×

Habari

Ramaphosa Amteua Aliyekuwa Gavana BoT

RAIS Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amemteua Prof. Benno Ndulu kuwa miongoni mwa watu 18 wanaounda baraza la kumshauri  katika...

READ MORE

Undani Mchungaji Aliyemfumania Mkewe Kisha Kujiua!

MAMBO mengi mno yanazungu-mzwa juu ya simanzi kuu iliyotawala katika familia ya mchungaji maarufu jijini Harare nchini Zimbabwe, Berry Dambaza...

READ MORE

Ukombozi wa Fikira; Kitabu Kinachogusa Wengi – Video

“UKIANZA kusoma ukurasa wa kwanza hadi wa mwisho hutatamani kukiweka chini. Ni kitabu kinachowainua vijana wengi na kuwasaidia katika kujiajiri...

READ MORE

Simanzi Nzito! Mazishi ya Mtoto wa Jen. Mabeyo – Pichaz

MAMIA ya wananchi kutoka mikoa ya Simiyu, Mara, Shinyanga, Mwanza na Dar es Salaam wameshiriki katika maziko ya mtoto wa...

READ MORE

Neema ya Mungu + Kanuni = Mafanikio!

­­ KWA neema ya Mungu nimefika hapa nilipo maishani mwangu, ndicho ninachoweza kusema, lakini pamoja na neema hiyo, sheria ilikuwa...

READ MORE

NMB Yaahidi Makubwa Kikao Kazi Cha Maofisa Wa Polisi

  BENKI ya NMB, imewahakikishia askari wa Jeshi la Polisi na wafanyakazi wa Serikali nchini, huduma bora, rafiki na sahihi...

READ MORE

DC Kilolo Akalia Kuti Kavu, Majaliwa Aagiza Achunguzwe – Video

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amemwagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happi,  afuatilie utendaji kazi kwenye ofisi ya Mkuu wa...

READ MORE

TCRA Yaifungia Kwanza TV Miezi 6

KAMATI ya maudhui ya TCRA imeifungia televisheni ya mtandaoni ya Kwanza kwa muda wa miezi sita baada ya kukutwa na...

READ MORE

Mapya Yaibuka Sakata la Griezmann

MAMBO mapya yameibuka kuhusiana na sakata la Antoine Griezmann kujiunga na Barcelona. Atletico Madrid imelalamikia kitendo cha Griezmann kusajiliwa na...

READ MORE

Lil Ommy: Watangazaji Bongo Tuache Ushamba

MFALME wa mahojiano Bongo (King Of Interviews), Omary Tambwe maarufu kama Lil Ommy, THE MVP – amewataka watangazaji nchini kuacha...

READ MORE

Familia ya Mugabe Yaigomea Serikali, Yaweka Msimamo

FAMILIA ya aliyekuwa rais wa Zimbabwe, hayati Robert Mugabe, imebadili msimamo wake na kuamua kuwa mwili wa kiongozi huyo utazikwa...

READ MORE

Dhamana ya Aveva, Kaburu Ngoma Bado Mbichi!

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi juu ya dhamana ambayo walifutiwa waliokuwa viongozi wa Klabu ya Simba, Evans...

READ MORE

Kilichojiri Kesi ya Madawa ya Shamim Mwasha, Mumewe

UPANDE wa mashtaka umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi inayomkabili Blogger, Shamim Mwasha (41) na mumewe,...

READ MORE

Oprah Asumbuliwa na Ugonjwa Hatari

MTANGAZAJI maarufu nchini Marekani, Oprah Winfrey, amekiri kusumbuliwa na ugonjwa hatari unaotishia maisha yake, ugonjwa ambao haupewi kipaumbele na mamia...

READ MORE

DC Jokate aandika historia!

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, DC Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameandika historia baada ya kumkabidhi nyumba mama aliyejifungua...

READ MORE

GIZA AJALI ZA NDEGE BONGO

DAR: Kufuatia ajali ya ndege ndogo ya Shirika la Auric Air iliyotokea Jumatatu ya Septemba 23 na kusababisha vifo vya...

READ MORE

Watoto Wawili Wauawa, Kisa? Kujisaidia Hadharani

MAMILIONI ya raia wa India walio masikini wanaendelea kujisaidia haja kubwa hadharani. Wanaume wawili katika jimbo la kati la India,...

READ MORE

Mtoto wa Mfalme Akiri Kuhusika na Mauaji ya Khashoggi

MTOTO wa mfalme wa Saudi Arabia amesema anahusika katika mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi mwaka jana kwa vile...

READ MORE

Huku Akiachiwa Watoto 5, Mke Adai Polisi Kuua Mumewe!

HAPPINES Massawe (30), mkazi wa Pugu, Kigogo-Freshi, Dar amewatuhumu polisi kusababisha kifo cha mumewe, Mohammed Chubi (28) baada ya kumchukua...

