×

Habari

Mradi wa Pamoja Kukuza Uchumi wa Wanawake na Kuimarisha Mapambano Dhidi ya Ukatili Wa Kijinsia

Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo...

READ MORE

Rais Trump: Viongozi wa Iran Wanataka Tuzungumze ‘Wamechelewa’

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuishambulia Iran kwa maneno makali akidai kuwa viongozi waliosalia wa Tehran sasa wanataka mazungumzo,...

READ MORE

Serikali Yatoa Tahadhari kwa Watanzania Walioko Mashariki ya Kati

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imetoa tahadhari...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Site Foreman Wenye Uzoefu wa Miaka 2 Wahitajika Haraka

2️⃣ Site Foreman (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Construction Management, Civil Engineering, or related field...

READ MORE

Mazishi ya El Mencho Yafanyika Katika Hali ya Ulinzi Mkali Mexico

Kiongozi wa genge la dawa za kulevya la Jalisco New Generation Cartel (CJNG), Nemesio Oseguera Cervantes maarufu kama “El Mencho,”...

READ MORE

Israel Yatangaza Mashambulizi Makubwa Dhidi ya Miundombinu ya Iran Jijini Tehran

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limetangaza kuwa Jeshi lake la Anga limefanya mashambulizi makubwa yaliyolenga miundombinu ya juu ya...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Matanki ya Mafuta Kigamboni (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 3, 2026 ameongoza hafla ya uwekaji wa...

READ MORE

ICEA LION Yaja na Jipya Kunusuru Maisha ya Watanzania

Dar es Salaam, Tanzania, Jumatatu, 2 Machi 2026 Katika hatua ya kuleta mapinduzi kwenye sekta ya bima nchini, kampuni ya...

READ MORE

FIFA Yapendekeza Kadi Nyekundu Kwa Wachezaji Wanaofunika Midomo

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amependekeza kwamba wachezaji wanaofunika midomo yao wakati wa mabishano uwanjani wapewe kadi nyekundu moja kwa...

READ MORE

Balozi wa Iran: Kenya Haina Kituo cha Kijeshi cha Marekani cha Kushambulia Iran

Balozi wa Iran nchini Kenya, Dkt. Ali Gholampour, amesema Kenya haina kituo cha kijeshi cha Marekani chenye uwezo wa kushambulia...

READ MORE

JWK Yavutiwa na Dawati la Uwezeshaji Biashara la Forodha

Uongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Kariakoo (JWK) umefanya ziara ya kutembelea dawati maalum la uwezeshaji biashara Kariakoo katika Idara...

READ MORE

Pingamizi la Said Issa Mohammed Dhidi ya Lissu Latupiliwa Mbali

Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeyatupilia mbali mapingamizi yaliyowekwa na Said Issa Mohammed na wenzake...

READ MORE

Vikundi Vya Mawasiliano Vya Majeshi ya SADC Vyajengewa Uwezo

Vikundi vya Mawasiliano vya Majeshi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) vimekutana kujenga uwezo na...

READ MORE

Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia Washambuliwa na Ndege zisizo na Rubani

Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia imethibitisha kuwa ubalozi wa Marekani katika mji wa Riyadh ulishambuliwa na ndege mbili zisizo...

READ MORE

Hizi Ndio Browser za Kijanja Achana na Chrome na Firefox

Katika ulimwengu wa teknolojia, watu wengi wamezoea kutumia Google Chrome au Mozilla Firefox kama chaguo la kwanza la kuvinjari mtandao....

READ MORE

Waziri Wa Ulinzi Marekani Atoa Tamko Zito Kuhusu Irani, Atoa Onyo kwa Vyombo vya Habari – Video

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema dhamira kuu ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran ni kuharibu miundombinu...

READ MORE

Video: Watu zaidi ya 500 Wauawa Iran Kwa Makombora Ya Marekani Na Israel

Zaidi ya watu 555 wameuawa kufuatia mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, kwa mujibu wa taarifa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uhamisho na Kupangua Vyeo vya Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uhamisho na kupangua vyeo vya mabalozi katika vituo...

READ MORE

Makombora Yaleta Taharuki Israel, Majeruhi 19 Waripotiwa – Video

Watu 19 wamejeruhiwa baada ya kombora la balistiki kutoka Iran kulenga moja kwa moja eneo la makazi katika mji wa...

READ MORE

Mke wa Ayatollah Khamenei Auawa Nyumbani Kwake

Kituo cha televisheni ya taifa ya Iran, Channel Two, kimethibitisha kuwa Mansoureh Khojasteh Bagherzadeh, mke wa Kiongozi Mkuu wa zamani...

