×

Habari

Yanga Yaitungua Lipuli, Tazama Bao la Makambo – Video

Timu ya Yanga imeendeleza moto wake ndani ya Ligi kuu baada ya kufankiwa kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya...

READ MORE

MAISHA YA WANYAMA MBUGA ZA TANZANIA – VIDEO

  JIOONEE MAAJABU YA MAISHA YA WANYAMA PORINI TANZANIA, Kutoka katika Mbuga za wanyama za Serengeti National Parks, Arusha National...

READ MORE

Rais Magufuli Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi, Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo...

READ MORE

Dkt. Mengi Kuanzisha Kiwanda Cha Kutengeneza SmartPhone Nchini

MFANYABIASHARA maarufu Tanzania, Dk. Regnald Mengi ametambulisha ujio wa kampuni yake mpya ambayo itakuwa ni ya kwanza Tanzania kwa kutengeneza...

READ MORE

Makonda: Nimepokea Meseji Zaidi ya 5000, Majina 100 ya Mashoga

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema ameanza kupata mrejesho ikiwa ni siku moja tu tangu atangaze...

READ MORE

Mwili Wawasili Bunda, Vilio Vyatawala Nyumbani Kwao Isaac Gamba – Video

VILIO, simanzi na simanzi vimetawala wakati mwili wa wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani,...

READ MORE

JKT FEKI MIKONONI MWA MUROTO, ATAPATA TABU SANA! – VIDEO

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Giles Muroto, amesema Jeshi la Polisi mkoani humo linaendelea na Operesheni ya kusaka wahalifu...

READ MORE

JE, UNA NDOTO YA KUSOMA CHUO KIKUU NCHI ZA NJE?

Global Education Link Ltd, Agency, ndiyo wakala bora zaidi nchini Tanzania wa kusajili wanafunzi wanaojiunga na vyuo vikuu nchi za...

READ MORE

BREAKING: Waislamu Oavamia Ofisi ya DC Hai, Tunataka Haki – Video

Waislamu wa Misikiti ya kata tatu tofauti katika Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wameandamana kuelekea katika Ofisi za Mkuu wa...

READ MORE

Lifahamu Full Combat Jerrycan: Kanisa la Walevi Kenya

KANISA la Full Combat Jerrycan ni kanisa linalohudhuriwa na walevi katika kijiji cha California mjini Lodwar, kaskazini mwa Kenya. Kanisa...

READ MORE

SIMANZI! Mwili wa Isaac Gamba Waagwa Mwanza, Wasafirishwa Bunda

SIMANZI NA MAJONZI! MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa katika Viwanja...

READ MORE

Mwili wa Isaac Gamba Wawasili Viwanja vya UTPC Mwanza Kuagwa – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umewasili katika Viwanja vya Ofisi za Umoja...

READ MORE

RC MAKONDA: Kama Unamjua Shoga Yeyote Nipigie Simu – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, jana Jumatatu, Oktoba 29, alisema kuwa kuanzia sasa anapokea taarifa yoyote...

READ MORE

Simanzi: Mwili wa Isaac Gamba Wawasili Mwanza – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW) nchini Ujerumani, Isaac Muyenjwa Gamba umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza...

READ MORE

MWAKYEMBE AAGIZA MMILIKI WA GAZETI LA TANZANITE AHOJIWE

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe, amesema habari iliyochapishwa na Gazeti la kila siku...

READ MORE

Wazee Wamfanyia Tambiko Waziri Kigwangalla

WAZIRI wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbao la Nzega Vijijini la Mkoani Tabora, Dkt. Hamisi Kigwangalla...

READ MORE

Uingereza: Mtanzania Aliyemuua Mkewe Ahukumiwa Jela Maisha

KEMA SALUM (39) Mtanzania aliyemwua mkewe Mtanzania pia, Lelya Mtumwa (35) kwa kumchoma visu nchini Uingereza , amehukumiwa na mahakama...

READ MORE

ISAAC GAMBA ALIVYOAGWA LEO DAR

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo amewaongoza waombolezaji waliojitokeza katika hospitali ya jeshi la Lugalo jijini...

READ MORE

SIMANZI! MWILI WA ISAAC GAMBA UKIAGWA LUGALO – VIDEO

Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo Jumatatu, katika Hospitali ya Lugalo jijini...

