×

Habari

Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua Bongo Jumapili

Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema Serikali itapokea ndege yake nyingine mpya toleo la Airbus A220-300, Jumapili hii Desemba...

READ MORE

Waliomlawiti Mwanachuo na Kumdai Pesa Wafikishwa Kisutu

MFANYABIASHARA Samson Kisuguta (28) na mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa...

READ MORE

Papa Francis Atangaza Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini anayo furaha kutangaza kwamba, Baba Mtakatifu Fransisko amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeyana kuwa Jimbo...

READ MORE

Mwili Wagundulika Una Dawa za Kulevya, Wazuiwa Mwananyamala

MFANYABIASHARA Happy Mboya (38) aliyefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala, Jumapili, Desemba 16 na kupangwa kusafirishwa jana kwenda Moshi kwa mazishi...

READ MORE

MBOWE, MATIKO WAWATAKIA CHADEMA SIKUKUU NJEMA, WARUDISHWA LUPANGO

KESI Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na viongozi wengine...

READ MORE

MALI ZA MAMA’KE…MTOTO WA AMINA CHIFUPA AFUNGUKA

DAR ES SALAAM: IKIWA ni miaka 11 sasa tangu mama yake mzazi ambaye alikuwa mwanasiasa maarufu nchini, Amina Chifupa afariki...

READ MORE

TTCL KUITIKISHA DAR NA TAMASHA LA ‘RUDI NYUMBANI KUMENOGA’

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Corporation linatarajia kufanya matamasha makubwa matatu jijini Dar es Salaam katikaa wilaya za Ilala, Temeke na...

READ MORE

BREAKING: Mtolea Ashinda Ubunge Temeke, Apita Bila Kupingwa!

ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge...

READ MORE

Kubenea Amkana Makonda, Hana Mpango wa Kuhamia CCM

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea amesema kuwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kusema...

READ MORE

Rais Magufuli Ataka Daraja la Selander Liitwe Tanzanite – Video

        Rais Dkt. John Pombe Magufuli Desemba 20, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja...

READ MORE

BREAKING: Makonda Asema Wabunge Ubungo, Kibamba Waomba Kusajiliwa CCM – Video

 MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amesema amepokea maombi mbalimbali ya madiwani na wabunge wawili — majimbo...

READ MORE

Polisi Wamsaka Mke wa Mugabe

Polisi nchini Afrika Kusini imetoa amri ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye...

READ MORE

SERIKALI YA JPM KIBOKO… FAMILIA HII YAULA MIL. 343

FAMILIA ya Chacha Kiguha Babere inaweza kusema mvumilivu hula mbivu baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kuuamuru Mgodi wa Dhahabu...

READ MORE

MTOTO ALIYECHANGIWA NA MONDI… MAZITO YAIBUKA!

DUNIA haina huruma! Licha ya mateso anayoyapata kutokana na ugonjwa wa kansa ya mifupa unaomsumbua, mazito yameibuka kwenye familia ya...

READ MORE

TUHUMA ZA KUBAMBIA WANAWAKE… NJEMBA YA MKUTA!

KWENYE wengi kuna mengi; usifikiri kila anayekwenda kwenye shoo za muziki anafuata burudani kuna wengine wana agenda zao kichwani.  Njemba mmoja...

READ MORE

Bibi Msela ‘Chalii wa Arusha’ Akimuelezea Babu wa Loliondo – Video

Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha, ambaye ni mfanyabiashara wa ndizi anayefahamika kwa...

READ MORE

Watu 64 Wanaswa na Muroto, Wamo Wezi, Makahaba na Wauza Madawa – Video

Jeshi la Polisi linaendelea na misako katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma ambapo limefanikiwa kukamata mali za wizi, wapokeaji...

READ MORE

Baada ya Kuzushiwa Kulala Makaburini, RC Hapi Atoa Tamko

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi amekanusha taarifa za uzushi zilizotungwa dhidi yake na kusambazwa kwenye mitandao ya...

