×

Habari

CHARLES KITWANGA AHAMISHIWA MUHIMBILI

MBUNGE wa Misugwi na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, amehamishwa kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma...

READ MORE

NMB YATOA MSAADA WA MABATI, MADAWATI, KOMPYUTA TEMEKE

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global...

READ MORE

Babu Anaswa na Denti Live, Akiona cha Moto

DAR ES SALAAM: DUNIANI kuna mambo! Babu mmoja aliyejulikana kwa jina la Dotto, mkazi wa Kitangini Kata ya Chanika jijini...

READ MORE

KWA HERI KANTONA, PIGO KWA MUZIKI WA DANSI

ALIYEKUWA Mwanamuziki wa Bendi  ya Mapacha Watatu aliyefariki kwa ajali ya gari Jumamosi iliyopita, amezikwa Jumatano, Januari 31, 2019 na...

READ MORE

KILICHOTOKEA MBELE YA MAKONDA, SHEHE MKUU AMLIPUA DIAMOND

DAR ES SALAAM: Kufuatia kilichojiri ukumbini usiku wa kuamkia juzi Jumatatu, Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad...

READ MORE

Kesi ya Zitto: Spika na CAG Wapewa Siku 14

KESI ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe na Spika wa Bunge Job Ndugai ya kuomba kuomba tafsiri ya Mahakama...

READ MORE

Katibu Mkuu Wizara ya Madini ‘Amtumbua’ Mtu Dodoma

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila amemsimamisha kazi Fundi Sanifu wa Madini, Asheni Daudi wa Ofisi ya...

READ MORE

Ndugai: Zitto Muongo Ananichafua, Lissu Tumempa Mil 250 za Matibabu – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema kuanzia sasa ataanza kumjibu mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, kwa...

READ MORE

KESI YA MBOWE YAPANGIWA HAKIMU MPYA, HUKUMU YA RUFAA FEB 18 – VIDEO

KESI namba 112/2018 inayowakabili baadhi ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe...

READ MORE

MAZIKO YA ERICK KANTONA YAAHIRISHWA

MAZISHI ya mwanamuziki wa Mapacha Music Band inayoongozwa na Jose Mara, Erick Kantona Mugogo wa Mazizini au Msanii wa Bei...

READ MORE

Mtandao wa Kijamii Wampeleka Mbunge Jela

  MBUNGE na aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo wa Ivory Coast, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya...

READ MORE

Kesi ya Zitto Kuhusu CAG, Spika Ndugai Aitwa Mahakama Kuu

MAHAKAMA Kuu imetoa wito kwa Spika wa bunge Ndugu Job Ndugai kufika mahakamani leo kwenye kesi ya kikatiba kuhusu kinga...

READ MORE

Viboko VYATIKISA Bungeni, Spika Akumbushia Alivyomtwanga Mgombea – Video

SAKATA la walimu kuwaadhibu wanafunzi mpaka kufikia hatua ya wanafunzi kupoteza maisha au kupata majeraha na ulemavu wa kudumu limewagusa...

READ MORE

ULINZI SOKO KUU LA KARIAKOO, MLIMANCITY….RIPOTI MPYA!

kikosi kazi cha kufichua mauovu cha Global Publishers maarufu kwa jina la Oparesheni Fichua Maovu (OFM), kimeingia mzigoni kukagua usalama...

READ MORE

Tanzia: Mvumbuzi wa Tanzanite Afariki Dunia Muhimbili

TANZIA: Mvumbuzi wa Madini ya Tanzanite, Mzee Jumanne Ngoma amefariki leo Jumatano, Januari 30, 2019 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

READ MORE

WENZIO WANAJIZOLEA ZAWADI NA UWAZI, WEWE UNANGOJA NINI?

  Mambo yamezidi kunoga kwenye ile Chemsha Bongo inayoendeshwa na Gazeti la Uwazi ambapo wasomaji mbalimbali wamejizolea zawadi za pesa...

READ MORE

CHAMPIONI, UWAZI YAMWAGA ZAWADI KWA WAUZAJI WAKE

MAGAZETI ya Championi na Uwazi yanayochapishwa na Kampuni kongwe na bora ya Magazeti Afrika Mashariki, Global Publishers jana Jumanne, Januari...

READ MORE

MAGUFULI AFANYA UTEUZI TENA

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa DSFA na wenyeviti wa bodi za TALIRI na...

READ MORE

Taarifa za Walio na VVU Zavujishwa

  TAARIFA za siri za watu zaidi ya 14000 walio na virusi vya ukimwi (VVU) wakiwemo raia wa kigeni, zimeibiwa...

READ MORE

NMB yasaidia madawati Sekondari ya Magawa na vifaa vya ujenzi Zahanati ya Nganje, Mkuranga

BENKI ya NMB imekabidhi msaada wa viti na madawati 50 kwa Shule ya Sekondari Magawa pamoja na baadhi ya vifaa...

