×

Habari

Waganga wa Jadi Wajenga Madarasa

WAGANGA 87 wa tiba asilia wamefanikiwa kujenga vyumba viwili vya madarasa kwa kutumia fedha zao za uganga, katika Shule ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atua Morocco Kwa Ziara Ya Kikazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi. Katika uwanja wa Mohammed V jijini...

READ MORE

Mtaka: Msiwasikilize Sababu ya Uwaziri, Wanakula Viyoyozi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthon Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kumsikiliza yeye katika suala la elimu kwa...

READ MORE

Global Publishers Yapokea Tuzo Sabasaba 2021

Kampuni ya Global Publishers Ltd leo Julai 13, 2021 imepokea Tuzo ya Heshima kwa kudhamini maonesho ya Kimataifa ya Biashara...

READ MORE

Makamu wa Rais Zanzibar Afunga Maonyesho ya Sabasaba – Video

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdullah leo Julai 13, 2021, amefunga rasmi maonyesho ya Sabasaba...

READ MORE

Kampuni ya Mafuta Yazuiwa Kuchukua Pesa Kwenye Benki

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imezuia kwa muda Kampuni ya Alchemist Energy Trading DMCC ya Dubai...

READ MORE

Wagonjwa 50 wa Corona Wafariki kwa Moto

Zaidi ya watu 50 wamekufa baada ya moto kuzuka katika wodi ya wagonjwa wa Corona katika hospitali nchini Iraq. Moto katika...

READ MORE

Zanzibar Yaanza Kutoa Chanjo ya Corona

Wahudumu wa afya visiwani Zanzibar wameanza kupokea dozi ya kwanza ya chanjo ya covid-19. Serikali ya Zanzibar imethibitisha kuwa dozi...

READ MORE

Uporaji, Machafuko Yaendelea Afrika Kusini

Maandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha na Jumatatu asubuhi juu ya kufungwa jela kwa rais wa zamani...

READ MORE

Mke wa Rais wa Ghana Kurejesha Mkwanja wa Marupurupu

MKE wa rais wa Ghana anataka kurejesha fedha za marupurupu anayopatiwa tangu rais aingie madarakani mwaka 2017, baada ya wananchi...

READ MORE

Ndege ya Uganda Yaishiwa Mafuta Dar

ABIRIA wanaokwenda Uganda kwa kutumia ndege ya Shirika la Uganda Airlines walichelewa kuondoka jana jioni katika uwanja wa ndege wa...

READ MORE

Amnyonga Mwanaye Kisa Fedha za Corona

Raia mmoja katika Wilaya ya Kalaki nchini Uganda (35), anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumnyonga hadi kufa...

READ MORE

Raia Alieutaka Urais Akamatwa kwa Mauaji ya Rais Haiti

Polisi nchini Haiti wanasema wamemkamata daktari ambaye wanaamini ni mshukiwa mkubwa katika kupanga mauaji ya wiki iliyopita ya Rais Jovenel...

READ MORE

Shinyanga Yakanusha Kuzidiwa na Wagonjwa wa Corona

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati, amekanusha uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa mkoa huo ume zidiwa...

READ MORE

Amwagiwa Tindikali na Mwanaume Aliyemkataa

KABLA ya mkasa huu mzito, mwanadada Pramodini Roul ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 28, alikuwa mmoja wa mabinti...

READ MORE

Maelfu Wamiminika Kumuona Ng’ombe Mfupi Zaidi Duniani

WATU wamekuwa wakifika kwa wingi katika shamba moja la mifugo huko Bangladesh kumuona kiumbe maarufu ng’ombe mbilikimo kwa jina Rani....

READ MORE

Tabora: Awachinja Watoto na Kuwazika Ndani, Aiba Ng’ombe

Kijana mmoja anatuhumiwa kuua Watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 12 ambao aliwarubuni na kuchukua ng’ombe walizokuwa wakichunga....

READ MORE

Boris Alaani Ubaguzi wa Rangi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelaani ubaguzi wa rangi uliojitokeza katika mitandao ya kijamii dhidi ya wachezaji wa England...

READ MORE

Wizara Zakutana Kujadili Utekelezaji wa Kikokotoo cha Mirahaba Kwa wasanii

  Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt .Faustine Ndugulile MB, pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...

READ MORE

Mwanamke Akutwa Mtupu , Ameuawa Shinyanga Mjini

MWANAMKE Lucia Michael maarufu Mama Kulwa, mkazi wa Majengo Manispaa ya Shinyanga, amekutwa ameuwa na watu wasiojulikana, na mwili wake...

