×

Habari

Lema Aachiwa, Apewa Hifadhi Kenya

ALIYEKUWA mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, ameachiliwa na polisi nchini Kenya baada ya kukamatwa kwa madai ya...

READ MORE

Chama Aibua Shangwe Simba

WAKATI kiungo wa Simba, Clatous Chama ikielezwa juzi hatokuwepo kwenye mchezo dhidi ya Yanga, mashabiki walilipuka shangwe baada ya kumuona...

READ MORE

Nyalandu Azuiwa Mpakani Akielekea Kenya

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu amezuiwa kutoka Tanzania kupitia mpaka wa Namanga. Kwa mujibu wa Mkuu wa...

READ MORE

Stendi Mpya Mbezi Kuanza Kutumika Nov. 30

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge,   amesema ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani ya na...

READ MORE

Kapombe: Tunachukua Ubingwa Bara

SHOMARI Kapombe, beki wa kulia mzawa ndani ya kikosi cha Simba ambaye pia jina lake limetajwa kwenye majina ya wachezaji...

READ MORE

Aston Villa Wamdai Samatta Mabao 15

IMEFAHAMIKA kuwa, mshambualiaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta anayekipiga kwa mkopo katika Klabu ya Fenerbahce ya Uturuki, anadaiwa mabao...

READ MORE

Vodacom Tanzania PLC yazindua duka la kwanza la kisasa wilayani Kisarawe

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo (kulia) na Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania Plc Rosalynn Mworia wakikata...

READ MORE

Ujenzi wa Vyoo Kwenye Mikusanyiko Waanza Simiyu

  ILI kuepuka na magonjwa ya mlipuko katika kipindi hiki cha mvua za vuli, Serikali ya wilaya ya Bariadi mkoani...

READ MORE

Sura Baraza la Mawaziri

SIKU chache baada ya kukabidhiwa cheti cha ushindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Rais Dk John Magufuli anatarajiwa...

READ MORE

Kibaha: Diwani Mteule (CCM), Wajukuu Zake Wauawa

DIWANI mteule Kata ya Kikongo, Kibaha Vijijini (CCM), Fatuma Ngozi na wajukuu zake wawili wamekufa baada ya nyumba yake kuchomwa...

READ MORE

RC Kunenge Ataja Rasmi Tarehe ya Kuanza Stendi Mpya ya Mbezi Luis

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amesema Ujenzi wa Stand mpya ya Mabasi ya mikoani ya...

READ MORE

JPM: Napata Vimeseji vya Wakuu wa Mikoa, Wilaya Wana Hofu – Video

RAIS  John Magufuli amewaondoa hofu wakuu wa mikoa na wilaya ambao wamekuwa wakimpigia simu na kumwandikia meseji wakijieleza kuwa katika...

READ MORE

Kidato cha Pili Kuanza Mitihani wa Kitaifa Leo

Wanafunzi wa kidato cha pili wapatao  646,148 kote nchini  wanatarajia kuanza Mitihani hiyo leo Jumatatu, Novemba 9, 2020 hadi Novemba...

READ MORE

Lema Akamatwa Kenya Akitafuta Hifadhi

ALIYKUWA  Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya...

READ MORE

Chadema Pekee Kutoa Wabunge Viti Maalum Upinzani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema vyama viwili kati ya 20 vilivyoshiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka...

READ MORE

Rais Mwinyi Ateua Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi  amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa...

READ MORE

Kassim Majaliwa Awajulia Hali Mzee King Kiki Na Mkuu wa Wilaya ya Mlele

  Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa leo Novemba 8, 2020 amemtembelea na kumjulia hali mwanamziki mkongwe nchini Kikumbi Mwanza Mpango...

READ MORE

NECTA Yatoa Ratiba ya Mitihani ya Kitaifa, 2020

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba ya mitihani ya kidato cha pili ambayo itaanza kesho Novemba 9 hadi...

READ MORE

Rais Magufuli Awashukuru Watanzania

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli leo...

READ MORE

RC Kunenge Awataka Wananchi Kufanya Mazoezi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewasisitiza wananchi kuhakikisha wanafanya mazoezi na kuepuka ulaji usiofaa ili...

READ MORE

Tanzia: Balozi Patrick Chokala Afariki Dunia

  Balozi Patrick Segeja Chokala amefariki dunia Novemba 6, 2020 katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa...

READ MORE

Mtumishi wa Hospitali Mbaroni kwa Wizi Vifaa Tiba

Jeshi la Polisi linamshikilia Mtuhumiwa,Mtumishi wa Idara ya Chumba cha Upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga., Madaraka...