READ MORE

Video ya Ngono ya Waziri Yanaswa, Atakiwa Kulipa Sh. Mil. 700

WAZIRI wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini, Malusi Gigaba, ametakiwa na mtu asiyejulikana kutoa Rand milioni tano (Sh. mil....

READ MORE

Salamu za Rais Magufuli, RC Makonda Msiba wa Isaac Gamba – Video

Mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeagwa leo Jumatatu, katika Hospitali ya Lugalo jijini...

READ MORE

Ndege ya Lion Air Indonesia Yaanguka Ikianza Kupaa Jakarta

NDENGE ya  abiria ya shirika la Lion Air aina ya Boeing 737 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja...

READ MORE

IBABA YA KUAGA MWILI WA ISACK GAMBA LUGALO – VIDEO

SHUGHULI ya kuaga mwili wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba imeanza rasmi katika Hospitali ya...

READ MORE

EL CLASICO: BARCELONA YAITWANGA MADRID 5-1

KLABU ya Barcelona imeishushushia kipigo cha aina yake mahasimu wao, Real Madrid baada ya kuwafunga mabao 5-1 katika mechi ya...

READ MORE

IMETHIBITISHWA: Mmiliki Leicester City Amefariki kwa Ajali ya Helikopta

BILIONEA mmiliki wa Klabu ya Soka ya Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha (61), raia wa Thailand amethibitishwa kuwa miongoni mwa watu waliofariki...

READ MORE

Mlipili atoweka Simba

BAADA ya kusugua benchi kwa muda mrefu msimu huu bila ya kupata nafasi ya kucheza wala kukaa benchi, beki wa...

READ MORE

SAMIA SULUHU AIPONGEZA BENKI YA NMB KWA MSAADA WA VIFAA VYA AFYA VITUO VYA AFYA KISARAWE VYENYE THAMANI MIL 15

    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameishukru Benki ya NMB kwa kwa...

READ MORE

MWILI WA ISAAC GAMBA WAWASILI DAR, KUAGWA LEO LUGALO – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isaac Muyenjwa Gamba umeasili Katika Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Lawrence Masha, Chegeni Watiwa Mbaroni

JESHI la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwakamata, kuwahoji na kuwaachia kwa dhamana mbunge wa Busega (CCM), Dk Raphael Chegeni na...

READ MORE

Mtanzania Apigwa Urusi, Amwaga Machozi

BAADA ya hivi karibuni bondia Hassan Mwakinyo kufanya kweli kwenye pambano lake nchini Uingereza, juzi Jumamosi ilikuwa siku mbaya baada...

READ MORE

Magufuli Akutana na Wanunuzi Wa Korosho Atoa Msimamo Serikali – Video

Rais John Magufuli ametoa msimamo wa Serikali kuwa bei ya korosho isipungue Sh 3000 kwa kilo moja. Rais Magufuli ameyasema...

READ MORE

Zitto Kabwe Aitupia Lawama Serikali Sakata la Bei Ya Korosho – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Serikali haipaswi kukwepa lawama kwenye suala la...

READ MORE

ZITTO afunguka ‘Mo Dewji’ Kutekwa / Azory, Ben Saa Nane wako wapi? – VIDEO

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amewataka wananchi kutokaa kimya yanapotokea matukio ya utekaji nchini Tanzania, akibainisha kuwa kukemea...

READ MORE

MWILI WA GAMBA KUWASILI LEO USIKU; HISTORIA YA MAISHA YAKE

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa vituo mbalimbali vya redio nchini na Ujerumani, Issac Gamba, utawasili kesho (Jumatatu) jijini Dar es...

READ MORE

Mtanzania Rebeca Gyumi Atunukiwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya UN

REBECCA GYUMI, mwanaharakati wa haki za wanawake na wasichana nchini Tanzania pamoja na watu wengine wawili na shirika moja la...

READ MORE

Mjue Bilionea wa Sudan ya Kusini Mwenye Utajiri Tata

BILIONEA tata wa Sudan ya Kusini,  Lawrence Lual Malong Yor Jnr, amezua sintofahamu miongoni mwa watu wa Kenya wiki hii...

READ MORE

Helikopta ya Leicester City Yaanguka na Kuwaka Moto Ikitoka Uwanjani

HELIKOPTA ya bilionea, mmiliki wa klabu ya soka ya Leicester City ya Uingereza, Vichai Srivaddhnaprabha, imeanguka na kuwaka moto ikiwa inaondoka...

READ MORE