×

Habari

Mwamba Wa Afrika Mpya Umeanguka

Ni nyakati nyingine mbaya kwa Bara la Afrika kwa kumpoteza mwamba mwingine ambaye alikuwa mmoja wa waasisi wa Afrika mpya,...

READ MORE

Sabaya Akana Mashtaka Mawili – Video

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili wamesomewa mashtaka mawili yanayowakabili kati ya mashtaka sita...

READ MORE

Papa Msofe Afutiwa Mashtaka, Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 18, 2021 imemfutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara  Marijan Msofe (53) maarufu Papa...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Makampuni ya Wilmar International ya Singapore Kuok Khoon Hong, Ikulu...

READ MORE

Zambia Yatangaza Siku 21 za Maombolezo ya Kaunda

SERIKALI ya Zambia imetangaza siku 21 za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha muasisi wa taifa hilo Kenneth Kaunda hapo...

READ MORE

Rio Aionya Man United Kwa Tripper

BEKI wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, ameionya timu hiyo juu ya ishu ya kutaka kumsajili beki wa Atletico...

READ MORE

Rekodi: Afariki Akiacha Gumzo Wake 39, Watoto 94

ZIONA Chana mwanamume anayeaminika kuwa na familia kubwa ya wake 39 na watoto 94 amefariki dunia Juni 14, 2021, huku...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Siku 7 za Maombolezo Kifo Cha Kaunda

Rais Samia  leo Juni 18, 2021 ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Siku Saba za Maombolezo

RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza siku 7 za maombolezo Kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth...

READ MORE

Kesi Ya Sabaya Yaahirishwa Arusha -Video

KESI no 27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Afiwa na Baba Yake

MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina Juni 14, 2021 amefiwa na Baba yake, Mzee Mpina Gabisi Luchemba kilichotokea...

READ MORE

Waziri Mkuu Akagua Ujenzi wa Daraja la Tanzanite

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa daraja jipya la Tanzanite (New Selander) jijini Dar es Salaam na...

READ MORE

Jela Kwa Kuua, Kumla Nyama Mama’ke

Alberto Sanchez Gomez mwenye umri wa miaka 28 alikamatwa mwaka 2019 baada ya maofisa wa Polisi kupata mabaki ya mwili...

READ MORE

NMB Yakabidhi Serikali Hundi Ya Zaidi ya Bil 21.7

Benki ya NMB imetoa gawio la Sh21.8 bilioni ikiwa ni ongezeko la asilimia 43 ya gawio la mwaka jana ambalo...

READ MORE

Kisa Manyama, Simba Yarudi Rasmi Kwa Luhende

BAADA ya kugonga mwamba kwenye usajili wa beki wa Ruvu Shooting, Charles Manyama ambaye ametua Azam FC, Kocha wa Simba,...

READ MORE

Kapombe Amvuta Simba Beki KMC

BEKI wa kulia wa KMC, Israel Patrick Mwenda, amefichua kwamba, amekuwa akivutiwa kwa kiasi kikubwa na uchezaji wa Shomari Kapombe...

READ MORE

Kilo 88 za Madawa ya Kulevya Zakamatwa Dar

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata kilo...

READ MORE

RC Shigella: Marufuku Mgambo Kukusanya Mapato

MKUU wa Mkoa wa Morogoro Martin Shigella, amepiga marufuku mgambo wa Manispaa hiyo kuhusika na operesheni yoyote ndani ya mkoa...

READ MORE

Kenneth Kaunda Afariki Dunia -Video

Rais wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo, Juni 17, 2021 akiwa na umri wa miaka 97....

READ MORE

Yanga Yaipiga Simba Bao Kwa Denis Kibu

    YANGA imefikia muafaka mzuri na Mbeya City katika kufanikisha usajili wa mshambuliaji Denis Kibu huku tetesi zikisema kuwa...

READ MORE

Nchemba Afafanua Tozo ya Laini za Simu

WAZIRI wa Fedha na Mipango,  Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa ufafanuzi wa baadhi ya tozo alizowasilisha bungeni wakati wa mapendekezo...

