×

Habari

Dembele Aharibu Barcelona

WINGA wa Barcelona, Ousmane Dembele ameanza vitimbi baada ya majuzi kudaiwa kwenda zake nchini Senegal kwa shughuli ya kifamilia. Dembele...

READ MORE

Familia Yapinga Mahakamani Wosia Wa Mengi, Mazito Yaibuka!

FAMILIA ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Marehemu Dkt. Reginald Mengi imewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu, ikipinga...

READ MORE

Njemba Anaswa na Video 555 za ‘Ngono’ Kwenye Begi

RAIA mmoja wa Colombia ambaye jina lake halikutajwa, ameshikwa na polisi wa Hispania akiwa na video 555 zenye kuonyesha sehemu...

READ MORE

NMB YAAHIDI KUENDELEA KUDHAMINI MASHINDANO YA GOFU

WACHEZAJI wa mchezo wa Gofu zaidi ya 100 wanatarajia kushiriki mashindano ya mchezo huo yanayotarajiwa kufanyika Septemba 7 na Septemba...

READ MORE

TFF ya Botswana Wairahisishia Kazi Yanga

WAKIJIANDAA na mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, Yanga wamepewa uwanja wa kufanyia mazoezi na Shirikisho la Soka la...

READ MORE

WANAHISA 400 WA MCB WAKUTANA MTWARA KWENYE MKUTANO

    WANAHISA zaidi ya 400 wa Mwalimu Commercial Bank Plc (MCB) wamekutana mjini Mtwara katika mkutano wa mwaka (AGM)...

READ MORE

Tshishimbi Kufanya Mambo

NAHODHA wa Yanga, Mkongo Papy Kabamba amejipanga kushinda dhidi ya Township Rollers na akasisitiza wanahitaji kupata mabao ya mapema zaidi...

READ MORE

Rais Kim Jong Un Amvimbia Rais Trump

KOREA Kaskazini imesema haioni manufaa ya majadiliano kati yake na Marekani, hadi Marekani isitishe kile ilichokiita hatua za uhasama za...

READ MORE

Museveni, Kagame Wamaliza Tofauti Zao

MARAIS Yoweri Museveni wa Uganda na Paul Kagame wa Rwanda wamesaini makubaliano ya amani katika mji mkuu wa Angola, Luanda,...

READ MORE

Tambwe Yanga Wamewafunika Simba

  WAKATI kikosi cha Yanga kikitarajia kushuka uwanjani Jumamosi ya wiki hii huko nchini Botswana, safu ya ulinzi ya timu...

READ MORE

Daktari Bingwa Aeleza Sababu Vifo vya Majeruhi wa Moro Kufikia 100

DAKTARI bingwa wa upasuaji katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dk. Laurian Rwanyuma amesema majeruhi wa ajali ya lori la...

READ MORE

Zahera Amuacha Kiungo Yanga

AKIWA na uhakika wa safari ya Botswana, kiungo mshambuliaji, Jaffer Mohamed ‘rasta’ juzi alikatwa dakika za mwisho na kuwekwa mshambuliaji...

READ MORE

Kigogo walipa Betika heshima yake

WASOMAJI wa Gazeti la BETIKA maeneo ya Kigogo Sambusa jijini Dar es Salaam, wamesema kuwa, wamekuwa wakilifuatilia gazeti hilo, hivyo...

READ MORE

Yanga watibua mbinu Rollers kibabe

TUMEWATIBULIA! Hivyo ndivyo viongozi wa Yanga wanatamba ni baada ya kushtukia janja ya wapinzani wao Township Rollers ya nchini Botswana....

READ MORE

Airtel yazindua huduma ya kutuma fedha nje ya nchi

  Kampuni ya simu za mkononi Airtel Tanzania imeendelea kuimarisha huduma zake za Airtel Money ambapo kwa sasa mteja anaweza...

READ MORE

Ajibu Atuma Salamu za Vitisho Simba

BAADA ya kuwa nje kutokana na majeraha na kurejea kwenye mazoezi straika wa Simba Ibrahim Ajibu, amefunguka kuwa ameanza mazoezi...

READ MORE

Facebook Yaanzisha Programu Kulinda Kuingiliwa Data Zako

MTANDAO wa FACEBOOK umeanzisha mfumo wa kufichua data inazozikusanya kutoka kwa watumiaji wake.   Wengi hawapendi wanachokiona. Programu iliyowekwa na mtandao...

READ MORE

Mwenge Watua Ikungi, DC Apongezwa

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Mhe Edward Mpogolo amepongezwa kwa namna ambavyo ameweza kusimamia miradi ya maendeleo ndani ya muda...

