×

Habari

Mfanyabiashara wa Shivacom Afariki Dunia

Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Tanil Kumar Chandulal Somaiya amefariki dunia jana Jumatano, Agosti 11, 2021 jijini Dar es Salaam. Baadhi...

READ MORE

Vodacom Yakabidhi Zawadi kwa Mshindi wa Tusua Mapene

Mshindi promosheni ya Vodacom wa zawadi kubwa ya Tusua Mapene Tsh 179,000,000, Ramadhani Ismail Bwaniki akikabidhiwa zawadi yake kutoka kwa...

READ MORE

Umoja wa Afrika Kuipa Tanzania Chanjo Milioni 17

Umoja wa Afrika umeitengea Tanzania dozi milioni 17 za chanjo za UVIKO- 19 kupitia mpango wa Umoja huo wa kuzisaidia...

READ MORE

Ibrah Amchokoza Rayvanny Kwa Fahyma

HUU sasa ni uchokozi… Eti Ibraah naye anataka kujipumzisha kwa mzazi mwenza wa Rayvanny, Fahyma ili tu kuendeleza ligi kati...

READ MORE

Mifumo Mitatu Itakayoibeba Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga raia wa Tunisia, Nasreddine Nabi ashindwe mwenyewe katika msimu ujao ni kutokana na usajili ambao umefanywa...

READ MORE

Dereva wa Bolt Ajivunia Mafanikio Yake

Fabian Shao (32) anasema kuwa baada ya kuacha kazi ya udereva katika shirika moja la kimataifa na kuamua kujiajiri na...

READ MORE

Kumekucha! Tigo Kandanda Yazinduliwa

  Kampuni inayoongoza kwa maisha ya dijitali nchini Tanzania, Tigo, leo imezindua shindano la Tigo Kandanda.   Washindi wa shindano...

READ MORE

Mbaroni kwa Tuhuma za Ubadhirifu Fedha za Maji

JESHI la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba...

READ MORE

Serikali Yasitisha Leseni ya Gazeti la Uhuru

Serikali imesitisha leseni ya Gazeti la Uhuru kwa siku 14 kuanzia Agosti 12, 2021. Mkurugenzi wa Habari-MAELEZO, Gerson Msigwa amesema...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais wa TLS na Majaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria...

READ MORE

Gazeti la Uhuru Lasimamishwa, Watatu Wasimamishwa Kazi – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametangaza kusitishwa kwa uchapaji wa gazeti linalomilikiwa na chama hicho, gazeti...

READ MORE

Mkurugenzi NIDA na Wenzake Wakutwa na Hatia

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewakuta na kesi ya kujibu, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Dickson...

READ MORE

Watu 24 Wafariki Baada ya Kula Mbolea

WATU 24 wa familia moja wamefariki baada ya kula chakula kinachoshukiwa kuwa na sumu kaskazini magharibi mwa Nigeria. Tukio hilo...

READ MORE

Watu Sita Mbaroni Sakata la Fumanizi na Kujeruhi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za...

READ MORE

Simbachawene: Magereza ya Tanzania Yanaendeshwa Kikoloni

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema Magereza ya Tanzania yana viashiria vya ukoloni na kwamba kuna safari ndefu...

READ MORE

CCM Yasikitishwa na Upotoshwaji wa Gazeti la Uhuru

Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na upotoshwaji mkubwa uliyofanywa na gazeti la Uhuru toleo Namba 24084 la leo Jumatano 11 Agosti,...

READ MORE

Waliomburuza Jamaa Kwenye Bodaboda Mpaka Kumuua Wakamatwa

JESHI la Polisi mkoa wa Tanga linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kumshambulia na kumuua mtu mmoja aliyetuhumiwa kuiba pikipiki...

READ MORE

Wababa Wanaonyonya Maziwa na Wake Zao Waonywa

WANAWAKE wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao...

READ MORE

Mbio za Watoto Rock City Marathon na Unilever Kutimua Vumbi Oktoba 24

      Kampuni ya Unilever Tanzania imekabidhi hundi yenye thamani Tsh milioni 20 kwa waandaaji wa mbio za Rock City...

READ MORE

Bandari Dar Yaweka Rekodi, Meli Yenye Magari 3743 Kutia Nanga

MAMLAKA ya Bandari Tanzania ( TPA) imeandika historia baada ya meli kubwa ya kubeba magari kutia nanga katika Bandari ya...

