×

Habari

A-z Nandy Kudaiwa Mil. 260

MWANAMUZIKI Bora wa Kike wa Tanzania, Faustina Charles Mfinanga au Nandy, ameingia matatani baada ya kufunguliwa kesi ya madai katika...

READ MORE

Manispaa Ya Kigamboni Yakabidhiwa Mradi wa Viwanja

  Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Dar es Salaam...

READ MORE

Mahakama Yatupilia Mbali Maombi ya Kusimamisha Mchakato wa Uchaguzi wa TFF

Maombi ya kuzuia mchakato wa Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuendelea ikiwemo maandalizi na...

READ MORE

Kesi ya Sabaya Yaahirishwa

KESI ya unyang’anyi kwa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole Sabaya pamoja na wenzake wawili,imeahirishwa...

READ MORE

Rais Samia: Taifa Limepoteza Mhandisi Mzalendo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyekuwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale kuwa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kuaga Mwili wa Mhandisi Mfugale-Picha

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameongoza waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa  aliyekuwa mtendaji mkuu wa Wakala wa...

READ MORE

IFC Yataja Mkurugenzi wa Mawasiliano Vodacom Kinara Sekta ya Huduma za Kifedha

Taasisi ya kifedha IFC imemtaja Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia kuwa ni miongoni mwa wanawake...

READ MORE

Makato Kodi ya Miamala Kuanza Baada ya Siku 14

WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema fedha zitakazopatikana kwenye tozo ya miamala ya simu na...

READ MORE

Kesi ya Sabaya Kusikilizwa Leo

KESI za aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya (34) na walinzi wake watano, ambao...

READ MORE

Kocha Simba: Yanga wanakufa mechi zote

KOCHA wa viungo wa Simba, Adel Zrane amesema kuwa, ana uhakika kikosi chao kitapata matokeo ya ushindi katika michezo yote...

READ MORE

St. Marcus Schools Ilivyojipanga Kutoa Elimu Bora Tanzania

Miongoni mwa shule zinazofanya vizuri katika kutoa elimu bora na kuwaandaa wanafunzi katika kiwango cha juu kabisa, ni Shule za...

READ MORE

Breaking: Mahakama Kuu Yawaita TFF Mahakamani Kujieleza Mchakato wa Uchaguzi

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Julai 1, 2021 imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa TFF...

READ MORE

Rais Samia Apokea Taarifa ya Ukaguzi wa BOT na Sensa

Rais Samia leo 01 Julai, 2021 Jijini Dodoma amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

READ MORE

Dkt. Ndugulile: Tutafuta Tozo Zote Kandamizi Katika Tehama

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amesema watafuta Tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana Vijana kujiajiri kwa...

READ MORE

Mfugale Kuzikwa Jumatatu Ifunda, Iringa

Mwili wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, aliyefariki dunia Juni 29, 2021 katika Hospitali...

READ MORE

Siri za Serikali Zisiende Mitandaoni-Majaliwa

WAZIRI  MKUU wa Tanzania,  Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa yote nchini kuhakikisha siri za...

READ MORE

Zaidi ya Watu 100 Wafariki kwa Joto Kali

WATU zaidi ya 100 wamekufa kutokana na kile kinachoelezwa kutokea hali ya ongezeko la kiwango cha joto katika kipindi hiki...

READ MORE

Ewura Yatangaza Bei Mpya Za Mafuta Nchini

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza ongezeko la bei za mafuta zitakazoanza Julai 1, 2021...

READ MORE

Kitila Mkumbo, Afanya Uteuzi wa Wajumbe 10 wa TBS

  Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo, amefanya uteuzi wa wajumbe 10 wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Katibu Mtendaji wa wa AfCTA – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya na  Wamkele Mene  amabye ni Katibu Mtendaji...

READ MORE

Majaliwa: Chukueni Tahadhari ya Corona

SERIKALI imeendelea kuwasisitiza Wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona, ambao tayari wimbi la tatu la ugonjwa huo limeingia...

