waangalizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) nchini Kenya umeipongeza Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kwa...

READ MORE

Yanga Wathibitisha Kuachana na Hassani Bumbuli, Aliyekuwa Afisa wa Habari na Mawasiliano

YANGA wamethibitisha rasmi leo Agosti 12, 2022 kuachana na aliyekuwa Afisa wa habari na mawasiliano wake, Hassani Bumbuli.

READ MORE

Pacha wa Pili ‘Rehema’ Aliyetenganishwa Muhimbili Afariki Dunia

Pacha aliyesalia ‘Rehema’ kati ya mapacha wawili waliotenganishwa Julai Mosi 2022, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amefariki dunia jana...

READ MORE

Taasisi ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) Yatoa Elimu ya Kizalendo UDART

    TAASISI ya Wananchi Wazalendo Tanzania (TWWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Ezekiel Kyogo na Makamu wake, Dkt. Nuru...

READ MORE

Live Updates: Tume ya Uchaguzi Kenya Yaendelea Kutangaza Matokeo Siku Tatu Baada ya Uchaguzi

 TUME ya uchaguzi nchini Kenya leo Agosti 12, 2022 inaendelea na mchakato wa kutangaza matokeo ya kinyang’anyiro cha urais...

READ MORE

Nchi 33 Zinatarajia Kushiriki Mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti Wakike  Bara la  Afrika

AKRIBANI nchi 33 zinatarajia kushiriki mkutano 13 wa Taasisi za  Jumuiya ya Skauti wakike  bara la  Afrika (Taasisi ya Girl...

READ MORE

Alishtaki Gazeti Kwa Kutumia Picha Yake Kuelezea Wanawake Wanene

MWIGIZAJI mmoja wa Iraq amesema analishtaki Gazeti la Economist kwa kutumia picha yake kuelezea makala kuhusu wanawake wa Kiarabu kuwa...

READ MORE

Waziri Ndumbalo Atoa Maagizo kwa Rita Kuboresha Huduma Mikoani

WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk Damas Ndumbaro ameilekeza Rita kuimarisha huduma zake katika Mikoa iliyo nje ya...

READ MORE

Kenya: Mashirika ya Kiraia Yaelezea Wasiwasi Juu ya Habari za Uongo Kuhusu Matokeo

Wakati Wakenya wakisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika kwa amani, shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International na...

READ MORE

Uchaguzi Kenya: Mgombea Urais Kupitia Azimio, Raila Odinga Afanikiwa Kumpita William Ruto

Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa Saa...

READ MORE

Ajali Yaua Dereva na Abiria Wake Watano, Iguguno Ushamba Wilayani Mkalama, Singida

  WATU sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum, kuacha njia na kupinduka katika eneo...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Kenya 2022: Lupita Nyong’o Asherehekea Ushindi wa Baba Yake

MWIGIZAJI aliyeshinda tuzo ya Oscar Lupita Nyong’o  leo Agosti 11, 2022 amempongeza baba yake kwa kushinda muhula wa pili na...

READ MORE

Mitambo Kinyerezi II Yapata Hitilafu, Tanesco Yatoa Taarifa Rasmi kwa Umma

  SHIRIKA la umeme Tanzania (TANESCO) Limewataarifu wateja wake kuhusu kukosekana kwa huduma ya umeme baadhi ya Mikoa nchini kuanzia...

READ MORE

Lupita Nyon’go Awashukuru Wakenya kwa Kumchagua Baba Yake

MUIGIZAJI wakike Lupita Nyon’go mwenye tuzo ya Oscar, amempongeza baba yake na wapiga kura wa mji wa Kisumu kwa kumchagua...

READ MORE

Okwa, Chama Wanogesha Kombinesheni ya Zoran Simba, Wawatambia Yanga

KOCHA Mkuu wa Simba Mserbia, Zoran Maki amefurahishwa na muunganiko wa viungo wake wawili Mzambia Clatous Chama na Mghana Augustine...

READ MORE

LG, Garnet Star Watoa Ofa 33% ya Punguzo kwa Bidhaa Zake

  KAMPUNI ya vifaa vya umeme Afrika Mashariki ya LG kwa kushirikiana na Garnet Star, imetoa ofa ya punguzo ya...

READ MORE

Hii ni Kali Kuliko, Tigo na Infinix Waja Kivingine

DAR ES SALAAM, tarehe 11 Agosti 2022, Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania, imeshirikiana na Infinix kutangaza...

