×

Habari

VIDEO: 62 Wafariki Ajali ya Lori la Mafuta Moro, 70 Wajeruhiwa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Stephen Kebwe,  amesema imepatikana miili ya watu 60 waliokufa kutokana na malipuko wa moto...

READ MORE

RAIS MAGUFULI ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI AJALI YA LORI MOROGORO

Rais Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watu zaidi ya 60 na majeruhi takribani 70...

READ MORE

Msemaji wa Serikali, Polepole Wafunguka Ajali ya Lori Moro

MKURUGENZI  wa Idara ya Habari (Maelezo) ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas, na Msemaji wa Chama...

READ MORE

BREAKING: LORI LA MAFUTA LALIPUKA, LAUA WATU 55 MORO (PICHA +VIDEO)

LORI la mafuta limelipuka asubuhi hii Agosti 10, 2019, maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro na kuua watu zaidi ya  57...

READ MORE

Sibomana Aimaliza Township

IKIWA imesalia saa chache kabla ya Yanga kushuka uwanjani kukipiga mechi ya kimataifa, kuna habari njema kwa mashabiki wa timu...

READ MORE

WAJUMBE SADC WATEMBELEA VIWANDA 21, WAKOSHWA NA JUHUDI ZA SERIKALI

WAJUMBE wa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo kwa Nchi za Kusini mwa Afrika(SADC) wametapa nafasi ya kutembelea viwanda...

READ MORE

VIDEO: TAKUKURU ‘YAMFUKUZA’ KAZI AFISA WAKE ALIYEOMBA RUSHWA!

  Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na rushwa (Takukuru), Cosmas Batanyita (44), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

PIKIPIKI YASABABISHA BASI LA ABOOD KUPINDUKA

BASI  la kampuni ya Abood linalofanya safari zake kati ya Dar es salaam na Mwanza limepata ajali mapema leo  Agosti...

READ MORE

Madai mazito… AMKATA MKEWE SHINGO AKITUBU“

“MUME wangu kama nimekukosea nisamehe,” mwanamke mmoja, Pendo Patrick (30) mkazi wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, wilayani Kahama,...

READ MORE

Man United Yakwama Kwa Eriksen

MANCHESTER United imekwama katika harakati za kutaka kumsajili staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen. Dili hilo limekwama kutokana na kitendo...

READ MORE

Mwinyi Zahera: Msiwe na Hofu, Mambo Saafi

BAADA ya Yanga kuwasili Zanzibar na kuweka kambi ya muda mfupi kuelekea mchezo wao wa kimataifa, kocha mkuu wa timu...

READ MORE

SAMIA AFUNGA MAONYESHO YA NANENANE MORO

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu, leo Agosti 8, 2019 ametembelea mabanda ya maonyesho katika...

READ MORE

VIDEO: WALIOFUTIWA KITALU WAMWAMBIA KIGWANGALA ‘HATUKUBALI’

KAMPUNI ya uwindaji ya Green Miles Safari Company leo Alhamisi, Agosti 8, 2019,  imeongea na wanahabari katika hoteli ya Wanyama...

READ MORE

VIDEO: DKT SHEIN AFUNGA MAONESHO YA VIWANDA YA SADC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 08, anafunga rasmi...

READ MORE

ABB Yashinda Maombi ya Mfumo wa Kuwianisha Umeme kutoka Hitachi

KAMPUNI ya ABB leo imetangaza kwamba Hitachi, Ltd. (TSE: 6501, “Hitachi”) imetoa maombi ya kupatiwa mfumo wa ABB Ability™ Network...

READ MORE

DC Longido Aagiza Kuzuiwa Mali za Green Miles

MKUU wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe, ameagiza kuzuiwa kwa mali zote za kampuni ya Green Miles hadi itakapolipa deni...

READ MORE

SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA

  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

READ MORE

Maofisa ardhi 183 wasimamishwa kazi, majina kupelekwa Takukuru

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , William Lukuvi  jana Jumatano Agosti 7, 2019, aliwasimamisha kazi watumishi 183...

READ MORE

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI ATINGA MAONYESHO YA SADC

MSEMAJI  Mkuu wa Serikali, Dkt.Hassan Abbasi, Agosti 7, 2019 ametembelea Maonyesho ya Wiki ya Viwanda kutoka nchi wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Balama: Huyu mtu hapa Yanga ni kiboko

KIUNGO mpya wa Yanga, Balama Mapinduzi ameonekana kushangazwa na namna ambavyo Kocha Mwinyi Zahera anawanoa. Balama alijiunga na Yanga hivi...

