×

Habari

ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia...

READ MORE

Ushauri wa Diwani wa Kijichi kwa Vijana Wote Bongo – Video

Diwani wa Kata ya Kijichi, Elias Mtarawanje amewasisitiza vijana kuuenzi Muungano wa Tanzania kama ulivyoasisiwa na wazee wa nchi yetu...

READ MORE

PM Majaliwa Akutana na Mabalozi wa Kenya, Kuwait

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na mabalozi wa Kenya na Kuwait na kuwasisitizia kwamba Tanzania inakaribisha wawekezaji kutoka kwenye...

READ MORE

‘WEKEZA KWANGU’ WAANDAA HARAMBEE KUCHANGIA WALEMAVU

    Wanaharakati kutoka vyuo vikuu nchini, kupitia kampeni ya Wekeza Kwangu, wameandaa harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya...

READ MORE

IGP SIRRO ATANGAZA: Sasa Ukiua Bongo, Ukakimbilia Kenya, Utakamatwa Hivi – Video

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, ametoa wito kwa Watanzania na wasio Watanzania kuacha kufanya vitendo vya...

READ MORE

MAHAKAMA YA TANZANIA KUWAJENGEA UWEZO MAHAKIMU WAPYA

  Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto imeandaa utaratibu wa kuwapatia mafunzo maalum Mahakimu...

READ MORE

Mtoto wa Waziri Mkuu Azungumzia Miaka 55 ya Muungano – Video

VIAJANA wote nchini wameaswa kuulinda na kuuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliyozaa TANZANIA ikiwa ni pamoja na kuwaenzi viongozi...

READ MORE

Yanga wapewa bei ya Tuyisenge

MENEJA wa Meddie Kagere, Patrick Gakumba amewaambia viongozi wa Yanga iwapo wanahitaji saini ya mshambuliaji wa Gor Mahia wa Kenya,...

READ MORE

Kimbunga Chaua 3 Comoro, Chaelekea Msumbiji/Tanzania

  KIMBUNGA Kenneth kinachovuma katika Bahari ya Hindi kusini-mashariki mwa Afrika,  kimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu katika visiwa vya Comoro....

READ MORE

Wananchi Wakusanyika Airport Mtwara, Kimbunga Chatua Comoro – Video

  MVUA za wastani zisizokuwa na upepo zimeendelea kunyesha katika maneo mbalimbali mkoani Mtwara huku  wananchi wakiwa wamajikusanya katika maeneo...

READ MORE

JPM Azindua Msimu Mauzo ya Tumbaku Malawi, Anena Haya! – Video

RAIS  John Magufuli amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Malawi, ambapo leo Alhamisi, Aprili 25, 2019, amezindua msimu wa...

READ MORE

Mbunge: Mnasema POLISI Ugonjwa wa KANSA, Hamjalala Kwenye Handaki Nyie – Video

MBUNGE wa viti Maalum kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anna Mwakilagi ameishauri serikali kupitia Wizara ya Fedha na...

READ MORE

Serikali ya Japan Kuwalipa Waliohasiwa

MAELFU ya raia ambao walihasiwa bila ridhaa nchini Japan wameombwa radhi na serikali na wanatarajiwa kulipwa fidia.   Chini ya...

READ MORE

Azinduka baada ya kupoteza fahamu miaka 27!

  MWANAMKE mmoja kutoka Umoja wa falme za Kiarabu (UAE) aliumia katika ajali ya gari iliyotokea mwaka 1991 na kupoteza...

READ MORE

Kimbunga Kupiga Kusini mwa Tanzania, Msumbiji Alhamisi

  MAMLAKA ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetangaza kuwa Kimbunga Kenneth kimeongezeka kasi na kinatarajiwa kufika pwani ya...

READ MORE

Betika Laendelea Kujizolea Umaarufu Kitaa

IKIWA bado ni katika msimu wa Sikukuu ya Pasaka, Gazeti la Betika kama kawaida limeingia mtaani na wasomaji wameendelea kulipokea...

READ MORE

Wateja wa Tigo Kilolo Kuhudumiwa Kwa Kasi zaidi ya 3G

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, Philemon Namwenga  (wa tatu kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mnara...

READ MORE

AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa...

READ MORE

LIVE: Rais MAGUFULI Awasili MALAWI kwa Ziara – Video

  Rais Dk. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli tayari wameshawasili nchini Malawi kwa ziara rasmi ya Kiserikali...

