×

Habari

Mafuriko Tanga: Noah Yatumbukia Mtoni, Wanane Wafariki – Video

WATU nane wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, Oktoba 26, 2019 baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wakisafiria...

READ MORE

Meli Mpya MV Victoria Yaanza Kujengwa

WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli inaendelea kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ya kuelekea...

READ MORE

JPM Kupokea Dreamliner Nyingine Mpya Leo

Ndege mpya ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyonunuliwa na Serikali imeondoka nchini Marekani jana...

READ MORE

Viongozi Waandamizi NMB Wawahudumia Wateja Matawini

  Benki ya NMB imeendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja kwa kuwafikia kwa ukaribu zaidi wateja wao. Viongozi Waandamizi...

READ MORE

JPM, Mama Janeth Watoa Pole kwa Familia ya Mapalala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia Bi. Hannah Mapalala Mke wa Marehemu James Mapalala...

READ MORE

Mama Kanumba: Watanzania Msaidieni Mwangu Seth Bosco Anaumwa Amepooza – Video

Mama Kanumba, Flora Mtegoa, leo Ijumaa, Oktoba 25, 2019 amefika katika kipindi cha Front Page cha +255 Global Radio na...

READ MORE

Kesi ya Balali: Wakuu wa Polisi Wafika Mahakamani Kutoa Maelezo

WAKUU wa vituo vya polisi Kijitonyama na Oysterbay leo Ijumaa Oktoba 25, 2019 wameitikia wito wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

Hakimu Kesi ya Aveva, Kaburu… Akwama!

MAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu ameahirisha kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa klubu ya Simba Evans Aveva na aliyekuwa makamu wa...

READ MORE

Kocha Simba Ataja Ushirikina wa Mabao ya Kagere

KOCHA Mkuu wa Simba, Kocha Simba ataja ushirikina wa mabao ya Kagereamefunguka kuwa hana imani kuwa ushirikina unahusika kwenye mabao...

READ MORE

Davido, Chioma Wakianika Kichanga Chao

Mchumba wa Davido, Chioma Rowland ameamua kuufichua hadharani uso wa wao wa kiume baada ya kuanika picha za mtoto huyo...

READ MORE

Mume Amkata Masikio Mkewe kwa Kupoteza Simu

MKAZIwa Kijiji cha Mesaga Wilayani Serengeti Mara, aitwaye Magori anadaiwa kumkata masikio yote mawili Mke wake Mkami Mwitonyi mwenye umri...

READ MORE

Aliyekaa Jela Miaka 43 Akakatwa Mguu, Asimulia Mazito! – Video

Ni SIMULIZI za wazee wafungwa wa maisha jela walioachiwa huru na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John...

READ MORE

Kilichowakuta Wahamiaji Hawa Mikononi mwa Muroto, Hawatasahau!

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia Raia wanne kutoka nchini za Somalia na Ethiopia Kwa kuingia nchini bila kibali...

READ MORE

Wafanyakazi Benki ya NMB wachangia Damu kwa Wagonjwa 240 Ocean Road

Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inakabiliwa na uhaba wa damu hali inayosababisha wakati mwingine huduma kushindwa kutolewa kwa ufanisi....

READ MORE

Mapya Mvutano Mfano Mali za Bilionea Msuya!

SAKATA la wanandugu wa familia ya marehemu bilionea Erasto Simon Msuya, wakazi wa Arusha wanaodaiwa kugombea mali za marehemu, limechukua...

READ MORE

Tamasha Kubwa La Vijana Kulindima Tena

Wanachuo na vijana kutoka pande mbalimbali za jiji la Dar Novemba 15 mwaka huu wanatarajiwa kupata burudani kukusanyika kwenye mkesha...

READ MORE

Harmonize: Nimeuza Nyumba 3 Kuwalipa WCB 500m, JPM Amenipigia Simu Usiku

MSANII aliyekuwa akimilikiwa na Lebo ya WCB, Harmonize amesema kuwa amelazimika kuuza nyumba zake tatu pamoja na mali zake nyingine...

READ MORE

Muuza Matunda Wa Chamazi Ajishindia Mil 100 za Gal’s Sports Betting

Kampuni ya Gal Sports Betting inayojighulisha na ubashiri wa matokeo ya mechi mbalimbali imemkabidhi hundi ya Mil.100 mshindi aliyeibuka na...

