×

Habari

Spika: Wafuasi 458 wa Bobi Wine Wamepotea

  CHAMA cha National Unity Platform (NUP) kimesema kwamba takriban raia 458 wa Uganda hawajulikani walipo wala hakuna taarifa zozote...

READ MORE

Kaka Wawili Wauana Baada ya Wake Zao Kuchapana Makonde

WENYEJI wa Kaniga Makome eneo bunge la Muhoroni, kaunti ya Kisumu nchini Kenya wameachwa midomo wazi kufuatia kisa kilichosababisha kaka...

READ MORE

Mapadri 25, Watawa 60 Wafariki Dunia Ndani ya Siku 60

KATIBU  mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema zaidi ya mapadri 25, watawa zaidi ya...

READ MORE

Breaking: Rais Mwinyi Ateua Mawaziri

Rais wa Zanzibar Dkt.Mwinyi amemteua Dkt. Saada Mkuya Salum kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu kwa Kwanza wa Rais,...

READ MORE

Mahakama Ubelgiji Yaamuru Jino la Lumumba Lirudishwe DRC

MAHAKAMA mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo...

READ MORE

Kenya Yapokea Shehena ya Chanjo ya Covid-19

Shehena ya chanjo ya Covid-19, dozi milioni 1.02 za Oxford-AstraZeneca imetua katika uwanja wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya,...

READ MORE

Kikongwe wa Miaka 77 Afia Kisimani

MZEE mmoja aliyefahamika kwa majina ya Joseph Rutabana mwenye umri wa miaka 77 mkazi wa kijiji cha Butairuka amepoteza maisha,...

READ MORE

Shigongo, TARURA Wambana Mkandarasi Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, ameambatana na Mratibu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

READ MORE

Brazil: Watu 1,641 Wafariki kwa Corona Siku Moja

BRAZIL imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa Covid-19 kwa siku baada ya watu 1,641 kufariki kwa ugonjwa...

READ MORE

Gwiji wa Reggae, Swahiba wa Bob Marley Afariki Dunia

MWANAMUZIKI huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob...

READ MORE

Carlinhos Amtibulia Kaze Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amesema kuwa kadi nyekundu aliyopewa kiungo wake mshambuliaji Carlos Fernandez ‘Carlinhos’ imetibua mipango...

READ MORE

Waziri Ndalichako Aitaka JKT Kukamilisha Ujenzi wa Chuo cha Ualimu Kabanga

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknojia Prof. Joyce Ndalichako ameitaka SUMA JKT Kanda ya Magharibi kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Chuo...

READ MORE

Tanesco Wapewa Siku 5 Tano Kumaliza Matengenezo

WAZIRI wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ametoa muda wa siku tano kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), kuhakikisha linafanya matengenezo...

READ MORE

Maiti Yazuiliwa Hospitali, Kisa ‘Hitilafu ya Pasipoti’

MWANAMKE ambaye baba yake wa kambo alifariki Thailand wiki mbili zilizopita anasema hospitali imekataa kuachilia maiti yake kutokana na mchanganyiko...

READ MORE

Mama, Mwanaye Wakutwa Wamekufa Gesti

  IRENE Lyimo(21) mkazi wa kata ya Kilema Kaskazini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro na mwanaye wa mwaka mmoja wamekutwa...

READ MORE

Kuna Udhaifu Kwenye Kupambana na Nzige – Mkenda

SERIKALI imesema hairidhishwi na utendaji wa shirika la kukabiliana na nzige wa jangwani la Afrika Mashariki lenye makao yake makuu...

READ MORE

Aibomoa Nyumba ya Mil 154 Aliyomjengea Girlfriend Wake

NYUMBA yenye vyumba vinne ya huko Mpumalanga nchini Afrika Kusini imebomolewa yote kufuatia mgogoro kati ya wapenzi. Video zinazoonyesha nyumba...

READ MORE

Tamasha la Kisarawe Ushoroba Festival laendelea, Vodacom Tanzania na WWF wasimamia zoezi la upandaji miti

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Mhe. Jokate Mwegelo (katikati) akiotesha mti kwenye eneo la hifadhi ya msitu wa mazingira asilia...

READ MORE

Padre Aliyewanyanyasa Watoto Kingono Afia Gerezani

Padri wa zamani wa Kanisa Katoliki ambaye alifungwa jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto watatu pamoja na mwanafunzi aliyekuwa akisomea upadri...

READ MORE

DC Ilala Atoa Siku 30 Bure Kufanya Biashara Soko la Minazi Mirefu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija amefanya ziara katika Soko la Minazi Mirefu katika Ziara hiyo aliatambatana...

