×

Habari

Video: Huyu ndiye GAIDI wa AL-QAEDA,aliyepewa Adhabu nzito

 Siku kama ya leo pia, huko jijini Alexandria, Virginia, Marekani, mwanachama wa kundi la Al-Qaeda, Zacarias Moussaoui, ahukumiwa kifungo...

READ MORE

Waziri Jafo kuzindua maadhimisho ya Juma la ELimu Handeni, Tanga

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani Jafo (TAMISEMI), anatarajiwa kuzinduwa maadhimisho...

READ MORE

Kijana Yamkuta, JPM Aagiza: ‘Kamata Huyo Weka Ndani’ – Video

 KIJANA mmoja amejikuta katika wakati mgumu baada ya kutiwa mbaroni kufuatia agizo la Rais John Magufuli wilayani Mbarali mkoani...

READ MORE

NAPE: TUNABEMBELEZANA SANA/ KIBURI KIMEZIDI – VIDEO

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amehoji kwa nini Serikali inakuja na maamuzi yake ambayo masuala yakifika bungeni wabunge hawawezi kubadili...

READ MORE

Ukikamatwa Unapiga Umbea Faini Tsh 9,200

BINALONAN kijiji kinachopatikana kaskazini mwa mji mkuu wa Ufilipino, Manila, kimepiga marufuku kufanya umbea. Meya wa mji, Ramon Guico, amesema...

READ MORE

JPM: Wananchi Watibiwe Hata Kama Hawana Pesa – Video

Rais Dkt John Magufuli akizindua hospitali katika Kata ya Mwakibete mkoani Mbeya amewataka watoa huduma za afya kutoa huduma hata...

READ MORE

Mwanzilishi wa Mtandao wa Wikileaks Ahukumiwa Jela Wiki 50

MWANZILISHI wa mtandao wa Wikileaks, Julian Assange, amehukumiwa hapo jana kwenda jela kwa wiki 50, kwa hatia ya kukiuka amri...

READ MORE

Rais MAGUFULI ‘Ampukutisha’ Pesa Diwani – Video

RAIS  Dkt John Magufuli ‘amempukutisha’ pesa kiasi cha shilingi laki tano, Diwani wa Inyala mkoani Mbeya baada ya diwani huyo...

READ MORE

Posts za Mastaa Diamond, Mwana FA, Vee Money Msiba wa Mzee Mengi

Wasanii nchini wamezidi kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi kilichotokea...

READ MORE

WANAWAKE WAZIDI KUCHANJA MBUGA KIMAENDELEO

Wanawake nchini, jana Jumatano katika kusherehekea siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) walidhihirishwa kuwa wako juu wakati wakitoa tuzo mbalimbali za...

READ MORE

‘MAAJABU’ YA SEPTOL; DAWA INAYOUA VIJIDUDU VYOTE VYA MAGONJWA

Miongoni mwa matatizo yanayowasumbua Watanzania wengi, waishio mijini na vijijini, ni uchafu wa mazingira ambao husababisha vijidudu vya maradhi kuzaliana...

READ MORE

LIVE: KIFO cha Mzee MENGI ni MSIBA wa TAIFA na AFRIKA Nzima!

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Abraham Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019 akiwa...

READ MORE

Magufuli Amlilia Mengi: ‘Nitamkumbuka kwa Mchango Wake’

RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa familia na wafanyakazi wa makampuni ya IPP kufuatia kifo cha Mwenyekiti Mtendaji...

READ MORE

Dkt. Reginald Mengi Afariki Dunia Dubai -Video

MWENYEKITI  Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt Reginald Abraham Mengi (75) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019...

READ MORE

JPM: NIONGEZE MSHAHARA? BADO SIJAONDOKA MADARAKANI! – VIDEO

  Kila mwaka tarehe Mosi Mei, Dunia huadhimisha siku ya wafanyakazi ambapo kwa mwaka huu sherehe hizo Kitaifa zimefanyika mkoani...

READ MORE

MREMBO AJIRUSHA GHOROFANI AFARIKI DUNIA KIKATILI

MREMBO aliyefahamika kwa jina moja la Khadija anadaiwa kujirusha kutoka ghorofani na kufariki dunia ambapo mpenzi wake aliyetajwa kwa jina...

