×

Habari

Kilio Kila Kona Ongezeko Bei ya Vifurushi vya Makampuni ya Simu

  Uamuzi wa kimyakimya wa kampuni za mawasiliano ya simu za Tigo na Vodacom Tanzania kupandisha gharama za vifurushi vya...

READ MORE

Ex wa Boateng Afariki Dunia

Mwanamitindo Kasia Lenhardt (25) ambaye alikuwa mpenzi wa mchezaji wa FC Bayen Munich Jerome Boateng amekutwa kafariki katika apartment yake...

READ MORE

Kiba Aweka Kambi Nigeria

MFALME wa muziki wa Bongo Fleva, Alikiba maarufu kama King Kiba, ambaye anafanya vizuri kwa sasa na ngoma yake “Infidèle”...

READ MORE

Kikongwe Mwenye Miaka 116 Apona Corona

MWANAMKE mzee zaidi barani Ulaya ambaye ni mtawa mfaransa ameponda Covid-19, siku chache kabla ya siku kuu ya kuzaliwa kwake...

READ MORE

DC Gondwe Awa MBOGO kwa Wakandarasi Mwendokasi – Video

MKUU wa Wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amemtaka Mkandarasi wa Kampuni ya SINOHYDRO inayotengeneza Barabara ya Mwendokasi awamu ya pili...

READ MORE

Sakata la Mitandao ya Simu Kupunguza Bando Lazua Mjadara Bungeni – Video

Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga ameomba Serikali kuangalia upya suala la kampuni za simu kupandisha vifurushi vya ‘internet’ bila...

READ MORE

Waraka wa Corona Wamuweka Pabaya Prof. Chuo Kikuu

BARAZA la Chuo Kikuu Huria, limekaa kikao cha dharura na kuagiza Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, aombe...

READ MORE

RC Kunenge Atoa Onyo kwa Viongozi wa Mitaa

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge amewataka viongozi ngazi za mitaa kuhakikisha wanashughulikia ipasavyo kero na changamoto...

READ MORE

Waliomteka Mfanyabiashara, Kuomba Rushwa Wakiri Mashtaka

  WALIOKUWA askari wa Jeshi la Polisi na wenzao watano wanaokabiliwa na mashtaka ya kumteka mfanyabiashara wa madini, Sammy Mollel...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Afiwa na Mama Yake Mzazi

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp amepata pigo baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Elisabeth aliyefariki leo Jumatano, februari 10,...

READ MORE

Serikali Kuajiri Watumishi 12,000 Afya

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kuwa inakusudia kuajiri watumishi wa afya 12,476 katika mwaka...

READ MORE

Mapya Yaibuka Madaktari Wanaoikimbia Serikali

NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, amesema kuwa kwa sasa wanao mpango wa kudhibiti watumishi wa sekta ya afya...

READ MORE

Awachoma Visu Watoto, Kisa Mkewe Kuolewa

JACKSON BAHATI (27), mkazi wa kijiji cha Buhangizi, Kata ya Kagu, mkoani Geita, anadaiwa kuwajeruhi watoto wake wawili kwa kuwachoma...

READ MORE

Mzazi Aliyegoma Kuwapeleka Watoto Shule Kisa Dini Akamatwa

Merchades Mugishagwe anashikiliwa na Polisi kwa Amri ya Mkuu wa Wilaya ya Bukoba akidaiwa kukaidi agizo la kuwaandikisha Watoto wake...

READ MORE

Tanzia: Chadema Yapata Pigo, Ntagazwa Afariki Dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dennis Arcado Ntagazwa, amefariki dunia asubuhi ya...

READ MORE

Kutana na Mrembo Anayeishi Makaburini na Mpenzi Wake

MREMBO Mghana kwa jina Abena amesimulia namna alifaulu kuishi miongoni mwa wafu katika Makaburi ya Osu jijini Accra, Ghana.  ...

READ MORE

Waombolezaji wa Kulipwa Wazua Sekeseke Msibani, Mfiwa Ajifungia Chooni

  TAHARUKI imeibuka katika maeneo la Lugari, Kakamega nchini Kenya baada ya vijana wanaolipwa ili kuomboleza msiba, kuzua sekeseke kwa...

READ MORE

Wizara ya Elimu Yakanusha Waraka wa Prof. Bisanda

WIZARA ya Elimu imekanusha waraka wa tahadhari juu ya virusi vya Corona uliotolewa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria...

READ MORE

Aliyemkata Mikono Mkewe kwa Utasa Afungwa Jela Miaka 30

MAHAKAMA moja mjini Machakos nchini Kenya, imepitisha hukumu ya kifungo cha miaka 30 gerezani dhidi ya mwnamme baada ya kupatikana...

READ MORE

Baraza la Seneti Lapiga Kura Kuendelea na Kesi ya Trump

Baraza la Seneti nchini Marekani limepiga kura kuendelea na mchakato wa mashitaka dhidi ya rais wa zamani Donald Trump, likisema...

