×

Habari

Watu 15 Wafariki Kwenye Mlipuko wa Volkano

TAKRIBANI watu 15 wamethibitishwa kufariki kutokana mlipuko wa volkano uliotokea katika Mlima wa Nyiragongo, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

READ MORE

Zaidi ya Bil 5 Zatengwa Kuboresha Maisha Ya Vijana Waendesha Bodaboada

  Zaidi ya vijana 200 wa Jiji la Dodoma wanaojishughulisha na usafishaji wa abiria kwa bodaboda na pikipiki za miguu...

READ MORE

Wauzaji na Wasambaji Nyavu Haramu Kikaangoni

SERIKALI imepanga kuweka utaratibu wa kutambua hatua mbalimbali za upatikanaji wa nyavu za uvuvi tangu kutengenezwa kwake hadi kusambazwa na...

READ MORE

Vifo 120 Majeruhi 332 Ajali za Barabarani

KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi,Wilbrod Mutafungwa ametoa taarifa ya hali ya Usalama Barabarani nchini....

READ MORE

SHAKA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA IDARA YA ITIKADI NA UENEZI

  Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Itikadi na Uenezi ndg Shaka Hamdu Shaka amebidhiwa ofisi ya Idara ya Itikadi...

READ MORE

Jafo Asisitiza Utunzaji wa Mazingira Mkoani Arusha

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo ametoa msisitizo katika suala la usafi na...

READ MORE

Muda wa Kutuma Maombi ya Ajira Waongezwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu, ametangaza kuongeza muda wa kutuma maombi ya ajira zilizotangazwa na Wizara....

READ MORE

Naibu Waziri Ulega na Shigongo Wazindua Ushirika wa Wavuvi

NAIBU Waziri wa Uvuvi,  Abdallah Ulega akiwa na Mbunge wa Jimbo la Buchosa,  Eric Shigongo pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri...

READ MORE

Serikali Yatoa Maagizo Kwa Wamiliki Viwanda Vya Chuma Nchini

Serikali imewaagiza wamiliki wa viwanda vya chuma nchini kukaa kikao cha pamoja kwa ajili ya kujadili na kukubaliana kuhusu teknolojia...

READ MORE

Ujenzi wa Bwawa JNHPP Wafikia Asilimia 51.5

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa, utekelezaji wa mradi mkubwa wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere...

READ MORE

Mahafali Mtandao Ya Wanafunzi 667 Wa Aku Kutoka Mabara Matatu Yafana

Mahafali ya kwanza ya kimtandao kwa wanafunzi 667 kutoka mabara matatu ya Afrika, Asia na Ulaya waliokuwa wanasoma Chuo Kikuu...

READ MORE

Mashabiki wa Simba/Kaizer Chiefs Ya Afrika Kusini Wadaka Tiketi za Bure

    KAMPUNI ya Global Group kupitia gazeti namba moja la michezo Tanzania, Championi limetoa zawadi za tiketi kwa wateja...

READ MORE

Mfahamu Kiongozi wa Hamas Anyepngoza Mapigano ya Israel

  KIONGOZI maarufu wa kikundi cha wapiganaji wa Kipalestina Hamas, Yahya Sinwar, amekuwa na nyadhifa za ngazi ya juu za...

READ MORE

Rais Samia Awateua Hoyce Temu, Togolani Mavura Kuwa Mabalozi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa mabolozi 23 ambao umeanza leo Mei 22,...

READ MORE

Jela Miaka 30 kwa Kubaka Mtoto Wake

MKAZI wa Kijiji cha Buchanchari wilayani hapa, Chegera Mayemba amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mtoto...

READ MORE

Jackline Asisitiza ‘Mzee Mengi Hakuwa Mwendawazimu’

MJANE wa Marehemu Reginald Mengi, Jackline Ntuyabaliwe ameonesha kutorodhika na uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuhusu wasimamizi wa mirathi...

READ MORE

Zanzibar Yapokea Vifaa vya Corona

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yapokea msaada wa vifaa vya haraka vya kupimia COVID 19 aina ya Rapid Test, vyenye...

READ MORE

MC Yamkuta Ukumbini Alipogundua EX Wake Ndo Bibi Harusi

KISANGA kimezuka katika harusi eneo la Mwatate, Taita Taveta nchini Kenya baada ya jamaa aliyekuwa akisherehesha sherehe ya harusi hiyo...

READ MORE

Kocha Simba: Tufanya Maajabu – Video

KUELEKEA mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa leo Jumamosi, kocha Mkuu wa kikosi cha klabu ya Simba, Didier...

