×

Habari

Ukitaka Kumkera AUNT, Mchokonoe kwa IYOBO

SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel, amesema kama unataka kumjua upande wake wa pili wa shilingi, jaribu kuyafuatilia mapenzi...

READ MORE

MAJALIWA: RC IRINGA NA WENZAKE WARIPOTI OFISINI KWANGU – VIDEO

WAZIRI Mkuu  Kassim Majaliwa amewataka baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Iringa akiwemo Mkuu wa Mkoa huo, Ally Salum Hapi...

READ MORE

Kanisa Katoliki Laanika Hadharani Jina la Mshindi wa Urais Congo

Baraza Kuu la Maaskofu wa Kanisa Katoliki (Cenco), lenye ushawishi mkubwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limesema linafahamu aliyeshinda...

READ MORE

MastaBata ya NMB yaendelea kutoa fedha kwa washindi, wengine 20 walamba

    SHINDANO la Benki ya NMB kuhimiza matumizi ya ‘NMB Mastercard’ au ‘NMB Masterpass’ linalojulikana kama ‘MastaBata’, limefanyika tena...

READ MORE

WATANO WAGONGWA NA LORI WAKITOKA HARUSINI, WAFARIKI – VIDEO

AJALI mbaya ya lori la mchanga lenya namba za usajili T155 ATC kugongana na gari la abiria aina ya Toyota...

READ MORE

Jux, Mbosso wazidi kupeta takwimu za Boomplay 2018

WASANII Jux na Mbosso wa kundi la WCB wamezidi kufanya vizuri katika soko la mziki baada ya nyimbo zao kusikilizwa...

READ MORE

Matokeo Ya Kidato cha pili, Yapo Hapa

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), Dk, Charles Msonde leo Ijumaa Januari 4, 2019 amesema watahiniwa 506,235...

READ MORE

MHE. JOKATE KUMPA SHAVU BONDIA DULLA MBABE

  SERIKALI ya wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani inatarajia kutoa eneo kwa ajili ya kujenga ukumbi utakaotumika kuwapatia mazoezi ya...

READ MORE

MGALU, VULLU WAUNGA MKONO KAMPENI YA TOKOMEZA ZERO KISARAWE

  WABUNGE wa viti maalum mkoani Pwani ,Subira Mgalu na Zainab Vullu wamechangia magodoro 20 ili kupunguza changamoto ya upungufu...

READ MORE

MWILI WA MSANII BONGO WAAGWA DAR

MWILI wa aliyekuwa mwanamuziki wa Bendi ya Vijana Jazz, Abdallah Mgonahazeru umeagwa leo Ijumaa, nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es...

READ MORE

Alichokisema Rais Magufuli Leo IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 04 Januari, 2019 ameshuhudia utiaji saini wa...

READ MORE

Ridhiwani alivyomvaa Dk Kigwangalla

MBUNGE wa Chalinze (CCM), Ridhiwani Kikwete amemvaa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamis Kigwangala akimwambia kwamba bado hajafanya kazi...

READ MORE

WAZIRI MAKAMBA AONGOZA KAMPENI YA UPANDAJI MITI KATIKA MJI WA SERIKALI

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.  January Makamba hii leo ameongoza watumishi wa...

READ MORE

Maamuzi ya Mahakama Kuu Kesi ya Zitto na Wenzake Vs Mwanasheria Mkuu – Video

Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Januari 4, 2019, imeahirisha kesi No. 31 ya mwaka 2018, ambayo...

READ MORE

Mkazi wa Simiyu ashinda Milioni 56.1 za M-bet

    Mkazi Bariadi Mkoa wa Simiyu, Golesu Maduhu (23) ameshinda Sh 56,137,550 baada ya kubahatisha kwa usahihi mchezo wa...

READ MORE

Huyu Ndo Rais Aliyekula Bata la Kutupwa, Alijenga Paradiso Kijijini Kwao – Video

ALIKUWA ni mmoja wa viongozi wa Afrika waliodaiwa kuwa wanapenda kuishi maisha ya anasa na kutumia vibaya fedha za nchi...

READ MORE

MSHTUKO! MUME, MKEWE WAJIUA WASIUONE MWAKA MPYA

WAKATI watu wengi wakiwa kwenye dua kuomba Mungu awafikishe Mwaka Mpya wa 2019, kuna wengine walijiapiza kutouona kwa kuamua kuuana,...

READ MORE

SIMULIZI YA FAMILIA HII INAUMA!

FAMILIA nyingi nchini huwa zinapata shida mbalimbali lakini simulizi ya familia hii ukiisikia, inauma sana. Ni kwamba msichana Hadija Abduli...

READ MORE

Wanachokiona watoto hawa ni Mateso 100%

PWANI: FAMILIA ya Hamisi Sabiri na mkewe Zena Mari, wakazi wa Kitongoji cha Mkanzi, wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani ipo...