READ MORE

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Haitamtaja Mshindi wa Uchaguzi wa Urais Leo

Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) haitamtaja mshindi wa uchaguzi wa Urais leo. Haya ni kulingana na mwenyekiti wa...

READ MORE

Mama Shamte Apokea Msaada Kutoka kwa Mfanyabiashara Maarufu PCK, Wadau Wengine Pia Waguswa

SALMA Shamte, Mjane kutoka eneo la Mbagala- Mbande jijini Dar es Salaam ambaye hivi karibuni alihojiwa katika kipindi cha Mapito...

READ MORE

Maombi Yaliyowasilishwa Mahakama Kuu na Chama cha Ushirika Uduru Makoa Uamuzi Agost 16

  BAADA ya mawasilisho ya maombi madogo ambayo yaliyowasilishwa  Mahakama Kuu Kanda ya Moshi na Chama cha Ushirika Uduru Makoa...

READ MORE

Mkoa wa Ruvuma Waongoza Kitaifa kwa Kutoa Chanjo ya Uviko-19 Kitaifa

  RUVUMA, Jumatano 10 Agosti 2022. Tangu kuzinduliwa kwa chanjo ya UVIKO-19 na Rais Samia Hassan mnamo Julai 2021, na...

READ MORE

Kenya: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu, Ruto na Odinga Wachuana- Odinga Anaongoza-Live

Matokeo ya uchaguzi yanaendelea kutolewa nchini Kenya kufuatia uchaguzi uliofanyika Agosti 9, 2022. Kwa upande wa matokeo ya kura za...

READ MORE

Nmb Yaahidi Kuendeleza Kunufaisha Sekta ya Kilimo Nchini

  Benki ya NMB imeweka adhma ya kuendelea kuiboresha sekta ya kilimo nchini kwa kutoa masuluhisho bora na nafuu kwa...

READ MORE

Serikali Yawataka Wenye Viwanda Kuijali na Kuilinda Nguvukazi

Serikali imewataka wamiliki wa viwanda nchini kuijali na kuilinda nguvukazi inayotumika katika uzalishaji ili kuwa na uzalishaji endelevu na wenye...

READ MORE

Afariki Baada ya Kutumbukia Kwenye Sufuria la Uji wa Moto

MWANAUME mmoja nchini India aliyefahamika kwa jina la Muthukumar amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria kubwa lililokuwa limejaa uji...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la SpotiXtra Aug-09, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi shilingi...

READ MORE

Parimatch Waidhamini Tena Mbeya City

KAMPUNI ya Michezo ya Kubashiri Mtandaoni hapa nchi ya PariMatch imeingia makubaliano na Timu ya Mpira wa Miguu inayomilikiwa na...

READ MORE

Exim Kuitanua Biashara ya Tanzania, Kongo, Rwanda na Burundi

BENKI ya Exim Tanzania imejipanga kutumia vema uwepo wake mkoani Kigoma kuchochea ukuaji wa biashara baina ya Tanzania, Jamhuri ya...

READ MORE

NBC Kinara Taasisi za Fedha Maonyesho ya Nanenane

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekamilisha ushiriki wake kwenye Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John...

READ MORE

Meridianbet Wawatembelea Boda Boda, Wawapa Ujumbe Usalama ni Muhimu

Meridianbet Tanzania wameendelea na utaratibu wao wa kuwa karibu na jamii, kwa kutoa sapoti kwa vijana katika shughuli zao za...

READ MORE

Rais Samia Anazindua Mfumo wa Kushusha Bei ya Mbolea Muda Huu Nane Nane Mbeya

RAIS Samia ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Mbeya, ambapo leo Agosti 8, 2022, ikiwa ni siku ya mwisho...

READ MORE

Spika Dkt. Tulia Atembelea Banda la Nmb, Wakulima Kunufaishwa na ‘Mshiko Fasta’

Benki ya NMB imekuja suluhisho maalum ya kuwakopesha mitaji kwa wateja wake unaojulikana kwa jina la ‘NMB Mshiko Fasta’ ambapo...

READ MORE

Mhe. Rais Samia: Maboresho Sekta ya Elimu Yanalenga Kuwapatia Watoto Elimu Inayowapatia Ujuzi

Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema maboresho ya Miundombinu yanayoendelea katika sekta ya elimu...

READ MORE