×

Habari

Spika Ndugai: Waziri Mwambe Ana Majibu ya Hovyo, ni Jeuri

  Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea malalamiko kutoka kwa wabunge kuhusu majibu aliyoyaita ya kifedhuli yanayotolewa na Waziri...

READ MORE

Mradi wa Umeme Stigler’s Unatumia Upembuzi wa Mwaka 1970

  Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limeshindwa kuhuisha vipengele vyote vya upembuzi yakinifu uliofanyika awali katika ujenzi wa mradi wa...

READ MORE

CAG: Kigwangalla Kill Challenge Mil 172 Hazikuwa Kwenye Bajeti

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonyesha Waziri ya Maliasili na Utalii aliziagiza Hifadhi za...

READ MORE

CAG: Stendi ya Magufuli Itasababisha Foleni Morogoro Road

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema ujenzi wa kituo cha mabasi cha Magufuli kilichopo...

READ MORE

CAG: Akaunti ya Jeshi la Zimamoto Imepitisha Mili 261 Batili

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa akaunti ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ilitumika...

READ MORE

CAG: Wafanyakazi 1,538 SGR Hawana Vibali

  Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya miradi ya maendeleo inaeleza kuwa wafanyakazi wa kigeni...

READ MORE

Ndugai: Wabunge Muishauri Serikali, Inunue Ndege, Isitishe

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee...

READ MORE

CAG: Wizara ya Maliasili Iliilipa Wasafi Mil 140 Bila Mkataba

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii...

READ MORE

Mtoto Amuua Mwenzake Kwa Risasi

Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 17, mkazi wa Viwege, Pugu jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na jeshi la polisi...

READ MORE

Ripoti ya CAG Yatua Bungeni

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imewasili bungeni jijini Dodoma leo na Spika wa Bunge, Job...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Atembelea Kitalu cha Uwindaji cha Lake Natron East

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea Kitalu cha Uwindaji wa Kitalii cha Lake Natron East kilichopo Wilayani...

READ MORE

‘Jitu la Kutisha’ Lapata Dili Nono Hollywood

    JAMAA anaitwa Rico “Orc” Ledesma (41) jamaa wa nchini Brazil ambaye alibadili moja kwa moja mwili wake kuwa...

READ MORE

IGP Sirro Aagiza Operesheni Dawa za Kulevya

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Dar es...

READ MORE

Majaliwa: Asanteni Watanzania kwa Uzalendo na Mshikamano

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewashukuru Watanzania wote kwa kuonesha mshikamano na uzalendo wa hali ya juu wakati wa kutangazwa na...

READ MORE

Live: Mawaziri Wawekwa Kikaangoni, Maswali na Majibu Bungeni

NI mkutano wa 3 wa Bunge la 12, kikao cha tano, umefanyika leo Aprili 08, ukiongozwa na Naibu Spika wa...

READ MORE

Rais Ramaphosa Amteua ‘Mo’ Kuwa Mshauri wa Uchumi

RAIS wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amemteua mfanyabiashara kijana nchini, Mohamed Dewji (Mo) kuwa kwenye jopo lake la watu watano...

READ MORE

NMB Yashiriki Kukamilisha Ndoto za Wanafunzi Kanda ya Kaskazini

Wanafunzi katika Shule za Sekondari imani yao kubwa katika kufaulu na kuhudhuria madarasa kwa furaha ni namna ambavyo Mwalimu anatoa...

READ MORE

Nmb Yawagusa Walimu Wakuu Shule za Msingi/Sekondari

Baadhi ya Walimu Wakuu katika Shule za Sekondari na Msingi Kanda ya Kaskazini wamevutiwa na utaratibu wa misaada wanaopata kutoka...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Dua Kumuombea Hayati Rais Karume

Rais Samia Suluhu Hassan leo ameshiriki Hitima ya kumbukumbu ya miaka 49 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Kwanza wa...

READ MORE

Wananchi Mamkataa Mwekezaji Mbele ya Waziri

  WANANCHI wa vijiji 23 vilivyopo kwenye Kitalu cha Uwindaji (Lake Natron East) wilayani Longido mkoani Arusha wamemkataa mwekezaji wa...

