×

Habari

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Ijumaa, Oktoba 15, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 15, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Halotel Kuwatunuku Zawadi Wateja Wake Kupitia Muda wa Maongezi

  Kampuni ya simu ya Viettel au maarufu kama Halotel, inayojikita kupeleka mawasiliano vijijini, leo inatimiza miaka sita ya kutoa...

READ MORE

Tigo Yajitosa Tena Kudhamini Kilimanjaro Marathon 2022

    MBIO za Kilimanjaro Premium Lager Marathon maarufu kama Kili marathon kwa mwaka 2022, zimezinduliwa Jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Afrika Yajiandaa Kuzalisha Chakula Cha Kutosha

  Mkutano wa 39 wa Kawaida wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Umoja wa Afrika umefunguliwa leo...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Ziara ya Siku 2 Arusha

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi siku mbili mkoani Arusha, ambapo atazindua miradi mbalimbali ya...

READ MORE

Amuua Mkewe Kwa Kumkata Mapanga-Video

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera linamshikilia bwana Emmanuel Mdende Mwenye umri wa Miaka 51 Kwa tuhuma za kumuua Mke wake...

READ MORE

Samia: Tutaendeleza Mazuri Yote ya Magufuli – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana amesema Serikali yake itahakikisha inaendeleza mazuri yote yaliyokuwa yakifanywa...

READ MORE

Waziri Ndalichako Serikali Itaendelea kulinda Haki za Mtoto wa kike Kielimu

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuhakikisha inalinda haki...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Watu Hawa Wachukuliwe Hatua – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassana ameagiza miradi 49 iliyokutwa na kasoro wakati wa kukimbiza...

READ MORE

Tumuenzi Nyerere kwa Namna Gani?

MIAKA 22 imepita tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere atutoke na kutuachia mema ambayo tumejipa jukumu la kuyaenzi.  ...

READ MORE

Rais Samia Azuru Kaburi la Hayati Dkt. Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi, Oktoba 14, 2021 amezuru na kuweka Shada...

READ MORE

Kilimanjaro Marathon 2022 Yazinduliwa Dar, Serikali Yatoa Neno

    MBIO za Kilimanjaro Premium Lager Marathon maarufu kama Kili marathon kwa mwaka 2022, yamezinduliwa leo Jijini Dar es...

READ MORE

Mtuhumiwa wa Mauaji ya Watoto 12 Atoroka Kimaajabu Mahabusu

Wiki kadhaa zilizopita, mitaa ya Jiji la Nairobi na viunga vyake ilizizima baada ya kukamatwa kwa Masten Wanjala, kijana ambaye...

READ MORE

Haya Ndiyo Majengo 12 Maarufu ya Kihistoria Afrika

WAKATI piramidi za Misri zikitambuliwa kote duniani, usanifu wa majengo ya Afrika umesalia kutojulikana-jambo ambalo wasanifu majengo Adil Dalbai na...

READ MORE

Yanga Mbaroni Tuhuma Za Mauaji

Jeshi la Polisi mkoa wa Singida, linamshikilia Yanga Sesa,mkazi wa Mwanishai Meatu mkoani Simiyu kwa mahojiano kufuatia mauaji ya Machiya...

READ MORE

Mwanariadha Agnes Tirop Akutwa Amefariki Dunia

Mwanariadha wa Kenya Agnes Tirop amekutwa amefariki ndani ya nyumba yake eneo la Iten, Elgeyo, Kaunti ya Marakwet nchini Kenya...

READ MORE

Mdogo wa Rais Afungwa Jela

Mdogo wa aliyekuwa rais wa Algeria hayati, Abdelaziz Bouteflika, amefungwa gerezani kwa kipindi cha miaka miwili kwa kosa la kukwamisha...

READ MORE

Ajenga Nyumba ya Matairi, Inazunguka Ili Aone Jua, Wapita Njia

MZEE wa miaka 72 mkazi wa Srbac, nchini Bosnia anayejulikana kama Vokin Kusic ametumia zaidi ya miaka sita kukamilisha ujenzi...

READ MORE

Kenyatta Kuwa Rais wa Kwanza wa Afrika Kukutana na Biden

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atakutana na rais wa Marekani Joe Biden wakati akimaliza ziara yake ya siku mbili nchini...

