×

Habari

Msagasumu Vs Man Fongo, Pembeni Gigy Money… Hapatoshi Dar Live Leo!

DARR-RRR eeee salaa-aam! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote za jiji na viunga vyake, hatimaye...

READ MORE

Majaliwa Avunja Mfuko wa Kuendeleza Pamba, Aagiza Wahusika Wachunguzwe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Pamba (CDTF) na amegiza wahusika wote wachunguzwe ili...

READ MORE

Ujenzi wa Hospitali Ya Wilaya Arusha Wazinduliwa

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amezindua ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Arusha mjini katika eneo la Njiro...

READ MORE

Shein Awapa Kila Mmoja Kiwanja, Sh. Milioni Tatu Zanzibar Heroes

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein ametoa zawadi ya kiwanja kwa kila mchezaji...

READ MORE

Mbarawa: Ukitozwa Nauli Isiyo Rasmi Ripoti Vyombo Husika

  WAZIRI wa Kazi, Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa, pamoja na kuwatakia Watanzania heri ya sikukuu ya Chrismas na...

READ MORE

Mwigulu Ataja Sababu Za Upinzani Kugomea Uchaguzi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amezindua kampeni za Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi mdogo jimbo la Longido unaotarajiwa...

READ MORE

Salamu za Krismas na Mwaka Mpya 2018 Kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM)

CHAMA Cha Mapinduzi kinakutakia Sikukuu njema ya Krismas na Mwaka Mpya 2018.

READ MORE

Jenerali wa jeshi aliyemng’oa Mugabe sasa ni naibu wa Zanu-PF

Jenerali wa Zimbabwe, aliyeongoza mapinduzi yaliyopelekea Robert Mugabe kuondoshwa madarakani, ameteuliwa kuwa naibu kiongozi wa chama tawala cha ZANU-PF. Uteuzi...

READ MORE

Basi la Abiria Likiendeshwa na Kijana wa Miaka 16 Latumbukia Mtoni na Kuua 32

Basi lililokua na abiria 50 nchini India limeanguka katika daraja moja na kuwaua takriban watu 32 lilipoingia katika maji Kaskazini...

READ MORE

Breaking News: Omog Afungashiwa Virago Simba

KLABU ya Simba leo Desemba 32, 2017 imeamua kuvunja mkataba na kocha wake mkuu, Joseph Omog ikiwa ni takribani siku...

READ MORE

Abiria Dar Walia Kukosekana kwa Usafiri Ubungo Msimu wa Sikukuu

  LICHA ya kuongezwa kwa mabasi yaliyokuwa  yakitoa huduma zake ndani ya Jiji la Dar es Salaam  yaliyopewa vibali vya...

READ MORE

Spika Ndugai Aikosoa Serikali Upangaji wa Vituo vya Kazi kwa Walimu Wapya

DODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai amekosoa mpango wa TAMISEMI kuwapangia walimu wapya vituo vya kazi moja kwa moja akisema...

READ MORE

EFM REDIO YASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMASI NA WASIKILIZAJI WAKE

Makapu ya sikukuu yakiwa tayari kukabidhiwa kwa washindi. Washindi wa kapu la sikukuu wakiwa katika picha ya pamoja na zawadi...

READ MORE

KAHAMA: Acacia Yatangaza Kupunguza Wafanyakazi 3,000

KAMPUNI ya Uchimbaji Madini ya ACACIA imetangaza kupunguza wafanyakazi wake zaidi ya 3,000. Hatua hiyo imesababishwa na gharama za uendeshaji...

READ MORE

MOROGORO: Mwanamke Ajifungua Mapacha Wanne

MWANAMKE mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Asha Mashaka amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya...

READ MORE

Video: Ajali Mbaya! Gari Lavunja Duka la Nguo Dar na Kujeruhi

GARI aina ya Toyota Spacio T945 DHD limezua kizaazaa baada ya kuvunja duka la nguo la Jordan Store Collection lililopo...

READ MORE

Lulu Diva: Sijaumia Belle 9 Kuoa

MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuweka wazi hisia...

