×

Habari

Man United Yakwama Kwa Eriksen

MANCHESTER United imekwama katika harakati za kutaka kumsajili staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen. Dili hilo limekwama kutokana na kitendo...

READ MORE

Mwinyi Zahera: Msiwe na Hofu, Mambo Saafi

BAADA ya Yanga kuwasili Zanzibar na kuweka kambi ya muda mfupi kuelekea mchezo wao wa kimataifa, kocha mkuu wa timu...

READ MORE

SAMIA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE MORO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu, leo Agosti 8, 2019 ametembelea mabanda ya maonyesho katika...

READ MORE

VIDEO: WALIOFUTIWA KITALU WAMWAMBIA KIGWANGALA ‘HATUKUBALI’

KAMPUNI ya uwindaji ya Green Miles Safari Company leo Alhamisi, Agosti 8, 2019,  imeongea na wanahabari katika hoteli ya Wanyama...

READ MORE

VIDEO: DKT SHEIN AFUNGA MAONESHO YA VIWANDA YA SADC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 08, anafunga rasmi...

READ MORE

ABB Yashinda Maombi ya Mfumo wa Kuwianisha Umeme kutoka Hitachi

KAMPUNI ya ABB leo imetangaza kwamba Hitachi, Ltd. (TSE: 6501, “Hitachi”) imetoa maombi ya kupatiwa mfumo wa ABB Ability™ Network...

READ MORE

DC Longido Aagiza Kuzuiwa Mali za Green Miles

MKUU wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameagiza kuzuiwa kwa mali zote za kampuni ya Green Miles hadi itakapolipa deni...

READ MORE

SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA

  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

READ MORE

Maofisa ardhi 183 wasimamishwa kazi, majina kupelekwa Takukuru

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi  jana Jumatano Agosti 7, 2019, aliwasimamisha kazi watumishi 183...

READ MORE

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ATINGA MAONYESHO YA SADC

MSEMAJI  Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, Agosti 7, 2019 ametembelea Maonyesho ya Wiki ya Viwanda kutoka nchi wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Balama: Huyu mtu hapa Yanga ni kiboko

KIUNGO mpya wa Yanga, Balama Mapinduzi ameonekana kushangazwa na namna ambavyo Kocha Mwinyi Zahera anawanoa. Balama alijiunga na Yanga hivi...

READ MORE

Zahera ampa Sibomana dakika 180 Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuitumia michezo miwili ambayo wataicheza visiwani Zanzibar kama moja ya sehemu za kutafuta...

READ MORE

Bilionea Ashusha Neema Tena Yanga

KAMPUNI ya GSM iliyo chini ya Mkurugenzi, Gharib Mohamed, juzi imeshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya...

READ MORE

Makonda amtembelea kijana mwenye uvimbe usoni

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo amemtembelea kijana aitwaye Hamza Ashiraf ambaye hivi karibuni alimsaidia kwa...

READ MORE

Betika litabaki kuwa juu

WASOMAJI wa Gazeti la BETIKA katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wameonekana kuwa walikuwa na shauku kubwa...

READ MORE

British Airways Lafuta Safari 100

SHIRIKA  la ndege la Uingereza, British Airways,  leo Agosti 7, 2019 limefuta safari za ndege 100 na nyingine 300 kukaa...

READ MORE

KAMISHNA MAGEREZA, AWAVISHA VYEO MAOFISA DAR, PWANI

 KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo,  kuwa Kamishina Msaidizi wa...

READ MORE

Tanzania, Uganda Kujenga Umeme wa Maji Kikagati-Murongo

SERIKALI za Tanzania na Uganda zinatekeleza ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa Kikagati-Murongo, uliopo kwenye mto Kagera...

READ MORE

HAUSIGELI ANAYEDAIWA KUMUUA bosi WAKE KWA SHOKA AHENYA

MIONGONI mwa kesi zenye msisimko wa aina yake na simulizi ya kutisha ni ile ya mauaji inayomkabili aliyekuwa mfanyakazi wa...

READ MORE

Mugabe alazwa hospitali Singapore

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amelazwa hospitalini nchini Singapore, amesema Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa, katika taarifa aliyotoa...