READ MORE

Biswalo Angoza Kwaya Kanisa Katoliki – Video

Achana na nyimbo za RC Chalamila… baadhi ya viongozi wa Serikali wamekuwa wakitia fora kwa kumtumikia Mungu kwa namna mbalimbali...

READ MORE

Kaizer Chiefs Yakubalia Kuwaachia Mastaa

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga ipo katika hatua ya mwisho ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Kaizer Chiefs, Lazarus Kambole kwa mkopo...

READ MORE

Almasi ya Tatu Kwa Ukubwa Yapatikana Botswana

ALMASI inayoaminika kuwa ya tatu kwa ukubwa kuwahi kupatikana imewekwa kwenye maonesho nchini Botswana, jiwe hilo la thamani – lenye...

READ MORE

DAWASA Yatangaza Ukosefu wa Maji Siku 2, Dar

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wa Bagamoyo hadi Kigamboni kuwa...

READ MORE

Bilionea Aliyefariki Kenya, Anamiliki Kampuni Hizi

Kifo cha mfanyabiashara mashuhuri nchini Kenya, Chris Kirubi, kilichotangazwa na familia yake Juni 14, 2021, kimeacha simanzi kwa Wakenya na...

READ MORE

Video: Watatu Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Kigoma

 Watu watatu wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na mahakama kuu kanda ya Kigoma baada ya kutiwa hatiani kutekeleza mauaji ya...

READ MORE

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda Ashiriki Mkutano wa Wadau, Atoa Tamko

WADAU wa sekta binafsi pamoja na Wizara ya Viwanda na Biashara leo wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mapitio ya Sera...

READ MORE

Exim Yakamilisha Ukarabati Vyoo Vya Shule Zanzibar

Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, Sadifa Juma akikagua moja ya chumba cha vyoo vya Shule...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Afanya Uteuzi wa Wenyeviti wanne wa Bodi

Rais Samia leo Juni 16, 2021 amefanya uteuzi wa Wenyeviti wanne wa Bodi za Wakurugenzi kama ifatavto:_ Fanya kuswipe kusoma

READ MORE

Seth Aachiwa na Mahakama ya Kisutu, Kulipa Bilioni 26.9 -Video

MFANYABIASHARA Habinder Sethi, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Juni 16, kwa sharti la kulipa Sh. 26.9...

READ MORE

Herbinder Seth Atakiwa Kutokutoka Nchini Kwa Kipindi Cha Mwaka Mmoja

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kufua Umeme (IPTL), Herbinder Seth, aameachiwa huru baada ya kutakiwa kulipa fedha TSh.Bil 26.9 kama...

READ MORE

Rekodi za Ronaldo Zatikisa

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ameendelea kuweka rekodi licha ya umri wake kuonekana kumtupa mkono baada ...

READ MORE

Wanandoa Wafariki Bafuni Afrika kusini

Wanandoa hao wapya Zaheer Sarang na Nabeelah Khan (24) wamefariki dunia kwa shoti ya umeme huko Afrika kusini ikiwa ni...

READ MORE

Mufti Mkuu wa Tanzania Atangaza Kutokuwa na Ibada ya Hijja – Video

Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Bin Zuberi leo Juni 16, 2021 ametangaza kuwa hakutakuwa na ibada ya Hijja kutokana...

READ MORE

Breaking News: Viongozi Wa Uamsho Waachiwa Huru

Viongozi wawili kati ya 36 wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed na...

READ MORE

TB Joshua Kuzikwa Kanisani Julai 11 Lagos, Nigeria

Kanisa la Mhubiri kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu TB Joshua limetangaza siku na mahali atakapozikwa. Katika taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Balozi wa Marekani Amtembelea Waziri Prof. Mkenda

Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda amemwambia Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright kuwa Wakulima wa Tanzania wanahitaji uhakika...

READ MORE

Harmo Awafutia Kesi Kajala na Paula

HATIMAYEstaa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, amefuta kesi aliyokuwa amemfungulia mpenzi wake wa zamani, Kajala Masanja pamoja na binti...

READ MORE

Rais Samia Aandaa Mkeka wa Wakuu wa Wilaya

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema atafanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya hivi karibuni na atawapa nafasi zaidi vijana...

READ MORE