×

Habari

Makatibu Wakuu Vyama Vya Ukombozi Wajadili Hali ya Kisiasa Kusini Mwa Afrika

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeongoza Kikao cha 12 cha Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, ambapo, pamoja...

READ MORE

BRELA Kuimarisha Urasimishaji na Mifumo ya Kidijitali

Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga ameitaka Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kuongeza kasi ya urasimishaji...

READ MORE

Sportpesa Yawataka Wanamichezo Kushiriki Mchezo wa Kubahatisha

Na Neema Adrian Gpl Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Tanzania imewaomba wapenzi wamichezo hiyo kushiriki mchezo wa kubahatisha kwani...

READ MORE

Video+ Picha: Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5...

READ MORE

Video: Iran Yasema Imewaua Wanajeshi 500 Wa Marekani

Iran imedai kuwaua zaidi ya wanajeshi 500 wa Marekani katika mapigano yanayoendelea, kwa mujibu wa kiongozi wa Baraza Kuu la...

READ MORE

Naibu Waziri Mwinjuma Aagiza Udhibiti Mkali kwa Waandishi Wasiokuwa na Ithibati

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Machi 4, 2026, ametembelea Ofisi za Bodi ya Ithibati ya...

READ MORE

Waziri Kombo Atembelea Ubalozi wa Iran Kutoa Salamu za Pole Kifo Cha Khamenei – Video

DAR ES SALAAM, Machi 4, 2026 — Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania umempokea Mahmoud Thabit Kombo,...

READ MORE

Video: Iran Yailipua Meli Ya Mafuta Ya Marekani Katika Ghuba Ya Uajemi

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kuishambulia meli ya mafuta ya Marekani katika eneo la...

READ MORE

CCM Yaipa Tano Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar, Wananchi Wa Kikwajuni

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeipongeza Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na wakazi wa majumba ya Mjerumani Kikwajuni kwa kufikia maridhiano...

READ MORE

Msemaji wa Ikulu Amjibu Kwa Ukali Mwandishi wa CNN Kuhusu Vifo vya Wanajeshi wa Marekani – Video

Msemaji wa Ikulu ya Marekani, Karoline Leavitt usiku wa kuamkia leo Machi 5, 2026 amemjibu kwa ukali mwandishi wa CNN,...

READ MORE

Seneti Yapiga Chini Azimio la Kudhibiti mamlaka ya vita ya Trump dhidi ya Iran

  Wajumbe wa United States Senate wengi wao kutoka chama cha Republican Party wamepiga chini azimio lililowasilishwa na wabunge wa...

READ MORE

Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

Ulimwenguni hivi leo, kuwa na mtandao wa intaneti wenye kasi ni msingi muhimu kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Barani...

READ MORE

Marekani Yadai Kumuua Afisa wa Iran Aliyehusishwa na Mpango wa Kumuua Trump

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema jeshi la Marekani limemuua afisa wa Iran aliyedaiwa kuhusika katika mpango wa...

READ MORE

Wazo Bora Pitch Yatoa TZS Milioni 17 za Mtaji wa Kuanzisha Biashara

  Wazo Bora Pitch Yatoa TZS Milioni 17 za Mtaji wa Kuanzisha Biashara, Ikihitimisha Mpango wa Ubunifu Ulioleta Mageuzi Kufuatia...

READ MORE

Sambo wa Kigoma Ashinda Pikipiki Kupitia Promosheni ya “Shinda Boda” ya PigaBet

Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda”...

READ MORE

SBL Na Wizara Ya Fedha Mambo Safi, Kuimarisha Ukuaji Uchumi Nchini

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), imekutana na Naibu Waziri wa Fedha, Eng. Mshamu Ali Munde katika kikao kikubwa kilicholenga...

READ MORE

Dkt. Migiro Aongoza Kikao Cha Bodi ya Wadhamini Shule ya Uongozi Mwalimu Nyerere

Makatibu Wakuu wa Vyama Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...

READ MORE

Naibu Waziri Hamad Afika Kwenye Shamba la Kuku Kisarawe Linalozalisha Kuku Milioni 6

Naibu Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Dkt. Salum Soud Hamed, amefanya ziara maalum wilayani Kisarawe akiongozana na Kamati...

READ MORE

Video: Marekani na Israel Watangaza Mpango wa Kuchukua Udhibiti wa Anga ya Iran

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth, amesema Marekani na Israel zinakusudia kuchukua udhibiti kamili wa anga ya Iran ndani...

READ MORE

Marekani Yathibitisha Kuzamisha Meli ya Kivita ya Iran Karibu na Sri Lanka – Video

Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth leo Machi 4, 2026 amethibitisha kuwa manowari ya Marekani imezamisha meli ya kivita...

READ MORE

Video: Waziri Mkuu Amtumbua Muuguzi Aliyemfanyia Upasuaji Mjamzito Nyumbani

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa muuguzi wa Mkoa wa Tabora anayeshutumiwa kumfanyia mgonjwa upasuaji...