READ MORE

Wakurugenzi Waswekwa Ndani kwa Kutoa Zawadi Hewa Mei Mosi – Video

MKUU wa Wilaya ya Karagwe, Godfrey ameliagiza Jeshi la Polisi kuwaweka chini ya ulinzi Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Bukoba, Josephat...

READ MORE

Makonda: JPM Anajinyima Sana, Ikulu Naambulia Korosho Tu – Video

AKIWA katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoani Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amewaambia wafanyakazi waliohudhuria...

READ MORE

Benki ya NMB yaahidi kusaidia Wakulima wa zao la Zabibu

Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw akiongea na watumishi wa Serikali na wafanyabiashara kwenye chai ya Asubuhi iliyoandaliwa na...

READ MORE

RAIS Magufuli Atoa Maagizo Haya kwa Wafanyakazi – Video

Rais Dkt John Magufuli amesema haelewi sababu za bodi za mishahara nchini Tanzania kutokutana kwa maelezo kwani yeye hana tatizo...

READ MORE

MTOTO MIAKA 5 KUONDOLEWA KIZAZI!

DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji...

READ MORE

JPM Awa MBOGO HADHARANI ‘Msinifanye Kama Mtoto Mdogo’ – Video

Rais Dk. John Pombe Magufuli leo Aprili 30, 2019, alikuwa akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani Mbeya na kusikiliza...

READ MORE

KUJIVUA NGUO KWA LUGOLA, KUCHEPUKA KWA RC GUMZO!

KAULI mbili za viongozi wa Serikali, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila na Waziri wa Mambo ya Ndani ya...

READ MORE

MBATIA: JPM ONGEZA MISHAHARA YA WALIMU, KESHO MEI MOSI – VIDEO

AKICHANGIA mchango katika mjadala wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mbunge wa Vunjo (NCCR Mageuzi) James Mbatiaa ameishauri Serikali...

READ MORE

KUMEKUCHA TENA…NABII TITO AKIRI KUANGAMIZA WATU

KUMEKUCHA tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Nabii Tito Machibya kuibuka na kusema ameokoka kwa sasa yeye na mkewe ambapo...

READ MORE

OMAR AL-BASHIR: Rais Aliyetema Mate Juu Yakamdondokea Mwenyewe – Video

Tangu Sudan ipate uhuru mwaka 1956 imekuwa ni nchi ya vuta nkuvute, full kunyoana nywele bila maji. Waafrika wanachinjana, wachina...

READ MORE

Mfahamu Mwanamke Asiyehisi Maumivu Mwilini!

  JO CAMERON  aligundua kuwa ngozi yake inaungua pale alipohisi  harufu ya kuungua kwa ngozi yake. Mara nyingi mikono yake...

READ MORE

Kiongozi wa Magaidi IS Ajitokeza Hadharani Baada ya Miaka 5

Kundi la kigaidi la Islamic State limesambaza mkanda wa video unaodai kumuonyesha kwa mara ya kwanza, baada ya kupita miaka...

READ MORE

MAMBOSASA Alivyonasa Wezi Mafuta ya Transfoma – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum Kanda ya Dar es Salaam, Mambosasa amesema jeshi hilo limefanikiwa kuunasa mtandao wa wezi wa...

READ MORE

RC Makonda Awashtukia Wapigaji Dar, Awakabidhi Takukuru – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo April 30,2019, amewashtukia baadhi ya wataalam wa masuala ya ujenzi...

READ MORE

JPM Aanika Kinachoutesa Moyo Wake – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa ambazo ni timu ya wakubwa (Taifa Stars) na...

READ MORE

Simba Yapewa Sevilla ya Hispania, Yanga Yapigwa Chini – Video

SHIRIKISHO  la Soka nchini (TFF) na Kampuni ya Sport Pesa wamethibitisha kuwa mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC watacheza na mabingwa...

READ MORE

JPM Atoboa SIRI ya Mwakyembe Kutaka Kuuawa kwa Sumu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Rais John Magufuli ametoboa siri ya Mbunge wa Kyela ambaye pia ni Waziri wa Habari,...

READ MORE

RC Chalamila: Bora Kuwepo Chama Kimoja cha ‘Magufuli Ruling Party’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amesema kuwa haoni sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa...

READ MORE