×

Habari

Mahakama Yawafutia Kesi Bosi wa TRA na Wenzake

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewafutia mashtaka aliyekuwa Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA), Harry Kitillya, maofisa wawili wa...

READ MORE

KESI YA ZITTO MUSWADA WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA YAHAMISHWA – VIDEO

KESI ya Kiongozi wa ACT Wazalendo na wenzake wa vyama 10 vya upinzani ya kupinga muswada wa Sheria ya Marekebisho...

READ MORE

Mkoba wa Mugabe Uliojaa Dola Kibao Waibiwa

  WATU watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na Dola za Marekani 150,000 (Sh. milioni 345) taslimu...

READ MORE

AJIUA , AMWACHIA MWANAYE BAISKELI !

BUKOBA: Salvatory Rweyemamu (47) ni baba aliyekuwa mkazi wa Kashai Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ambaye anadaiwa kujiua kwa kujinyonga...

READ MORE

Mwanamke Apewa Dawa ya Kusimamisha Uume Badala ya Kutibu Macho

  MWANAMKE mmoja nchini Uingereza amepata majeraha ya kemikali baada ya kupewa kwa makosa dawa ya kusimamisha uume badala ya...

READ MORE

Ndege Mpya Ya Serikali Kutua Tanzania Kesho

Ndege nyingine mpya ya Serikali aina ya Airbus A220-300 iliyopewa jina la Ngorongoro inatarajia kuwasilini nchini kesho Ijumaa mchana, ambapo...

READ MORE

Utasikitika Kwa Maamuzi Aliyoyachukua Tajiri Namba Moja Duniani Na Mkewe

  MMILIKI na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Amazon, Jeff Bezos,  na mkewe MacKenzie wanatarajiwa kupeana talaka baada ya...

READ MORE

MWENYEKITI WA MISA TANZANIA ATEMBELEA GLOBAL GROUP

Mwenyekiti wa Misa Tanzania, Salome Kitomari, leo ametembelea ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori jijini Dar na kuzungumza na...

READ MORE

Airport Wajibu Tuhuma za Ray Kuhusu Udokozi Uwanjani Hapo

Uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere umewataka abiria wanaodhani wamepoteza vitu vyao wakati wanasafiri kwa kutumia...

READ MORE

Milioni 50 za Tigo Jigiftishe zaenda kwa mkulima Songea

    Mkulima na mfanyabiashara wa nyanya katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma Sadick Zabron, amejishindia kitita cha...

READ MORE

Breaking News: Felix Tshisekedi wa Upinzani Aongoza Kura za Urais Congo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (Ceni) imemtangaza mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi kuwa anaongoza...

READ MORE

TUKIO LA KUTISHA! Mtoto Miaka 8 Acharangwa Vibaya Mgongoni

MKURANGA: Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha; mfano ni hili tukio la kutisha...

READ MORE

 MTOTO ALIYETUPWA ILI AFE KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, AISHANGAZA DUNIA!

  NI asubuhi ya Januari 31, 2016, mitaa ya kijiji fulani nchini Nigeria imetulia, watu wanaendelea na shughuli zao za...

READ MORE

MKURUGENZI VKP MBARONI AKIDAIWA KUJIPATIA FEDHA KWA UDANGANYIFU

MKURUGENZI wa kampuni  ya VKP Investment For Youth, David Manot, mwanasheria wa kampuni hiyo, Ernest Ngonyani na wenzao wanne wamefikishwa...

READ MORE

JPM Aanika Alivyosoma Meseji za Waziri Akitifuana na Katibu Mkuu – Video

RAIS John Magufuli amewataka viongozi na watumishi wote wa serikali kuacha malumbano na badala yake kushirikiana katika kutekeleza miradi mbalimbali...

READ MORE

Kamanda Mambosasa Awavalisha Vyeo Askari Saba – Video

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa amewavalisha vyeo askari saba wa jeshi hilo waliyopandishwa...

READ MORE

Adaiwa Kunywa Energy Drink na Nguvu Zake za Kiume Zaongezeka Ghafla

  SHIRIKA la kupima viwango vya ubora wa bidhaa nchini Uganda, The Uganda National Bureau of Standards (UNBS), linatarajiwa kufanya...

READ MORE

Magufuli Ampa Mtihani Waziri wa Madini: “Mnataka Nijiteue Kuwa Waziri?”

RAIS John Magufuli amemuagiza Waziri mpya wa Madini, Dotto Biteko, kuhakikisha anajenga vituo vya madini vitakavyosaidia kuratibu biashara ya madini...

READ MORE

JPM Aanika Mchezo Polisi Walivyokula Mil 700 Kusindikiza Dhahabu ya Magendo -Video

  RAIS John Magufuli amempongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro kwa kushughulikia suala la dhahabu ya...

READ MORE

MISS TZ ANA BIFU NA BASILA?

BAADA ya stori kusambaa kuwa Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth ameingia kwenye bifu na mratibu wa shindano hilo, Basila Mwanukuzi...

