×

Habari

RC Makonda Apiga Marufuku Kampuni ya Nyanza Kupewa Tenda Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataka watendaji wa halmashauri za Mkoa huo huo kuzingatia misingi ya...

READ MORE

LYYN: SIRINGI ILA NAJUA KUSAKA PESA

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni Video Vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ amesema kuwa siyo kwamba anaringa kama watu wanavyomchukulia...

READ MORE

Diamond: Alikiba Amenizidi, Harmonize…..!

STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefunguka kuhusu ujumbe alioundika hasimu wake, Alikiba kutoshiriki kwenye Tamsha la Wasafi...

READ MORE

Rais Magufuli Asikitishwa na Wizara ya Kilimo

Rais Dkt. John Magufuli amewataka viongozi wa Wizara ya Kilimo, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kubadilika na kuhakikisha...

READ MORE

Aliyemtishia Mwenzake Kumuua kwa Bastola Akamatwa

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Mussa Taibu amesema wamemkamata Shabani Hamis Said ambaye anadaiwa kumtishia kwa Bastola dereva...

READ MORE

Binti Mkulima Ashtua Bongo!

KWENYE mitandao ya kijamii Bongo, kuna binti maarufu aitwaye Nicole Joyce Mbaga (26) ambaye anadaiwa kuwa mkulima anayeishi ‘kama malaika’...

READ MORE

Polisi Yaua Majambazi Wanne Kagera

WATU wanne wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, wamefariki Dunia wakati wakijibizana risasi na Jeshi la Polisi katika eneo la Pori la...

READ MORE

Kundi la IS Latangaza Mrithi wa Abu Bakr al-Baghdadi

KUNDI linalojiita Dola la Kiislamu IS limemtangaza kiongozi wake mpya baada ya kuthibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Bakr al-Baghdadi...

READ MORE

Miss Amtuhumu Rais kwa Kumbaka na Kumdharirisha

Aliyewahi kuwa Mrimbwende wa Taifa la Gambia mwaka 2014, Fatou Jallow amemtuhumu aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Yahya Jammeh kwa...

READ MORE

Mtatiro Apania Kuipaisha Tunduru – Video

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema amejipanga vilivyo kuipaisha wilaya hiyo katika nyanja mbalimbali kimaendeleo.  ...

READ MORE

Sirro Amtaka Aliyemtishia Bastola Mwenzake Kuripoti Polisi

MKUU wa  Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka kijana aliyemtishia mwenzake bastola kuripoti polisi baada ya kuonekana...

READ MORE

ACT Wazalendo Yalalamikia Zoezi la Fomu Uchaguzi S/Mitaa – Video

Siku tatu kabla ya kumalizika kwa muda wa uchukuaji fomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, chama cha ACT-Wazalendo kimedai...

READ MORE

Harusi za Tandika, Baikoko, Mauno Kama YOTEE – Video

Kipindi cha Shughuli Pambe kimebisha hodi hadi Tandika ilikunusanusa zile shughuli za mitaani nakukutana na wanawake wa shughuli mjini, katika...

READ MORE

Tshabalala Alichofanyiwa na Wachezaji Wenzake Noma Sana – Picha

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili...

READ MORE

IDRIS Aripoti Polisi Dar leo -Video ipo Hapa

Msanii wa vichekesho, Idris Sultan leo Ijumaa Novemba 1, 2019 saa 2 asubuhi ameripoti Kituo cha Polisi ‘Central’ jijini Dar...

READ MORE

Angalia Mpoki Alivyochagiza Uzinduzi Wa Smart Kitochi

Kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom jana ilizindua simu mpya inayokwenda kwa jina la Smarti Kitochi. Akizungumza na wanahabari...

READ MORE

Rais Aingilia Kati Maandamano ya Wanafunzi Chuo Kikuu

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameagiza wanajeshi wanaozingira chuo kikuu cha Makerere kwa lengo la kutuliza maandamano waondoke mara moja...