READ MORE

Wateja Wa Tigo Mwanza kufikiwa kiurahisi Baada Ya Ufunguzi Wa Duka Jipya

Kampuni inayoongoza katika maisha ya kidijitali  Tanzania,Tigo, leo imefungua duka jipya jijini Mwanza.Duka hilo litawafanya wateja wa kampuni hiyo kupata huduma...

READ MORE

Amuuwa Mwenzake Kisa Kunyimwa Supu ya Kuku

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara, imemuhukumu adhabu ya kifo mkazi wa Kata ya Chikonji, Manispaa ya Lindi, Mohamedi...

READ MORE

Nyambizi Yanaswa na Shehena ya Madawa Baharini

NYAMBIZI katika bahari ya Pacific imekutwa ikiwa na zaidi ya dawa za kulevya pauni 12,000 zenye thamani ya dola za...

READ MORE

Mbaroni kwa Kutaka Kumpindua Rais

Mamlaka za Usalama zimewakamata watu watatu pamoja na vifaa vya milipuko na silaha zingine za kivita wakidaiwa kupanga njama za...

READ MORE

Askari wa JWTZ Wafariki kwa Ajali Katavi

ASKARI wawili wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) kikosi cha 24KJ Mkoani Kigoma, wamefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa katika ajali...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Ufaransa Afariki Dunia

RAIS wa zamani wa Ufaransa, Jacques Chirac, aliyeiongoza Ufaransa kati ya mwaka 1995 na 2007, ameaga dunia Alhamisi (26.09.2019) akiwa...

READ MORE

JPM Afanya Uteuzi Bodi ya Gesi, NIT, UDSM & NIMR

Rais Dkt. John Magufuli amteua Dkt. Leonard Chamriho kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Uwekezaji na Mapato ya Mafuta...

READ MORE

Giza Nene Latanda Simba, Winga Wao Wa Zamani Afariki Dunia

Winga wa zamani wa Simba SC, wetu wa kushoto katika miaka ya sabini, Abbas Dilunga, amefariki jana na anatarajiwa kuzikwa...

READ MORE

Polisi Wala Bingo Kutoka NMB

BENKI ya NMB, imewahakikishia askari wa Jeshi la Polisi na wafanyakazi wa Serikali nchini, huduma bora, rafiki na sahihi za...

READ MORE

Mwanajeshi Akamatwa Akitoa Mafunzo ya Kutengeneza Bomu

FBI nchini Marekani limemkamata mmwanajeshi mmoja kwa kutuhumiwa kusambaza taarifa za kutengeneza mabomu kwenye mitandao ya kijamii. Mwanajeshi huyo Jarrett...

READ MORE

AKIBA COMMERCIAL YAJA KIVINGINE KABISA

Benki ya Akiba  Commercial imekuja kivingine kwa kuanzisha huduma ya LIP ambayo mteja atatakiwa kuwa na akaunti ya malengo ambayo...

READ MORE

China Yazindua Uwanja wa Ndege Mkubwa Zaidi Duniani

NCHI ya China imezindua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Daxing, ambao ni mkubwa zaidi duniani ambao umegharimu zaidi dola...

READ MORE

Baba wa Nelson Aliyefariki na Mtoto wa Mabeyo, Anatia Huruma – Video

Wilibart Olotu, baba mzazi wa marehemu Nelson Olotu amelezea kwa masikitiko taarifa za kufariki kwa mtoto wake na kuelezea ratiba...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Apiga Marufuku Kuishangilia Simba

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Michael Gaguti, amepiga marufuku wananchi wa mkoa wake kuishangilia Simba, pindi itaposhuka uwanjani...

READ MORE

Arejea Kwake Baada ya Miaka 51, Afanyiwa Bonge la Pati – Video

Waswahili wanasema usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Mara kadhaa huwa tnasikia tu kuhusu watu kupotea katika mazingira ya...

READ MORE

Yanga Yaandaliwa Mapokezi Mazito Zambia

KIKOSI cha Yanga kimeondoka Jana Jumanne kuelekea nchini Zambia tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Zesco United...

READ MORE

BETIKA LINA WA BAMBA TU

MAPEMA leo Jumatano, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Changanyikeni, Oysterbay, Namanga, Kinondoni Block 41, Kinondoni,...

READ MORE

INASIKITISHA SANA… DENTI APATA JANGA ZITO!

AMA kweli hujafa hujaumbika! Mtoto Sharifa Habibu (16) mkazi wa Kihonda Manyuki Mkoani Morogoro ambaye ni denti wa kidato cha...

READ MORE

MFANYABIASHARA ATEKWA, AJERUHIWA VIBAYA KICHWANI

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Innocent Shirima (pichani), mkazi wa Salasala jijini Dar es Salaam, ametekwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye...

READ MORE