READ MORE

Zahera ampa Sibomana dakika 180 Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amepanga kuitumia michezo miwili ambayo wataicheza visiwani Zanzibar kama moja ya sehemu za kutafuta...

READ MORE

Bilionea Ashusha Neema Tena Yanga

KAMPUNI ya GSM iliyo chini ya Mkurugenzi, Gharib Mohamed, juzi imeshusha mzigo mpya wa jezi za Yanga nchini baada ya...

READ MORE

Makonda amtembelea kijana mwenye uvimbe usoni

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, leo amemtembelea kijana aitwaye Hamza Ashiraf ambaye hivi karibuni alimsaidia kwa...

READ MORE

Betika litabaki kuwa juu

WASOMAJI wa Gazeti la BETIKA katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, wameonekana kuwa walikuwa na shauku kubwa...

READ MORE

British Airways Lafuta Safari 100

SHIRIKA  la ndege la Uingereza, British Airways,  leo Agosti 7, 2019 limefuta safari za ndege 100 na nyingine 300 kukaa...

READ MORE

KAMISHNA MAGEREZA, AWAVISHA VYEO MAOFISA DAR, PWANI

 KAMISHNA Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike (kulia) akimvalisha cheo Mrakibu Mwandamizi wa Magereza, Lipina Lyimo,  kuwa Kamishina Msaidizi wa...

READ MORE

Tanzania, Uganda Kujenga Umeme wa Maji Kikagati-Murongo

SERIKALI za Tanzania na Uganda zinatekeleza ujenzi wa mradi wa kufua umeme wa maji wa Kikagati-Murongo, uliopo kwenye mto Kagera...

READ MORE

HAUSIGELI ANAYEDAIWA KUMUUA bosi WAKE KWA SHOKA AHENYA

MIONGONI mwa kesi zenye msisimko wa aina yake na simulizi ya kutisha ni ile ya mauaji inayomkabili aliyekuwa mfanyakazi wa...

READ MORE

Mugabe alazwa hospitali Singapore

RAIS wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amelazwa hospitalini nchini Singapore, amesema Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa, katika taarifa aliyotoa...

READ MORE

BREAKING NEWS: NDEGE NDOGO YA ABIRIA YAANGUKA MAFIA PWANI

  NDEGE ndogo ya abiria (5H-NOW) iliyokuwa inatokea Zanzibar-Dar es Salaam  kisha kwenda Mafia imeanguka na kuwaka moto maeneo ya...

READ MORE

WAZIRI MKUU MGENI RASMI SIMBA DAY UWANJA WA TAIFA LEO

SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na...

READ MORE

Mtoto wa Dereva wa RC Aliyepata Ajali Afariki Dunia

MTOTO wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kasobi Shida ( 26), aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya...

READ MORE

Balinya, Tshishimbi wafunika utambulisho Yanga

MASTAA wa Yanga, straika Juma Balinya na kiungo Papy Tshishimbi, jana walishangiliwa kwa shangwe nyingi zaidi wakati majina yao yakitajwa...

READ MORE

Kizaazaa ‘mti wa mikosi’ Dar!

MTI aina ya ‘Terminalia Catappa’, unaodaiwa kuwa wa mikosi, umezua kizaazaa upya baada ya watu mbalimbali kuendelea kuukata katika maeneo...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI ATOA UJUMBE MZITO KWA WANAJUMUIYA YA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli amefungua maonesho ya wiki ya viwanda kwa nchi wanachama wa...

READ MORE

Baada ya kifo cha Sir Chande BOSI MPYA FREEMASON BONGO ashangaza

MASHARTI ya kumuona bosi mpya wa Jumuiya ya Freemason Tanzania na Afrika Mashariki ambaye amechukua mikoba ya aliyekuwa kiongozi kabla...

READ MORE

Jaji Mahakama Kuu Rugazia Afariki Dunia

JAJI Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania,  Projestus Aloyce Rugazia (pichani),  amefariki dunia Agosti 04, 2019 akiwa anapatiwa matibabu katika...

READ MORE

Erick Kabendera asomewa mashtaka mahakamani

MWANDISHI wa habari Tanzania Erick Kabendera leo, Agosti 5, 2019, amepandishwa kizimbani kusomewa mashtaka mapya ya kosa la kimtandao baada...

READ MORE

MSANII WA BOBI WINE ATEKWA NA KUUAWA KIKATILI

MWANAMUZIKI wa nchini Uganda, Ziggy Wine,  ambaye alikuwa chini ya usimamizi wa ‘Lebo’  ya mwanamuziki/mwanasiasa  Bobi Wine,  amefariki dunia usiku...

READ MORE