READ MORE

DC Mtatiro Awacharaza Viboko Wanafunzi Watoro – Video

MKUU wa Wilaya ya Tunduru Ndg. Julius Mtatiro ameendeleza kampeni ya kiwilaya ya kupambana na utoro sugu, nidhamu za wanafunzi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Novemba 1, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 1, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

Makonda Apokea Mamilioni Kusaidia Watoto Wenye Matatizo ya Moyo – Video

Ubalozi wa Nchi za Falme za Kiarabu UAE umeendelea kuunga mkono kampeni ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto kutoka familia...

READ MORE

Nandy Awasili na Tuzo Yake Kutoka Marekani

STAA wa wa Bongo Fleva kutoka Tanzania House of Talent (THT) The One and Only African Princess Fausta Charles Mfinaga,...

READ MORE

Mhindi Adakwa na Almasi Mwanza Akisepa Nairobi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama vikiwemo vile vya Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Kizaazaa! Wataka Kutoana Roho Kisa Mali za Urithi – Video

Kizaazaa kimeibuka baina ya wanafamilia wakiwa nagombania mali za urithi…fuatilia mkasa huu kupitia Global Tv online na usisahau kubonyeza batani...

READ MORE

Mgonjwa Afungiwa Ndani kwa Minyoyororo Miezi Miwili

Shadrack Johanes (26), mkazi wa Old Shinyanga, Manispaa ya Shinyanga, amefungiwa chumbani akiwa uchi kwa miezi miwili akiwa amefungwa minyororo...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka Jela 14 kwa Kumuua Mwanamuziki Radio

MTUHUMIWA Godfrey Wamala amekutwa na hatia ya kumuua msanii Moses Sekibogo (Mowzey Radio) bila ya kukusudia. Hukumu hiyo imesomwa licha ya...

READ MORE

CRDB Yapiga Jeki Chuo Cha Polisi Moshi

  Kufuatia changamoto kubwa ya uchakavu wa vyoo vya wanafunzi wa kike katika chuo cha polisi Moshi ambayo imekuwa ikihatarisha...

READ MORE

Mo Dewji Asimulia “Niliwaambia Watekaji Waniue” – Video

BILIONEA kijana Afrika na mmiliki wa mojawapo ya klabu maarufu ya soka Afrika mashariki Simba SC – Mohammed Dewji amezungumza...

READ MORE

Serikali Ilivyojidhatiti Kupeleka Mawasiliano Vijijini

SERIKALI ya Tanzania inatambua umuhimu wa kuwekeza katika mawasiliano kama mkakati mmoja wapo wa kuhakikisha azma ya kuwa nchi ya...

READ MORE

Treni Yawaka Moto, 16 Wafariki Dunia

WATU 16 wamefariki baada ya treni ya mwendokasi kuwaka moto na wengine 13 wamejeruhiwa katika ajali hiyo iliyotokea mapema leo...

READ MORE

Mzee Pinda, Mwakyembe Wahudhuria Kongamano la Wanawake Wajasiriamali

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisalimiana na Meneja Mahusiano Wateja wa Benki ya Taifa ya...

READ MORE

Watuhumiwa wa Wizi wa Tausi wa Ikulu Wahukumiwa – Video

JUMATANO Oktoba 30, 2019, watuhiwa watatu wa kesi ya wizi wa tausi ikulu wameachiliwa huru kwa masharti na Mahakama ya...

READ MORE

Mchungaji Anavyosota kwa Madawa ya Kulevya

MCHUNGAJI mmoja na raia watatu wa Nigeria wamekuwa wakisota mahabusu jijini Dar, kwa zaidi ya miezi saba kwa madai ya...

READ MORE

Vikoba Vyazua Kimbembe

WAJUMBE na viongozi wa Vicoba (Village Community Bank) wa Kikundi cha Amani cha Mtaa wa Ukombozi, Mbezi-Luis jijini Dar, wamekinukisha...

READ MORE

‘Msukule’ Azaua Kizaazaa

KIJANA mmoja ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sasa, amepotea kimaajabu mwishoni mwa wiki iliyopita na kudaiwa kuwa amechukuliwa msukule, hali...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha...

READ MORE