READ MORE

Access Bank Unveils  ‘Vimba na 13.5%

  Dar es Salaam. Wednesday, 4th March 2026. Access Bank Tanzania has launched a new retail deposit campaign offering a...

READ MORE

Rais Samia Ahitimisha Ziara ya Siku Mbili Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Machi 02, 2026 amehitimisha ziara yake ya...

READ MORE

Meli Tatu Za Marekani Na Uingereza Zashambuliwa Katika Mlango Wa Hormuz

Mvutano katika Ghuba ya Uajemi umeongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya meli tatu za mafuta zinazodaiwa kuhusishwa na Marekani na...

READ MORE

Donald Trump Atangaza Kuzamishwa kwa Meli 9 za Kijeshi za Iran

Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani imezamisha meli tisa za kijeshi za Iran, akisema baadhi ya meli hizo...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Hanang

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezindua Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Katesh, wilayani Hanang, mkoani Manyara...

READ MORE

BRECOL Yatangaza Nafasi ya Quantity Surveyor kwa Miradi ya Majengo

1️⃣ Quantity Surveyor (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Quantity Surveying, Construction Management, or related field...

READ MORE

Kwa Nini Mercedes CLA 2026 Hybrid Imekuwa Gari Linalovutia Zaidi, Soma Hapa

Mercedes-Benz inaendelea kushangaza kwa kuzindua CLA 2026 Hybrid, gari linalochanganya mtindo, teknolojia, na ufanisi wa mafuta, huku likibaki na faida...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 2, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

NBC ‘Yaipamba’ Dabi ya K’koo, Yaandaa Futari Maalum Kwa Wadau, Wateja

  BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) ambae ni mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya NBC jana iliipamba mechi ya...

READ MORE

Airtel Yafanya Droo ya Gari ya Kila Mwezi na Kukabidhi TV 7 kwa Washindi

Dar es Salaam, 3 Machi 2026 – Airtel Tanzania leo imetoa televisheni 7 za inchi 43 kwa washindi wa kampeni...

READ MORE

TSL Yazindua Mpango wa Ubunifu wa Pamoja Kupanua Fursa za Uwekezaji

Kampuni ya Tanzania Securities Limited (TSL) imepiga hatua nyingine kubwa leo kwa kuzindua mipango miwili ya uwekezaji wa pamoja na...

READ MORE

Waziri Mkuu: Serikali Kuangalia Upya Migogoro Ya Ardhi Nchini

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaangalia...

READ MORE

Sunil Atunukiwa Tuzo ya Maisha ya GSMA

New Delhi, Machi 2, 2026: GSMA imemtunuku Tuzo ya Maisha (Lifetime Achievement Award) Sunil Bharti Mittal, Mwanzilishi na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Akabidhi Tuzo za Viongozi Bora Barani Afrika 2026

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekabidhi Tuzo za Viongozi Bora barani Afrika kwa Mwaka 2026 katika Hafla iliyofanyika Accra,...

READ MORE

Simba Wa Vita Mzee Rashidi Mfaume Kawawa Ambaye Angekuwa Hai Jana Angetimiza Umri Wa Miaka 100

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mzee Rashidi Mfaume Kawawa, mwanasiasa mashuhuri na mmoja wa viongozi waliokuwa karibu...

READ MORE

UAE Yasema Haitakaa Kimya Ikiwa Iran Itaendelea Kushambulia

Falme za Kiarabu (UAE) zimesema hazitakaa kimya endapo Iran itaendelea kurusha makombora na droni dhidi ya nchi hiyo, alisema Waziri...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Uongozi wa Keep a Child Alive Kuhusu Miradi ya Watoto

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 2026 amekutana na Mkurugenzi  Mtendaji wa Keep...

READ MORE

IRGC Yadai Kulipiza Kisasi Baada ya Kifo cha Khamenei, Trump Atoa Onyo Kali

Taarifa zinazodaiwa kuenea mitandaoni, mashirika ya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikiwemo Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu (IRGC),...

READ MORE

Video: Maafisa 40 wa Iran Wauawa katika Mashambulizi ya Israel na Marekani

 Katika mashambulizi ya Jumamosi, 28 Februari 2026, yanayodaiwa kufanywa na Israel na Marekani, takriban maafisa 40 waandamizi wa Iran...

READ MORE

Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Khamenei ameuawa, televisheni ya serikali Yathibitisha

Taarifa kutoka Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran pamoja na vyombo kadhaa vya habari vya serikali vimethibitisha kifo...

READ MORE