×

Habari

Nafasi za Kazi 47 Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, President’s Office, Regional Administration and Local Government 47 New Government Job Vacancies at NZEGA District...

READ MORE

Makonda Ashtukiza Ujenzi wa Soko Magomeni – Video

MKUU wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Jumanne, Oktoba 01, 2019 alifanya ziara katika Wilaya ya Kinondoni...

READ MORE

Global Group Kuadhimisha siku Ya Wazee Duniani

Oktoba Mosi kila mwaka ni siku maalum ya Kuadhimisha siku ya wazee Duniani kote ambapo kwa hapa nchini kitaifa yanafanyika...

READ MORE

Championi Latoa Misaada kwa Wagonjwa Hospitali ya Mwananyamala

GAZETI namba moja la Michezo nchini Tanzania, la Championi kupitia kampeni yake ya Tuko Pamoja, leo Jumanne, Oktoba 1, 2019...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Awaapisha Mkurugenzi Mpya NEC Na Balozi

 Rais Dkt John Magufuli, leo Jumanne, Oktoba 01, 2019 amewaapisha viongozi wapya aliowateua akiwamo Mkurugenzi Mpya wa Tume ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashuhudia Usafirishaji Wa Korosho

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea bandari ya Mtwara na ameshuhudia shehena ya korosho ziliyonunuliwa na kampuni ya Tang Long zikipakiwa...

READ MORE

Wafanyabiashara 2 Wahukumiwa Jela Miaka 20

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewahukumu wafanyabiashara wawili, Magdalena Uhwello na Halima Nsubuga,  kulipa faini ya...

READ MORE

Mkurugenzi Aliyempiga Risasi Meneja Ajisalimisha Polisi

MKURUGENZI mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya Bonds Security, Frenk Kessy, hatimaye ametoka mafichoni na kujikabidhi kituo cha Polisi jijini...

READ MORE

WhatsApp Kusitishwa Baadhi ya Simu za iPhone, Window na Android

KWA mujibu wa tovuti ya WhatsApp, hadi kufikia Februari 1, 2020, programu ya WhatsApp itakuwa inafanya kazi kwenye simu za...

READ MORE

Gari la Magereza Lapinduka, Mfungwa Afariki Dunia

MFUNGWA mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari la magereza kupinduka huko Kathageri karibu na Daraja la Thuci,...

READ MORE

China Ya Adhimisha Miaka 70 Kwa Gwaride La Kijeshi

WANAICHI Chini China wamkejitokeza leo katika eneo la Tiananmen Square mjini Beijing kushuudia  gwaride la maadhimisho ya miaka 70 kwa...

READ MORE

Aliyechomwa Visu 17 na Mumewe Ili Auawe, Amsamehe!

PENINAH WANGECHI,  raia wa Kenya aliyechomwa visu mara 17 na mume wake ameondoa kesi dhidi ya mumewe mahakamani na kusema...

READ MORE

Kisa Mkwanja! Wananchi Kijiji Kizima Wameuza Figo Zao

NI jambo la kustaajabisha! Kijiji cha Hokse nchini Nepal kimebatizwa jina jipya la ‘Kidney Village’ kufuatia takribani watu wote wanaoishi...

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Wanaotakiwa Kurekebisha Maombi ya Mikopo 2019/20

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa orodha ya waombaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2019/2020...

READ MORE

Kesi ya Kabendera Yapigwa Kalenda

Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa habari za uchungizi, Erick Kabendera imeahirishwa hadi Oktoba 11, 2019 itakapotajwa tena. Wakili...

READ MORE

SBL yazindua kampeni ya ‘Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto’ Tanga

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imezindua kampeni inayolenga kutoa elimu kwa umma juu ya unywaji wa kistaarabu, ikiwa ni...

READ MORE

Mshindi wa Grammy Award Afariki Ajalini

MSHINDI wa tuzo ya muziki ya Grammy kwa muziki wa reggae, Louie Rankin, aliyepata umaarufu kwa kufanya kazi na nyota...

READ MORE

NMB yatoa Msaada wa Madawati, Vifaa Tiba Mikoa Ya Morogoro, Simiyu na Manyara

    Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 215 katika shule za sekondari Mahenge, Vigoi na Isongo zilizoko Wilayani...

READ MORE

JPM Amwondoa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi

RAIS John Magufuli leo Oktoba 1, 2019,  amefanya uteuzi na kuwahamisha kutoka vituo vyao vya  kazi wakurugenzi wa halmashauri za...

READ MORE

Balinya: Yanga Bado ni ya Kimataifa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mganda, Juma Balinya, ni kama ametupa dongo kwa mashabiki wa Simba baada ya kufunguka kuwa wao bado...

READ MORE

Itakuliza! Msanii Avunjika Mgongo Kimaajabu – Video

KIJANA Zubery Subaha Mkazi wa Bagamoyo mkoa wa Pwani, mwenye umri wa miaka 22 amejikuta hana uwezo wa kuinuka, kugeuka,...

