×

Habari

NMB, Jubilee Life Wazindua Mpango wa Uwekezaji, Utunzaji na Bima

  BENKI ya NMB kwa kushirikiana na Jubilee Life Insurance, imezindua mpango wa utunzaji, uwekezaji na bima uitwao ‘Fanaka Plan,’...

READ MORE

TGNP Yawaunganisha Wanavikundi na Wataalamu wa Teknolojia kutoka Chuo cha DIT

    MTANDAO  wa Jinsi nchini (TGNP) umeingia makubaliano na wataalamu kutoka Chuo cha Teknolojia cha DIT kwa ajili ya...

READ MORE

Stawi Lab Inavyochochea Maendeleo Ya Taasisi Zinazoongozwa na Vijana

HER Initiative kwa kushirikiana na TWAA walizindua mradi wao mpya wa Stawi Lab ikizingatia kuimarisha taasisi zinazoongozwa na vijana zinazopigania...

READ MORE

Osha Yazindua Mpango Wa Mafunzo Kwa Taasisi za Serikali

Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua rasmi mpango wa mafunzo ya Usalama na Afya kwa Taasisi...

READ MORE

Haji Manara Awaombea Simba

Baada ya kutoka kwa taarifa ya mechi ya Kagera na @simbasctanzania kuahirishwa kwa sababu ya wachezaji wa Simba kuumwa mafua...

READ MORE

Wazadi Wagomea Shule Kufundisha Kingereza

WAZAZI wa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mukendo, iliyopo Musoma mkoani Mara wamekataa mpango wa Serikali kubadili Shule hiyo ili...

READ MORE

Kichanga Chakutwa Kimetupwa Mtoni – Video

UNYAMA! MWILI wa mtoto mchanga umekutwa ukielea juu ya maji katika ukingo wa mto eneo la Tandale Chama jijini asubuhi...

READ MORE

Mwalimu Ajichoma Moto Kisa Kufukuzwa Kazi Kwa Kumpa Mimba Mwanafunzi

Mwalimu wa Shule ya Msingi Magemo iliyopo Webuye, Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, Wycliffe Akeve amejichoma kwa moto katika jaribio...

READ MORE

Wamiliki wa Malori Wawaweka Mtu Kati, Tanrod, TRA, LATRA, EWURA

    CHAMA cha wamiliki wa malori wadogo na wakati nchini TAMSTOA kimeziweka mtu taasisi za serikali wanazofanya nazo kazi...

READ MORE

Mganga Mkuu wa Serikali Atoa Taarifa Dalili za Kukohoa, Mafua

Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuongezeka kwa idadi ya watu wenye dalili za kukohoa,...

READ MORE

Askari Polisi Aliyesifia Gongo Atimuliwa Kazi

Konstebo wa Polisi, Ramadhani Khalfan Said amefukuzwa kazi kwa kwenda kinyume na mwenendo mema wa Jeshi la Polisi Tanzania baada...

READ MORE

Polepole, Askofu Gwajima na Slaa Kikaangoni CCM

Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imewaitaka wabunge wake, Humphrey Polepole, Jerry Silaa na Askofu Josephat Gwajima kuwasikiliza kutokana...

READ MORE

Straika Avuruga Usajili Yanga

JINA la mshambuliaji wa Mkongomani, Fabrice Ngoma anayekipiga Klabu ya Raja Casablanca ya nchini Morocco limeingia kwenye orodha ya washambuliaji...

READ MORE

Wanajeshi 1000 Watimuliwa kwa Kukaidi Agizo la Chanjo

Zaidi ya Wanajeshi Wanamaji 100 wa Marekani wameondolewa jeshini kwa kukataa kupata chanjo dhidi ya UVIKO-19 chini ya agizo la...

READ MORE

China Yapangua Tuhuma za Kutengeneza Silaha Kudhibiti Ubongo

China imelaani uamuzi wa Marekani wa kuorodhesha kampuni na taasisi zake 34 kuwa zinatengeneza silaha za “kudhibiti ubongo” ikitaja madai...

READ MORE

Mchengerwa: Watumishi Watakaozuiliwa Likizo Walipwe

WAZIRI wa Nchi, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amesema kuwa likizo ni haki ya mtumishi...

READ MORE

Korea Kaskazini: Marufuku Wananchi Kucheka kwa Siku 11

Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku Wananchi wake kucheka, kunywa pombe na kufanya sherehe yoyote kwa muda wa Siku 11...

READ MORE

Zitto Kabwe Akutwa na Covid-19

Kiongozi Mkuu wa ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe amesema alipimwa na kukutwa Virusi vya Corona (COVID 19) baada ya kupatwa...