READ MORE

Tanzia: Diwani wa Mbagala Kuu Afariki Dunia

DIWANI wa Mbagala Kuu Shabani. Othman Abubakari (CCM), amefariki dunia katika moja ya nyumba ya kulala wageni iliyoyopo Mbagala Zakhem...

READ MORE

Jafo: Vibali Biashara Vyuma Chakavu Vitolewe kwa Miaka Mitatu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Suleiman Jafo ametoa agizo kuwa vibali vyote vya ukusanyaji,...

READ MORE

UFAFANUZI: Televisheni za Mtandaoni Tu Ndio Zifunguliwe

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Aprili 7, 2021 ametoa...

READ MORE

Watu 15 Wamefariki Kwenye Ajali ya Gari

Watu wapatao 15 wamefariki katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Mombasa-Malindi nchini Kenya.   Watu wengine ishirini wamejeruiwa katika...

READ MORE

Jeff Bezos Aibuka Tena Kuwa Tajiri Zaidi Duniani

Jeff Bezos ametajwa kuwa mtu tajiri zaidi kwa miaka minne mfululizo, akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 177...

READ MORE

Kifo cha Utata! Mtoto Azikwa, Afukuliwa, Jirani Asimulia – Video

GLOBAL TV imeendelea kufuatilia tukio la mtoto wa miaka (9) aliyefariki dunia na baadaye mwili wake kufukuliwa, baada ya mama...

READ MORE

Wawa Apewa Mwaka Mmoja Simba

BEKI wa kati wa Simba raia ya Ivory Coast, Pascal Wawa, ameandaliwa mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo....

READ MORE

Ukiacha Pombe Mezani Ukaenda Kujisaidia Umekwisha

JESHI la Polisi Mkoa wa Njombe limekamata magari matano ya wizi yaliyoibiwa katika sehemu mbalimbali hapa nchini, huku watu wawili...

READ MORE

Live: Kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa Karume Day

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Suluhu Samia ameungana na viongozi wengine pamoja na wananchi mbalimbali katika maadhimisho...

READ MORE

Aggrey Mwanri Alivyogeukia Uchungaji – Video

Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri kwa sasa amekuwa mwinjilisti katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Hatujaagizwa Kufungulia Magazeti

Magazeti Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maelezo, Dkt. Hassan Abbasi...

READ MORE

Waliochanjwa Corona tu Ndio Wataruhusiwa Kuhiji Mecca

Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo ya corona peke yake ndio wataruhusiwa kufanya ibada ya Hija mwaka...

READ MORE

Maharusi Wakesha Uwanja wa Mpira kwa Kukiuka Masharti ya Corona

Picha na video za bibi na bwana harusi wakiwa pamoja na familia zao zimepigwa wakiwa wamekesha katika uwanja wa mpira...

READ MORE

Guardiola Alia na UEFA, FIFA

BOSI wa Manchester City, Pep Guardiola amelalamika kuwa Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) pamoja na Shirikisho la Soka la Kimataifa...

READ MORE

Shigongo Achimba Visima vya Maji Buchosa

  IKIWA ni mkakati kuhakikisha tatizo la maji linamalizika katika maeneo mbalimbali ya Jimbo la Buchosa, Mbunge wa Jimbo hilo...

READ MORE

Wafungwa 1,800 Watoroka Jela

Mamlaka ya kitaifa ya magereza nchini Nigeria imethibitisha kwamba zaidi ya wafungwa 1,800 wametoroka jela nchini humo kufuatia shambulio la...

READ MORE

Rais Samia Aagiza Walimu 6,000 Waajiriwe – Videio

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu amewataka Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za...

READ MORE

Rais Samia: Ukinizingua, Tutazinguana! – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewaagiza watendaji wa serikali kujituma kufanya kazi akisisitiza...

READ MORE

Rais Samia Ataka Waliofunga Biashara Warejeshwe – Video

  Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuangalia namna bora ya kuwarudisha wafanyabiashara...

READ MORE

Samia Atoa Maagizo Sakata la Vifurushi vya Intaneti – Video

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa...

READ MORE