Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11...
READ MOREKiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa...
READ MOREMBUNGE Humphrey Polepole amesema kazi ya kusema ukweli ina safari kidogo lakini hatokatishwa tamaa na uamuzi wa Kamati ya...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Geita limelazimika kufukua kaburi la mtoto aliyefariki dunia katika Hospitali ya wilaya ya Geita kwa ugonjwa...
READ MOREViongozi wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...
READ MOREKAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa...
READ MOREMawaziri wawili wa Tanzania, ni miongoni mwa wahitimu 42 waliotunikiwa shahada ya udaktari wa Falsafa (Phd) katika Chuo Kikuu cha...
READ MOREKARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..
READ MORE GLOBALJAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata...
READ MOREKARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...
READ MOREJESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar...
READ MOREMwanaume mmoja, Paul Murage mkazi wa Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akituhumiwa...
READ MOREKASISI wa Kanisa moja huko Abeokuta katika Jimbo la Ogun nchini Nigeria, Peter Taiwo amejitetea kuwa hakumbaka mwanakwaya mwenye umri...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...
READ MOREWATU tisa wamefariki papohapo akiwemo mtayarishaji wa Muziki kutoka Puerto Rico, Jose Angel Hernandez ama Flow La Movie baada ya...
READ MOREWATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...
READ MOREKESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya...
READ MOREMWANAUME mmoja nchini Nigeria Simon Odo (74) maarufu kama ‘Mfalme wa Shetani’ amezikwa ndani ya gari katika Kijiji chake kusini...
READ MOREDirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, Ligi daraja la kwanza na Ligi Kuu ya...
READ MOREKATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...
READ MOREWaziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...
READ MOREKAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Maketi Msangi amefafanua tukio la kudondoka kwa ndege katika ziwa Victoria takribani mita...
READ MOREWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali...
READ MOREMtwara: Disemba 15, 2021: Benki ya Taifa ya Biashara (NBC)imekabidhi zawadi mbalimbali ikiwemo baiskeli, pikipiki, guta na trekta kwa washindi...
READ MOREGeorge Lupindu (19) mkazi wa kijiji cha Ngalawale wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, amehukumiwa na mahakama ya wilaya mkoani hapo...
READ MORERais Samia leo Dec 16, 2021 anashiriki katika ufunguzi wa mkutano wa wadau wa kujadili hali ya Demokrasia ya vyama...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa zamani wa Orlando Pirates na AS Vita, Jen Marc Makusu Mundele, ameweka wazi kuwa kwenye mazungumzo na uongozi...
READ MOREKARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..
READ MORESERIKALI imetoa muongozo wa kusimamia shughuli za udalali nchini kwa lengo la kuwawezesha madalali kufanya kazi zitakazoleta tija kwa serikali...
READ MOREKARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...
READ MOREJeshi la Polisi nchini Kenya, limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Amos Makalla amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Barabara ya Ardhi, Makongo Juu...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha inayosikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Lengai Ole Sabaya na...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan, ametua salamu za rambirambi kwa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya...
READ MOREMuziki wa Rhumba wenye asili yake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kongo Brazzaville, umepewa hadhi ya kuwa...
READ MOREKatibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres leo Desemaba 15, 2021 amteua Bi.Joyce Msuya wa Tanzania kuwa Katibu Mkuu...
READ MOREMTANDAO wa Kijinsia nchini (TGNP) umetoa mafunzo ya bajeti yenye mrengo wa kijinsia kwa wakuu wa idara...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan amesema yupo tayari kukosolewa na kupokea maoni kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa pamoja na...
READ MOREKiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia kuwasaidia kumtoa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia...
READ MORERais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Desemba 15, 2021 amefungua mkutano wa wadau wa vyama vya siasa nchini ambao unalenga...
READ MORE