×

Habari

Simba Yaifanyia Umafia Yanga, Yaondoka na Nyota Wawili

KLABU ya Simba inasemekana baada ya kufungwa na Yanga, Julai 3, 2021 imeanza kuifanyia umafia timu ya Yanga, kwa kuwasainisha...

READ MORE

Majaliwa: Tumedhamiria Kuendeleza Zao La Zabibu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 5, 2021 ametembelea Kituo cha Utafiti wa Kilimo Tanzania(TARI) katika eneo la uzalishaji miche...

READ MORE

Pacha Alivyookoa Maisha ya Mwenzake Akipumulia Mashine

Ushawahi kusikia kuwa mapacha wana nguvu kubwa sana za kiroho? Ingawa Wanasayansi bado hawajasema kitu kuhusu hilo, kuna watu wanaosema...

READ MORE

Ukatiri: Amuua Mpenzi Wake na Mtoto Kisa Elfu 80

Mkoani Geita, Mwanamume aliyemuua mpenzi wake baada ya familia kushindwa kumlipa pesa alizotumia kumtunza baada ya kuwekeana nadhiri ya ndoa...

READ MORE

Wawili Wafariki, 16 Wanusurika Hifo kwa Kula Chakula Harusini

  WATOTO wawili wamefariki dunia na wengine 15 wamenusurika kifo baada ya kula chakula ambacho kinadhaniwa kuwa na sumu katika...

READ MORE

Mbaroni kwa Kumiliki Karakana ya Silaha

JESHI la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumiliki karakana ya kutengeneza silaha za kienyeji aina...

READ MORE

Ulega Ataja Mkakati Wa Kuthaminisha Zaidi Dagaa

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega Julai 3, 2021 amesema serikali imejipanga kuhakikisha inaboresha uvuvi wa dagaa hasusan...

READ MORE

Kifo cha Mwamba Aliyeoa Wake 20 na Wasemacho Madaktari

Hija Nulu Ssemakula anayeaminika kuwa na familia kubwa ya watoto 115, wake 20 na wajukuu 300, amefariki dunia Julai Mosi...

READ MORE

Aliyejijengea Kaburi la Bilioni 1 Afariki

MGANGA wa jadi, Dk. Anthony Mwandulami, mkazi wa Kijiji cha Wangama, Kata ya Mtwango wilayani Njombe mkoani Njombe, aliyekuwa anajijengea...

READ MORE

TIGO na Infinix Waja na Infinix HOT 10i

Kampuni namba moja ya huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo pamoja na Kampuni ya Simu za mkononi Infinix  wametambulisha simu...

READ MORE

Makamu wa Rais Atoa Maagizo 8 Sabasaba

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango ameagiza Wizara za Viwanda na biashara Bara...

READ MORE

Dkt. Mpango Aipongeza Global Publishers

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ameipongeza Kampuni ya Global Publishers & Enterprises Ltd wachapishaji wa magazeti ya...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 5, 2021 amemteua Bi Fatma Ayoub Mwinyimvua Simba kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti...

READ MORE

Baba Mbaroni kwa Tuhuma za Kumbaka Mwanaye

JESHI la Polisi wilayani Geita linamshikilia Vicent Said (27) mkazi wa Kata ya Magenge kwa tuhuma za kumbaka mwanaye wa...

READ MORE

Mazishi ya TB Joshua Kuanza Leo

Tukio la kuwasha mishumaa linalotarajiwa kufanyika leo (Jumatatu) litaanzisha rasmi utararibu wa mazishi ya aliyekuwa muhubiri mashuhuri wa Nigeria na...

READ MORE

Wanaodai Katiba Mpya Walikimbia Bunge la Katiba

MBUNGE wa Ngega Vijijini, Dkt. Hamisi ameamua kuvunja ukimya na kufunguka kuhusu baadhi ya wanasiasa wanaodai mchakato wa katiba mpya...

READ MORE

Bilionea Jeff Bezos Ang’atuka Amazon

BILIONEA namba mbili duniani, mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos on leo Jumatatu, Julai 5, 2021, atakabidhi...

READ MORE

Injinia Mfugale kuzikwa leo

Maziko ya aliyekuwa Mkuu wa TANROADS (WAKALA WA BARABARA TANZANIA), Mhandisi Patrick Mfugale yatafanyika leo Julai 5, 2021 nyumbani kwao...

READ MORE

Aliyemsifia Mama Yake Kuliko Mkewe Afunguka

Kutoka mitandaoni kuna ‘video clip’ ili-trend ikimuonesha Michael Jackson akimsifia mama yake mzazi kwenye harusi kuliko mkewe ambapo baadhi ya...

