×

Habari

DC JOKATE ATUA +255 GLOBAL RADIO, AIMWAGIA SIFA

  Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo amefanya ziara katika Ofisi za Makampuni ya Global Group na kutoa pongezi...

READ MORE

Miji 10 Duniani Yenye Gharama Nafuu Kuishi. Bongo?

  NAJUA utakuwa unatamani kujua ni miji gani gharama zake za kuishi ni nafuu zaidi na pia ni ipi yenye...

READ MORE

JPM Amtaja Aliyeingiza Magari 194 Akagoma Kulipa Kodi, Ataja Siri Nzito! – Video

RAIS John Magufuli ameanika madudu yanayofanywa na baadhi ya viongozi kwa kushindwa kutimiza wajibu wao vizuri huku wakiwakumbatia wala rushwa...

READ MORE

NMB yawa karibu na wakazi wa Lindi kwa huduma bora

    BENKI ya NMB imewahakikishia wajasiriamali, wafanyabiashara na wakulima mkoani Lindi kuwa itaendelea kuwahudumia kupitia huduma zake za kutunza...

READ MORE

JPM Apokea Taarifa ya Utendaji wa Takukuru – Video

Kamishna wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),Diwani Athmani amesema taasisi hiyo imefanikiwa kuokoa kiasi cha Sh70.3 bilioni...

READ MORE

Kisa Mfanyabiashara Kutekwa, Wakenya Wazuia Magari ya Tanzania

WAKAZI wa mpaka wa Kenya na Tanzania wa Namanga upande wa Kenya wamezuia magari kutoka Tanzania kuingia nchini mwao, kwa...

READ MORE

JPM Ampangia Ubalozi Aliyekuwa Bosi wa TAKUKURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Richard Faustine Sambaiga kuwa Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

VIPODOZI NUSURA VIMUUE MFANYABIASHARA, ASIMULIA!

DAR ES SALAAM: IDADI ya watu wanaotumia vipo­dozi hapa nchini na hasa wanawake ni kubwa na tahadhari imekuwa ikitolewa uchwao...

READ MORE

Bob Wangwe Ashinda Kesi ya Makosa ya Mtandao

CRIMINAL Appeal 370 ya mwaka 2018 ya Mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Tarime, marehemu Chacha Wangwe, Bob Chacha Wangwe,  imesomewa...

READ MORE

Mgogoro wa Wakulima na Wafugaji, Mzee Auawa kwa Mkuki!

MZEE mmoja aliyetambulika kwa jina la Visu Urembo (80), amefariki dunia baada ya kuchomwa mkuki kwenye sehemu ya ubavuni mwa...

READ MORE

Polisi Yavamia Ukumbi, Yazuia Mkutano wa ACT – Wazalendo Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa ndani wa chama cha ACT-Wazalendo uliokuwa ufanyike leo,...

READ MORE

Afikishwa Mahakamani Kwa Kesi ya Kujamba!

  MFANYAKAZI mmoja nchini Australia amefungua mashtaka kwenye mahakama ya rufaa ya nchi hiyo akidai bosi wake alikuwa akimbughudhi ofisini...

READ MORE

Majaji wapendekeza umri kufanya ngono uwe miaka 16 badala ya 18

  MAHAKAMA ya Rufaa nchini Kenya imependekeza umri wa kuruhusiwa kujihusisha na ngono nchini Kenya upunguzwe kwa miaka miwili.  ...

READ MORE

MAKONDA Ampa Sh 1m, Aliyetoka Manyara Hadi Dar kwa Baiskeli – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemkabidhi pesa taslim kiasi cha shilingi Milioni moja kijana Ikuzi Kicheko...

READ MORE

Dereva Afunguka Alivyochukua Fedha kwa Mhasibu Kumpelekea Malinzi

ALIYEKUWA dereva wa Rais wa zamani wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, Steven John, ameileza mahakama...

READ MORE

DC JOKATE: SINA AKAUNTI YA VIKOBA, MSITAPELIWE!

MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Mkoa wa Pwani, Jokate Mwegelo, amewataka Watanzania waelewe kwamba hana akaunti yoyote ya vikoba kwenye...

READ MORE

CUF, ACT Wazalendo, Vita Yapamba Moto, Kuburuzana Mahakamani- Video

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Khalifa Suleiman Khalifa amesema wamefungua kesi ya kiraia mahakama kuu ya Vuga visiwani...

READ MORE

TAKUKURU Yarejesha Bilioni 14.9 Zilizoibiwa na Mafisadi, Mtuhumiwa Atoroka

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamtafuta mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Magreth Kobelo mkazi wa Kinondoni...