READ MORE

Profesa Jay Hataki Kuongelea Siasa

SIKU chache baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, mwaka huu kutangazwa, wabunge wengi wameonekana kukosa nafasi kwa...

READ MORE

Breaking News: Joe Biden Ashinda Urais wa Marekani, Trump Chali

MGOMBEA Urais wa Marekani kupitia Chama Cha Democratic, Joe Biden ameshinda uchaguzi wa Marekani na kuwa rais mteule wa Marekani...

READ MORE

Watoto 11 Watuhumiwa Kuiba Nyumbani kwa Askari

POLISI mkoa wa Tabora inawashikilia watoto 11, ambao ni wanafunzi wa shule za msingi kwa tuhuma mbalimbali za uvunjaji, uporaji...

READ MORE

Georgia Kuhesabu Tena Kura za Urais

WAZIRI wa Masuala ya Kigeni katika Jimbo la Georgia, Brad Raffensberger, ametangaza kwamba jimbo hilo litahesabu upya kura zake za...

READ MORE

Championi Lagawa Tiketi Simba vs Yanga Bure, Spoti Xtra Laja

    TIMU ya Masoko ya Global Publishers leo imetua katika Uwanja wa Mkapa na kuyanadi magazeti ya michezo ya...

READ MORE

JPM Kufungua Bunge Nov. 10

RAIS John Magufuli anatarajiwa kufungua Bunge la 12, Novemba 10, 2020 baada ya wananchi kutumia haki yao ya msingi ya...

READ MORE

Rais Mwinyi Amwapisha Katibu wa Rais Zanzibar

RAIS  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi,  amemuapisha Suleiman Ahmeid Saleh, kuwa Katibu wa...

READ MORE

Mondi, Zuchu Waonyeshana Mahaba Live

WAKATI wakiwa angali hawajakitegua kitendawili cha kuwa ni wapenzi au la, staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

Wachimbaji Wajeruhiwa kwa Mapanga, Visu

WACHIMBAJI wadogo wanane wajeruhiwa kwa silaha za jadi yakiwamo mapanga, visu sehemu mbalimbali za miili yao katika machimbo ya dhahabu...

READ MORE

TECNO CAMON 16 KUJA KUWAPINDUA WAPINZANI WAKE.

  Ni wazi kuwa katika ulimwengu wa simu janja watumiaji hawaridhiki tena na sura nzuri ya simu pekee, Mchanganyiko wa...

READ MORE

Alichosema Hakimu Kesi ya Lissu

HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba, ameahirisha kesi inayomkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Kwa Kosi Hili…. Mmekwishaaa!

KAMA utakwenda kwa Mkapa leo ukiwa na matokeo yako mfukoni, basi jiandae kurudi nyumbani unalia, kwani lolote linaweza kutokea.  ...

READ MORE

Vodacom Tanzania Foundation yapeleka programu ya Instant Schools kwa wananchi mikoani

  Balozi wa Vodacom Tanzania Foudation, Joyce  Buzuka   akitoa elimu kwa baadhi ya wafanyabiashara wa mnada wa mifugo wa Ushirika wilaya...

READ MORE

Benki ya CRDB Yazindua Kampeni ya “Tupo Mtaani Kwako”

BENKI ya CRDB imezindua kampeni ya “Tupo Mtaani Kwako” ambayo inalenga katika kuhamasisha matumizi ya huduma za benki pamoja na...

READ MORE

Aida Khenan Amtaka Mbowe Kubadili Msimamo

Mbunge Mteule wa Nkasi kwa tiketi ya CHADEMA Aida Khenan amewaomba viongozi wake waangalie upya msimamo wa kutotambua ushindi wa...

READ MORE

Fahamu Hatua kwa Hatua Jinsi Rais wa Marekani Anavyopatikana

KUELEKEA uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata rais, ulisababisha...

READ MORE

Wateja Zaidi ya 1,000 Wajishindia Kampeni ya Jipe Tano ya Benki ya CRDB

Benki ya CRDB Novemba 5 mwaka huu imetangaza washindi zaidi ya 1,000 ambao wamejishindia fedha kupitia kampeni yake ya ‘Jipe...

READ MORE

Trump Alia Kuibiwa Kura

LEO ni siku ya nne tangu kuanza kwa zoezi la kuhesabu kura nchini Marekani baada ya zoezi la kupiga kura...

READ MORE