×

Habari

JPM Ampongeza RC Chalamila Kuwatimua Wanafunzi

RAIS  John Magufuli amesema alimuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila kuwafukuza shule wanafunzi wote wa kidato cha tano...

READ MORE

JPM Atatua Mgogoro wa Ardhi Mbozi

Rais Dkt. John Magufuli ameagiza wakazi wa kijiji cha Nanyala wilayani Mbozi mkoani Songwe, kuendelea kulitumia eneo lenye ukubwa wa...

READ MORE

JPM: Mmechoma Mahakama, Mtaijenga Wenyewe – Video

Rais wa Tanzania, John Magufuli amefungua jengo la mahakama katika mji wa Mlowo mkoani Songwe baada ya wananchi kumueleza kuwa...

READ MORE

JPM Afunguka Alivyofanya Magumu Usiku wa Manane – Video

RAIS  John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tafiti za Kiafya NIMR, Mwele Malecela, ...

READ MORE

JPM Azindua Kiwanda cha Kahawa Songwe, Atoa Kauli – Video

 RAIS John Magufuli leo Oktoba 4, 2019, amezindua kiwanda cha kukoboa kahawa cha kampuni ya GDH kilichopo Mlowo Wilaya...

READ MORE

Breaking: Nchimbi Aongezwa Stars, Baada Ya Kuifunga Mabao Matatu Yanga

Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Etienne Ndayiragie, amemuongeza katika kikosi cha Taifa Stars, mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Ditram Nchimbi.

READ MORE

Zimbambwe Yatoa Tamko Kuhusu Kutumia Fedha Mpya

SERIKALI ya Zimbabwe imekanusha taarifa iliyotolewa na Eddie Cross kuhusu kuanza kutumika kwa fedha mpya mwezi Novemba 2019, ikisema mtu...

READ MORE

RC Chalamila Awatimua Kidato cha 5 & 6

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amewarudisha makwao wanafunzi wote wa kidato cha tano na sita wa Shule ya...

READ MORE

Kiingereza Cha Bibi Muokota Makopo Dar, Watu Hoi…! – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria...

READ MORE

Ndoa Ya Mashoga Yashangaza Afrika!

SEPTEMBA 28, mwaka huu ilikuwa siku ya historia kwa mashoga maarufu nchini Afrika Kusini, Somizi Mhlongo (mtangazaji na msanii) na...

READ MORE

ATM ya Maziwa Yazinduliwa Moshi

HAKIKA Teknolojia inazidi kukua nchini Tanzania, leo Alhamisi, Oktoba 3, 2019 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira amezindua...

READ MORE

Mchango wa Tigo Katika Intaneti Bongo

Kampuni ya Tigo ambayo kwa sasa ni namba mbili kwa ukubwa hapa nchini.Kwa mujibu wa takwimu za TCRA Tigo ina...

READ MORE

Mshindi Wa App Ya Global Radio Apatikana, Apewa Ofa Ya Chakula

MSHINDI wa kwanza wa shindano la kupakua App ya +255 Global Radio, Iddy Sudi  leo Alhamisi Oktoba 3, 2019 amefika...

READ MORE

Maofisa Upelelezi Kortini kwa Tuhuma za Rushwa

MAOFISA wa upelelezi wanne wa kituo cha Polisi Kawe wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka tisa...

READ MORE

Kikosi Kipya Stars Chatangazwa Kukipiga Na Rwanda Oktoba 14 Kigali

Kikosi cha wachezaji 28 wa Timu ya Taifa “Taifa Stars” walioitwa na Kaimu Kocha, Ettiene Ndairagije kitakachojiandaa na Mchezo wa...

READ MORE

Muongoza Mifumo TANESCO Asimamishwa Kazi Kisa Kukatika Umeme

WAZIRI wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani,  amemsimamisha kazi muongoza mifumo ya umeme wa kituo cha kupoza nishati hiyo cha Ubungo...

READ MORE

Serikali: Korosho Zote Zimeuzwa, Miradi Mingi Yakamilika – Video

SERIKALI imesema kuwa korosho zote moani Mtwara zimeuzwa na unasubiriwa msimu mpya wa zao hilo na kwamba, mamia ya miradi...

READ MORE

RC Chalamila Awacharaza Bakora Wanafunzi, Mabweni Yachomwa Moto

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amewacharaza bakora wanafunzi 14 wa Shule ya Sekondari Kiwanja wilayani Chunya ambao wamekutwa...

READ MORE

Makaburi Ajali ya Mafuta Moro, Yajengewa Ukuta

HATIMAYE ujenzi wa ukuta unaozunguka makaburi ya watu waliofariki kwenye ajali ya mlipuko wa lori la mafuta umeanza.   Hivi...

READ MORE

Uchaguzi Nafasi ya Mbowe, Msajili Aipa Chadema Siku 7

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini amekiandika barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akikitaka kutoa maelezo kwa nini kisichukuliwe...

