×

Habari

BREAKING: Serikali Yatoa Siku 4 kwa Wanunuzi wa Korosho – Video

SERIKALI imetoa siku nne kwa wanunuzi wote 35 waliojiandikisha kununua korosho wawe wamepeleka barua katika Ofisi ya Waziri Mkuu wakionesha ...

READ MORE

Breaking News: Mabehewa ya treni Yaanguka Morogoro

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mabehewa mawili ya treni ya mizigo ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) yaliyokuwa yamebeba...

READ MORE

BASHE: “Serikali Ina Matatizo, Mamuonea Huruma Waziri” – VIDEO

JANA Alhamisi, Novemba 8, 2018 wakati akichangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka wa fedha 2019/20 uliowasilishwa bungeni na...

READ MORE

‘POVU LA BWEGE’ BUNGENI UTACHEKA “WALINIFUATA WANINUNUE” – VIDEO

MBUNGE wa Kilwa Kusini, Suleiman Bungara maarufu Bwege, (CUF), amesema alifuatwa ili akubali kununuliwa kwa kujiunga na Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

MAGUFULI AMTUMBUA KIDATA, AMVUA UBALOZI

Rais Magufuli jana November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata. Uamuzi...

READ MORE

HAONGA: Mmemkimbia MBOWE, Sasa Pambaneni na MAGUFULI – Video

MBUNGE wa Mbozi (Chadema), Pascal Haonga amesema watu walioaminiwa na kuchaguliwa wakiwa upinzani na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) uwezo...

READ MORE

AMEUMBUKA: KIGOGO POLISI ANASWA NA KIBINTI KITANDANI – VIDEO

MOROGORO: Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni na kama ni kuumbuka, basi huku ndiko kuumbuka kwenyewe, Risasi Mchanganyiko lina habari...

READ MORE

MSAKO WA MAKONDA… KIJANA ATANGAZA KUACHA USHOGA

KUTOKANA na msako wa wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsi moja ‘mashoga’ aliotangaza Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,...

READ MORE

WAKILI WA MSIGWA AJITOA KESI YA VIONGOZI CHADEMA

WAKILI anayemtetea Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa aitwaye, Jamhuri Johnson, amejitoa kumtetea mteja wake katika kesi ya uchochezi...

READ MORE

AMANI, SPOTI XTRA SASA NI GUMZO KILA KONA

Kama kawaida leo Alamisi, novemba 8, 2018 kikosi kazi cha promosheni ya magazeti ya Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya...

READ MORE

JPM, LOWASSA WAUNGANA NA FAMILIA KUAGA MWILI WA MAMA MENGI

  RAIS John Magufuli na mkewe Mama Janeth leo wameshiriki ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mke wa Dkt. Reginald Mengi, ambaye...

READ MORE

DTB-TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA.

Diamond Trust Bank (T) Ltd, (DTB-Tanzania) leo hii, imekabidhi vifaa tiba kwa uongozi wa hospitali ya rufaa ya Amana, ikiwa...

READ MORE

WAFANYAKAZI CPJ WALIYOSHIKILIWA UHAMIAJI TANZANIA WAACHIWA

Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari (CPJ) imezitaka Mamlaka nchini Tanzania kuwaachia huru wawakilishi wake wawili barani Afrika,...

READ MORE

Serikali Yapiga Marufuku Watumishi Dodoma Kuhamia Dar

SERIKALI imepiga marufuku Watumishi wa Umma waliohamia Makao Makuu ya Nchi Dodoma kwa gharama za Serikali kuomba uhamisho wa kurejea...

READ MORE

TANZIA: MAMA WA FREDERICK SUMAYE AFARIKI DUNIA

TAARIFA NA SALAAM ZA POLE MSIBA WA MAMA MZAZI WA MZEE SUMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa...

READ MORE

CHIRWA AJIUNGA AZAM FC – VIDEO

KLABU ya Azam imemtambulisha straika wake mpya, Obrey Chirwa kujiunga na klabu hiyo kwa kandarasi ya miaka miwili kufuati kuvunja mkataba...

READ MORE

Kangi Lugola: Mashoga Wapo Salama

WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini, Kangi Lugola amesema kuwa wapenzi wa jinsia moja hawapo (mashoga) hatarini nchini humo licha ya...

READ MORE

TUMEKWISHA! HIVI NDIVYO WENYE SIMU ZENYE PICHA ZA NGONO WATAKAVYONASWA

KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale am­bao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu...

READ MORE

MAMA ASIMULIA GARI LA SERIKALI LILIVYOMKATA MIGUU

INASIKITISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama mmoja, Amina Isumaili Jola (59), Mkazi wa kijiji na Kata ya Nyengedi, Wilaya...