READ MORE

Mwanza: Vikoba Kufungwa Aprili 30

MKURUGENZI wa Usimamizi wa Mabenki wa Benki Kuu, Jerry Masyenene amesema ifikapo Aprili 30, mwaka huu vikoba abavyo havijasajiliwa havitatambulika...

READ MORE

WHO Yashindwa Kuongelea Mwisho wa Corona

Mkurugenzi wa Programu ya Hali ya Dharura ya Shirika la Afya Ulimwenguni Mike Ryan amesema kuwa sio kweli kutarajia kumalizika...

READ MORE

Kampuni Inayonunua Mkojo Dar Kuchunguzwa

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema haiitambui wala haijawahi kuipatia usajili kampuni ya Polai (Tz). Co Ltd kukusanya...

READ MORE

Wanaotumia Bima za NHIF za Ndugu Zao Waonywa

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Mima ya Afya (NHIF) Jijini Mwanza, Jarlath Mushashu, amewaonya wananchi mkoani hapa ambao wana...

READ MORE

Lindi: Babu Atupwa Jela Miaka 20 kwa Kumdhalilisha Mtoto Kingono

Ustadhi Selemani Ally (58) amehukumiwa mika 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumdhalilisha kingono Mtoto wa miaka 12....

READ MORE

Zimbabwe: Makamu wa Rais Ajiuzulu

Makamu wa Rais wa Zimbabwe, Kembo Mohadi amejiuzulu kufuatia ripoti za Vyombo vya Habari nchini humo kuhusu mienendo yake isiyo...

READ MORE

Shigongo Apania Kujenga Buchosa Mpya, Amwaga Mamilioni – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na...

READ MORE

Live: Mwinyi Amwapisha Masoud Kuwa Makamu wa Rais

  RAIS wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi, amemwapisha Othman Masoud Othman kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza...

READ MORE

Waziri Prof. Ndalichako Amkabidhi Cheti Mwanafunzi Aliyepata Daraja la kwanza Matokea Kidato cha Nne

Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) itapeleka Shilingi bilioni 137 katika Halmashauri zote nchini kwa ajili ya...

READ MORE

Nape Nnauye Ashukuru NMB Kwa Kutoa Msaada Vifaa Vya Hospitali Jimboni

Benki ya NMB mkoani Lindi imetoa misaada ya vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 10 kusaidia kuboresha...

READ MORE

Nisha: Mwanangu Akipata ‘Division One’ Nampa Insta Yangu

KUMEKUWA na utaratibu kwa mzazi kumuahidi vitu mtoto wake kama njia ya kumshawishi ili afanye vizuri kwenye masomo, sasa msanii...

READ MORE

Majambazi 5 Wauawa Dar, Wakutwa na Bastola – Video

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa  amesema Jeshi hilo limefanikiwa kuwaua majambazio...

READ MORE

TANZIA: Mkurugenzi wa Radio ORS Afariki Dunia

MKURUGENZI  na mwanzilishi wa taasisi kadhaa nchini ikiwepo kituo cha Radio ORS ya Terati wilaya ya Simanjiro, Martin Ole Sanago...

READ MORE

Trump Kujitosa Tena Urais wa Marekani 2024

ALIYEKUWA rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania tena kwenye kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Mwinyi Amteua Masoud Makamu wa Kwanza wa Rais

OTHMAN  Masoud Othman ameteuliwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, kujaza nafasi ya Maalim Seif Sharif Hamad ambaye...

READ MORE

Trump Aibuka Upya, Atoa Kauli Hii

ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu Joe Biden kuwa Rais wa nchi hiyo, na...

READ MORE

Mbunge Amwaga Mauno Hadharani Akicheza Waah ya Mondi

Mbunge wa Malindi nchini Kenya Aisha Jumwa amewachangamsha wakazi wa Matungu baada ya kunengua kiuno chake akicheza wimbo wa Diamond...

READ MORE

Bobi Wine na Hofu ya Kumiliki Gari la Kifahari

KIONGOZI wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine amejikuta akiwa katika hofu kubwa kwa madai ya kuwa na...

READ MORE

Serikali Yasema SGR Haitakuwa na Tatizo la Umeme

SERIKALI imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa...

READ MORE

Mfahamu Zaidi Mrithi wa Maalim Seif

  WAZANZIBARI na Watanzania kwa ujumla kwa sasa wameelekeza macho na masikio kwa raisi wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wakisubiri...

READ MORE