READ MORE

Breaking: Basi La Abiria Laacha Njia Na Kugonga Nyumba

Basi la Ulamaa lenye namba za usajili T330 DGB lililokuwa likitokea jijini Mwanza kuelekea Arusha, limepata ajali alfajiri ya leo...

READ MORE

Fiston: Nipo Fiti Kuwamaliza Simba

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Abdoul Razack, amesema kuwa amejianda vema kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba na yupo fiti kuwamaliza....

READ MORE

Jafo: Kumbi za Starehe Zisizidishe Sauti

SERIKALI imewaelekeza  wamiliki wa maeneo ya burudani na starehe kuzingatia matumizi ya vipima kelele na vizuia sauti kama inavyoelekezwa kwenye...

READ MORE

Rais Samia Amlilia Mhandisi Mfugale-Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Mhandisi Patrick Mfugale...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Maonesho Ya 45 Ya Sabasaba

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Kitila Mkumbo (Mb) amekagua maandalizi ya maonesho ya 45 ya Sabasaba yaliyoanza rasmi tarehe...

READ MORE

IMF Yakubali Kuisaidia Tanzania Kupambana Na Corona

Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 29, 2021 amekutana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa Shirika la Fedha Duniani...

READ MORE

IGP Sirro Afanya Mabadiliko ya Makamanda

MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko madogo kwa kuwahamisha na kuwapangia kazi makamanda wa polisi watatu...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 29, amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano kuanzia 2021/22...

READ MORE

Serikali Yaagiza Wamiliki wa Kumbi za Burudani Kuzingatia Sheria

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe...

READ MORE

Wabadilishana Wake Zao Kumaliza Skendo ya Uzinzi Vichakani

WANAUME wawili kutoka Uganda wameamua kubadilishana wake zao ili kumaliza sakata ya uzinzi kwa amani, hii ni baada ya mmoja wao...

READ MORE

Patrick Mfugale Afariki Dunia

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale, amefariki dunia leo Juni 29, 2021 katika Hospitali ya...

READ MORE

Mmiliki wa Gari Lililosababisha Vifo Moro Ajisalimisha Polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,  Fotunatus Muslimu amesema mmiliki wa gari lililosababisha vifo vya watu tisa eneo la Nanenane ...

READ MORE

Rais Samia Afungua Kikao cha NEC Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Juni 29, 2021 amefungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Mpango Wa Tatu Wa Maendeleo (Picha +Video)

WAZIRI MKUU amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/2022–2025/2026 utakaogharimu shilingi trilioni 114.8, ambapo sekta...

READ MORE

Breaking: Jacob Zuma Ahukumiwa Kifungo Cha Miezi 15 Jela

Mahakama ya Kikatiba nchini Afrika Kusini leo Juni 29, 2021 imemuhukumu Rais Mstaafu Jacob Zuma kifungo cha miezi 15, kwa...

READ MORE

Mageuzi Makubwa Kufanyika Wizara ya Maji

WIZARA ya Maji imesema inafanya mageuzi makubwa kwenye suala la maji na kwamba inataka kujua idadi ya vijiji vyote vilivyopo...

READ MORE

Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Kukutana Dodoma

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma kuwa Jumanne tarehe 29 Juni 2021 kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kitafanyika...

READ MORE

Gomes Anogewa na Lwanga, Mzamiru

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amefunguka kuwa siri kubwa ya ubora kikosi chake katika kuchezea mpira inatokana na balansi...

READ MORE

Baraza la Taifa la Mashirika  yasiyo ya kiserikali Latangaza Ratiba Ya Uchaguzi Mkuu

  BARAZA la Taifa la Mashirika  yasiyo ya kiserikali (NaCoNGO) linatarajia  kufanyaka uchaguzi wake  kitaifa Julai 8, Mwaka huu jijini Dodoma kuweza kupata  safu  mpya...

READ MORE