READ MORE

Kamwelwe Aagiza Kukamatwa kwa Anayeendesha Aviation TV

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano nchini Tanzania, Isack Kamwelwe ameagiza anayeendesha mtandao wa ATCL Aviation TV kukamatwa kwa kutangaza...

READ MORE

Kassim Majaliwa Akutana na Rais Putin wa Urusi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali...

READ MORE

Vodacom yanyakua tuzo DSE

Kampuni inayoongoza kwa teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, Vodacom imeshinda tuzo ya soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)....

READ MORE

Wakandarasi Wakamatwa Na Polisi Kwa Agizo La RC Makonda – Video

Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar...

READ MORE

Hakimu ‘Akwama’ Kesi ya Kabendera

KESI ya Uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa Habari za Uchunguzi, Erick Kabendera, imeshindwa kuendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu...

READ MORE

Bosi Pyramids Atua Mwanza

BOSI wa Pyramids ya nchini Misri ametua jijini Mwanza jana pamoja na baadhi ya wajumbe wa timu hiyo kwa lengo...

READ MORE

Dun & Bradstreet Yazindua ‘Alama ya Mkopo’

Taasisi inayoongoza kuandaa taarifa za mikopo nchini Dun & Bradstreet Credit Bureau Tanzania Ltd. imezindua mfumo wa alama ya kwanza ya...

READ MORE

Mtoto Miaka 14 Kuolewa, Serikali Yashindwa Kesi

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Msichana Uwezo na mwanaharakati wa haki za mtoto wa kike nchini, Rebeca Gyumi,  ameshinda rufaa...

READ MORE

Muasisi wa CUF (Mzee Mapalala) Afariki Dunia

MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania na mwanzilishi wa Chama cha Wananchi, Mzee James Mapalala amefariki dunia jana Jumatano Oktoba 23, 2019,...

READ MORE

Tigo Pesa yakuza uchumi wa mawakala nchini

Baadhi ya mawakala wa Tigo Pesa hapa nchini wameeleza namna ambavyo wamekuza vipato vyao kupitia utoaji wa huduma ya Tigo...

READ MORE

Mchungaji wa Kike wa Kutetema Atikisa, Amuita mama Kanumba!

MWANZA: Achana na ule upepo wa kisulisuli uliokuwa gumzo kutoka kwa Mchungaji Dk Getrude Rwakatare ‘Mama Rwakatare’, mchungaji mwingine anayejiita...

READ MORE

Mateso Ya Binti Huyu Usisikie!

AMA kweli hujafa hujaumbika! Ni maneno yanayoweza kukutoka utakapomaliza kusoma habari hii juu ya mateso anayopitia binti Fatuma Ally (14),...

READ MORE

Mbunge wa Tandahimba: Sitishiki na Harmonize

MBUNGE wa Tandahimba mkoani Mtwara, Katani Ahmed Katani (CUF) amesema licha ya Rais John Magufuli kumpigia chapuo Mwanamuziki wa Bongo...

READ MORE

JPM Ampa Shavu Mzee Msuya

Rais John Magufuli amemteua Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya, kuwa Mkuu wa Chuo cha Ardhi kwa miaka mingine miwili....

READ MORE

Kisulisuli… Wanawake Wavua Nguo za Ndani Kanisani!

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Church, Zachary Kakobe amesema siku hizi baadhi ya wachungaji na manabii...

READ MORE

Wasomaji Temeke, Mtongani Hawapitwi na Betika

MAPEMA leo Jumatano, timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya Temeke Hospitali, na maeneo ya Mtoni Mtonganio...

READ MORE

UDSM Kuanza Kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Kiswahili

Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) kinataraji kuanza kutoa Mitihani ya Kimataifa ya Ujuzi wa Lugha ya Kiswahili kwa...

READ MORE

JPM Azungumza na Viongozi wa AALCO, Waziri wa China

RAIS John  Magufuli leo Oktoba 23, 2019,  amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi  wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa...

READ MORE

SBL YATIMIZA MIAKA 20 KWA KUZINDUA NEMBO MPYA

  KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imezindua nembo mpya itakayotambulisha na kuonyesha historia ya ukuaji wake tangu ianzishwe...

READ MORE