×

Habari

BREAKING: MKUU WA MAJESHI ETHIOPIA AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI

Mkuu wa majeshi wa Ethiopia Searre Mekonnen, ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake. Msemaji wa waziri mkuu wa Ethiopia...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFIKA KUTOA POLE KWA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR KWA KUFIWA NA MKE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli leo Juni 23, 2019 amefika kutoa mkono wa pole...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFIKA NYUMBANI KWA TARIMBA KUMPA POLE (PICHA+VIDEO)

Rais Magufuli leo amefika nyumbani kwa Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Kampuni ya SportPesa, Abbas Tarimba Abbas Kinondoni jijini Dar es...

READ MORE

KIFO CHA BIBI HARUSI ALIYEKUFA AKIENDA SEND OFF DAR BWANA HARUSI ATAK A KUJIUA

MSIBA wa bibi harusi, Diana Jackson aliyefariki dunia kwa ajali wakati akienda kwenye ‘Send Off’ yake Dar es Salaam, umemvuruga...

READ MORE

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU WANAOSHITAKIANA MABARAZA YA ARDHI KUGHARIMIA USAFIRI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amepiga marufuku wananchi wanaoshitakiana katika Mabaraza ya Ardhi...

READ MORE

IGP SIRRO ASHIRIKI MBIO ZA KM 10 ZA MARATHON

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amewaongoza vijana wa rika mbalimbali katika mashindano ya mbio za Dassani...

READ MORE

BREAKING: MKUU WA MAJESHI ETHIOPIA APIGWA RISASI KATIKA JARIBIO LA MAPINDUZI

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametoa taarifa ya kuwa Mkuu wa Majeshi, Seare Mekonen amepigwa risasi jana Jumamosi jioni...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MISA  YA MAADHIMISHO YA EKARISTI KANISA LA MTAKATIFU PETRO DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Padre Dkt. Alister Makubi, Paroko wa...

READ MORE

BAADA YA MUMEWE KUFARIKI BIBI YAMKUTA MAZITO

UKIONA mtu mzima analia, basi ujue kuna jambo! Haya ni maneno yanayopatikana kwenye wimbo wa Kilio cha Mtu mzima ulioimbwa...

READ MORE

Hotel ya Kitalii ya Snowcrest Arusha Yadaiwa Kufilisiwa

  HOTELI ya kitalii ya Snowcrest iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, inadaiwa kufilisiwa rasmi  baada ya kushindwa kujiendesha kutokana...

READ MORE

MAZIKO YA VAILETH — DADA WA SHIGONGO — YALIVYOKUWA BUPANDWAMHELA

MWILI wa marehemu Vaileth James Bukumbi, dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, hatimaye umelazwa katika...

READ MORE

Msiba wa Vaileth Bukumbi…. DC Magu “Taifa Limepoteza Mpambanaji

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umeagwa na kuzikwa...

READ MORE

Tigo Yawakabidhi Tiketi Washindi wawili Kushuhudia AFCON

Kupitia droo ya pili ya promosheni ya SOKA LA AFRIKA, kampuni ya Tigo imewatangaza washindi wengine wawili na kuwakabidhi tiketi...

READ MORE

VAILETH BUKUMBI — DADA WA SHIGONGO — AZIKWA SENGEREMA LEO

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umezikwa  leo Ijumaa,...

READ MORE

Historia Fupi ya Marehemu Vaileth Bukumbi, Dada wa Shigongo

  MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, unaagwa leo...

READ MORE

Ibada Kumuaga Dada wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela (Pichaz)

IBADA ya kuuaga mwili wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi,...

READ MORE

Tigo na DStv wazindua kifurushi cha kuangalia michuano ya AFCON

  Wateja wa Tigo na DStv sasa wataweza kufurahia mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika mubashara wakiwa sehemu yeyote...

READ MORE

TID Yamkuta Mazito, Apata Kichapo – Full Video

MSANII wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed ‘TID’, jana aliposti picha kwenye ukarasa wake wa Instagram ikimuonyesha akiwa na uvimbe na...

READ MORE

VILIO! Mwili wa Dada wa Shigongo Wawasili Bupandwamhela – (Pichaz + Video)

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umewasili leo Alhamisi,...

READ MORE

MAKONDA ATOA HEKARI 15 KWA TAIFA STARS, AONYA ‘WANAOHOJIHOJI’ – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameahidi kutoa eneo la hekari 15 kwa shirikisho la soka nchini...

