×

Habari

BREAKING: Chadema Waibuka na Daftari la Wapiga Kura – VIDEO

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Pwani kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kulifanyika maboresho daftari la...

READ MORE

Tsunami Yaua Watu zaidi ya 160, Zaidi ya 700 Wajeruhiwa

TAKRIBAN watu 168 wameuawa na wengine 745 kujeruhiwa baada uya tsunami kuikumba miji ya pwani nchini Indonesia kwa mujibu wa...

READ MORE

RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS 220 – 300

Rais John Magufuli amesema viongozi wa Serikali waliokatiwa tiketi ili wasafiri na ndege za Shirika la ATCL na kukaidi watakatwa...

READ MORE

Ndege ya Tanzania Air-Bus A220 Yatua Accra, Kutua Kesho

Ndege ya kwanza kati ndege mbili aina ya Air-Bus A220 zilizonunuliwa na Serikali ya Tanzania imewasili Mjini Accra nchini Ghana...

READ MORE

DC Kinondoni Azindua ‘Rudi Nyumbani Kumenoga’

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amezinduwa rasmi kampeni ya Mkoa kwa Mkoa, Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendeshwa na Shirika la...

READ MORE

Dimpoz Atolewa Hospitali Nchini Ujerumani

MUNGU mkubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo kutolewa katika hospitali ya University Hospital of...

READ MORE

GLOBAL YATUNUKIWA TUZO NA DSJ

  Chuo cha Uandishi wa habari cha Dar es Salaam (DSJ) jana Ijumaa Dec 21 kilifanya Mahafali yake ya 23...

READ MORE

Miss Tanzania 2018: Ushindi wangu Ulibaki Kwa Watanzania

Baada ya mashindano ya Miss World kukamilika na Queen Elizabeth Makune ambaye ameiwakilisha Tanzani kwa mwaka 2018, amesema kuwa kazi...

READ MORE

Mambosasa: Vigodoro Haviendani na Ustaarabu wa Dar- VIDEO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amewaomba wadau mbalimbali wa amani kuendelea kutoa ushirikiano kwa...

READ MORE

Mwanza: Ajirusha Kutoka Ghorofa ya 3 Rock City Mall, Afariki Dunia

Mussa Ally (25), mkazi wa Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza anayedaiwa kuwa na elimu ya chuo kikuu, amejirusha katika jengo...

READ MORE

MAGUFULI AAGA MWILI WA MAKAMU MKUU WA UDOM

         

READ MORE

Mapya Yaibuka, Aliyedaiwa Kufia Mwananyamala na Dawa za Kulevya Tumboni

KAMISHNA Mkuu Wa Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya, Rogers Siyanga, amesema uchunguzi waliyoufanyika wamebaini kuwa mwili wa mfanyabiashara,...

READ MORE

Ndege Mpya Airbus A220-300 Kutua Bongo Jumapili

Msemaji wa Serikali, Dk Hassan Abbas amesema Serikali itapokea ndege yake nyingine mpya toleo la Airbus A220-300, Jumapili hii Desemba...

READ MORE

Waliomlawiti Mwanachuo na Kumdai Pesa Wafikishwa Kisutu

MFANYABIASHARA Samson Kisuguta (28) na mwanafunzi wa Chuo cha Ardhi, Anna Mwaisumo (23) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa...

READ MORE

Papa Francis Atangaza Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya

Balozi wa Baba Mtakatifu nchini anayo furaha kutangaza kwamba, Baba Mtakatifu Fransisko amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeyana kuwa Jimbo...

READ MORE

Mwili Wagundulika Una Dawa za Kulevya, Wazuiwa Mwananyamala

MFANYABIASHARA Happy Mboya (38) aliyefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala, Jumapili, Desemba 16 na kupangwa kusafirishwa jana kwenda Moshi kwa mazishi...

READ MORE

MBOWE, MATIKO WAWATAKIA CHADEMA SIKUKUU NJEMA, WARUDISHWA LUPANGO

KESI Na. 112/2018 ya uchochezi inayowakabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko na viongozi wengine...

READ MORE

MALI ZA MAMA’KE…MTOTO WA AMINA CHIFUPA AFUNGUKA

DAR ES SALAAM: IKIWA ni miaka 11 sasa tangu mama yake mzazi ambaye alikuwa mwanasiasa maarufu nchini, Amina Chifupa afariki...

READ MORE

TTCL KUITIKISHA DAR NA TAMASHA LA ‘RUDI NYUMBANI KUMENOGA’

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Corporation linatarajia kufanya matamasha makubwa matatu jijini Dar es Salaam katikaa wilaya za Ilala, Temeke na...

READ MORE

BREAKING: Mtolea Ashinda Ubunge Temeke, Apita Bila Kupingwa!

