×

Habari

Rwanda Yazindua Magari Yanayotumia Umeme

Rwanda ikishirikiana na kampuni ya Volkswagen na Siemens imezindua magari ya kwanza ya umeme nchini humo yatakayokuwa rafiki kwa mazingira....

READ MORE

Uganda: Msichana Miaka 11 Abadili Maumbile Kuwa Mvulana

BINTI wa miaka 11, aliyefahamika kwa jina la Catherine amefanyiwa upasuaji na kubadili maumbile yak ya uzazi kutoka usichana kuwa...

READ MORE

Tigo yaingiza sokoni ‘Kitochi 4G Smart’ ’ yenye uwezo wa 4G kwa bei nafuu

    Kampuni inayoongoza katika mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo, leo imezindua simu yenye sifa za smartphone ‘‘Kitochi 4G Smart’...

READ MORE

Kigwangalla Amjibu Makonda Sakata la Idris na Picha ya JPM

WAZIRI  wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amemjibu Mkuu wa Mkoa wa dar s salaam, Paul Makonda ambaye mapema...

READ MORE

Makonda akagua patakapo jengwa Hospitali ya Ubungo

Siku chache baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kutoa fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 1.5 kwaajili ya Ujenzi wa...

READ MORE

Baba miaka 55 alia: BINTI WA MIAKA 17 KANIPONZA

“SIWEZI kusahau tukio hilo katika maisha yangu yote, binti wa miaka 17 kaniponza na kuniharibia maisha yangu yote.  “Mguu wangu...

READ MORE

Makonda: Viongozi wa Ubungo Wananenepeana – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewaonea huruma wakazi wa Ubungo kwa kile alichokieleza kuwa hawakuchagua viongozi...

READ MORE

Breaking News: Basi la Abood Lapata Ajali Dar

BASI la abiria mali ya Kampuni ya Abood Bus Services Ltd, limepata ajali mbaya maeneo ya Kimara Temboji jijini Dar...

READ MORE

Waziri Mkuu Hariri Atangaza Kujiuzulu

BEIRUT: WAZIRI Mkuu wa LEBANON, Saad El-Din Rafik Al-Hariri ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake huo kutokana na wananchi kuandamana kwa...

READ MORE

Kigogo Chuo Kikuu Aliyekaa Mahabusu Miaka 7, Ahukumiwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu, Marietha Milinga kulipa fidia ya Sh12.9 milioni na kifungo cha nje cha miezi sita...

READ MORE

Maaskofu Wapendekeza Wanaume Waliooa Kuwa Mapadre

MAASKOFU wa Kanisa Katoliki wapendekeza kuwaruhusu baadhi ya wanaume waliooa kufanya kazi za Upadre. Pendekezo hili limepitishwa kwa kura 128...

READ MORE

Rais Moi Arudishwa Tena Hospitali

Rais wa Zamani wa Kenya, Daniel Toroitich Arap Moi  amelazwa tena kwenye Chumba cha Uangalizi Maalum (ICU) katika Hospitali ya...

READ MORE

DC Muro Apokea Pikipiki Kutoka CRDB, Azikabidhi Polisi

Benki ya CRDB imekabithi msaada wa pikipiki tano zenye thamani ya shs 10 milioni kwa kituo cha polisi USA River...

READ MORE

Lugola: Ulitaka Kutuua? Naondoka na Wewe, Sikuachi – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameyakamata magari mawili yaliyotaka kusababisha ajali kwa kufukuzana na kulazimisha kuovateki...

READ MORE

Ndege Yachomoka Gurudumu, Yashuka kwa Dharura

NDEGE ya Shirika la Silverstone imelazimika kutua kwa dharura baada ya gurudumu lake kuanguka wakati ikipaa, jana Jumatatu, Oktoba 28,...

READ MORE

DC Ludewa Ataka Wasiofunga Ndoa Watiwe Ndani

MKUU wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Andrea Tsele ameagiza watu wanaoishi bila kufunga ndoa kupelekwa mahabusu kwa kuwa watu...

READ MORE

Mtoto Ateketea kwa Moto Baba Akitazama Mechi ya Arsenal

Mtoto wa Kike (Annet Namulondo) mwenye umri wa miaka 6 afariki kwa kuteketea kwa moto wakati Baba yake, Saleh Mukulu...

READ MORE

Happy Birthday Rais JPM

Leo, Oktoba 29, 2019 Rais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Joseph Magufuli anatimiza umri...

READ MORE

China, Tanzania Zaendesha Kongamano La Utamaduni Na Umuhimu Wa Mitandao

KAMPUNI ya China Federation of Internet Oktoba 28, 2019 kwa ushirikiano na Kampuni ya Star Media (T) Ltd kupitia chapa...

