×

Habari

Jamaa Yamkuta Baada ya Kukojoa Hapa

JESHI la Polisi mjini Kakamega wamemkamta jamaa mmoja kwa kumpiga na kumjeruhi mwenzake aliyepuuza onyo kwa umma kutokojoa hadharani.  ...

READ MORE

Amuua Mwenzake Kisa Nauli ya Bodaboda

KWELI dunia ina mambo…. Jeshi la Polisi nchini Kenya, Jeshi la Polisi ncini Kenya wanamshikilia mshukiwa wa mauaji ambaye aanadaiwa...

READ MORE

Kibaka Amchoma Kisu Askari na Kumuibia

JESHI la Polisi nchini Kenya wanamsaka kijana mmoja kibaka ambaye alimvamia na kumjeruhi ofisa wa polisi wa mwanamke katika eneo...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Anayemaliza Muda Wake Awaanga Wanahabari

MKURUGENZI mkuu wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi (kulia) akimtambulisha mkurugenzi...

READ MORE

CHADEMA Yatoa Tamko Kesi ya Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema uamuzi wa jana na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani, pamoja na kuitwa uamuzi mdogo...

READ MORE

Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Abiria

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya, imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Emmanuel Msomba (30) baada ya kupatikana na kosa...

READ MORE

Kigogo Vodacom Afunguka Alivyochunguza Simu za Sabaya

MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam,...

READ MORE

Hukumu ya Miaka 30 Jela: Sabaya Akata Rufaa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wamewasilisha taarifa ya kusudio la kukata rufaa Mahakama Kuu...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi TCU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Penina Muhando kuwa Mwenyekiti wa Tume ya...

READ MORE

Hukumu ya Aveva, Kaburu Yapigwa Kalenda Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu kutokana na kutokamilika uandaaji wa hukumu na kuomba kuahirishwa kwa shauri hilo...

READ MORE

Bodaboda Aliyeokota Mil 115 Akazirejesha kwa Mwenyewe

Siku chache zilizopita, tukio lisilo la kawaida lilitokea nchini Liberia na kuzua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii.   Lilikuwa...

READ MORE

Hukumu Kesi Ya Evans Aveva na wenzake Kutolewa Saa Nane

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajia kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Klabu ya Simba, Evans Aveva...

READ MORE

Utafiti Wa Ng’ombe Na DNA Ya Malisho Wafanyika Tanzania-Video

Kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wanyama nchi taasisi za utafiti nchini zimefanya utafita wa aina ya Ng’ombe na malisho ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji...

READ MORE

BoT Yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB

    BoT yapongeza Mfumo wa Majaribio ya Suluhishi za Kidijitali NMB Benki ya NMB imezindua Mfumo wa Majaribio ya...

READ MORE

Video: Wazee Arusha Wamlilia Rais Samia Walipwe Madai Yao Mil 100

 Baadhi ya wakulima Wilayani Arumeru mkoani Arusha Wakiwemo, Inko Andrea Manga, Kashengena Msuya Abdi na George Macha, Wamemuomba Rais...

READ MORE

Sensa Mwaka 2022 Kufanyika Ki-digital-Video

Sensa ya mwaka 2022, itafanyika kidigital. Hayo yamesemwa na aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne...

READ MORE

Kijana Aliyeitwa Nyani, Apelekwa Shule, Ageuka Staa

WASWAHILI wanasema Mungu sio hapangiwi….! Huu ni miongoni mwa misemo maarufu ya kiswahili inayotumiwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa jambo ambalo...

READ MORE

Maajabu: Kikongwe wa Miaka 70 Ajifungua Mtoto wa Kwanza

Unaweza usiamini lakini huo ndiyo ukweli, ukisikia dunia ina maajabu basi haya ni miongoni mwake. Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Colin Powell; Jenerali wa Jeshi Aliyeiongoza Marekani Kumng’oa Saddam Hussein

-Aliweka rekodi ya kuwa Mmarekani mweusi wa kwanza kuwa Waziri wa Mambo ya Nje – Akakataa kugombea urais na kumpendekeza...

READ MORE

Lindi: Dereva wa Lori Afariki Mikononi mwa Polisi

Jeshi la Polisi mkoani Lindi, wametolea ufafanuzi wa tukio la dereva wa lori aliyefariki mikononi mwa polisi mnamo Oktoba 17,...