READ MORE

Arusha: Mbaroni kwa Tuhuma za Kumuua Mkewe

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia dereva wa kampuni ya utalii ya Mt Kilimanjaro Safari’s, Julius Kabora (45), kwa...

READ MORE

Shiboub Ampoteza Okwi Simba

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ambaye amesajiliwa na klabu ya Al Ittihad ya Misri msimu huu hatashiriki michuano...

READ MORE

Waliofariki kwa Ajali ya Moro Wafikia 100

Majeruhi wa ajali ya lori kulipuka moto Morogoro waliofariki jana Agosti 20, 2019 ni; 1. Mazoya Sahani 2. Khasim Marjani...

READ MORE

Kibatala Ampiga Maswali Askari Aliyetoa Ushahidi wa Video Kesi Mbowe

SHAHIDI wa sita wa upande wa Jamuhuri katika kesi ya tuhuma za uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema akiwemo Mwenyekiti...

READ MORE

Watano Wasakwa kwa Tuhuma za Kumteka Mo Dewji

Upande wa mashtaka katika kesi ya kutekwa kwa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ umedai kuendelea na taratibu za kuwatafuta watuhumiwa watano...

READ MORE

JPM Atembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametembelea na kukagua utendaji kazi wa Maabara ya Mkemia...

READ MORE

Binti Amuua Mwanaye, Ajinyonga

BINTI wa miaka 22, Ephrazia Maneno, mkazi wa Kijiji cha Nyaseke, Kata ya Bulela mjini Geita,  anadaiwa kumuua kwa kumnyonga...

READ MORE

Mke, Mume Jela kwa Kuwakeketa Watoto Wao

MAHAKAMA ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara imewahukumu kifungo cha miaka mitano jela, Thadei Parokwa (43) na mke wake Lowema...

READ MORE

Rihanna Arudi Kwenye Gemu Kwa Kishindo

BAADA kukaa kimya kwenye muziki kwa miaka mitatu bila kuachia ngoma yoyote, mwanamuziki wa miondoko ya pop nchini Marekani mwanadada...

READ MORE

Maajabu ya Programu Inayookoa Maisha ya Watu

POLISI nchini Uingereza wametaka kila mtu kupakua programu-tumishi ya simu ya mkononi wakidai kuwa programu hiyo imeshaokoa baadhi ya maisha...

READ MORE

Huu Ndo Mti Mrefu Zaidi Kuliko Yote Duniani

WANASAYANSI nchini Uingereza na Malaysia wanasema kuwa wamegundua mti mrefu zaidi duniani wenye urefu wa zaidi ya mita 100.  ...

READ MORE

Picha: Balozi wa Rwanda Amuaga Spika Ndugai

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura leo Agosti 20, 2019 amemtembelea Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ofisini...

READ MORE

Rais al-Bashir Mahakamani, Akiri Kupokea Rushwa ya USD 90m

Upande wa mashitaka katika kesi ya ufisadi inayomkabili rais wa zamani wa Sudan, Omar al-Bashir, umeiambia mahakama mjini Khartoum leo...

READ MORE

Msanii Amuua Mwenzake kwa Kumchoma Kisu Kifuani Kisa Maiki – Video

MSANII achomwa kisu wakati wakigombea maiki na wenzake, taarifa zinaeleza kuwa kijana huyo aliyejulikana kwa jina la Yusuph mwenye umri...

READ MORE

Mkurugenzi Aliyerudishwa Kazini na JPM Aachiwa Huru – Video

VIGOGO watano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Mataragio wameachiwa huru leo...

READ MORE

Shinyanga: Mbaroni kwa Kukutwa na Dhahabu Bandia

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia watuhumiwa watatu kwa kukutwa na vipande 10 vya madini bandia aina ya dhahabu wakiwa...

READ MORE

Mwanafunzi Darasa la 3 Apigwa Mimba

NI maajabu! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Pangatena kupata ujauzito. Mwanafunzi...

READ MORE

Kilichoonekana Kwenye Video ya Ushahidi Kesi ya Mbowe

VIDEO ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe na wenzake, iliyoibua mvutano katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Balaa la Maandamano ya Wananchi Hong Kong

LICHA ya mvua kali iliyokuwa ikinyesha Hong Kong, umati wa watu, wakiwamo wazee, walijiunga na wanaharakati vijana na watu wengine...

READ MORE

Kesi ya Mbowe, Wenzake: Ushahidi wa Video Kutolewa Mahakamani

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeridhia kuonyeshwa video inayodaiwa kubeba matukio yanayomhusisha Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

Lori la Mafuta Lalipuka Uganda, Watu 9 Wafariki

MLIPUKO wa lori la mafuta nchini Uganda umesababisha vifo vya watu tisa na wengine kadhaa kujeruhiwa.   Tukio hilo limetokea...

READ MORE