READ MORE

Washindi wengine waibuka kwenye droo ya pili ya M-Pawa

CBA/Vodacom wamefanya droo yao ya pili ya promosheni yao ya Kukopa na kuwekeza na M-Pawa inayoendelea katika kusherehekea miaka 5...

READ MORE

IGP Sirro Awatoa Hofu Wananchi Tishio la Ugaidi Tanzania

  JESHI la Polisi nchini  limewatoa hofu wananchi juu ya tishio la ugaidi katika maeneo ya Masaki jijini Dar es...

READ MORE

MWILI WA DADA WA SHIGONGO WATOLEWA MOCHWARI MWANZA

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, leo umetolewa katika...

READ MORE

HII NI AIBU NZITO KIGOGO MATATANI KWA MKE WA MTU

DAR ES SALAAM: Ukiambiwa mke wa mtu sumu na ukaendelea kubisha yatakufika mazito kama ambavyo kigogo wa Wizara ya Maliasili...

READ MORE

DENTI CHUO KIKUU ALIYEUAWA KWA VISU UTATA MZITO

KIFO cha mwanafunzi wa Kampala International University (KIU), Anifa Mgaya aliyeuawa kwa kuchomwa kisu Jumapili iliyopita kimeibua utata kufuatia muuaji...

READ MORE

VIDEO: ALIYEUA MWANAFUNZI WA KIU AKAMATWA NA POLISI

JESHI  la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumkamata Ernest Joseph (19) kwa tuhuma za mauaji ya mwanafunzi wa...

READ MORE

BETIKA HALINA MPINZANI MTAANI

WASOMAJI wa Gazeti la Betika mitaa ya Mwanyamala na Kinondoni Mkwajuni, wamesema kuwa gazeti hilo limeendelea kuwa msaada mkubwa kwao...

READ MORE

MPINA AZITAKA TAASISI ZA UTAFITI KUONGEZA JUHUDI

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, amezitaka taasisi za utafiti wa mifugo nchini kuhakikisha zinafanya tafiti zaidi nchini  kwa...

READ MORE

Idadi ya Watu Duniani Sasa Bilioni 7.7, Tanzania Mil 60

KWA mujibu wa takwimu zilizotolewa juzi na Shirika la Umoja wa Mataifa katika kitengo cha takwimu za ongezeko la watu...

READ MORE

Trump Azindua Kampeni Zake za Uchaguzi Mkuu 2020

RAIS wa Marekani, Donald Trump,  amezindua kampeni zake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambapo ameuthibitishia umma wa...

READ MORE

NAPE Awatetea Akina DIAMOND, ALIKIBA Bungeni “Sheria Ibadilishwe” – Video

IKIWA ni siku chache tangu kuwasilishwa kwa Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019 /20, wabunge wameendelea kutoa...

READ MORE

Wanasayansi wagundua chumvi Mwezini

BAHARI kubwa inayopatikana katika mwezi wa sayari ya Jupiter ina chumvi kama ile inayotumika katika sayari hii (duniani).   Kulingana...

READ MORE

Wakutwa Mlimani Wakitaka Kumtoa Kafara Mtoto

JESHI  la Polisi Mkoani Ruvuma linawashikilia watuhumiwa wanane wakiwemo wanne wa kutoka mkoani Njombe wakitaka kumtoa mtoto mdogo kafara katika...

READ MORE

Rais Morsi Azikwa Saa Chache Baada ya Kufariki Dunia

RAIS  wa zamani wa Misri, Mohamed Morsi, amezikwa saa chache baada ya kufariki dunia akiwa mahakamani siku ya Jumatatu. Wakili...

READ MORE

Watumishi 7 NIDA Wanaswa na Vitambulisho 15,000, BVR na Vifaa Kibao

WATUMISHI saba wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), wanashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani, kwa tuhuma za...

READ MORE

Lori Lagonga Treni Dodoma, 29 Wajeruhiwa

Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi...

READ MORE

RAIS WA ZAMANI UEFA, MICHEL PLATINI AKAMATWA NA POLISI

RAIS wa zamani wa shirikisho la soka Ulaya (Uefa),  Michel Platini,  amekamatwa ikiwa ni sehemu ya uchunguzi unaoendelea dhidi ya...

READ MORE

Inasikitisha! Mtoto Miaka 16 Alivyobobea Kwenye Ukahaba – Video

Ni kisa cha kusisimua cha Binti (Jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka 16, ambaye amemaliza darasa la saba na kushindwa...

READ MORE