×

Habari

Picha: Shangwe la Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live

UMATI wa wapenda burudani walivyofunga Jumla Jumla mwaka 2018 na kukaribishwa mwaka 2019 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,...

READ MORE

WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB RUANGWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa na kuushukuru uongozi wa benki hiyo kwa kuwa...

READ MORE

JPM APONGEZWA , ATAKIWA KUWA IMARA

    ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uongozi wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014, Mnawaru Hamudi amempongeza...

READ MORE

Tshisekedi, Fayulu Walalamikia Dosari Uchaguzi wa Urais Congo

WAGOMBEA wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelalamikia dosari nyingi wanazosema zilitokea wakati wa uchaguzi wa urais uliofanyika...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Ataja Sifa za Kugombea Serikali za Mitaa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amesema atakayejihusisha na vitendo vya rushwa katika mchakato wa chama hicho...

READ MORE

WIZARA YATANGAZA AKAUNTI RASMI ZA WAZIRI KANGI LUGOLA

BAADA ya kuwepo kwa akaunti feki ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram, ambao ulikuwa unatoa taarifa mbalimbali kwa jamii kuhusu...

READ MORE

BREAKING: Rais Magufuli Amuombea Dua Mama Yake Mgonjwa! -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na Wasaidizi wake  leo wamemuombea Mama yake Mzazi Bibi....

READ MORE

JPM Ashiriki Misa ya Maadhimisho Sherehe ya Familia Takatifu ya Yesu

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli leo, Desemba 30,2018, ameshiriki Misa ya Maadhimisho ya Sherehe ya...

READ MORE

CHADEMA WATAKIWA KUSITISHA MIKUTANO, ZIARA WILAYANI HAI

  MKUU wa Wilaya ya Hai, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wasitishe mikutano na ziara zao...

READ MORE

Mkazi wa Tarime ajishindia Milioni 10 za Tigo Jigiftishe

    Mkazi wa Wilaya ya Tarime Mkoani Mara Ahia Stephen, ameibuka mshindi wa wiki katika promosheni ya Tigo Jigiftishe...

READ MORE

Maskini Ruge na Dimpoz!

KUNA wengine hesabu za kuuingia mwaka mpya 2019, zimekuja na majibu mabaya, watakaoufikia salama, heri kumshukuru Mungu. Ukisikia kauli ya...

READ MORE

Wateja wengine 20 wa NMB washinda 100,000 kila mmoja

DROO ya pili ya kampeni ya matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ inayojulikana kama ‘MastaBata’, imefanyika tena kwa mara ya...

READ MORE

CCM Watuma Rambirambi Kifo Cha Mzee Ndejembi

  Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mzee Pancras Mtemi Ndejembi  ambaye...

READ MORE

Video: Maono Ya Marehemu Bilago Mbunge Juu Ya Kikokotoo

 Aliyekuwa  Mbunge wa Jimbo la Buyungu, wilayani Kakonko mkoani Kigoma kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu...

READ MORE

UPASUAJI WA KWANZA DUNIANI WAFANYIKA BILA DAKTARI (PICHA +VIDEO)

  Dunia inakwenda kasi sana, sayansi na teknolojia vinazidi kufanya miujiza mingi ambayo miaka michache iliyopita ilikuwa haiwezekani, sasa inafanyika...

READ MORE

Pretty Kind: Sina Ukimwi, nimeamua tu kuokoka

KUTOKANA na tetesi kuzagaa kwamba ameathirika na ugonjwa wa Ukimwi, ndiyo maana ameamua kuokoka, msanii wa muziki na filamu Bongo,...

READ MORE

Breaking: Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa SSRA

Rais Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko...

READ MORE

Wabunge 15 Waliohenyeshwa Mahakamani 2018

TUNAKARIBIA kuufunga 2018 huku ukiacha historia kwa wabunge 15 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT Wazalendo ambao...

READ MORE

‘TUNAFUNGA JUMLA-JUMLA 2018’: ROSTAM, MAUA SAMA WAAHIDI SAPRAIZ DAR LIVE

  WASANII  wanaounda kundi la Rostam, ambao ni  Roma Mkatoliki,  Stamina na Maua Sama, leo wamewathibitishia wapenzi wa burudani kufanya...