READ MORE

CHADEMA Haijaridhika na Maamuzi ya Mahakama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo, kimesema hakijaridhika na uamuzi uliotolewa na Jaji Kiongozi Mustapha Siyani katika kesi ndogo ndani ya...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao ha Baraza la Mawaziri

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 20, 2021 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri...

READ MORE

Wakili IPTL Aomba Kukiri Makosa Akamzike Baba Yake

MWANASHERIA wa Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Joseph Makandege, ameiomba tena kufanya mazungumzo na ofisi...

READ MORE

Rais Kenyatta Aondoa Masharti ya Kutotoka Nje

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameondoa masharti ya kutotoka nje usiku kwa wananchi wake ambayo yaliwekwa  tangu Machi 2020 ili...

READ MORE

Mbunge Mpembenwe Afanya Balaa Tena Kibiti, Ashusha Tena Shehena ya Saruji

    MBUNGE wa Jimbo la Kibiti mkoani Pwani, Mheshimiwa Twaha Mpembenwe baada ya kugawa vifaa vya ujenzi katika kata...

READ MORE

Kumbukumbu za Miamala ya Simu za Sabaya Zatua Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha imetupilia mbali pingamizi la kutaka nyaraka mbalimbali zikiwemo kumbukumbu za kupiga na kupokea simu, kutuma...

READ MORE

Meneja Ulinzi Vodacom Apanda Kizimbani Kesi ya Sabaya

MENEJA wa Ulinzi na Mshirika Katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama Vodacom PLC Makao Makuu, James Wawenje amepanda kizimbani leo...

READ MORE

Askofu Akutana na Waganga wa Kienyeji Gamboshi

ASKOFU wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu amekutana na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala katika...

READ MORE

Syria: Wanajeshi 14 Wafariki kwa Shambulio la Bomu

Takribani wanajeshi 14 wa Syria wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya mabomu kulipuka katika basi walilokuwa wakisafiria, tukio...

READ MORE

Kijana Mtanzania Aliyeuawa Marekani, Familia Yanena Mazito

Familia ya Kijana Mtanzania Humphrey Magwira aliyeuawa kwa kupigwa risasi siku ya Ijumaa kufuatia ajali ya gari alilokuwa akiendesha kugonga...

READ MORE

Mwalimu Mkuu Ampiga Na Kumng’oa Jino Mwalimu Mwenzake-Video

Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi mkuyuni Morogoro vijiji Mussa Hasira Kwa Tuhuma...

READ MORE

Jaji Siyani Ajitoa Kesi ya Mbowe

Jaji Mustapha Siyani aliyekuwa akiendesha kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake  amejitoka kuendesha kesi hiyo leo Jumatano,...

READ MORE

Askofu Mwamakula Alivyoangusha Maombi Mahakamani Kesi ya Mbowe

Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Pingamizi la Mbowe

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, leo Jumatano Oktoba 20, 2021 imetoa hukumu ya kesi ndogo...

READ MORE

Uganda Yazindua Gari la Kivita Lililoundwa Nchini Humo

KAMANDA wa vikosi vya ardhi nchini Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ameweka kwenye Twitter picha ya kile anachosema kuwa gari la...

READ MORE

Naibu Waziri Ulega “Tumedhamiria Kuinua Biashara Ya Dagaa Kigoma”-Video

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Mifugo...

READ MORE

Tony Bennett Ameweka Rekodi Mpya ya Dunia ya Guinness

Mshindi mara 18 wa Tuzo za Grammy, Tony Bennett ameweka rekodi mpya ya Dunia ya Guinness ya kuwa mwanamuziki mwenye...

READ MORE

Nmb Yavunja Rekodi, Yatangaza Faida Ya Kihistoria Ya Bil 211

Katika robo ya tatu ya mwaka iliyoishia Septemba 2021, Benki ya NMB imeonesha ufanisi mkubwa na mafanikio katika maeneo mbalimbali...

READ MORE

Gari Inayopaa Kuanza Kutumika

Kampuni ya Uber na Boeing ambao wamejikita katika utengenezaji wa magari yanayopaa maarufu kama eVTOL (electric vertical take-off and landing),...

READ MORE