×

Habari

MDUDE CHADEMA AFUNGUKA ‘ALIVYOTEKWA’ – VIDEO

BAADA kupatikana akiwa hai baada ya kutupwa katika Kijiji cha Makwenje, kata ya Inyala mkoani Mbeya, mfanyabiashara na mwanachama wa...

READ MORE

NAIBU SPIKA MBARONI KWA KUTAKA KUMNG’OA RAIS

Maofisa wa upelelezi nchini Venezuela wamemkamata kiongozi wa ngazi ya juu wa bunge linalotawaliwa na upinzani, Edgar Zambrano, ikiwa ni...

READ MORE

Tigo na TECNO wazindua smart phone mpya aina ya Spark 3 na Spark Pro

    Kampuni ya Tigo kwa kushirikiana na TECNO leo wamezindua simu janja mpya aina ya TECNO Spark 3 na...

READ MORE

Askofu Shoo Awaonya Viongozi, Matajiri Akemea Ubaguzi – Video

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Ferdrick Shoo amewaonya viongozi wa Tanzania na kuwataka...

READ MORE

Taarifa ya Jeshi la Polisi Kuhusu Mdude Chadema – Video

  MNAMO Mei 04, 2019 majira kati ya saa 19:00 na 20:00 usiku huko Vwawa, Wilaya ya Mbozi na Mkoa...

READ MORE

DKT MENGI APUMZISHWA NYUMBANI KWAO MACHAME – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi umezikwa katika makaburi ya familia yao...

READ MORE

MAKONDA AWAOMBA MSAMAHA WACHAGGA, ASKOFU AMPATANISHA NA MBOWE – VIDEO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Bashiru,  amemwombea msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,...

READ MORE

SHIGONGO AUANGANA NA MAMIA KUMUAGA DKT. MENGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amewasili Moshi na kuungana na mamia ya waombolezaji kumsindikiza mzee wetu,...

READ MORE

Mahali Atakapozikwa Dkt. Mengi Pakamilishwa – Video

MAANDALIZI yamekamilika mahali ambapo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  baada ya ibada iliyofanyika katika Kanisa la...

READ MORE

Mbowe: Sipendi Unafiki; Kwamba Kuna Makabila Hayawezi Kusaidia Walemavu! – Video

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kutogombanishwa na kauli za viongozi hasa za kikabila...

READ MORE

Akamatwa na Silaha Zaidi ya 1,000

  MWANAMME  mmoja nchini Marekani anashikiliwa na jeshi la polisi nchini humo kwa kukutwa na silaha mbalimbali za moto zikiwemo...

READ MORE

MEMBE: DKT MENGI ALINIPIGA TAFU KWENYE MBIO ZA URAIS 2015

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Limited,...

READ MORE

WAKATI AKIZIKWA LEO MENGI AACHA FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: “Jef hivi umewahi kufika katika msiba? Je, umewahi kumuona tajiri akichimba kaburi?” Tafakari kauli hii na Amani...

READ MORE

BILIONI 14 ZA DECI ZAIBUKA, DPP AZIONYA BENKI

MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ameziasa benki zote nchini, zilizotumika kuweka sh. bilioni 14 za kampuni ya kusimamia...

READ MORE

SERIKALI YAFUTA MKATABA NA KAMPUNI YA KUNUNUA KOROSHO

SERIKALI imeufuta mkataba ilioingia na kampuni ya Kenya ya Indo Power Solutions Ltd iliyopewa jukumu la kununua korosho tani 100,000....

READ MORE

Nape: Dkt. Mengi Alitupa Fedha Kwenye Begi… Mbowe: Ilikuwa Lazima…

MBUNGE wa Mtama (CCM), Nape  Nnauye,  ameeleza namna ambavyo Dkt. Reginald Mengi alivyokisaidia Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakati wakiwa kwenye...

