×

Habari

BREAKING NEWS: MTANGAZAJI EPHRAIM KIBONDE AFARIKI DUNIA

IKIWA ni siku tisa tangu kituo cha Utangazaji cha Clouds Media kupata pigo kwa kuondokewa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na...

READ MORE

R Kelly Afunguka Tuhuma za Kunyanyasa Kingono, Amwaga Chozi – VIDEO)

  NYOTA wa miondoko ya R&B, R Kelly, ameonyesha masikitiko yake katika kipindi kimoja cha asubuhi cha televisheni dhidi ya...

READ MORE

SERIKALI YAAGIZA KUHAMISHWA KWA DAMPO LA KIHESA-KILOLO

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima ameagizakuhamishwa kwa dampo la Kihesa...

READ MORE

KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU ATAKIWA KUFATILIA UKARABATI WA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha akizungumza na wazazi, wanafunzi, walimu pamoja na wanakijiji wa Kwala...

READ MORE

WANAWAKE WATUMIKA WIZI WA BAJAJ KIMAFIA

MOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa...

READ MORE

RUGE MWISHO WA ENZI! BUKOBA YALOWA MACHOZI, SIMANZI YATANDA KILA KONA

BUKOBA: MWISHO wa enzi! Safari ya maisha ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba...

READ MORE

SportPesa Yampa Nyumba Mwalimu wa Atlas Dar

MWALIMU wa Shule ya Atlas ya Madale jijini Dar es Salaa, Renovatus Philbert amefanikiwa kushinda Shilingi Milioni 26, 659, 362...

READ MORE

Marekani Waanza Kutibu Ukimwi, Wagonjwa Wawili Wamepona

JOPO la Madaktari jijini London nchini Uingereza limefanikiwa kumuondolea kabisa virusi vya ukimwi muathirika na kumfanya kuwa mtu wa pili...

READ MORE

Mgomo Waibuka Kenya, Ndege Zaelekezwa Kutua Tanzania

Ndege za uchukuzi wa abiria na mizigo zilizoratibiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya zimeelekezwa kutua...

READ MORE

KILICHOTOKEA MAHAKAMANI RUFAA YA MBOWE, KESHO MAAMUZI

MAWAKILI wa upande wa Freeman Mbowe na Ester Matiko, Peter Kibatala na Jeremia Mtobesya wameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

BETIKA LAZIDI KUTIKISA KITAA

  LIKIWA limetimiza mwezi mmoja tangu liingie mtaani, Gazeti la Betika limezidi kutikisa ambapo kila siku wasomaji wamekuwa wakilimwagia sifa...

READ MORE

MAGUFULI ASHIRIKI JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MT. JOSEPH

…Akipokea mkate wa Sakramenti Takatifu. Sehemu ya waamini  kanisani hapo. …Akiwaaga waamini wenzake. PICHA NA IKULU

READ MORE

BREAKING NEWS: Mwalimu Ahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa Bukoba

Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imemhukumu kunyongwa hadi kufa mwalimu Respicius Mutazangira kwa mauaji ya aliekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta, Sperius...

READ MORE

BREAKING: MGEJA ACHOMOKA CHADEMA, AMFUATA LOWASSA CCM – VIDEO

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja, ambaye aliondoka chama hicho na kuhamia Chadema, leo Machi 06, 2019...

READ MORE

Rwanda: Kagame awakamata majenerali watatu wa jeshi

MAJENERALI  Joseph Nzabamwita (kusho juu, picha ya chini), Fred Ibingira (kulia juu) na Emmanuel Ruvusha, wamekamatwa na kuwekwa chini ya...

READ MORE

Mwanamke Mwingereza Aliyejiunga ISIS Aomba Kurejea Nchini

BAADA ya kuvuliwa uraia wake wa Uingereza, Shamima Begum (pichani) aliyejipatia umaarufu wa ghafla dunia nzima, ameipigia magoti nchi yake...

READ MORE

Breaking: WAFANYAKAZI WA CLOUDS WAPATA AJALI WAKITOKA KUMZIKA RUGE

  TIMU ya Uzalishaji wa Vipindi wa kituo cha Clouds Media cha Dar es Salaam leo imepata ajali ya gari...

READ MORE

Mgomo wa Wafanyakazi Uwanja wa Ndege Waleta Mzozo

  USAFIRI wa ndege umetatizika na abiria wamekwama katika uwanja mkuu wa ndege wa Jomo Kenyatta (JKIA) jijini Nairobi, Kenya....

READ MORE

MAJONZI: MAZISHI ya Sheikh Zuberi Yahya Dar – Video

Mazishi ya aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Mtoro, Sheik Zuberi Yahya Mussa, yamefanyika jana Jumanne, Machi 5, 2019, katika Makaburi...