READ MORE

BREAKING NEWS: NDEGE NDOGO YA ABIRIA YAANGUKA MAFIA PWANI

  NDEGE ndogo ya abiria (5H-NOW) iliyokuwa inatokea Zanzibar-Dar es Salaam  kisha kwenda Mafia imeanguka na kuwaka moto maeneo ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU MGENI RASMI SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO

SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na...

READ MORE

Mtoto wa Dereva wa RC Aliyepata Ajali Afariki Dunia

MTOTO wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kasobi Shida ( 26), aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

READ MORE

Balinya, Tshishimbi wafunika utambulisho Yanga

MASTAA wa Yanga, straika Juma Balinya na kiungo Papy Tshishimbi, jana walishangiliwa kwa shangwe nyingi zaidi wakati majina yao yakitajwa...

READ MORE

Kizaazaa ‘mti wa mikosi’ Dar!

MTI aina ya ‘Terminalia Catappa’, unaodaiwa kuwa wa mikosi, umezua kizaazaa upya baada ya watu mbalimbali kuendelea kuukata katika maeneo...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WANAJUMUIYA YA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amefungua maonesho ya wiki ya viwanda kwa nchi wanachama wa...

READ MORE

Baada ya kifo cha Sir Chande BOSI MPYA FREEMASON BONGO ashangaza

MASHARTI ya kumuona bosi mpya wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki ambaye amechukua mikoba ya aliyekuwa kiongozi kabla...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Rugazia Afariki Dunia

JAJI Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania,  Projestus Aloyce Rugazia (pichani),  amefariki dunia Agosti 04, 2019 akiwa anapatiwa matibabu katika...

READ MORE

Erick Kabendera asomewa mashtaka mahakamani

MWANDISHI wa habari Tanzania Erick Kabendera leo, Agosti 5, 2019, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya ya kosa la kimtandao baada...

READ MORE

MSANII WA BOBI WINE ATEKWA NA KUUAWA KIKATILI

MWANAMUZIKI wa nchini Uganda, Ziggy Wine,  ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’  ya mwanamuziki/mwanasiasa  Bobi Wine,  amefariki dunia usiku...

READ MORE

Utapeli kutumia simu za mkononi kuendelea kudhibitiwa

MATAPELI wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo wamefikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu kwa makosa ya...

READ MORE

MTOTO WA DEREVA ANUSURIKA KIFO AKIENDESHA GARI LA SERIKALI

GARI ya Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima,  jana lilipata ajali mbaya iliyosababishwa na mtoto wa dereva wake anayedaiwa...

READ MORE

SWAHILIFLIX Inaweza Kuwajenga au Kuwabomoa Bongo Muvi!

HIVI karibuni kampuni mpya ya kusambaza kazi za wasanii wa filamu ilianzishwa ambapo imewachukua mastaa mbalimbali wa fani hiyo ili...

READ MORE

VIDEO: DINI YA AJABU YAIBUKA DAR, WAUMUNI WAKE HAWAAMINI KIFO!

DUNIA ina mambo! Ukiambiwa kuna imani ya dini inayofundisha waumini wake kwa kutumia vitabu viwili vitakatifu vya Biblia na Quran...

READ MORE

DJ Maarufu Kutoka Sauz Kutua Global Radio Jumatatu

UKIFIKA nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ kisha ukaulizia DJ’s wakali ni wazi utatajiwa DJ Tira, Black Coffee, DJ Oskido, DJ Fresh...

READ MORE

Basi la Hood lapata Ajali Uchira Moshi leo

Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali leo Jumapili,...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAPILI, AGOSTI 4, 2019

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 4, 2019. Ni yale ya...

READ MORE

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA NDEGE TABORA

WATU wawili raia wa Afrika Kusini wamefariki katika ajali ya ndege iliyotokea mapema asubuhi ya leo majira ya saa moja...

READ MORE

VIDEO: RC MAKONDA AWAPA ULAJI WACHONGA VINYAGO NA WACHORAJI

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Agosti 3, 2019 ametangaza akiwa eneo la Mwenge jijini...

READ MORE