×

Habari

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu

  Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  Chama cha Mapinduzi  CCM ambayo iliketi jana Dodoma  imempongeza Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

Walimu Wawili Wapandishwa Kizimbani Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi

Walimu wawili wa  Shule ya Awali na Msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo Temeke jijijini Dar es Salaam wamefikishwa katika...

READ MORE

Jamaa Wamdai Bosi Wao Milioni 350, Wamwangukia JPM

JAMAA zaidi ya 20 ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Elerai Construction Company LTD ya jijini Arusha, inayomilikiwa...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao Halmashauri Kuu CCM

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...

READ MORE

Mama Amwaga Machozi Akisimulia Ulemavu wa Mwanaye – Video

Mtoto Ally mwenye umri wa miaka 10 ametelekezwa na baba yake mzazi baada ya kuzaliwa na ulemavu wa viungo huku...

READ MORE

Wanaodaiwa Kuchoma Mabweni ya Shule Kilimanjaro Wanaswa – Video

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka imewafikisha mahakamani washtakiwa watatu wanaohusishwa na matukio ya kuchoma moto bweni la Shule ya Sekondari...

READ MORE

Sure Boy Anyakua Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC Oktoba

KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC...

READ MORE

Haya Ndo Mataifa Ambayo Hula Nyama ya Mbwa na Paka

Taiwan imepiga marufuku uuzaji na ulaji wa paka na mbwa kufuatia visa kadhaa vya ukatili dhidi ya wanyama na kuzua...

READ MORE

Hong Kong Yazindua Laini ya Simu Kuripoti Uhalifu

Polisi Hong Kong imeanzisha namba ya simu ya mawasiliano ya moja kwa moja itakayowawezesha raia kuripoti matukio yoyote yanayotishia usalama...

READ MORE

Huyu Nd’o Muuaji Aliyeua Wauaji Zaidi ya 70

IMEKUWA kwamba chaguo (choices) tunayochagua ndiyo yanatueleza tulivyo. Kuna msemo kwenye biolojia unaosema: ” Every major decision made human brain...

READ MORE

Waangalizi wa Kimataifa: Madai ya Trump Hayana Msingi

MKUU wa ujumbe wa waangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa Marekani amesema jana kwamba madai ya Rais Donald Trump hayana...

READ MORE

Kenyatta: Tumechagua Maambukuzi ya Corona Kuongezeka Kenya

KATIKA hotuba yake kwa Taifa la Kenya, Rais Uhuru Kenyatta amekubali kuwa mikutano ya kisiasa iliyoshamiri katika mwezi uliopita ilichangia...

READ MORE

JPM Ateua Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Adelardus Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali....

READ MORE

Zitto Kabwe, Freeman Mbowe Waripoti Polisi

Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo...

READ MORE

Marais wa Afrika Wampongeza JPM Kwa Ushindi wa Kishindo

Marais waliyohudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli wampongeza kwa ushindi wa kishindo...

READ MORE

JPM: Uchaguzi Umekwisha, Tuchape Kazi

Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuapishwa katika jiji la Dodoma mbele...

READ MORE

Museveni Asema Hajui Mwelekeo wa Wapinzani Tz – Video

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema si rahisi kwa mgombea urais kuibuka na ushindi katika nchi za Bara la Afrika...

READ MORE

Mbunge wa Moshi Vijijini Mwaka 2005 Dr. Cyrili Chami, Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa mbunge wa Moshi vijijini kuanzia mwaka 2005 kupitia CCM Dr. Cyrili Chami, amefariki dunia usiku wakuamkia leo Novemba...

READ MORE

Magufuli Aapishwa Rais Tanzania – Video

ALIYEKUWA rais mteule wa Tanzania Dkt. John  Magufuli ameapishwa rasmi leo Novemba 5, 2020, jijini Dodoma katika Uwanja wa Jamhuri...