READ MORE

PRINCE STATIONERY WAONGEZA OFA PUNGUZO LA VIFAA VYA SHULE

  WAUZAJI bingwa wa vifaa vya maofisini na shuleni, kwa bei za jumla na rejareja, Prince Stationery ambao Januari mwaka huu...

READ MORE

Dada Aliyetoka Njombe Hadi Bukoba Kumzika Ruge, Afunguka! – Video

Kauli ya kwamba marehemu, Ruge Mutahaba alikuwa kipenzi cha watu imezidi kujidhihirisha zaidi kwenye msiba wake kwani watu kutoka maeneo...

READ MORE

Wafungwa 340 Wakutwa na Ukimwi, Waziri Afunguka!

WAFUNGWA na mahabusu 340 kati ya 15,250 nchini waliopimwa Virusi vya Ukimwi (VVU) wamekutwa na maambukizi baada ya Jeshi la...

READ MORE

NMB YAKABIDHI MSAADA WA MABATI 1248, MADAWATI 62 SHULE 8 MKOANI KATAVI

  BENKI ya NMB imetoa msaada wa mabati 1,248 na madawati 62 kwa ajili ya Shule 5 za Sekondari na...

READ MORE

Aliyedai Jambazi Ajisalimisha kwa RPC Muroto, Apokelewa – Video

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Emmanuel amejisalimisha katika Jeshi la Polisi jijini Dodoma na kudai kuwa alikuwa mharifu wa...

READ MORE

Nditiye Apiga Marufuku Gari za Abiria Kusafirisha Vifurushi na Barua

NAIBU Waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amepiga marufuku magari yote ya abiria kusafirisha vifurushi vya aina yoyote...

READ MORE

EXCLUSIVE na Mganga Aliyemfufua Mtoto MSUKULE Kilimanjaro – Video

Mganga Moto wa Radi ambaye ameendelea kujizolea umaarufu baada ya ‘kumfufua’ mtoto aliyedaiwa kufariki tangu mwaka jana katika maeneno ya...

READ MORE

HATIMAYE RUGE AZIKWA KISHUJAA BUKOBA – PICHAZ

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba umezikwa Machi 4, 2019 kishujaa nyumbani...

READ MORE

Basi la BM Lapinduka Likikwepa Treni – Pichaz

BASI la Kampuni ya BM Coach limepata ajali ya kupinduka jana Jumatatu, Machi 4, 2019 majira ya alasiri wakati likijaribu...

READ MORE

Wateja wa DStv waula kwenye Promosheni ya “Tia kitu pata vituz” 

  Wateja 15 wa DStv wameibuka washindi wa wiki ya kwanza ya promosheni ya “Tia kitu pata vituz” inayoendeshwa na MultiChoice Tanzania....

READ MORE

Alichokisema Balozi Mahiga Baada ya Kuapishwa – VIDEO

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi ameanza kazi rasmi kwa kumtaka Katibu Mkuu...

READ MORE

Prof. Kabudi Atoa ONYO kwa Wanaoichafua Tanzania – Video

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi, amewataka watu wanaoisema vibaya Tanzania kukaa kimya...

READ MORE

PRINCE STATIONERY WAJA NA OFA YA PUNGUZO VIFAA VYA MAOFISINI

Prince Stationery, wauzaji bingwa wa vifaa vya maofisini na shuleni kwa jumla na rejareja, wametangaza ofa kubwa katika msimu huu...

READ MORE

YANAYOJIRI GYMKHANA BUKOBA KWENYE MAZISHI YA RUGE – PICHAZ

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, marehemu Ruge Mutahaba umeagwa katika ibada maalum iliyofanyika kwenye...

READ MORE

JPM: Mo Dewji Alionekana Akinywa Chai na Mambosasa – Video

RAIS  John  Magufuli ameonyesha kutoridhishwa na namna ambavyo suala la upelelezi wa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo...

READ MORE

Rubani wa Makamu wa Rais Afariki kwa Ajali ya Ndege

CAPTAIN Mario Magonga, aliyekuwa rubani wa Makamu wa Rais wa Kenya,  William Ruto,  amefariki katika ajali baada ya ndege aina...

READ MORE

Zahera avunja na kuweka rekodi mpya Yanga

UKIWA ni msimu wake wa kwanza katika Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefanikiwa kuvunja rekodi ya...

READ MORE

BENKI YA NMB YASAIDIA KITUO CHA AFYA MIRERANI

  BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda vya kujifungulia pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh Milioni 10 katika...

READ MORE

MWILI WA RUGE WAFIKISHWA GYMKHANA KUAGWA- PICHAZ

MWILI wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba...

READ MORE