×

Habari

Wananchi wafurahia ofa  ya Danube

Siku chache baada ya GSM Tanzania kuzindua kampeni ya “BEI CHEE” yenye lengo la punguzo la bei kwa asilimia 70%...

READ MORE

TRC Yaanika Usiyoyajua Kuhusu Ujenzi wa Reli ya Umeme – Video

Shirika la Reli  Tanzania (TRC) limeeleza mafanikio mbalimbali ya shirika hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ya serikali ya awamu...

READ MORE

Maamuzi ya Waziri Mpya wa Kilimo Kuhusu Korosho

Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga amesema kuwa wizara yake itatekeleza maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

ASIA MUSTAFA: BINTI ANAYEISHI BILA FIGO KWA MIAKA 12

  ASIA MUSTAFA ni msichana anayeishi bila figo kwa miaka 12 sasa na alianza kuugua mwaka 2004 ambapo zilifeli zote mbili,...

READ MORE

Moto wa MSIGWA Bungeni, Amnyanyua Waziri – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Petter Msigwa (CHADEMA) amehoji juu ya tatizo la ajira nchini, na kuitaka serikali kuboresha vyuo...

READ MORE

MBOWE Alivyoitwa Mbele ya Makamu wa Rais “Yuko wapi?” – VIDEO

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu amehitimisha ziara yake katika mkoa wa Kilimanjaro katika...

READ MORE

Dereva Mzembe wa Serikali Alivyoingia Kwenye 18 za Polisi – VIDEO

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani kinafanya operesheni mbalimbali ili kuhakikisha kinapambana kuzuia ajali mbalimbali zinazotokea nchini ambazo hivi...

READ MORE

WAZIRI MKUU ASIKITISHWA NA WIZI KWENYE MRADI WA NSSF DEGE

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na...

READ MORE

MMBATIA: Magufuli Amekubali Kuzungumza na Chadema, Sisi ni Wamoja – Video

Rais Dkt. John Magufuli amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa TCD ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi,...

READ MORE

MAHAKAMA, TPSF KUWA NA JUKWAA LA PAMOJA

Mahakama ya Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imepanga kuwa na Jukwaa la pamoja kujadili masuala...

READ MORE

Rayvanny, Diamond, WCB Wapigwa Faini ya Tsh 9m na BASATA – Video

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewatoza faini Tsh milioni 9 wanamuziki Rayvanny, Diamond Platnumz na Lebo yao ya WCB,...

READ MORE

Breaking News: Rostam Aziz Atinga Ikulu, Akutana na Rais Magufuli – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mfanyabiashara Rostam Aziz Ikulu...

READ MORE

Mwakyembe Kuhusu Yanga: Manji Asithubutu Kuichezea Serikali

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe, amemweleza wazi Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji, kuwa...

READ MORE

Marekani: Waliofariki kwa Moto wa Msituni ‘Camp Fires’ Wafikia 42

IDADI ya watu waliofariki kutokana moto wa msituni katika maeneo mawili ya jiji la Los Angeles,  Jimbo la California nchini...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, NOVEMBA 13, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Novemba 13, 2018. Ni yale ya Hardnews, Udaku...

READ MORE

Magufuli Ahudhuria Misa ya Shukrani Rais Mkapa Akitimiza Miaka 80

Rais John Magufuli amempongeza Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa kwa mchango mkubwa alioutoa wakati wa uongozi wake...

READ MORE

LEMA: Hali Mbaya, Watu Wanateswa, Nchi Itaendeshwaje? – VIDEO

MBUNGE wa Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema, leo bungeni amesema serikali inatakiwa kuhakikisha wafanyabiashara wote nchini wanakuwa na amani na...

READ MORE

Waziri wa Nishati Avunja Bodi ya REA

WAZIRI wa Nishati Dk Medard Kalemani leo (Novemba 12.2018) amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijiji REA kutokana...

READ MORE

Baba yamkuta kwa ubakaji ‘katoto’

MSALA mzito! Baba mmoja, Chuma Mwakawala (59), mkazi wa Kijiji cha Mapogolo Kata ya Chokaa Wilaya ya Chunya jijini hapa...

READ MORE

MBOWE, SERIKALI NGOMA NZITO MAHAKAMNI

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumatatu, Novemba 12, 2018 ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa isimfutie dhamana baada...

READ MORE

HATIMAYE LULU AMALIZA KIFUNGO CHAKE JELA

HATIMAYE msanii wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amemaliza kutumikia kifungo chake cha miaka miwili jela leo Jumatatu, Novemba 12,...

READ MORE

Straika mpya ampa jeuri Zahera

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongoman, Mwinyi Zahera, amesema kuwa wale wanaoponda ushindi kiduchu wa mabao inaoupata timu yake, watanyamazishwa na...