READ MORE

Kesi ya Sabaya: Shahidi Asema Alimpokea Diwani Akivuja Damu

Dkt. Ngiana Mtui (28), shahidi wa 10 wa Jamhuri katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa...

READ MORE

Othman Aanika Sababu Mbunge CCM Kujiuzulu

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya...

READ MORE

Rais Ramaphosa Mbele ya Jopo la Uchunguzi

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa leo Jumatano, Agosti 11, 2021, anatarajiwa kufika mbele ya jopo la uchunguzi kwa madai...

READ MORE

PSG Kuuza Wachezaji 10 Kikosi cha Kwanza Kuziba Pengo Mkwanja wa Messi

RASMI aliyekuwa nahodha wa timu ya Barcelona Lionel Messi sasa ni mali ya PSG ya Ufaransa 🇫🇷. Nyota huyo ambaye...

READ MORE

TECNO Spark 7 na VIVO Y1s ni Ipi Simu Bora Zaidi?

Kampuni ya simu TECNO hivi karibuni imezindua TECNO Spark 7 moja ya toleo la TECNO lenye kuaminiwa zaidi na vijana...

READ MORE

Investing in Our Continent’s Youth is Crucial for Sustainable Development

  This International Youth Day, Africa needs to think about how it can embrace its large youth population for the...

READ MORE

Tigo na Sanlam, Wazindua Bima ya Simu za Mkononi

    Dar es Salaam, Agost 11, 2021. Kampuni inayoongoza kwa maisha ya kidijitali, Tigo Tanzania, imeshirikiana na kampuni ya Sanlam,...

READ MORE

DC Joshua Nasari Akabidhiwa Ofisi na Wadau wa Maendeleo, Bunda

    Bunda, Mara. Siku ya Tarehe 8/8/2021 Kundi la wadau wa maendeleo mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Atoa Siku 14 Kwa Viongozi Ngazi Ya Mikoa ,Wilaya

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo ameagiza ndani ya siku 14 vingozi wote wa Chama hicho na kamati...

READ MORE

Dereva Aliyeua Wanafunzi Wawili Atakiwa Kujisalimisha

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaama linamtaka dereva wa gari aina ya Scania ambaye hajajulikana jina lake...

READ MORE

Miquissone Kubaki Simba? Al Ahly Yampotezea

JARIBIO la Mabingwa wa Klabu Bingwa Barani Afrika, Al Ahly ya Misri 🇪🇬 kupata saini ya Luis Miquissone wa Simba...

READ MORE

Mbeya: Marufuku Magari Yanayotangaza Misiba

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya ,Dkt. Rashid Chuachua amepiga marufuku magari ya matangazo ya misiba jijini humo, baada ya kuchukua...

READ MORE

Inasikitisha Sana! Mtoto wa Miaka Tisa Anayemhudumia Bibi Mgonjwa

SHAMSA Yusuph (9) ambaye kwa umri wake anapaswa kuwa shule, amejikuta akikosa fursa hiyo baada ya kulazimika kubeba jukumu la...

READ MORE

Heri ya Kuzaliwa Eric Shigongo, Mkurugenzi Mtendaji Global Group

LEO AGOSTI 10, 2021 ni siku muhimu  kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Group LTD na Mbunge wa Buchosa, ...

READ MORE

Waarabu Wamchomoa Chama Kwa Bil 1.8

HABARI mpya ni kwamba, aliyekuwa Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameushinikiza uongozi wa timu yake ya FAR Rabat ya nchini...

READ MORE

Polisi Anayedaiwa Kuua Mtoto Ajitokeza “Aliuawa na Wananchi”

ASKARI wa jeshi Polisi, Eliud Msangi anayedaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto Justine James (14), ameibuka na kudai mtoto huyo...

READ MORE

Kauli ya Rais Samia Kuhusu Kukutana na Vyama vya Siasa

Rais Samia Suluhu Hassan amesema alitaka kukutana na viongozi wa vyama vya siasa, lakini si wakiwa wamechambuka chambuka, kwa sababu...

READ MORE

Mbowe Alikimbia Nchi, Tuiachie Mahakama Iuonyeshe Ulimwengu – Video

Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akisema, uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ulianza Septemba mwaka jana, lakini...

READ MORE

Wanaliowafumania Wapenzi na Kusambaza Picha za Utupu Wanaswa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za...

READ MORE