READ MORE

Mpishi Akamatwa kwa Kuchanganya Bangi Kwenye Chakula

NCHINI Italia mpishi mmoja anaejulikana kama Carmelo Chiaramonte amekamatwa na polisi kwa kuchanganya bangi kwenye chakula ili apate viungo vipya...

READ MORE

Mwanamke Anaeishi na Magonjwa Makubwa Matatu, Asimulia – Video

NI mwanamke jasiri, shupavu na shujaa anayepambana na maisha, anajishughulisha huku na kule kuhakikisha familia yake inaishi vizuri na jamii...

READ MORE

Moto Walipuka Kiwandani na Kuua watu 19

MOTO uliolipuka kwenye kiwanda kimoja kilichopo Mashariki mwa nchi ya China katika Jimbo la Ninghai umesababisha vifo vya watu 19....

READ MORE

Akamatwa Baada ya Kujificha Pangoni kwa Miaka 17

Polisi nchini China wamemkamata mhalifu ambaye amekuwa akijificha kwa miaka 17, baada ya kutumia ndege zisizokuwa na rubani kubaini pango...

READ MORE

ALAF Yafungua Duka la Maonesho Kigamboni Dar

Katika kuhakikisha tunasogeza huduma zetu karibu zaidi na wananchi Kampuni inayooongoza kwa uzaliashaji wa mabati bora zaidi na vifaa vingine...

READ MORE

Puma Yampa Makonda Tsh 40m za Upasuaji Moyo kwa Watoto

Kampeni ya Matibabu ya Upasuaji wa Moyo kwa Watoto 10 kutoka familia duni kila mwezi kwa Muda wa Miezi 6...

READ MORE

Lipa Kwa M-Pesa Yaleta Mapinduzi Makubwa

  Kampuni ya mawasiliano ya simu inayoongoza Tanzania, Vodacom, imezindua huduma ya LIPA KWA SIMU katika gulio la M-pesa lililofanyika...

READ MORE

JPM Awaongezea Siku 7 Wahujumu Uchumi Kutubu, Awatahadharisha – Video

RAIS John Magufuli amewaongezea siku saba nyingine watuhumiwa wa makosa ya uhujumu uchumi wanaosota mahabusu ili wakiri makosa yao na...

READ MORE

Kasesela Aomba Radhi Taarifa Feki ya Kifo cha Dkt Salim

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Dkt. Richard Kasesela amewaomba radhi familia na Watanzania wote kuhusu taarifa aliyoitoa kuwa aliyewahi kuwa...

READ MORE

Watu 500 Waliofungwa Katika Jumba la Mateso Waokolewa

JESHI la Polisi nchini Nigeria imefanikiwa kuwaokoa watoto na vijana kutoka katika kituo kimoja ambacho walikuwa wakifanyiwa mateso.   Maafisa...

READ MORE

NMB Yaboresha Mfumo wa Ulipaji Kwa Kutumia Kadi

    UONGOZI wa Benki ya NMB umesema kuwa unazidi kuboresha mifumo ya huduma zao za kadi ili kuhamasisha watalii...

READ MORE

Mai Zumo Atoboa Siri Yake na Waziri Mkuu!

MTOTO aliyejipatia ustaa kupitia mitandao ya kijamii, Maisara Mohammed ‘Mai Zumo’ (5), nyota yake imezidi kung’ara baada ya wiki iliyopita...

READ MORE

Makonda Awataka Wasitishe Ziara Dar kwa Muda – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaomba Mawaziri wanaotaka kufanya ziara za miradi katika mkoa huo, kusitisha...

READ MORE

Mashimo: Nilikuwa Mfanyakazi TANROADS, Wamechukua Spika Zangu

MCHUNGAJI Daud Mashimo amesema kuwa kabla ya kuwa mchungaji aliwahi kufanyakazi katika ofisi ya Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kama...

READ MORE

Mwili wa Rais Mugabe Wazikwa Kijini Kwao – Pichaz

Hatimaye mwili wa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe umezikwa jana Jumamosi, Septemba 28, 2019 kijijini kwake Kutama katika Wilaya...

READ MORE

Video: Alichozungumza Prof Kabudi Mkutano Wa 74 Umoja Wa Mataifa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amehutubia Mkutano wa 74 wa Umoja wa...

READ MORE

Kampuni binafsi ya ulinzi SGA yatoa mafunzo ya usalama bure

Kampuni ya ulinzi, SGA Security, imetoa mafunzo ya bure ya usalama kama sehemu ya utoaji wa huduma kwa jamii na...

READ MORE

Nyoka Avamia Mkutano wa Majaliwa, Askari Amdhibiti

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemzawadia Askari Polisi PC Alphonce Daniel Mwambenga sh. 200,000 kutokana na ujasiri wake wa kumdhibiti kwa...

READ MORE