ALIYEKUWA Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Abdallah Mtolea, ametangazwa na msimamizi wa uchaguzi kuwa Mbunge...

READ MORE

Kubenea Amkana Makonda, Hana Mpango wa Kuhamia CCM

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA) Saed Kubenea amesema kuwa kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kusema...

READ MORE

Rais Magufuli Ataka Daraja la Selander Liitwe Tanzanite – Video

        Rais Dkt. John Pombe Magufuli Desemba 20, 2018 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa daraja...

READ MORE

BREAKING: Makonda Asema Wabunge Ubungo, Kibamba Waomba Kusajiliwa CCM – Video

 MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amesema amepokea maombi mbalimbali ya madiwani na wabunge wawili — majimbo...

READ MORE

Polisi Wamsaka Mke wa Mugabe

Polisi nchini Afrika Kusini imetoa amri ya kukamatwa kwa Grace Mugabe, mke wa aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ambaye...

READ MORE

SERIKALI YA JPM KIBOKO… FAMILIA HII YAULA MIL. 343

FAMILIA ya Chacha Kiguha Babere inaweza kusema mvumilivu hula mbivu baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kuuamuru Mgodi wa Dhahabu...

READ MORE

MTOTO ALIYECHANGIWA NA MONDI… MAZITO YAIBUKA!

DUNIA haina huruma! Licha ya mateso anayoyapata kutokana na ugonjwa wa kansa ya mifupa unaomsumbua, mazito yameibuka kwenye familia ya...

READ MORE

TUHUMA ZA KUBAMBIA WANAWAKE… NJEMBA YA MKUTA!

KWENYE wengi kuna mengi; usifikiri kila anayekwenda kwenye shoo za muziki anafuata burudani kuna wengine wana agenda zao kichwani.  Njemba mmoja...

READ MORE

Bibi Msela ‘Chalii wa Arusha’ Akimuelezea Babu wa Loliondo – Video

Bibi maarufu katika jiji la Arusha mwenye misemo yote ya vijana wa Arusha, ambaye ni mfanyabiashara wa ndizi anayefahamika kwa...

READ MORE

Watu 64 Wanaswa na Muroto, Wamo Wezi, Makahaba na Wauza Madawa – Video

Jeshi la Polisi linaendelea na misako katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma ambapo limefanikiwa kukamata mali za wizi, wapokeaji...

READ MORE

Baada ya Kuzushiwa Kulala Makaburini, RC Hapi Atoa Tamko

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Ally Salum Hapi amekanusha taarifa za uzushi zilizotungwa dhidi yake na kusambazwa kwenye mitandao ya...

READ MORE

CBA, VODACOM ZAKABIDHI BAJAJI 5 WASHINDI WA SHINDA NA M-PAWA

Benki ya CBA na Vodacom imekabidhi zawadi kwa washindi wake wa promosheni ya SHINDA NA M-PAWA  katika tawi la benki...

READ MORE

Mwalimu Amnyonga Mpenzi Wake Kisha Naye Kujinyonga

WATU wawili wanaodaiwa kuwa ni wapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefariki dunia katika Mtaa wa Mafumbo, Manispaa...

READ MORE

Baada Ya Kujichimbia Zanzibar, Upinzani Watoa Tamko Zito

VYAMA sita vya upinzani vilivyokaa kikao chao Zanzibar vimesema mwaka wa 2019 ni mwaka ambao watapambana kwa hali zote katika...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Pole Mzee Mkapa kwa Msiba Mzito

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa kufuatia kifo cha...

READ MORE

Serikali Yaombwa kupiga marufuku Mifuko ya Plastiki

  Imebainika kuwa Mto Nile, ambao chanzo chake ni Ziwa Victoria, ni mto wa tano miongoni mwa mito kumi duniani...

READ MORE

Breking News: Diamond na Rayvan Wafungiwa na Basata

Balaza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewafungia wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Raymond Shaban...

READ MORE

CCM YAWASAMEHE ILIYOWATIMUA, YUMO MADABIDA

  Kwa kauli moja Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepokea maombi na kukubali kusamehewa adhabu ya kufukuzwa uanachama kutoka kwa...

READ MORE

ANGEL INVESTORS LAZINDUA OFISI ZAKE KIJITONYAMA DAR

    SHIRIKA la Kimataifa la Angel Investors  (Wawekezaji Malaika) lenye makao makuu  Instanbul, Uturuki,  limefungua ofisi ya Mkuruenzi Mkazi...

READ MORE

Unyama wa Kutisha: Mtoto Mchanga Akutwa Ametupwa

POLISI Mkoa wa Mwanza imefanikiwa kumuokoa mtoto mchanga wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa siku moja hadi tatu aliyekuwa...

READ MORE