×

Habari

Kilichotokea Kortini Leo Kesi ya Mo Dewji Kutekwa – Video

UPANDE wa utetezi kàtika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ , leo Jumanne, Novemba 12, 2019 umelalamikia upande...

READ MORE

Makamba Kuachana na Ubunge? Kutoa Hatima Yake Kisiasa ‘Soon’

MBUNGE wa Bumbuli, January Makamba,  amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka...

READ MORE

WATU 15 WAFARIKI KTK AJALI YA TRENI

Imeripotiwa kuwa takribani watu 15 wamefariki na wengine 58 wamejeruhiwa baada ya Treni mbili za abiria kugongana katika Wilaya ya...

READ MORE

Bunge Kupitisha Sheria Ya Kuruhusu Watu Kujipima VVU

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu, amesema kuwa hadi kufikia Ijumaa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Video: Jionee Mtoto Mdogo Akiongea Kingereza Balaa, Utapenda!

 Shule ya St Mary iliyopo Mbezi Beach ni moja ya Shule inayomilikiwa na Mchungaji Mama Getrude Lwakatare ambayo inapokea...

READ MORE

Live: JPM Azindua kitabu cha Maisha ya Rais Mkapa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 12, anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi...

READ MORE

Polisi Yanasa Silaha za Kivita, Nyama ya Twiga, Meno ya Tembo – Video

JESHI la polisi mkoani Arusha hapa limefanikiwa kukamata bunduki mbili za kivita pamoja na nyara za serikali ambazo ni nyama...

READ MORE

CAG Kichere Atua Bungeni Dodoma

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere leo Jumatatu Novemba 11, 2019 ametambulishwa rasmi bungeni jijini...

READ MORE

Akiwa Gerezani, Malinzi Yamkuta Mazito Tena

SHIRIKISHO la Soka Ulimwenguni (FIFA) limemfungia kwa miaka kumi (10) aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi baada...

READ MORE

Diwani Mbaroni Kufuatia Ofisi ya Kata Kuchomwa Moto – Video

KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro nchini Tanzania Wilbroad Mutafungwa amesema watu watatu wanashikiliwa kwa mahojiano akiwemo Diwani wa Kata...

READ MORE

Askofu Ataka Uchaguzi S/Mitaa Usogezwe Mbele

ASKOFU Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Owdenburg Mdegela amesema ni vizuri kwa wanasiasa...

READ MORE

Kimenuka! Kigogo, Diwani CCM Watoleana Siri za Chumbani

  UKISIKIA kimenuka; jua hali ya hewa imechafuka na kweli ndivyo ilivyo kwa kigogo mmoja na diwani wa Chama Cha...

READ MORE

Siku 20 Baada ya Uchaguzi, Rais Ajiuzulu, Atanganza Uchaguzi Mpya

RAIS wa Bolivia, Evo Morales,  amejiuzulu kufuatia maandamano ya kumshinikiza kufanya hivyo yaliyosambaa nchi nzima na kuungwa mkono na polisi na...

READ MORE

Geita: Vilio, Huzuni Vyatawala Mgodi wa Imalanguzu

MAJONZI na huzuni vimetawala kwenye mgodi wa wachimbaji wadogo wa dhahabu mgodi wa Imalanguzu Wilaya ya Geita kata ya Lwamgasa...

READ MORE

Wasiojulikana Wachoma Moto Ofisi ya Kata, Waacha Bangi – Video

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mgwhira, amesema watu kadhaa wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa tuhuma za...

READ MORE

Dereva Mlevi Aua Wanawake Watatu

Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia dereva wa gari ndogo aina ya Toyota Salon yenye namba za usajili T.213, Deogratius...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine ATCL, TANESCO

Rais Dkt. Jon Magufuli amemteua Mhandisi Emmanuel Korosso kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Ndege Tanzania...