READ MORE

Nape Aibua Suala la Korosho Bungeni, Naibu Waziri Amtuliza – Video

AKIULIZA swali bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu, Novemba 12, 2018, Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye,  ameitaka Serikali kutoa majibu ni...

READ MORE

JPM Apiga STOP Wanunuzi Korosho, Serikali Itainunua kwa 3,300/= – VIDEO

RAIS John Magufuli amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuachana na wafanyabiashara wa korosho waliopewa siku nne na serikali hadi leo...

READ MORE

Mdogo wa Rostam Aziz Afikishwa Tena Kortini, Arudishwa Rumande

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo  imeahirisha tena kesi inayomkabili mfanyabiashara Akram Aziz Abdul Rasool ya utakatishaji fedha wa Dola...

READ MORE

MTANZANIA AWEKA REKODI, ASHINDA URAIS CHUO KIKUU URUSI

UMOJA WA WANAFUNZI NA VIJANA WA KIAFRIKA CHUO KIKUU CHA URAFIKI CHA URUSI (PEOPLES’ FRIENDSHIP UNIVERSITY OF RUSSIA) AU PATRICE...

READ MORE

MAGUFULI AWACHANA MWIJAGE, TIZEBA KISA CHA KUWATUMBUA – VIDEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri wawili na Naibu Mawaziri wanne ambao aliwateua...

READ MORE

Amber Rutty, Mpenzi Wake, Wakosa Wadhamini, Warudishwa Rumande

VIDEO vixen wa Bongo, Nascat Abubakary maarufu kwa jina la Amber Rutty na mpenzi wake, Said Bakari Mtopari,  wanaoshtakiwa kwa...

READ MORE

BASATA Yaufungia Wimbo wa Mwanza wa Rayvanny, Diamond – VIDEO

BARAZA la Sanaa Tanzania (Basata) leo Jumatatu, Novemba 12,2018, limetangaza kuufungia wimbo mpya wa mwanamuziki Rayvanny kwa maelezo kuwa unahamasisha masuala...

READ MORE

Mauaji Kigoma: Lugola Atoa Maagizo kwa IGP Sirro

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro kuwaondoa katika madaraka...

READ MORE

AJALI: Naibu Waziri Nditie Anusurika Kifo – Video

Naibu Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye jana Jumapili Novemba 11, alinusurika kifo baada kupata ajali eneo la...

READ MORE

Aliyewasafirisha Watekaji wa Mo Dewji, Asimulia A-Z Ilivyokuwa!! – Video

Nyumba inamodaiwa kufichwa Mohamed Dewji mara baada ya kutekwa Okotoba 11, 2018 katika Hoteli ya Colosseum imegundulika na imeoneshwa leo...

READ MORE

Kazi Imeanza! Manji Athibitisha Kurejea Rasmi Yanga

Baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuitaka Yanga kuitisha uchaguzi wake kwa ajili...

READ MORE

Umati Wafurika Shoo ya Bobi Wine Licha ya Manyanyaso ya Polisi

MAELFU ya watu walifurika katika ufukwe wa Kyarenga jana (Jumamosi) kushuhudia shoo iliyofanywa na mwanamuziki wa Uganda aliyejikita pia katika...

READ MORE

MAMA WA AMBER RUTTY AVAMIWA AUAWA !

DAR ES SALAAM: Majanga juu ya majanga! Ndivyo unavyoweza kusema, wakati msanii wa Bongo Fleva, Nascat Abubakary ‘Amber Rutty’ akiwa...

READ MORE

Kidato cha Pili Kuanza Mitihani wa Taifa Kesho Jumatatu – Video

Watahiniwa 544,866 wa shule za sekondari 4,725 wamesajiliwa kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa kidato cha pili kuanzia kesho Novemba...

READ MORE

TANZANIA KUKUMBUKA WALIOKUFA VITA YA DUNIA

TANZANIA inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 100 ya Mashujaa waliokufa kwenye Vita Kuu ya Kwanza ya...

READ MORE

SIMANZI! MUME AMUUA MKEWE GESTI

SIMANZI! Mfanyabiasha wa matairi eneo la Temeke Chang’ombe jijini Dar, Mussa Kalavya anashikiliwa na jeshi la polisi akiwa hoi Hospitali...

READ MORE

NYUMBA ALIMOFICHWA ‘MO’ YAFAHAMIKA, NI MBEZI BEACH DAR

NYUMBA inayodaiwa kuwa ndimo alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo’ baada ya kutekwa na watu ambao bado hawajajulikana hadi leo ipo...

READ MORE