READ MORE

Buku Yataka Kumtoa Roho, Kisa Msichana

  Mgusuhi Sabayi anasakwa na polisi wilayani Serengeti kwa madai ya kumjeruhi, Silikale Mwita akipinga kutolewa katika sherehe ya harusi...

READ MORE

Mtoto Aliyebambikiwa Kesi ya Mauaji, Akanyongwa Hadi Kufa Kimakosa

Yapo matukio ambayo ukiyasikia, lazima moyo wako uumie kupita kiasi! Miongoni mwa matukio hayo, ni hili linalomhusu mtoto George Stinney,...

READ MORE

Simba, Yanga Wahitimisha Chemsha Bongo ya Spoti Xtra

ILE Chemsha Bongo iliyokuwa inaendeshwa na Gazeti la Spoti Xtra ambayo ilikuwa inawapa fursa wasomaji wa gazeti hilo kujishindia zawadi...

READ MORE

Mshtakiwa Kesi ya Kutumikisha Walemavu Afariki

SADIKIELY META (71) mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya kufanya biashara haramu ya kusafirisha binadamu, (kutumikisha walemavu) kukwepa kodi na...

READ MORE

Polepole: JPM Hana Mpango Kuongeza Muda Madarakani

MBUNGE wa kuteuliwa, Humphrey Polepole,  leo Jumanne Februari 9, 2021 amelieleza Bunge kuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli hana mpango...

READ MORE

Jumbo Camera Watoa Punguzo la Bei Msimu wa Wapendanao

  WAUZAJI wa vifaa bora vya uzalishaji wa video na sauti, JUMBO CAMERA HOUSE wameshusha mzigo mpya wa Camera, Tripod...

READ MORE

Mahakama Yaamuru Mali za Mmiliki wa Impala Hotel Ziuzwe

Mahakama kuu Kanda ya Arusha imeridhia kuuzwa kwa mali za Mmiliki wa hotel za Impala na Naura Spring ikiwemo viwanja...

READ MORE

Babu Miaka 72 Ajiua Kisa Kushtakiwa Polisi na Mkewe

Mkazi wa Kijiji cha Lyamungo Sinde, Zephania Lyimo (72) anadaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila kwa madai ya kukasirishwa...

READ MORE

Patrick Kanumba Akazia Sakata la Mama Kanumba

Ni ‘headlines’ za msanii wa filamu Othman Njaidi maarufu kama Patrick Kanumba ambaye ametoa ‘comment’ yake kuhusu kinachoendelea mitandaoni kati...

READ MORE

Bulaya: Mimi Ndo Kipenzi cha Wana Bunda

  Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya, amesema kuwa yeye ni mbunge wa muda mrefu na mbunge kipenzi cha wananchi...

READ MORE

Taratibu Mazishi ya Mtangazaji Mukhsin Mambo

MWANDISHI wa habari, Mukhsin Mambo, aliyefariki dunia jana Februari 8, 2021,  akiwa nyumbani kwake nchini Marekani, anategemewa kuzikwa jijini Mwanza...

READ MORE

Kesi ya Trump Kuanza Leo, Mawakili Wake Wakikosoa

Baraza la Seneti la Marekani leo litaanza mchakato wa kusikiliza kesi inayomkabili rais wa zamani Donald Trump, wakati timu ya...

READ MORE

Rais Adai Kuna Watu Wanataka Kumuua

Rais wa Haiti Jovenel Moise ametangaza jana kuwa polisi wamewakamata zaidi ya watu 20, wanaoshukiwa kupanga njama za kumuua na...

READ MORE

Waliohusika na Zabuni Zinazohusu Covid-19 Afrika Kusini Yawakuta

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema atachukua hatua ”kali” na ”stahiki” dhidi ya wazabuni wanaohusiana na virusi vya corona....

READ MORE

Mrisho Gambo: “Sijaridhika na Majibu” Spika Amtuliza – Video

  Spika wa Bunge Job Ndugai, amefurahishwa na swali lililoulizwa na mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo, kwamba Wizara ya...

READ MORE

Jaji TZ Achaguliwa Kuwa Jaji Mahakama ya Afrika

Jaji Imani Daud Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania amechaguliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya...

READ MORE

Rwandair Yasitisha Safari Zake Sauzi

KAMPUNI ya ndege ya Rwanda, Rwandair, imesitisha kwa muda safari zake katika mataifa ya Afrika Kusini, Zimbabwe na Zambia.  ...

READ MORE

9 Wafa, 150 Hawajulikani Walipo Pande la Barafu Linapoanguka

WATU tisa wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 150 hawajulikani walipo baada ya pande kubwa la barafu katika safu ya...

READ MORE

Polisi Yakamata Silaha Haramu 160 Ruvuma

POLISI mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata silaha mbalimbali 160 zinazodaiwa kuwa ni haramu katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2020 pamoja...

READ MORE