READ MORE

Video: CCM Yapita Bila Kupingwa Vijiji 6, 248 Uchaguzi Serikali Za Mitaa 2019

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo leo Novemba 10, 2019...

READ MORE

DIAMOND Aweka Historia Wasafi FESTIVAL Dar (Picha +Video)

MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’  usiku wa kuamkia leo Novemba 10, 2019 amefanya shoo ya aina yake...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Vijana Dar… Siku Zinahesabika

HOMA ya lile tamasha kubwa la wanachuo na vijana kutoka pande mbalimbali imezidi kupanda kwani sasa zinahesabika siku tu ili...

READ MORE

Video: Shoo Ya Alikiba Yafunika, Mashabiki Washindwa Kujizuia

 MSANII wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ usiku wa kuamkia leo Novemba 9, 2019 amefanya ‘After Party’ katika...

READ MORE

Wafanyabiashara Kortini kwa Kunaswa na Pesa Bandia – Video

MFANYABIASHARA Chartone Mushi (44) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi, wakikabiliwa na makosa matatu likiwamo la...

READ MORE

Zahera Aipigia Magoti Yanga

PAMOJA na kuwepo kwa mbwembwe nyingi za maneno ya kuwafedhehesha baadhi ya viongozi wa Yanga zilizokuwa zikitolewa na Mwinyi Zahera,...

READ MORE

Global Habari Nov 8: JPM Awataka Viongozi Afrika Wasitegemee Misaada – Video

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi Barani Afrika kujenga mfumo wa kujitegemea kiuchumi ili kuondokana na fikra tegemezi katika kujikwamua...

READ MORE

Mzee Akilimali Aliamsha Dude Yanga

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali amefunguka kuwa, iwapo angekuwa mzima wa afya angefanya maandamano hadi kwa...

READ MORE

NJEMBA YAMKUTA MAZITO MAKABURINI

  USIOMBE kutaitiwa na wananchi wanaoitwa wenye hasira kali! Njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Kingdoom mkazi wa Msamvu mkoani...

READ MORE

Lugola Amwagiza Sirro Kumshughulikia Mbunge Aliyemtimua Polisi – Video

Baada ya kauli ya Mbunge Sophia Mwakagenda (CHADEMA) aliyosema leo asubuhi, Novemba 8, 2019 bungeni kuwa amemuondoa mpangaji ambaye ni...

READ MORE

Aliyemuua Mjukuu Wake Ahukumiwa Kunyongwa – Video

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuhukumu kunyongwa hadi kufa mwanamke Esther Lyimo (47) baada ya kupatikana na...

READ MORE

Mbunge Amtimua Askari

LEO Ijumaa Novemba 8, 2019 bungeni mjini Dodoma mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Sophia Mwakagenda amesema amemuondoa mpangaji wake ambaye...

READ MORE

Mbowe: Mashtaka Yetu ni ya Kisiasa – Video

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa mashtaka yanayowakabili ni...

READ MORE

Wananchi Wamfanya Kitu Mbaya Meya

MEYA wa Mji mmoja mdogo amevamiwa na Waandamanaji wa Upinzani ambapo alitembezwa mitaani bila viatu huku akiwa amepakwa rangi nyekundu...

READ MORE

Singida United Hali Tete, Yazidi Kuzama

BAADA ya kikosi cha Singida United kushindwa kupata ushindi wowote katika michezo 11 waliyocheza mpaka sasa msimu wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la Sita Afariki Akitoa Mimba ya Mapacha

MWANAFUNZI wa darasa la sita Monica Ponera wa Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, amefariki baada ya...

READ MORE

Drone Zinavyoua Mbu Zanzibar – Video



READ MORE

VIDEO: Fanya Malipo ya Serikali Kwa Njia Rahisi Kupitia M-PESA

 Haijawahi kuwa rahisi kiasi hiki! Sasa unaweza kufanya malipo ya Serikali kwa njia rahisi, salama na ya haraka zaidi...

READ MORE