READ MORE

Brigedia Jenerali Mbungo Akabidhi Ofisi ya Takukuru

ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  (TAKUKURU) Brigedia Jenerali John Julius Mbungo, jana Ijumaa Mei...

READ MORE

SBL yaendelea kuwaimarisha wanafunzi wa Kilimo kupitia elimu kwa vitendo.

Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imeendelea kutoa mchango wake katika kusaidia kuimarisha sekta ya kilimo nchini kwa...

READ MORE

NBC Yakutanisha Viongozi Wa Vyama Vya Ushirika Tabora

Benki ya NBC kupitia huduma yake ya #NBCShambani inayowalenga wateja wanaojishughulisha na kilimo imeongoza semina ya mafunzo kwa viongozi wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Akabidhi Magari 184 kwa Maofisa Elimu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 21, 2021 amekabidhi jumla ya magari 184 kwa maafisa elimu wa Halmashauri ikiwa ni...

READ MORE

Ishu ya PF3, Serikali Yatoa Maelekezo Haya

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Prof. Abel Makubi amesema ishu ya Fomu ya...

READ MORE

Suala la ‘Single Mothers’ Latua Bungeni

SERIKALI imesema kuwa katika kutambua wanawake wanaobebeshwa mimba na kuachwa bila matunzo, imeandaa sheria ya mtoto inayotoa maelekezo kwa wazazi...

READ MORE

Israel na Palestina Wasitisha Mapigano

Mashambulizi baina ya Israel na Palestina yamesimamishwa, baada ya siku 11 za ghasia kati ya pande hizo mbili. Israeli imeukubali...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi

Rais Samia leo Mei 21, 2021 amekutana na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Burundi, Balozi Ezechiel Nibigira...

READ MORE

Mafunzo ya Ujasiriamali Buchosa Yazidi Kuwainua Wananchi

MAFUNZO ya ujasiriamali yanaendelea Jimbo la Buchosa ambapo ambapo hii ilikuwa zamu ya wananchi wa Kata ya Nyakasungwa ambao wamejifunza...

READ MORE

Mchepuko Aua Mme wa Mtu Kisa Wivu wa Mapenzi

Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia Bw. Alfred Nombo (28) kwa kosa la kuumuwa Bw. Erasto Nchimbi (28) mkazi wa...

READ MORE

Meya, DED Kinondoni Wamaliza Mgogoro

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam,  Amos Makalla amemaliza sintofahamu ya uongozi wa manispaa ilijitokeza kati ya meya manispaa...

READ MORE

Zanzibar Yajiandaa Kutoa Chanjo ya Covid-19

Rais wa Zanzibar Dr. Hussein Mwinyi amesema kwa sasa Zanzibar inaandaa utaratibu wa kuwawezesha Mahujaji kupata chanjo ya COVID-19 ili...

READ MORE

Mbunge Khatibu Azikwa Pemba

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amewasihi Ndugu wa Marehemu Khatib Said Haji (Mbunge wa Konde)...

READ MORE

Wadau wa Elimu Watoa Maoni Yao Juu Ya Elimu Waitakayo

BAADHI ya wadau wa elimu walioshiriki mkutano wa kimataifa wa elimu Bora ulioandaliwa na Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), wametoa maoni...

READ MORE

Mkazi wa Chamwino Asepa na Ndinga Aina ya TATA Ace

  Hadija Iddi mkazi wa Chamwino mkoani Dodoma amekuwa mshindi wa kwanza kuzawadiwa gari aina ya TATA Ace maarufu kama...

READ MORE

Roma, Stamina Wakabidhi Ventilator, Mashuka Hospitali Morogoro – Video

MOJA Stori zilizogusa mioyo ya Watanzania leo Alhamisi, Mei 20, 2021 ni kuhusu wasanii wa kizazi kipya (bongo fleva) Roma...

READ MORE

Alikiba Amuita Mondi ‘Sadala’ Amjibu Ishu ya Utajiri Wake- Video

IKIWA ani siku chache baada ya Msanii Diamond Platnumz kuwafokea Forbes kuwa utajiri wake waliouandika kwenye jarida lao si halisi...

READ MORE

Kasesela: Sijazindua kiwanda cha Kutengeneza ‘Sehemu za Siri’

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amekanusha taarifa za yeye kuzindua kiwanda cha kutengeneza sehemu za siri za mfano....

READ MORE

Majaliwa: Magazeti Manne tu Yaliyofungiwa

WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi sasa Magazeti ambayo yamefungiwa kisheria Nchini Tanzania ni...

READ MORE

Rais Samia Atoa Salamu za Pole kwa Spika Ndugai

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Wabunge na Bunge kufuatia kifo cha mbunge wa Jimbo la Konde,...

READ MORE