READ MORE

Haya Hayatasahaulika 2018!

MIAKA mitatu iliyopita wakati Rais Dk John Magufuli akitangaza baraza lake la kwanza la mawaziri mara baada ya kushika nchi...

READ MORE

Maadui wa JPM Watikisa Morogoro RPC Awafungia Kazi

  WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais John Pombe Magufuli ‘JPM’ ikipambana kwa kasi kubwa kuweka miundombinu...

READ MORE

Wakili Ahoji Rufaa ya Mbowe, Kesi Yapelekwa Januari 17

  Wakati Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko...

READ MORE

Halotel Yajivunia Mafaniko 2018, Yaibuka na wateja Mil 4

  MWAKA 2018 ulikuwa mwaka mzuri kwa Kampuni ya Halotel Tanzania ikiwa moja ya Kampuni ya Mawasiliano iliyosajiliwa nchini ikifanikiwa...

READ MORE

BREAKING: ZITTO AFANYA MAAMUZI MAGUMU, AISHIKA PABAYA SERIKALI – VIDEO

KIONGOZI wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na viongozi wenzake wa vyama vya upinzani nchini, Joran Lwehabula Bashange na...

READ MORE

MAMA ALIA; Nateseka, Natembelea Kigoda kwa Miaka 3, Nisaidieni – VIDEO

Bi. Fatma Athman mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, amekuwa akiteseka kwa takribani miaka mitatu kutokana na...

READ MORE

Nyumba ya Mjomba wa Rais Magufuli Kubomolewa na Mwekezaji – Video

NYUMBA inayodaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa akitembelea mara kwa mara alipokuwa mwanafunzi...

READ MORE

EXCLUSIVE: Halima Mdee Ataja Orodha ya Viongozi Bora 2018 – Video

Mbunge wa Kawe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake BAWACHA, Halima Mdee akifanya exclusive interview na Global TV...

READ MORE

BREAKING: RAIS MAGUFULI Amuombea Dua Waziri Mkuu Mstaafu ICU!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Magufuli amemjulia hali na kumuombea waziri mkuu mstaafu, Mh Salim Ahmed...

READ MORE

Amuacha mumewe kitandani, aenda kujinyonga kwao

RUVUMA: Mkazi wa Kijiji cha Nakayaya wilayani Tunduru mkoani Ruvuma, Awetu Makunula (44) mwishoni mwa wiki iliyopita amejinyonga hadi kufa...

READ MORE

Atumbukia Kisimani na Kufariki Dunia

Mtu mmoja aitwaye Mikidadi Abdi mkazi wa Manyoni mkoani Singida amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima katika kitongoji cha Majengo...

READ MORE

Msanii wa filamu Afariki Dunia

Msanii Mkongwe wa Filamu kutoka kisima cha Bollywood, Kader Khan, amefariki dunia hapo jana akiwa nchini Canada alipokuwa akipatiwa matibabu....

READ MORE

RAIS MAGUFULI: WATUMISHI WA UMMA WAACHE KUSEMA “WANAFUATA MAAGIZO TOKA JUU”

Ameyasema hayo Ikulu wakati akitoa salamu za Heri ya Mwaka Mpya 2019 na kuwataka Watanzania wadumishe amani, upendo na umoja...

READ MORE

JPM Awatakia Watanzania Heri Ya Mwaka Mpya (VIDEO)

RAIS John Magufuli amewatakia heri ya Mwaka Mpya wa 2019 Watanzania wote na kuwaomba wadumishe umoja, amani na upendo waliouonyesha...

READ MORE

Picha: Shangwe la Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live

UMATI wa wapenda burudani walivyofunga Jumla Jumla mwaka 2018 na kukaribishwa mwaka 2019 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani,...

READ MORE

WAZIRI MKUU AZINDUA TAWI LA BENKI YA CRDB RUANGWA

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua tawi la benki ya CRDB wilayani Ruangwa na kuushukuru uongozi wa benki hiyo kwa kuwa...

READ MORE

JPM APONGEZWA , ATAKIWA KUWA IMARA

    ALIYEKUWA Waziri Mkuu wa Uongozi wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014, Mnawaru Hamudi amempongeza...

READ MORE

Tshisekedi, Fayulu Walalamikia Dosari Uchaguzi wa Urais Congo

WAGOMBEA wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamelalamikia dosari nyingi wanazosema zilitokea wakati wa uchaguzi wa urais uliofanyika...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Ataja Sifa za Kugombea Serikali za Mitaa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally amesema atakayejihusisha na vitendo vya rushwa katika mchakato wa chama hicho...

READ MORE

WIZARA YATANGAZA AKAUNTI RASMI ZA WAZIRI KANGI LUGOLA

BAADA ya kuwepo kwa akaunti feki ya Mtandao wa Kijamii wa Instagram, ambao ulikuwa unatoa taarifa mbalimbali kwa jamii kuhusu...

READ MORE