READ MORE

LHRC Yafafanua Kuhusu Mamlaka na Mipaka ya CAG

  UFAFANUZI WA KISHERIA KUHUSU MAMLAKA NA MIPAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI (CONTORLLER AND AUDITOR...

READ MORE

Zahera Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamba kwamba kwa sasa hana wasiwasi na mechi yao dhidi ya Simba kutokana na...

READ MORE

KIMENUKA! NDOA YA PILI YA SIRI YA Z-ANTO MAJANGA YAMKUTA

MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Ally Mohamed Ahmad ‘Z-Anto’ hivi karibuni alikwaa skendo baa­da ya kudaiwa kuoa mke mwingine (wa pili)...

READ MORE

Anza mwaka 2019 vizuri kwa kubeba mamilioni kirahisi na Sokabet

HII ndiyo Januari ya mwaka 2019, huu ndiyo wakati sahihi wa kufanya maamuzi ya maisha yako kujua ramani itakuwaje kwa...

READ MORE

MCHUNGAJI ATABIRI JUU YA WAZIRI MKUU MSTAAFU 2019, ANENA MAZITO KUHUSU TAIFA – VIDEO

MTUMISHI wa Mungu, Pastor Malachi Joseph amewashangaza wengi baada ya kutoa unabii juu ya roho ya mauti kwa Waziri Mkuu...

READ MORE

Lugola Ampa Siku 30 Mkuu wa Jeshi la Zimamoto

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amempa siku 30 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji...

READ MORE

BREAKING: JPM Amng’oa KAIRUKI Wizara ya Madini, Biteko Ala Shavu!

RAIS  John Magufuli leo, Januari 8, 2019, amefanya uteuzi wa viongozi na mabadiliko kidogo ya ofisi ambayo yalitangazwa na Katibu...

READ MORE

MABURUNGUTU YA PESA YALIYONASWA MWANZA UTATA WAIBUKA!

MWANZA: Tukio la Jeshi la Polisi jijini Mwanza kukamata kilo 323.6 za dhahabu na maburungutu ya fedha taslim kiasi cha...

READ MORE

MAJALIWA AAGIZA HAYA BAADA YA RC HAPI KURIPOTI OFISINI KWAKE

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kampuni zote zinazosambaza nguzo za umeme zinatakiwa zilipe ushuru wa halmashauri wanakotoa nguzo hizo amboa...

READ MORE

RUBANI AJITOSA KUMUOA WEMA!

UKISIKIA neno “Zali la Mentali 2019”, maana yake bahati ya mwaka iliyoje; sasa usiishie hapo ipeleke kwa staa wa filamu...

READ MORE

Njia 5 za kupata wazo la biashara litakalokufanikisha 2019

HABARI za wakati huu, nin­gependa kuanza na msemo kuto­ka wa Swami Vibekananda aliyenena; “Take up one idea. Make that one...

READ MORE

Zitto Kabwe Ahofia Usalama Wake, Aaandika Mazito!

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema anahofia usalama wake kutokana na taarifa alizozipata, akisema kuna mpango wa kumdhuru....

READ MORE

BENKI YA NMB YATUNUKIWA TUZO YA KUWA MSHIRIKA BORA KATIKA MASUALA YA KIFEDHA AFRIKA KWA MWAKA 2018

  NMB Bank PLC ilishinda tuzo na kutajwa kuwa Mshirika Bora katika Masuala ya Kifedha Afrika kwa benki zinazofanya kazi...

READ MORE

Serikali Yazima Jaribio Kuipindua Serikali ya Bongo

  WAZIRI wa mawasiliano nchini Gabon anasema wanajeshi waaminifu kwa serikali ya Rais Ali Bongo wamefanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi...

READ MORE

Ndugai: CAG Ajisalimishe Mwenyewe, Vinginevyo Ataletwa kwa Pingu

SPIKA wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, amemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad,  kuripoti...

READ MORE

Magufuli Apiga Marufuku Viongozi wa CCM Kuitwa Waheshimiwa

Rais John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),  ameelekeza kuwa ni marufuku kwa kiongozi yeyote wa...

READ MORE

Breaking: Jeshi Laipindua Serikali ya Bongo

KUNDI la wanajeshi nchini Gabon limetangaza kwamba limetekeleza mapinduzi ya serikali katika taifa hilo la Afrika Magharibi.   Wanajeshi wenye...

READ MORE

Ishu ya Yondani, Uongozi Yanga Wakubaliana na Zahera

UONGOZI wa Yanga umemaliza Sakata lililojitokeza hivi karibuni kati ya kocha mkuu wa timu hiyo raia wa DR Congo, Mwinyi...

READ MORE

Michelle Obama Kuwania Urais wa Marekani 2020?

  MICHELLE  ambaye ni mke wa rais wa zamani wa Marekani,Barack Obama, tetesi za yeye kuwania urais mwaka 2020 nchini...

READ MORE