READ MORE

WIZI WA MITIHANI UNALIVUNJIA TAIFA HESHIMA-MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Selemani Jafo baada ya kufungua Mkutano Mkuu...

READ MORE

Mama Napono Sokione Amtembelea Mama Maria Nyerere

  MJANE wa Waziri Mkuu wa zamani, Mama Napono Sokoine,  jana alimtembelea Mama Maria Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar...

READ MORE

JOKATE: MGENI RASMI KWENYE ‘TOKOMEZA ZIRO’ NI MAMA SAMIA

  MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, amesema mgeni rasmi katika kampeni kabambe ya Tokomeza Ziro itakayofanyika Machi 30...

READ MORE

JISHINDIE MILLIONI 23 UKIWA NA Infinix ZERO 6

Kwa mara nyingine tena kampuni ya simu ya Infinix kutikisa soko la simu barani Afrika baada ya ujio wa Infinix...

READ MORE

Tigo yazindua tawi jipya la huduma kwa wateja Iringa

  Kampuni ya Tigo leo imezindua duka jipya la huduma kwa wateja lililopo Iringa mjini ambalo litarahisisha upatikanaji wa huduma...

READ MORE

Breaking: JPM Amwondoa Mkurugenzi Mamlaka ya Viwanja vya Ndege

Rais John Magufuli amemteua Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kuchukua nafasi ya...

READ MORE

ZITTO AFUNGUKA MSAJILI KUIFUTA ACT-WAZALENDO – VIDEO

(Taarifa ya Kiongozi wa Chama Ndugu Kabwe Z. Ruyagwa Zitto Kuhusu Tishio la Msajili wa Vyama vya Siasa Kukifutia Usajili...

READ MORE

MAGUFULI AMZAWADIA PETER TINO KIWANJA, SH. MIL. 5

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Peter Tino,  leo amekabidhiwa shilingi milioni 5 alizopewa na...

READ MORE

Msajili Aipa Siku 14 ACT- Wazalendo, La Sivyo Ataifuta!

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, ametishia kukifutia usajili Chama cha ACT-Wazalendo, kutokana na kukiuka Sheria ya Vyama...

READ MORE

Vifo vya kimbunga Idai kusini mwa Afrika vyaongezeka

  IDADI ya watu waliopoteza maisha kutokana na kimbunga Idai kilicholikumba eneo la kusini mwa Afrika zaidi ya juma moja...

READ MORE

SERENGETI: Ahukumia Jela Miaka 30 kwa Kumbaka Mama Yake Mzazi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara imemhukumu, Choral Samson (28) mkazi wa Burunga kifungo cha miaka...

READ MORE

Rais Magufuli Awapa Serengeti Boys Bilioni 1 – Video

Rais Johh Magufuli atoa zawadi ya viwanja vya kujenga nyumba kwa wachezaji wa taifa stars pamoja na bondia Hassan mwakinyo...

READ MORE

JPM Aaanika Madudu Uwanja wa Taifa – Video

RAIS John Magufuli ameitaka Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo  na Wizara ya Mambo ya Nje kupitia vyombo vyake...

READ MORE

JPM Awapa Viwanja Taifa Stars, Awataka Wajitume Zaidi – Video

RAIS . John Magufuli amewazawadia viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma wachezaji wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars,...

READ MORE

Vigogo Watatu wa CCM, Wanaswa Wakipokea Rushwa ya Milioni 5

VIONGOZI wa tatu wa Chama Cha Mapinduzi wanatarajiwa kufikishwa mahakamani kutokana na kosa la kuomba milioni tano za rushwa kwa...

READ MORE

RUKWA: Maiti za Watoto Waliotekwa Zakutwa Kwenye Gari la Sangoma

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa Polisi Mkoa huo, ACP Mathias Nyangi kuhakikisha anafanya msako wa...

READ MORE

Baada ya Ushindi, Rais Magufuli Awaita Taifa Stars IKULU

Rais Magufuli atakutana na wachezaji wa Taifa Stars, viongozi wa TFF, Kamati ya Uhamasishaji na bondia Hassan Mwakinyo leo Machi...

READ MORE

Huduma mpya ya usafiri Dar yazinduliwa

  Kampuni ya usafirishaji abiria kupitia mtandaoni ijulikanayo kama LITTLE imezindua huduma zake Tanzania zenye lengo la kuchangia katika kuleta...

READ MORE

Video: Rais Magufuli Aipongeza Taifa Stars Kwa Kufuzu AFCON 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameipongeza Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)...

READ MORE