READ MORE

Nyoka Azua Gumzo Akitoa Heshima za Mwisho Kaburi la Marehemu

Wakazi wa kijiji cha Kampi Samaki katika Kaunti ya Baringo nchini Kenya wamepata mshangao baada ya kushuhudia nyoka mkubwa akitoa...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya mtandao na Rais wa Baraza...

READ MORE

Waziri Mkuu wa Uingereza Alaani Ubaguzi wa Rangi

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amelaani ubaguzi wa rangi uliojitokeza katika mitandao ya kijamii dhidi ya wachezaji wa England...

READ MORE

Wafanyabishara watatu Dar Wadakwa na Dawa za Kulevya

  Wafanyabishara watatu wa jijini Dar es Salaa wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka moja la...

READ MORE

Mwalimu Mbaroni kwa Tuhuma za Kumpa Ujauzito Mlemavu wa Akili

POLISI Mkoa wa Kusini Pemba, imethibitisha kumshikilia mwalimu mstaafu Mohamed Kassim (60), kwa tuhuma za kumpatia ujauzito mtoto mwenye ulemavu...

READ MORE

Radi Yaua Watu 11 Wakijipiga Selfie

WATU takribani 11 wamefariki dunia hapo jana Kaskazini mwa nchi ya India baada ya kupigwa na radi wakati wakijipiga picha...

READ MORE

Maandalizi ya Sensa 2022 Yaanza

Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk Albina Chuwa amesema maandalizi ya sensa ya sita nchini yanaendelea kama ilivyopangwa. Dk Chuwa ameyasema...

READ MORE

Ifahamu Historia ya Soko la Kariakoo

Soko Kuu la Kariakoo lipo katika kiwanja namba 32 mtaani Kariakoo, katikati ya makutano ya mtaa wa Mkunguni na mtaa...

READ MORE

Fahamu Uwezo wa Betri ya Simu ya Infinix HOT 10i

    KAMPUNI ya simu Infinix yazindua rasmi simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa zaidi ya masaa 72...

READ MORE

Serikali Yatangaza Operesheni Punguza Mahabusu

Jeshi la Magereza Serikali imeanzisha Operesheni Maalumu ijulikanayo kwa jina la ‘Operesheni Punguza Mahabusu’ kwa lengo la kukabiliana wingi wa...

READ MORE

Dk. Diallo Aomba Radhi Kauli Yake Tata

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mwanza, Dk. Anthony Diallo ameomba radhi ‘kiaina’ baada ya kauli yake kuzua...

READ MORE

Balaa la Bomoabomoa Mpya Kutikisa Dar

Baadhi ya wakazi wa Kimara watakumbana na bomoabomoa nyingine baada ya Wakala wa Barabara nchini (Tanroads) mkoa wa Dar es...

READ MORE

CCBRT Yaishukuru Tigo Kuwachangia Milioni 22 Kuwatibia Watoto Wenye Miguu Vifundo

    Taasisi ya matibabu ya CCBRT, leo imeishukuru Kampuni ya mawasiliano ya Tigo kwa kuendelea kuwachangia fedha za matibabu...

READ MORE

Simba Yaikalisha Coastal Union, Yatangaza Ubingwa

MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba, imefanikiwa kutetea ubingwa wa ligi hiyo, baada ya kuitungua Coastal Union ya...

READ MORE

Vinara Matokeo Kidato cha Sita Baobab Wamkuna Mwalimu Wao

  SHULE ya Sekondari Baobab ya Mapinga Bagamoyo imefanikiwa kufaulisha wanafunzi wote kwenda vyuo vikuu mbalimbali ndani na kufanikiwa kutoa...

READ MORE

Gesi Yazuia Wafanyabiashara Kuendelea na Shughuli Zao KariaKoo

KAMISHNA Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga amesema kutokana na ukubwa wa eneo lililoungua bado kutaendelea kuwa...

READ MORE

Video: Global Movies – Kidude

 KIDUDE katoka jela, kaleta balaa mtaani, kilichomkuta MUNGU anajua…… Full MOVIE on Global TV OUT NOW….. #Global Movie

READ MORE

Waziri Jafo: Wananchi Fanyeni Kilimo Endelevu Kulinda Mazingira

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo amewataka wananchi kutumia ardhi kufanya...

READ MORE

Breaking: Rais Samia Atoa Pole Kwa Wafanyabiasha wa Soko la Kariakoo

RAIS Samia leo Julai 11, 2021 ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makala na Wafanyabiasha wa Soko...

READ MORE

Waziri Mkuu Atoa Siku 7 Uchunguzi wa Moto Kariakoo (Picha +Video)

WAZIRI Mkuu Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la...

READ MORE