READ MORE

CCM Yampongeza Mwenezi Arusha “Hatujamfukuza Daktari” – Video

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza Katibu Mwenezi wa chama hicho katika Kata ya Kata ya Levelosi baada ya kushughulikia uzembe...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Dkt John Magufuli amemteua Prof Tadeo Andrew Satta Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Wakala Wa Meli...

READ MORE

JPM Akwea Pipa Kueleka Malawi – Video

Rais Dkt. John Magufuli ameondoka nchini kwenda Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbilli. Baada ya kurejea nchini...

READ MORE

Video: FAMILIA Inayoishi Kwenye Pango la Ajabu Lenye Umeme na TV

EXCLUSIVE: FAMILIA inayoishi kwenye pango zaidi ya miaka minane, hapa ni nyumbani kwa Nuru Lugina, almaarufu ‘Mzee wa Mapangoni. Lugina...

READ MORE

MTOTO AUAWA! MACHO, UBONGO, NGOZI VYANYOFOLEWA

LINDI: Unyama usioelezeka! Ndivyo unavyoweza kutokwa na maneno hayo baada ya kuambiwa mtoto Mutifati Abdilahi (5), Mkazi wa Kata ya...

READ MORE

ALIYEKUFA AJALI YA MWENDOKASI MAPYA YAIBUKA!

KILOSA: Moja ya ajali mbaya zilizotokea katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka ni pamoja na ile iliyotekea siku ya...

READ MORE

BINTI AMHENYESHA MCHUNGAJI STENDI

NI mshikemshike nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la binti mmoja kumhenyesha vilivyo Mchungaji Daudi Nkuba Mashimo wa Kanisa...

READ MORE

EXCLUSIVE: Ebitoke Atinga Studio Kurekodi Ngoma Yake! – Video

MUIGIZAJi wa vichekesho ambaye kwa sasa amegeukia gemu la Bongo Fleva, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’,  kwa mara ya kwanza amezungumzia jinsi...

READ MORE

Makonda Aahidi Kuendeleza Miradi ya Vijana Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es  Salaam, Paul Makonda, ameendelea na ziara ya kukagua miradi ya serikali inayojengwa kupitia fedha...

READ MORE

‘Mchungaji’ Akamatwa na Madawa ya Kulevya Dar – Videos

MTU Mmoja, raia wa Latvia, Linda Mazule, amekamatwa leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa...

READ MORE

MAAMUZI MENGINE ALIYOFANYA RAIS MAGUFULI LEO

Rais Dkt John Magufuli ameiongezea muda wa miaka mitatu Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda wake leo Aprili...

READ MORE

SERIKALI YATOA KAULI KUHUSU KUMILIKI LAINI MOJA TU YA SIMU!

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Astashata Nditiye amesema Serikali haijatoa tamko la kupiga marufuku kumiliki laini nyingi za...

READ MORE

SERIKALI: HATUJAZUIA IMF KUCHAPISHA RIPOTI YA UCHUMI WETU

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, amesema serikali haijalizuia Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuchapisha ripoti ya uchumi...

READ MORE

Mwakyembe Amjibu Musukuma Wasanii Kumiliki Madanguro, Kula Fedha za Misiba

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amesema hoja ya Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma,...

READ MORE

MTUHUMIWA KUTEKA, KUUA MTOTO HUYU HAPA!

MBEYA: SIKU chache baada ya kukamatwa kwa kijana Mussa Mbelechamo (27) anayetuhumiwa kumteka kisha kumuua mtoto Junior Bakari Siame (8),...

READ MORE

Tamko la Chadema Kuhusu Sakata la Serikali na IMF – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeonyeshwa kushtushwa na ukimya wa serikali kufuatia madai mazito ya Shirika la Fedha Duniani...

READ MORE

WATATU WAHOFIWA KUFA KWA KUFUNIKWA NA KIFUSI ARUSHA

Watu watatu wamefukiwa na kifusi kwenye Machimbo ya Moram Tanganyika Parkers KATIKA eneo la Moshono jijini Arusha. Kamanda wa Polisi...

READ MORE

LIPUMBA AIVAA SERIKALI RIPOTI YA UCHUMI YA IMF – VIDEO

MWENYEKITI wa Chama cha Civic Union Front (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha serikali kukataa taarifa ya Shirika la...

READ MORE

BREAKING: Katibu wa CCM Amfukuza Daktari, Rais Atoa Tamko! – Video

RAIS wa Chama cha Madaktari nchini, Elisha Osati, amezungumzia suala la kufukuzwa kwa  daktari wa Kituo cha Afya Ngarenaro, Dkt....

READ MORE