READ MORE

Biden Akaribia Kushinda Urais wa Marekani

MGOMBEA wa kiti cha urais kupitia chama cha Democratic nchini Marekani, Joe Biden ,amepiga hatua muhimu kuelekea kupata ushindi baada...

READ MORE

Rais wa Zanzibar Amteua Suleiman Ahmed Salum Kuwa Katibu wa Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu...

READ MORE

Huyu Nd’o Mtu Mwenye Ngozi Inayovutika Zaidi Duniani

GARRY TURNER ni Muingereza anayeshikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja...

READ MORE

GGML Yaanzisha Bustani ya Kuvutia Mjini Geita

Wakazi wa mji wa Geita wanafurahia kuwa sehemu ya mradi wa bustani ya kupumzikia inayofadhiliwa  na Kampuni ya Geita Gold...

READ MORE

Trump Kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mahakamani Akishindwa

Huku kukiwa na kura nyingi tu ambazo bado hazijahesabiwa, Donald Trump amedai kuwa ameshinda. “Ukweli ni kwamba tumeshinda,” amedai hivyo...

READ MORE

Petrol Yapanda Bei, Dizeli Yashuka

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa bei mpya za mafuta ya dizeli na petroli zitakazoanza...

READ MORE

Live Updates: Uchaguzi wa Marekani 2020: Trump, Biden Wachuana Vikali

Wamarekani wamepiga kura kumchagua rais katika uchaguzi ulioligawanya taifa hilo kwa kiwango kisichokuwa na kifani. Matokeo ya awali ya urais...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Rais Mwinyi Ateua Mwanasheria Mkuu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Kabla ya uteuzi huo...

READ MORE

Giza Nene Latanda Upinzani

WAKATI Watanzania wakikaa chini na kutafakari mustakabali wa siasa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo, giza nene limetanda kwa...

READ MORE

Pre-Order TECNO CAMON 16s Upate Zawadi Papohapo

Kampuni kinara ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa ofa ya zawadi kwa wateja wake wa kwanza kabisa watakaofanya malipo...

READ MORE

Wanaotuhumiwa Kuchoma Nyumba ya Katambi Mbaroni

POLISI mkoani Shinyanga imewakamata watu tisa kwa tuhuma za kutaka kuchoma moto nyumba ya mbunge mteule wa Shinyanga Mjini, Patrobas...

READ MORE

Afande Sele Atoa Neno Kwa Wasanii Waliokurupukia Siasa

MSANII wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi...

READ MORE

Mbowe, Wenzake Waachiwa kwa Dhamana

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, na viongozi wenzake Godbless Lema  na Boniface Jacob, wameachiwa...

READ MORE

Ndugai Achukua Fomu Kugombea Uspika

Spika wa Bunge aliyemaliza muda wake, Job Ndugai amechukua fomu kwa ajili ya kutetea nafasi hiyo kwa kipindi cha pili....

READ MORE

Dkt. Tulia Achukua Fomu Kuwania Unaibu Spika

Mbunge mteule wa Mbeya Mjini (CCM), Dkt. Tulia Ackson amesema hajachukua fomu ya kuwania uspika wa Bunge la 12 ili...

READ MORE

Breaking: Zitto Akamatwa na Polisi Dar

POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam imemkamata Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT – Wazalendo, Zitto Kabwe,  akiwa Kituo...

READ MORE

Wanakijiji Wadaiwa Kukatwa Vichwa Msumbiji

TAARIFA kutoka Msumbiji zinasema kuwa wanamgambo wa Kiislamu wamevamia vijiji kaskazini mwa eneo la Muidumbe mkoa wa Cabo Delgado, Jumamosi...

READ MORE

Mgombea Urais Akamatwa na Wajeda, Polisi

MGOMBA urais nchini Uganda, Patrick Amuriat, amekamatwa katika mji mkuu wa Kampala katika makao makuu ya chama chake cha Forum...

READ MORE

Viongozi 20 Chadema Wakamatwa Singida

VIONGOZI 20 wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Singida na kufikishwa mahakamani kwa...

READ MORE