READ MORE

Polepole Baada ya Kufungiwa na TCRA “Kazi ya Kusema Ukweli ina Safari” – Video

  MBUNGE Humphrey Polepole amesema kazi ya kusema ukweli ina safari kidogo lakini hatokatishwa tamaa na uamuzi wa Kamati ya...

READ MORE

Mtoto Aliyefariki 2017, Apatikana Akiwa Hai, Kaburi Lafukuliwa

JESHI la Polisi mkoani Geita limelazimika kufukua kaburi la mtoto aliyefariki dunia katika Hospitali ya wilaya ya Geita kwa ugonjwa...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Mnyika Kumuomba Mangula Asaidie Mbowe Kuachiwa Huru

Viongozi wakuu wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wamemuomba Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Polepole ‘Apigwa Nyundo’ TCRA, Shule ya Uongozi Yasimamishwa – Video

KAMATI ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kipindi cha Shule ya Uongozi cha Mbunge Humphrey Polepole kinatolewa...

READ MORE

Biteko, Jafo Watunukiwa Ahahada ya Udaktari wa Falsafa

Mawaziri wawili wa Tanzania, ni miongoni mwa wahitimu 42 waliotunikiwa shahada ya udaktari wa Falsafa (Phd) katika Chuo Kikuu cha...

READ MORE

🔴#LIVE: Makusu Awapiga Mkwara Makambo, Mayele, Simba Yatua Kwa Kiungo Mzambia | Krosi Dongo

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi..   

READ MORE

Itakutoa Machozi: Kijana Asimulia; “Nilikuwa Handsome, Ghafla Nimekuwa Kilema” – Video

 GLOBALJAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata...

READ MORE

Video: CHADEMA Wamshukia Zitto, Sabaya Adaiwa Kumiliki Genge La Uhalifu | Front Page

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Watu 15 Mbaroni kwa Kuuza Jezi Feki

JESHI la Polisi mkoani Dodoma linawashikilia watuhumiwa 15 kwa tuhuma za kuuza jezi feki kutoka katika mikoa ya Dodoma, Dar...

READ MORE

Mume Amuua Mke na Watoto Wanne Kikatili

Mwanaume mmoja, Paul Murage mkazi wa Gichugu, Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo akituhumiwa...

READ MORE

Mchungaji Aliyebaka Binti wa Miaka 16 Ajitetea

KASISI wa Kanisa moja huko Abeokuta katika Jimbo la Ogun nchini Nigeria, Peter Taiwo amejitetea kuwa hakumbaka mwanakwaya mwenye umri...

READ MORE

Balozi Mulamula Awasili Uturuki Kumwakilisha Rais Samia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Desemba 16, 2021 amewasili nchini Uturuki...

READ MORE

Ajali ya Ndege Yaua 9 Santo Domingo

WATU tisa wamefariki papohapo akiwemo mtayarishaji wa Muziki kutoka Puerto Rico, Jose Angel Hernandez ama Flow La Movie baada ya...

READ MORE

Magari Yagongana Uso kwa Uso, Watu 2 Wafariki Dunia

WATU wawili wamefariki Dunia katika ajali iliyohusisha Malori mawili iliyotokea eneo la Mkambarani barabara ya Morogoro – Dar es alam...

READ MORE

Kizimbani kwa Tuhuma za Kusafirisha Madawa

KESI inayowakabili vijana wawili wakazi wa Jijini Dar es Salaam, Said Shewali na Salum Athumani ya kusafirisha dawa za kulevya...

READ MORE

‘Mfalme wa Shetani’ Mwenye Wake 57 Azikwa Ndani ya Gari

MWANAUME mmoja nchini Nigeria Simon Odo (74) maarufu kama ‘Mfalme wa Shetani’ amezikwa ndani ya gari katika Kijiji chake kusini...

READ MORE

Dirisha Dogo la Usajili Limefunguliwa Leo

Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, Championship, Ligi daraja la kwanza na Ligi Kuu ya...

READ MORE

Rais Samia Kufanya Maamuzi Magufmu Wizara ya Afya – Video

KATIKA kuboresha huduma ya afya nchini, Serikali imenuia kuitenga Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kutoka...

READ MORE

Aweso ‘Atumbua Jipu’ Katavu

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mpanda...

READ MORE

Tukio la Ndege Kuanguka Bukoba, RPC Aeleza

KAIMU Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Maketi Msangi amefafanua tukio la kudondoka kwa ndege katika ziwa Victoria takribani mita...

READ MORE

Waziri Ummy: Sitaki Kuona Mwanafunzi Amerudishwa Kisa Michango

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ummy Mwalimu amekemea utozaji wa michango mbalimbali...

READ MORE