READ MORE

Shule ya Mkapa Wakutwa Wakiiba Maji Usiku

SHULE ya Sekondari ya Anna Mkapa iliyopo kata ya Pasua katika Manispaa ya Moshi imebainika kufanya udanganyifu kwa kushiriki kitendo...

READ MORE

Vigogo 6 NIDA Wasomewa Mashtaka Mapya 100

VIGOGO sita wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akiwamo Mkurugenzi Mkuu wa zamani, Dickson Maimu, wamefikishwa mahakamani na kusomewa...

READ MORE

Wanaoua Watoto Njombe Tumewabaini, Hizi ni Imani za Kishirikina – Video

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Kangi Lugola amesema imebainika kuwa mauaji ya watoto mkoani Njombe ni ya imani...

READ MORE

HALOTEL YAREJESHA FAIDA KWA JAMII

KATIKA kuhakikisha inatekeleza agizo la Serikali ya kurejesha faida kwa jamii Kampuni ya Simu ya Halotel  imemkabidhi Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Tigo yatoa zawadi kwa Mawakala waliofanya vizuri mwishoni mwa mwaka 2018

  Kampuni ya Tigo Tanzania, imetoa zawadi ya fedha taslimu kwa mawakala wake wa Tigo Pesa waliofanya vizuri katika promosheni...

READ MORE

MWALIMU AMWANDIKIA DENTI BARUA YA MAPENZI, ANASWA!

 HII ni aibu ya mwaka 2019! Wakati jamii ikiamini walimu ndiyo wanaopaswa kuwa mstari wa mbele kuwafundisha maadili wanafunzi wao,...

READ MORE

Download App namba moja Tanzania kwa Habari Hapa

Hujachelewa, download Application namba moja Tanzania kwa Habari za Kitaifa, Kimataifa, Burudani, Matukio, Breaking News na Exlusive Interview za mastaa...

READ MORE

MREMBO AKUTWA MTUPU KAZINI, INASEMEKANA ALIKUWA AKINANILIU….!

MREMBO Betty Kitoo kama alivyojieleza, Alhamisi mchana wiki iliyopita alipatwa na aibu baada ya kukutwa akiwa mtupu kazini kwake.  Kilichomfanya akae...

READ MORE

KISA DILI LA KUSUKA BINTI APATA MAJANGA MAZITO!

DUNIANI kuna taabu, lakini jipe moyo! Mwanadada aitwaye Adelina Peter (25) (pichani), mkazi wa Yombo-Kilakala jijini Dar, amepatwa na janga...

READ MORE

HATIMAYE MUSWADA WA VYAMA VYA SIASA WATUA BUNGENI – VIDEO

Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya vyama vya Siasa wa mwaka 2018 umewaasilishwa bungeni leo Jumanne Januari 29, 2019 na...

READ MORE

Hakimu Afikishwa Kortini kwa Tuhuma za Kupokea Rushwa Tsh 710,000

Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Ukonga jijini Dar es Salaam, Dickson Mwasenga (46), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

KIZAAZAA! BALAA LA BUNDI ALIVYOTUA BUNGENI, SPIKA HOI – VIDEO

Katika hali isyo ya kawaida Ndege aina ya bundi ameonekana Bungeni akiwa juu kabisa ambapo Spika wa bunge, Job Ndugai,...

READ MORE

KIMENUKA NJOMBE! WANANCHI WAMSAKA MTEKAJI, POLISI WAMWAGA MABOMU

POLISI mkoani Njombe imelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi walioandamana katika baadhi ya mitaa wakiwa na madai ya kutaka...

READ MORE

SIMANZI NJOMBE! MAZISHI YA WATOTO 3 WA FAMILIA MOJA WALIOUAWA

HALI ya majonzi, vilio na simanzi ilitawala katika kijiji cha Ikando Kata ya Kichiwa, wakati wa mazishi ya miili ya...

READ MORE

MAGUFULI AWAONYA MA-DC WANAOWASWEKA NDANI WATUMISHI – VIDEO

RAIS John Magufuli amewataka wakuu wa wilaya na viongozi wengine nchini kutotumia mamlaka yao vibaya kwa kuwaweka ndani baadhi ya watendaji...

READ MORE

Magufuli: Amebaka watoto 11 mmemwachia, mnataka abake wangapi? – VIDEO

RAIS  John Magufuli ameshangazwa na kitendo cha vyombo vya dola kushindwa kumshughulikia mtuhumiwa anayedaiwa kubaka watoto 11 wilayani Mufindi mkoani...

READ MORE

Kesi ya ‘Uchochezi’ Inayomkabili Zitto Kabwe Yaahirishwa

    MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imekwama kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya uchochezi inayomkabili, kiongozi wa chama...

READ MORE

MAREKANI YAISHTAKI KAMPUNI YA HUAWEI

  MAREKANI imeishtaki kampuni kubwa ya mawasiliano ya China, Huawei,  na ofisa mkuu wake wa fedha, Meng Wanzhou.   Mashataka...

READ MORE