READ MORE

CBA, VODACOM ZAKABIDHI BAJAJI 5 WASHINDI WA SHINDA NA M-PAWA

Benki ya CBA na Vodacom imekabidhi zawadi kwa washindi wake wa promosheni ya SHINDA NA M-PAWA  katika tawi la benki...

READ MORE

Mwalimu Amnyonga Mpenzi Wake Kisha Naye Kujinyonga

WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni wapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefariki dunia katika Mtaa wa Mafumbo, Manispaa...

READ MORE

Baada Ya Kujichimbia Zanzibar, Upinzani Watoa Tamko Zito

VYAMA sita vya upinzani vilivyokaa kikao chao Zanzibar vimesema mwaka wa 2019 ni mwaka ambao watapambana kwa hali zote katika...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Pole Mzee Mkapa kwa Msiba Mzito

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa kufuatia kifo cha...

READ MORE

Serikali Yaombwa kupiga marufuku Mifuko ya Plastiki

  Imebainika kuwa Mto Nile, ambao chanzo chake ni Ziwa Victoria, ni mto wa tano miongoni mwa mito kumi duniani...

READ MORE

Breking News: Diamond na Rayvan Wafungiwa na Basata

Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewafungia wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban...

READ MORE

CCM YAWASAMEHE ILIYOWATIMUA, YUMO MADABIDA

  Kwa kauli moja Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepokea maombi na kukubali kusamehewa adhabu ya kufukuzwa uanachama kutoka kwa...

READ MORE

ANGEL INVESTORS LAZINDUA OFISI ZAKE KIJITONYAMA DAR

    SHIRIKA la Kimataifa la Angel Investors  (Wawekezaji Malaika) lenye makao makuu  Instanbul, Uturuki,  limefungua ofisi ya Mkuruenzi Mkazi...

READ MORE

Unyama wa Kutisha: Mtoto Mchanga Akutwa Ametupwa

POLISI Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja hadi tatu aliyekuwa...

READ MORE

Tarehe ya Hukumu ya Tido Muhando Yatajwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Januari 25, 2019,  kutoa hukumu ya kesi ya matumizi mabaya ya madaraka inayomkabili aliyekuwa...

READ MORE

LUKUVI: ‘ZEGE HAILALI’ ATOA SIKU 60 WAMILIKI WA VIWANJA DAR

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametoa siku 60 kwa wamiliki wa viwanja vilivyopimwa kuviendelezwa ili...

READ MORE

JENERALI MABEYO: MAGHALA YOTE YAMEJAA KOROSHO MTWARA

JESHI la Wananchi  Tanzania limesema liko tayari kutumia meli yake yenye uwezo wa kubeba tani 500 kusafirisha korosho hadi jijini Dar es...

READ MORE

Mfungwa Apewa Adhabu Ya Kuangalia Filamu Jela

  Jangili mmoja nchini Marekani ameamriwa kuangalia filamu ya wanyama ya Bambi kila mwezi baada ya kukutwa na hatia ya...

READ MORE

BancABC yadhamini mkutano wa TWCC Wafanyabiashara

  BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara na ambao imeorodhesha kwenye soko la hisa la London, mwishoni...

READ MORE

Vigogo Upinzani Wajichimbia Zanzibar, Wanachokifanya Huko…

VIONGOZI mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, wakiwemo Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamadi, Mjumbe wa...

READ MORE

MUHIMBILI YATOA TAMKO MTOTO ALIYEKATWA MKONO

SAKATA la mtoto Issaya Merikioni aliyechomwa sindano na daktari na kunyauka mkono kisha ukakatwa linaendelea; sasa Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

Wazambia wakata tamaa Caf

LICHA ya Nkana FC juzi Jumamosi kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, lakini mashabiki wa timu hiyo...

READ MORE

Hotuba ya Rais Magufuli Kilele cha Miaka 50 Ya BAKWATA – Video

Leo Disemba 18, 2018 Kumefanyika kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Waislamu nchini BAKWATA ambapo katika sherehe...

READ MORE

Mshtakiwa Adai Waziri Lukuvi Alimkaba na Kumpora Begi Lenye Pesa

Mkurugenzi wa Kiluwa Group, Mohammed Kiluwa amedai mahakamani kwamba Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alimkaba...

READ MORE