READ MORE

NBC Yaendelea Kuimarisha  Huduma za Kidigitali

Mkuu wa Kitengo Cha Wafanyabiashra wa Kati wa NBC, Moses Minja kushoto akisalimiana na Erick Hamissi wa Kampuni ya Marine...

READ MORE

MAGAZETI OCT 29: SHEIKH MKUU ATOA MSIMAMO NDOA KWA MTOTO WA KIKE

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zubeir amesema kwa dini ya kiislamu, mtoto wa kike akivunja ungo,anaruhusiwa kuolewa ikihitajika kufanya hivyo.

READ MORE

Tigo Pesa Mastercard QR zawadi nje nje

     

READ MORE

Rais Trump Atangaza Kuuawa kwa Kiongozi wa Kundi la IS

RAIS wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa vikosi maalum vya Marekani vimemuua kiongozi wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu –...

READ MORE

RC Mwanri Azama Kuzima Moto Ukiteketeza Nyumba – Video

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri ameshirikiana na Wananchi wa eneo la Bachu Manispaa ya Tabora, Katika harakati za...

READ MORE

Tunduru: Wanafunzi 350 Sekondari ya Marumba Hawajulikani Walipo

WANAFUNZI 350 wa Shule ya Sekondari ya Marumba katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma ambao walipaswa kuwepo shuleni hapo hawajulikani...

READ MORE

Wanafunzi Vyuo Vikuu Waliopata Mkopo Awamu ya Pili 2019/20

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya majina ya wanafunzi 11,378 wa mwaka 2019/2020...

READ MORE

Rostam, Marioo Wafanya Maangamizi Jukwaa la Tigo Fiesta Arusha

MPANGO mzima wa Tigo Fiesta 2019, ndani ya Uwanja wa Shekhe Amri Abeid jijini Arusha, ulianza kwa namna hii, ambapo...

READ MORE

Wafanyabiashara Waomba Taasisi za Fedha Kuwawezesha

Wafanyabishara wadogo wameziomba taasisi za fedha kuwawezesha ili waanzishe viwanda na kupunguza safari za China kufuata bidhaa ambazo zingeweza kuzalishwa...

READ MORE

Safari za Treni Zasitishwa Ukanda wa Kaskazini

SHIRIKA la Reli Nchini limewataarifu wateja wake na kuwaomba radhi kutokana na kusitishwa kwa huduma za usafirishaji mizigo katika ukanda...

READ MORE

Unahitaji Milioni 10 Fasta? Tazama Video Hii!

 BENJAMINI Fernandez mtanzania mjasiriamali amekuja na mbinu mbadala ambayo ni tiba kwa tatizo sugu la ajira linalowakabili watanzania. Fernandez...

READ MORE

Samia Afungua Semina ya Wabunge Wanawake Afrika

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo  Jumapili Oktoba 2019 amefungua Semina ya...

READ MORE

Wenye Ndoto za Ujasiriamali Wapata Mkombozi ‘NALA’ (Picha +Video)

ULE wakati wa watu kuilalamikia Serikali kuhusu suala la ugumu wa kupatikana kwa ajira nchini umefikia tamati sasa, kwa sababu...

READ MORE

JPM Ashiriki Misa Katika Kanisa Katoliki la Mt. Petro – Oysterbay

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumapili Oktoba 27, 2019 ameungana na  Waumini...

READ MORE

PanAfrican Energy kusaidia watoto wenye saratani Lindi

Kampuni ya uzalishaji gesi ya PanAfrican Energy Tanzania Limited (PAET) imesaini mkataba wa makubaliano (MoU) na Shirika la kuhudumia watoto...

READ MORE

JPM Aongoza Maelfu ya Watanzania Kupokea ‘Chombo’ – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amesema Tanzania itaendelea kutekeleza kwa kasi kubwa miradi ya maendeleo nchini kwa kuwa Serikali imeimarisha nidhamu...

READ MORE

Makonda Awachana Mdee, Mnyika & Kubenea Amwomba JPM Bil 1.5

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amemuomba Rais Dk. John Magufuli ampatie Tsh Bilioni 1.5, kwa ajili ya...

READ MORE

Kununua Dreamliner Marekani, Rais Trump Ampongeza JPM – Video

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaongoza Watanzania kupokea ndege mpya ya Shirika la Ndege...

READ MORE

Mzungu Anayejiita Magufuli, Ajenga Visima 100 Mkuranga

Mwanamama maria kutoka nchini selisheli Amekuwa akifanya Maendele katika maeneo mbali mbali nchini Tanzania zaidi Wilayani Mkuranga Ambako  Amejenga zaidi...

READ MORE