READ MORE

MDUDE CHADEMA APATIKANA AKIWA KATIKA HALI MBAYA‬ – VIDEO

SAA  chache baada ya mawakili watatu kuwafungulia maofisa wa polisi na vikosi vya usalama kuhusu madai ya kutekwa nyara na...

READ MORE

TISHIO MAUAJI WALINZI DAR!

DAR ES SALAAM: SHABAHA ya jambazi kumvizia mlinzi na kumjeruhi au kumuua ni ili aweze kupora mali; inapotokea akafanya hivyo...

READ MORE

40 IMETIMIA! ‘ALIYECHEZEA SHARUBU’ SERIKALI YA JPM ANASWA

40 YAKE IMETIMIA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia tukio la Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza kumnasa kijana aliyefahamika kwa jina la...

READ MORE

Prince Harry, Meghan Wapata Mtoto Wa Kiume

  MWANA-mfalme wa Uingereza, Prince Harry na mkewe Meghan, Duchess of Sussex, wamemtambulisha mtoto wao wa kiume leo kabla ya...

READ MORE

Safari ya Mwili wa Dkt Mengi Kuelekea Machame – Video

Mwili wa Aliyekuwa mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umewasili salama nyumbani kwake Machame, leo Jumatano, Mei 8,...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Wawasili Kijijini Kwao Machame – Video

Mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi tayari umekwishawasili nyumbani kwake, Nkweseko Machame ambapo mwili utalala kabla ya kesho Kwenda ibadani...

READ MORE

VIDEO: “GWAJIMA ATULIE, YEYE SI MTUHUMIWA NI MUATHIRIKA” – MAMBOSASA

KAMANDA wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa,  leo Jumatano Aprili 8, 2019, amezungumzia  sakata...

READ MORE

Betika Latetema Posta DSM

GAZETI la Betika limezidi kutikisa kila kona ya Tanzania kutokana na utofauti wake na leo timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

WANANDOA BONGO WALIONASWA KWA MADAWA YA KULEVYA…MAPYA YAANIKWA!

NYUMA ya matukio ya wanandoa kunaswa kwa tuhuma za biashara ya madawa ya kulevya, kuna mambo mapya yameanikwa, Uwazi limedokezwa. ...

READ MORE

MKURUGENZI WA GLOBAL MARSHA APATA PIGO!

      Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, Marsha Bukumbi amepata pig0 ya kuondokewa na shemeji yake kipenzi aitwaye...

READ MORE

Breaking News: RCO Ilala Afariki kwa Ajali – Pichaz

Mwanga. Watu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kugongana na gari jingine...

READ MORE

Breaking: MC Pilipili Apandishwa Kizimbani, Aachiwa kwa Dhamana

Mshereheshaji maarufu nchini, Emanuel Mathias (34) ‘MC Pili Pili’ na mwenzake Heriel Clement (25) wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Mwili wa Dr. Mengi Ulivyoagwa Karimjee Dar (Picha + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

SHIGONGO, MENEJA WA GLOBAL WALIVYOMUAGA DKT. MENGI

  Viongozi wa Global Group leo walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza kuuaga mwili wa Dkt. Reginald Mengi kwenye viwanja vya...

READ MORE

‘GUTA’ ZATUMIKA KUVUSHA ABIRIA MAFURIKONI JANGWANI

    WAKATI mvua zikiendelea kunyesha mkoani Dar es Salaam na kwengine, eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, katika...

READ MORE

MWILI WA DKT. MENGI WAAGWA KARIMJEE – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Machozi Akiaga Mwili wa Dkt Mengi – Video

RAIS  John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,...

READ MORE

KESI KUPINGA UTEUZI WA RAIS MAGUFULI KUTAJWA LEO

KESI ya Katibu Mwenezi wa chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu,  ya kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali uliofanywa na...

READ MORE

Rais MAGUFULI Alivyowasili KARIMJEE Kumuaga DKT. MENGI – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Ulivyowasili Karimjee – (Pichaz + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili  katika Ukumbi wa Karimjee, ulioko Posta jijini Dar...

READ MORE