READ MORE

Zuma Agoma Kwenda Jela: Sijisalimishi Ng’o

Rais wa zamani wa Afrika Kusini aliyeagizwa kujisalimisha mwenyewe kwa polisi ili kuanza kifungo cha miezi 15 jela kwa kupuuza...

READ MORE

Mzee Aliyejichimbia Kaburi Sasa Kajinunulia Jeneza

MWANAUME mwenye umri wa miaka 74 kutoka Maragua, Kaunti ya Murang’a, nchini Kenya ambaye alitamba mitandaoni baada ya kujichimbia kaburi...

READ MORE

Kiwanda cha Chanjo ya Corona Kutengenezwa Nchini

SERIKALI imeanza mchakato wa kutengeneza chanjo ya Virusi vya Corona hapa nchini ili kupunguza gharama ya kuagiza nje ya nchi...

READ MORE

Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajiliwa Kupitia Mfumo Wa Digitali

  Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema wizara imefanikiwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu utambuzi wa...

READ MORE

Mfumo wa BOLT Ulivyowanufaisha Watanzania

  “Nafurahia zaidi uhuru ninaopata kufanyakazi kupitia mfumo wa Bolt. Nina uhuru wa kufanya kazi masaa ninayotaka na wakati ninaotaka....

READ MORE

NMB Yawa ya Kwanza Kutekeleza Rasmi Mpango wa Ushirika Afya

  Benki ya NMB imekuwa taasisi ya kwanza kutekeleza rasmi mpango wa bima ya afya kwa wakulima nchini baada ya...

READ MORE

Wafuasi wa Rais Zuma Wazingira Nyumbani Kwake Asikamatwe

WAFUASI wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma wametengeneza kile wanachokiita ‘ngao ya binadamu’ nje ya nyumba yake...

READ MORE

Serikali kuifanyia marekebisho ya Vyama vya Ushirika

Na Mwandishi wetu Serikali inafanya marekebisho ya sheria ya vyama vya ushirika nchini ili kuhakikisha kuwa mali na shughuli zote...

READ MORE

TIGO na SAMSUNG Waja Kivingine Sabasaba Hii

    JULAI 5, 2021 Kampuni namba moja ya Huduma za Kidigitali hapa nchini Tigo kwa kushirikiana na wabia wake...

READ MORE

IFC Yataja Mkurugenzi Wa Mawasiliano Vodacom Kinara Sekta ya Huduma za Kifedha

Taasisi ya kifedha IFC imemtaja Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia kuwa ni miongoni mwa wanawake...

READ MORE

Mwanaume Amuua Mpenzi Wake Akidai Pesa Alizomhonga

Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake aitwaye...

READ MORE

Waziri Wa Mambo Ya Nje Atembelea Banda La Wizara Ya Madini Sabasaba

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo Julai 4, 2021 ametembelea banda la...

READ MORE

Rais Samia Atua Dodoma Akitokea Dar – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Julai 4, 2021 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Mbunge wa CCM Singida Atoa Bima za Afya Kwa Wanawake 400

MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi  (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Gwau ametoa bima za afya kwa wanawake...

READ MORE

Huawei yasaini makubaliano na Jumuiya ya Umoja wa Mawasiliano Afrika

  NA MWANDISHI WETU Jumuiya ya Mawasilianoya Afrika (ATU) imetia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni kubwa ya teknolojia...

READ MORE

Kocha Simba Abadili Watatu, Nabi Sita

MBALI na Benchi la Ufundi la Yanga katika mchezo wa jana dhidi ya Simba kuwa na mabadiliko, pia upande wa...

READ MORE

Balozi Sokoine: Wafanyabiashara Tumieni Balozi Za Tanzania

Wafanyabiashara nchini wanaofanya biashara nje ya nchi wameshauriwa kuwasiliana na balozi za Tanzania ili kupata taarifa sahihi kuhusu fursa za...

READ MORE

Rais Samia Atua Uwanja wa Mkapa – Simba vs Yanga

Rais Samia leo Julai 3, 2021 mefika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa Simba dhidi ya Yanga. Rais Samia aliwasili...

READ MORE

Championi Gazeti Lagawa Jezi za Simba/Yanga Kwa Wasomaji Wake

  Mapema leo Timu ya Maofisa Masoko wametembelea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa...

READ MORE

Gari Linalopaa Lakamilika

DUNIA inakwenda kasi sana na kama huamini, sikia hii; gari-ndege ni gari lenye uwezo wa kupaa angani ambalo linakaribia kuzinduliwa...

READ MORE

Viongozi wa Afrika Waungana Kumuaga Kaunda

VIONGOZI wa Afrika Julai 2, wamejumuika  na wananchi wa Zambia katika ibada ya mazishi ya kitaifa ya aliyekuwa rais wa...

READ MORE