READ MORE

ACT Wazalendo Kupinga Uteuzi Mkurugenzi NEC Mahakamani

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama hicho kimemuagiza wakili, Jebra Kambole kuangalia misingi ya kisheria ili kufungua...

READ MORE

WANANCHI WAZUA TIMBWILI SERIKALI YA MTAA

WAKAZI wa Mtaa wa Kisiwani, Magomeni – Mikumi, jijini Dar, wameibua timbwili la aina yake ofisini kwa Mwenyekiti wa Serikali...

READ MORE

Chokochocko! Korea Yarusha Makombora

Jeshi la Korea ya Kusini limesema, Korea Kaskazini imerusha makombora kutoka baharini hii leo, Jumatano, Oktoba 2, 2019.   Kwa...

READ MORE

Maajabu Mtoto Mlemavu Bongo, Simulizi Yake Fundisho!

OMARY Jumanne ‘9’ ndiyo mtoto anayeonekana katika picha kubwa ukurasa wa mbele; usimchukulie poa kwa jinsi unavyomtafsiri; Uwazi lina maajabu...

READ MORE

Pundamilia wa Ajabu Aliyepatikana Kenya Ahamia Tanzania

PUNDAMILIA wa ajabu ambaye hivi karibuni alionekana katika mbuga ya wanyama ya Mara nchini Kenya amevuka mpaka na kuingia ndani...

READ MORE

Kigogo TAKUKURU Amwandikia Barua DPP ‘Ninakiri Nisamehe’

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Mipango, Ufuatiliaji na Tathimini wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Kulthum Mansoor ameiambia...

READ MORE

Tanzania Moja wafurahishwa na mapokezi Global

Huu ni mtandao wa Vijana wanaoamini katika kutafuta fursa za vijana na Ushiriki wao wa Moja Kwa Moja kwenye Jitihada...

READ MORE

Milionea Mpya Mwanamke Akabidhiwa Sh Mil. 260 na SportPesa

SCOLASTIKA Ngwalueson ambaye mkazi wa Mbagala jiji la Dar es Salaam leo alikabidhiwa Sh Mil. 260 za Jackpot Bonus ya...

READ MORE

Betika Latinga Ubungo River Side, Makoka

MAPEMA leo Jumatano, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Ubungo River Side, Makoka na maeneo ya...

READ MORE

Kigogo Usalama Mtuhumiwa wa Madawa Akosa Dhamana

OFISA Usalama wa Shirika la Posta Tanzania, George Mwamgabe (44) na dereva Abraham Msimu (54) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Shaffih Dauda Apata Shavu StarTimes

MENEJA Masoko wa Kampuni ya Star Media (T) Limited, David Malisa ameweka bayana kuwa kwenye Chaneli zao za  michezo zilizopo...

READ MORE

TECNO WAZINDUA TECNO Spark 4

KAMPUNI ya simu ya TECNO kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya  Tigo jana wamezindua simu mpya aina ya TECNO...

READ MORE

Uhujumu Uchumi: Wambura wa TFF Akiri kwa DPP

News updates kutoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ni kuhusu aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania...

READ MORE

Prof. Tibaijuka Kurejesha Bilioni 1.6 za Escrow – Video

MBUNGE wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amesema uongozi wa Shule ya Sekondari Barbro Johansson Model Girls utarejesha fedha...

READ MORE

Zahera Arudi Caf na Mbinu Mpya

BAADA ya kuondolewa kwenye raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanika mipango...

READ MORE

Kauli 10 za JPM Zilizosisimua Tangu Aingie Madarakani – Video

NI takribani miaka minne tangu Rais  John Magufuli aingine madarakani katika awamu ya tano kuiongoza Tanzania.   Msingi na mwongozo...

READ MORE

ACB, SAVING BANK NA TAMFI KUTOA ELIMU YA KIBENKI

BENKI inayokua kwa kasi ya Akiba Commercial Bank (ACB) kwa kushirikiana na taasisi za Saving Bank na shirikisho la asasi...

READ MORE

Wanakijiji Waamua Kufuga Pweza – Video

WANAKIJIJI wa Songosongo, Kata ya Songosongo, Kilwa, mkoani Lindi,  wameishukuru serikali kwa kuwaletea mpango wa uhifadhi wa mazingira na utunzaji...

READ MORE

Bibi Mwokota Makopo Maarufu Dar “Naipenda Hii Kazi” – Video

Global TV imefunga safari mpaka maeneo ya Mikocheni kwa Bibi maarufu zaidi eneo hilo ambaye ni wifi wa mama Maria...

READ MORE

Breaking: Wawili Wajeruhiwa Lori la Soda Likigongana na Daladala

WATU wawili wamejeruhiwa vibaya baada ya kutokea ajali iliyohusisha lori lililokuwa limebeba soda, mali ya Kampuni ya Coca-Cola kugongana na...

READ MORE