READ MORE

NMB Yatoa msaada vifaa vya afya, shule wilayani Korogwe  

      Benki ya NMB imetoa msaada wa Madawati, vifaa vya afya, mabati, mbao na vifaa ya ujenzi kwa...

READ MORE

RAIA WAWILI WA CHINA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA  MIAKA 2

    Raia wa wawili wa china na mtanzania mmoja  leo wamehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela katika Mahakama ya...

READ MORE

MWILI WA ALIYEKUWA MKE WA MZEE MENGI WAWASILI DAR – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameungana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media group, Dkt....

READ MORE

Je, Tunafuata Kauli ya Rais ya ‘Kufyatua Tu’ au Uzazi wa Mpango? – Video

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndungulile amesema Serikali haijaweka ukomo wa idadi...

READ MORE

MAHAKAMA KUU TANGA YAJIPANGA KUSIKILIZA MASHAURI KWA WAKATI

Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imefanya kikao cha kusukuma mashauri (Case flow Management Meeting) na kujadili mikakati mbalimbali ikiwemo namna...

READ MORE

PROMOSHENI MAGAZETI YA GLOBAL YATIKISA KIBAMBA MPAKA KIBAHA

Promosheni ya Magazeti ya Global Publishers leo Jumatano, Novemba 7, 2018 imeendelea kuchanja mbuga ambapo ilikuwa ni pande za Kibamba,...

READ MORE

Shinyanga: Mfanyakazi TTCL Afariki kwa Kupigwa Jiwe na Mumewe

MFANYAKAZI wa shsirika la simu nchini (TTCL) mkoani wa Shinyanga aitwaye Bupe Jacob maarufu kwa jina la Mwakibibi (48) ameuawa...

READ MORE

Raia Adaiwa Kuuawa kwa Risasi na Polisi

MTU mmoja  ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa risasi na polisi eneo la Masika,...

READ MORE

KIJIJI AMBAKO WANAWAKE NDIYO HULIPA MAHARI!

Katika kijiji cha Nyamashekhe kilochopo mkoa wa magharibi nchini Rwanda kumekithiri utamaduni wa wanawake kulipa pesa kwa mwanaume ili  waolewe. ...

READ MORE

Kuamka Mapema Kunaweza Kukuepusha na Saratani

Wanawake wanaoamka mapema wapo katika uwezekano mdogo wa kupata saratani ya matiti, kwa mujibu wa watafiti nchini Uingereza. Kundi la...

READ MORE

Azam FC Wafungukia Ndege Yao

KUPITIA kwa meneja wa Azam FC, Philipo Alando, hatimaye amefungukia gumzo la ndege yao iliyoonekana ikiwashusha baadhi ya wachezaji wa...

READ MORE

JERRY  MURO: ARUMERU YA WAKULIMA, WAFUGAJI INAKUJA

    Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Jery Muro amejitolea  kuwasadia kuandika maandiko ya kibiashara wananchi wanaotaka kufanya Kilimo...

READ MORE

Muuza Mkaa Afunguka Anavyomsomesha Mwanaye Urubani – Video

Mama Nyamizi ni Mwanamke mjane anaeishi jijini Dar es salaam mwenye watoto wa watatu na aliejikita zaidi kwenye biashara ya...

READ MORE

FATMA KARUME ‘Amvaa’ RC Makonda “Ushoga Siyo Adui” – Video

RAIS wa Chama cha Mawakili Tanganyika, Fatma Karume amefunguka kuhusu kampeni ya kutokomeza mapenzi ya jinsia moja ‘ushoga’ iliyoanzishwa na...

READ MORE

WAHITIMU MAJENGO SEC. 2,000 WATOA MSADA VITUO VYA YATIMA

  KUNDI la WhatsApp la Wanafunzi wahitimu kidato cha nne mwaka 2,000 katika Sekondari ya Majengo iliyopo mkoani Kilimanjaro limetembelea vituo vitatu...

READ MORE

NMB YASAIDIA VITANDA 9 KITUO CHA AFYA KIGAMBONI

    BENKI ya NMB imetoa msaada wa vitanda tisa vya wagonjwa katika Kituo cha Afya cha Kigamboni vyote vikiwa na...

READ MORE

DAKTARI AKAMATWA NA GARI LA WIZI LA SERIKALI – VIDEO

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam katika oparesheni mbalimbali ya kukamata magari ya wizi na mitandao ya...

READ MORE

OFISA MALAZI CHUO KIKUU (UDSM) ASEPA NA NDINGA YA TBL

  KAMPUNI ya TBL leo imemtangaza mshindi wa kwanza wa zawadi kubwa ya gari mpya aina ya Renault KWDI, Julitha...

READ MORE