READ MORE

Meli Ya Kijeshi Ya Iran Yazama Ikiwa Na Watu Zaidi Ya 100

WJeshi la wanamaji na jeshi la anga la Sri Lanka limetumwa haraka kuwaokoa mabaharia wa Iran baada ya meli yao...

READ MORE

Video: Tani 9.93 Za Dawa Za Kulevya Zakamatwa, Watuhumiwa 151 Wanaswa

Mwezi Januari na Februari 2026, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ilikamata tani 9.93 za dawa za...

READ MORE

Viwanda Mkoani Pwani Vyatakiwa Kuboresha Mazingira ya Kazi

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Rahma Kisuo, ameziagiza menejimenti za viwanda Mkoani Pwani...

READ MORE

Bei ya Mafuta Yapanda – EWURA Yatangaza Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) leo Machi 4, 2026 imetangaza bei kikomo zitakazotumika Machi mwaka huu. Bei...

READ MORE

Israel Yashambulia Makao Makuu ya Jeshi la Iran mjini Tehran

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha mashambulio dhidi ya makao makuu ya kijeshi ya Iran mjini Tehran, huku Qatar...

READ MORE

Wanajeshi 6 wa Marekani Wauawa Kuwait Katika Shambulio la Iran

Jeshi la Marekani limeithibitisha idadi ya kwanza ya vifo vya wanajeshi wake katika mzozo unaokua kati ya Marekani na Iran....

READ MORE

Video: Dubai Yaimarisha Usalama Baada ya Shambulio la Droni Kutoka Iran

Ubalozi wa Marekani ulioko mjini Dubai katika United Arab Emirates ulishambuliwa kwa droni usiku wa Jumanne, Machi 3, 2026. Droni hiyo,...

READ MORE

Iran Yapiga Kambi ya Kijeshi ya Marekani Qatar kwa Kombora la Balestiki – Video

Kombora la balestiki lililorushwa na Iran limepiga kambi ya kijeshi ya Marekani katika Al Udeid Air Base nchini Qatar, kwa...

READ MORE

Mahenge Spinel: Fursa ya Uwekezaji wa Kipekee katika Soko la Vito Duniani

Spinel ni miongoni mwa madini ya vito yenye thamani kubwa sana duniani, yanayoendelea kupata umaarufu mkubwa katika masoko ya kimataifa...

READ MORE

Watu 10 Wakamatwa kwa Tuhuma za Ujasusi wa IRGC Nchini Qatar

Nchi ya Qatar imetangaza kukamatwa kwa watu 10 wanaoshukiwa kuwa majasusi wanaohusishwa na Iran. Kwa mujibu wa shirika la habari...

READ MORE

Sekta Binafsi Kushiriki Kikamilifu Maandalizi ya Afcon 2027

  Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, kuweka mikakati  madhubuti ya kuhakikisha sekta binafsi nchini inanufaika kikamilifu...

READ MORE

Kijitonyama Veterans Yagusa Mioyo ya Watoto Yatima Dar

TIMU ya Kijitonyama Veterans imefanya ziara ya kipekee ya kutembelea Vituo Viwili vya Wenye Uhitaji (Watoto Yatima) sambamba na kutoa...

READ MORE

Zelensky Aonya Vita vya Mashariki ya Kati Vinaweza Kuathiri Ulinzi wa Anga wa Ukraine

Rais wa Volodymyr Zelensky ameonya kuwa mzozo unaoendelea katika Mashariki ya Kati unaweza kuathiri moja kwa moja uwezo wa Ukraine...

READ MORE

Samia Aagiza Ubora na Kasi Katika Ujenzi wa Matanki ya Mafuta

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa maelekezo mahsusi kuhakikisha mradi wa ujenzi wa matanki ya...

READ MORE

Uelewa wa Pamoja Kwa Ustawi wa Pamoja,Wanahabari Wanolewa Kuhusu Dira 2050

Wanahabari wametakiwa kuwa daraja la kuifikisha kwa umma mikakati na malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ili kuhakikisha...

READ MORE

Mradi wa Pamoja Kukuza Uchumi wa Wanawake na Kuimarisha Mapambano Dhidi ya Ukatili Wa Kijinsia

Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo...

READ MORE

Rais Trump: Viongozi wa Iran Wanataka Tuzungumze ‘Wamechelewa’

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuishambulia Iran kwa maneno makali akidai kuwa viongozi waliosalia wa Tehran sasa wanataka mazungumzo,...

READ MORE

Serikali Yatoa Tahadhari kwa Watanzania Walioko Mashariki ya Kati

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imetoa tahadhari...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Site Foreman Wenye Uzoefu wa Miaka 2 Wahitajika Haraka

2️⃣ Site Foreman (Civil Building Project) Minimum Qualifications: Bachelor of Science in Building, Construction Management, Civil Engineering, or related field...

READ MORE