READ MORE

Trump, Melania Wawatembelea Ghafla Wanajeshi wa Marekani Nchini Iraq

  RAIS wa Marekani, Donald Trump na mke wake Melania Trump, wamefanya ziara ya ghafla ya Krismasi ya kuwatembelea wanajeshi...

READ MORE

Rais Magufuli Kukutana na viongozi wa TUCTA Leo

Rais Magufuli Rais Magufuli leo atakutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii...

READ MORE

TCAA: Hatujazuia Fastjet Kuingiza ndege, Wanadaiwa Bilioni 6 – Video

MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema hawajalizuia Shirika la Ndege la Fastjet Tanzania kuingiza ndege zake...

READ MORE

BREAKING: Basi La Mwendo kasi lawaka moto Ubungo (Picha +Video)

Basi la mwendokasi mchana wa leo limewaka moto katika Injini yake maeneo ya Ubungo kituo cha Ubungo Maji jijini Dar...

READ MORE

Mapacha Watanzania Walioungana Watenganishwa Saudi Arabia

  MAPACHA wa Tanzania walioungana, Anishia na Melanese, wametenganishwa nchini Saudi Arabia Desemba 23, 2018, na hali zao zinaendelea vizuri...

READ MORE

Papa Francis Atoa Ujumbe wa Krismasi kwa Walimwengu

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, amewataka waumini wa kanisa hilo na wananchi wote duniani kuishi maisha ya kawaida...

READ MORE

IBADA YA KUBARIKI MAKABURI YA WAZAZI WA SHIGONGO YAFANYIKA MWANZA

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Maneno ya Shigongo Akiwakumbuka Wazazi Wake Yawagusa Wengi

LEO, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018, familia ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, imefanya ibada maalum...

READ MORE

Ibada ya Misa Kuwaombea Wazazi wa Shigongo Yafanyika Bupandwamhela – Pichaz

FAMILIA ya Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, leo Jumatatu, Desemba 24, 2018 imefanya ibada maalum ya...

READ MORE

BREAKING: Chadema Waibuka na Daftari la Wapiga Kura – VIDEO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kulifanyika maboresho daftari la...

READ MORE

Tsunami Yaua Watu zaidi ya 160, Zaidi ya 700 Wajeruhiwa

TAKRIBAN watu 168 wameuawa na wengine 745 kujeruhiwa baada uya tsunami kuikumba miji ya pwani nchini Indonesia kwa mujibu wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 – 300

Rais John Magufuli amesema viongozi wa Serikali waliokatiwa tiketi ili wasafiri na ndege za Shirika la ATCL na kukaidi watakatwa...

READ MORE

Ndege ya Tanzania Air-Bus A220 Yatua Accra, Kutua Kesho

Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania imewasili Mjini Accra nchini Ghana...

READ MORE

DC Kinondoni Azindua ‘Rudi Nyumbani Kumenoga’

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amezinduwa rasmi kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendeshwa na Shirika la...

READ MORE

Dimpoz Atolewa Hospitali Nchini Ujerumani

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo kutolewa katika hospitali ya University Hospital of...

READ MORE

GLOBAL YATUNUKIWA TUZO NA DSJ

  Chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es Salaam (DSJ) jana Ijumaa Dec 21 kilifanya Mahafali yake ya 23...

READ MORE

Miss Tanzania 2018: Ushindi wangu Ulibaki Kwa Watanzania

Baada ya mashindano ya Miss World kukamilika na Queen Elizabeth Makune ambaye ameiwakilisha Tanzani kwa mwaka 2018, amesema kuwa kazi...

READ MORE

Mambosasa: Vigodoro Haviendani na Ustaarabu wa Dar- VIDEO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaomba wadau mbalimbali wa amani kuendelea kutoa ushirikiano kwa...

READ MORE

Mwanza: Ajirusha Kutoka Ghorofa ya 3 Rock City Mall, Afariki Dunia

Mussa Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo...

READ MORE

Mapya Yaibuka, Aliyedaiwa Kufia Mwananyamala na Dawa za Kulevya Tumboni

KAMISHNA Mkuu Wa Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Siyanga, amesema uchunguzi waliyoufanyika wamebaini kuwa mwili wa mfanyabiashara,...

READ MORE