Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la Mwango Nzioka mwenye umri wa miaka 30 aliyekuwa akifanya kazi ya kuendesha bodaboda, amemuua...
READ MOREOlaf Scholz ameapishwa kama Kansela mpya wa Ujerumani, na kuhitimisha miaka 16 ya kihistoria ya Angela Merkel kama kiongozi. Alipigiwa kura...
READ MOREVIJANA wenye hasira kali wameichoma moto nyumba ya mchungaji wa kanisa mjini Adebun huko Ado-Ekiti nchini Nigeria baada ya mtoto...
READ MOREMkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mahakama, wamefuta kesi zote za uchochezi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu katika...
READ MOREMkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa...
READ MOREMTU mmoja amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika vurugu zilizotokea kati ya wakulima na walinzi wa wawekezaji wa mifugo...
READ MORERais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah Sambi hivi karibuni alimuandikia barua rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia...
READ MORERais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa...
READ MORERais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano 8, 2021 saa 3:00 usiku, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....
READ MOREKARIBU utazame kipindi cha ‘HOTPOT’ kinachokujia kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 9 kamili Alasiri, kilichosheheni stori za mastaa...
READ MOREKATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema kwamba baada ya miaka 60 ya Uhuru, upatikanaji wa maji...
READ MOREKampuni ya ndege binafsi ya nchini Marekani ya Love Cloud imeanza kutoa huduma kwa wapenzi wanaohitaji kushiriki tendo la ndoa...
READ MOREKijana mwenye matatizo ya akili, Steve Olumbe amemvamia, kumkatakata kwa mapanga na shoka kisha kumuua bibi yake, Priscilla Were mwenye...
READ MOREMKURUGENZI wa Mawasiliano na Uhusiano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia(katikati ) akichangia mada ya huduma jumuishi za kifedha kwenye kongamano...
READ MOREPOLISI katika Jimbo la Maharashtra katika Wilaya ya Aurangabad, Mumbai nchini India wamewakamata kijana mmoja na mama yake kwa madai...
READ MOREKARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...
READ MOREMHASIBU Mkuu wa Serikali, Leonard Mkude akimkabidhi Mkurugenzi wa Fedha (ajaye) wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc...
READ MOREWATU wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wamevamia moja ya ghorofa lililopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo...
READ MOREMAWAZIRI Ummy Mwalimu, Liberata Mulamula, Mbunge Hamis Kigwangala, mfanyabiashara Azim Dewji na mwanamuziki Diamond Platinumz, leo Desemba 07, wameshiriki kwenye...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametajwa na Jarida maarufu duniani la takwimu na...
READ MOREMAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa imemuhukumu Selemani Juma mwenye umri wa miaka 36 kwenda jela miaka 45 na...
READ MOREGAVANA wa Kaunti ya Kitui nchini Kenya Charity Ngilu amesema kuwa serikali ya kitaifa na ile ya kaunti yake zitagharamia...
READ MOREJESHI la Polisi nchini Nigeria wanasema wanaendelea kuchunguza tukio la vifo vya watoto nane wa familia mbili tofauti, waliokutwa wamekufa...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amefuta likizo kwa watumishi wote wa Serikali ambao idara zao zinahusika na ujenzi...
READ MORESERIKALI imesema ipo mbioni kuvifungulia vyombo vya habari ambavyo bado vimefungiwa mara baada ya kumaliza mazungumzo yanayoendelea hivi sasa baina...
READ MOREMitihani ya muhula wa pili kwa mwaka wa masomo 2020/2021 iliyofanyika kitaifa kuanzia Agosti 16, 2021 hadi Septemba 30, 2021...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Viongozi na wachezaji wa Timu ya Taifa ya...
READ MOREMAWAZIRI Ummy Mwalimu, Liberata Mulamula, Mbunge Hamis Kigwangala, mfanyabiashara Azim Dewji na mwanamuziki Diamond Platinumz, leo Desemba 07, wameshiriki kwenye...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 7, 2021 amekutana na Viongozi na wachezaji wa...
READ MOREWAFUNGWA kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha baada ya Gereza Kuu la Gitega nchini Burundi, kuteketea kwa moto Jumanne ya Desemba 7,...
READ MOREStaa mkubwa wa Rap nchini Marekani anayekimbiza na albamu yake ya Certified Lover Boy, Drake ametangaza kujitoa katika kinyang’anyiro cha...
READ MORESerikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya...
READ MORETUKIO lisilo la kawaida limesababisha huzuni kutanda katika Mji wa Kabete nchini Kenya baada ya askari wa jeshi la polisi,...
READ MOREZAIDI ya watu 180,000 wametia saini maombi ya kudai haki baada ya kifo cha mwanafunzi Sylvester Oromoni wa shule ya...
READ MOREMtia nia wa kugombea urais nchini Kenya ameahidi kutoa mikopo yenye thamani ya kati ya TZS milioni 10 hadi...
READ MORENi fursa ya kipekee kujivinjari katika jiji la Dubai! Ndivyo unavyoweza kutafisiri kile kinachosubiriwa kwa hamu na Watanzania wengi ambapo...
READ MOREMAMA anayetuhumiwa kuwaua wanawe wawili na kujeruhi watatu kwa sumu ya kuua wadudu kwenye nyanya, imebainika ametelekezwa na wanaume watano...
READ MOREMKAZI wa Kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada...
READ MORE