READ MORE

Mali za Jambazi Maarufu Zauzwa – Video

Uuzaji wa mali za jambazi maarufu wa Marekani, Al Capone umekusanya jumla ya dola milioni 3 za Kimarekani (£ 2.2m)...

READ MORE

Ofisi za CHADEMA Zachomwa Moto – Video

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 13, 2021 ofisi ya CHADEMA jimbo la Tunduma, Mkoa wa Songwe imechomwa moto na watu...

READ MORE

Hili Ndilo Kabila la Wala Watu, Ukifiwa Unakatwa Kidole

UKIHADITHIWA tu na mtu yeyote unaweza kusema ni hadithi ya kutungwa, lakini ukweli ni kwamba kuna watu huko kwenye visiwa...

READ MORE

Eneo Hili la Volcano ya Tope ni Hatari Dar

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelitangaza eneo la Kunduchi lenye Volcano ya Tope...

READ MORE

Amuua Ndugu Yake Kisa Nyama Ya 1500, RPC Maigwa Athibitisha-Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Ndungi katika Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za...

READ MORE

Eneo la Kale la Kutengeneza Mvinyo Lagunduliwa Israel

JENGO la miaka 1,500 la kutengeneza kinywaji aina ya divai, ambalo linasemekana kuwa kubwa zaidi duniani wakati huo, limegunduliwa nchini...

READ MORE

Bangi, Dawa za Kienyeji Zakutwa Gerezani

Ukaguzi ambao ulifanyika alfajiri katika gereza la mji wa Empangeni ambalo liko Jimbo la Kwa-Zulu Natal nchini Afrika Kusini umebaini...

READ MORE

Forbes Yamtaja Rais Samia Kiongozi Thabiti

  Penresa Forbes 

READ MORE

Waziri Ummy Amlilia Mtendaji wa Mtaa Aliyeuawa Dar

Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Ummy Mwalimu amepokea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Mtendaji wa Mtaa wa...

READ MORE

Rais Samia Awapigia Simu Twiga Stars, Awapongeza – Video

Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga simu usiku katikati ya hafla ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni...

READ MORE

Aibu Nzito ya Mchungaji Alawiti Watoto 13, Yamfika Mazito

HII ni aibu nzito kwa mchungaji na kanisa kwa jumla! Mchungaji Didas Mpagi almaarufu Pastor Bakulu yamemfika mazito maishani mwake...

READ MORE

RC Makalla Awahimiza Dasheng Benki Kuhamasisha Uwekezaji Wa Nje

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amewahimiza wawekezaji wa Benki ya watu wa China kuhamasisha uwekezaji...

READ MORE

Binti Asimulia Anavyoshea Mwanamme Mmoja na Mama Yake

HISIA kali zimetolewa katika mitandao ya kijamii ya video ya Tiktok ya mwanamke mmoja kusema kuwa yeye na mama yake...

READ MORE

RC Makalla Atuliza Mzuka wa Wananchi Waliopanga Kufunga Barabara

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewaelekeza TANROAD kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kitengo Cha...

READ MORE

Mbunge wa Kibiti Alivyotimiza Ahadi Ndani ya Kipindi Kifupi

  MBUNGE wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Twaha Mpembenwe amepata nguvu ya kurudi jimboni kwake kuwashukuru wapiga kura wake...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko Makamanda wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo Oktoba 12, 2021 amefanya mabadiliko ya makamanda watatu wa jeshi...

READ MORE

Madiwani Watakiwa Kuachana na Migogoro

Buchosa, Sengerema. Madiwani wa Halmashauri ya Buchosa Wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza wametakiwa kuachana na migogoro ambayo inadidimiza maendeleo ya...

READ MORE

Watatu Wakamatwa kwa Mauji ya Mtendaji Dar – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mtendaji wa mtaa...

READ MORE

Waziri Ummy Apiga Marufuku Safari za Wakuu wa Mikoa – Video

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu ametoa taarifa kuhusu Mpango wa Matumizi ya fedha za Mapambano...

READ MORE

Maharusi Wazua Gumzo Kupanda Kwenye Keki – Video

WANANDOA wamewasha moto mtandao na video za keki waliyotumia katika hafla yao ya harusi ikisambaa mitandaoni. Wanandoa waliamua kuipa hafla...

READ MORE

Kilichojiri Hukumu Kesi ya Membe vs Musiba – Video

HUKUMU ya kesi ya madai ya kashfa iliyofunguliwa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje katika Serikali ya Awamu ya...

READ MORE