READ MORE

Breaking: Askari Mwingine wa JWT Aliyeshambuliwa DRC Afariki Dunia

ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani...

READ MORE

Ubungo: Usafiri wa Abiria Waenda Mikoani ni Kizungumkuti

KUFUATIA msimu wa sikukuu ambapo watu wengi husafiri kuelekea mikoani kwa ajiri ya kwenda kusherehekea sikukuu hizo na ndugu jamaa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa na Magamba ya Kakakuona na Nyama ya Simba

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Ngerezya Chamukaga mkazi wa Kijiji cha Kanyara wilaya ya Sengerema kwa kukutwa na...

READ MORE

Nabii Amnunulia Binti Yake wa Miaka 4 Gari la Mil. 926

NABII wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering, Shepherd Bushiri, amemfanyia sapraizi mwanayae wa kike, Israella Bushiri mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Mali za CCM Zamfikisha Kortini Mwenyekiti UVCCM

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai Ole Sabaya ambaye amesema alifunguliwa kesi nne kwa sababu ya kutetea mali...

READ MORE

MANISPAA UBUNGO YAPONGEZWA KUJENGA SHULE YA SEKONDARI

Waziri Suleiman Jafo akiangalia vyumba vya madarasa ya Sekondari ya Mavulunza leo.     MANISPAA ya Ubungo imepongezwa na Waziri...

READ MORE

Jafo Ataka Soko la Mabibo Lijenge Miundombinu Bora

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jafo, ametembelea soko...

READ MORE

Aliyetajwa na JPM Kukamatwa na Mabilioni Airport, Afikishwa Mahakamani

IKIWA ni takribani siku 9 baada ya Rais Dkt. John Magufuli kubainisha kukamatwa kwa mtu aliyekuwa akiingiza nchini kiasi kikubwa...

READ MORE

Mabinti Wanaswa Wizi wa Pikipiki, Sare za Jeshi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu, wakiwemo mabinti wawili wa miaka 19,  kwa tuhuma...

READ MORE

Rugemarila Azua Mapya Sakata la Escrow, Sasa Kumtaja Mwizi wa Fedha za Escrow

MFANTABIASHARA hara James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Kim Jong Un: Marufuku Kunywa, Kuimba Korea Kaskazini Wakati wa Krismasi

RAIS Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini amepiga marufuku kuimba, kunywa vileo na kufanya mikusanyiko ya aina yote nchini...

READ MORE

Lissu: Bado Nina Risasi Moja Mwilini

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema mwili wake bado una risasi moja licha ya kutolewa nyingine 15, huku...

READ MORE

Kigwangalla Awakutanisha Wema na Jokate

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamisi Kigwangalla jana Desemba 21, 2017 aliteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa...

READ MORE

MWENYEKITI UVCCM APOKELEWA KWA KISHINDO DAR

  MWENYEKITI  mpya Taifa wa  Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James  amepokelewa kwa kishindo na vijana...

READ MORE

Mashindano ya Miss Tanzania Yafutwa Rasmi

WAANDAAJI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited,  wamesema  kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za...

READ MORE

Mwanza: Mwanamke Akamatwa na Shehena ya Bangi

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Ahmed Msangi amesema mtuhumiwa Mwanamke Asha Jeremiah (32), amekamatwa kwa kosa la kukutwa...

READ MORE

Zitto Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mbowe

Katika kikao chake cha juzi, ambacho kiliamua kugomea ushiriki wa uchaguzi wa marudio, Kamati Kuu ya ACT Wazalendo iliuagiza Uongozi...

READ MORE

Baada ya JPM Kuchokonoa, TTCL Waanika Mazito ya Airtel

  KUFUATIA Rais Dkt. John Magufuli kueleza jana Mjini Dodoma kuwa Serikali imebaini kwamba Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel ni...

READ MORE

Urafiki Dar Yawatimua Wapangaji Wake

UONGOZI wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki cha jijini Dar es Salaam umetoa siku kwa wapangaji wake zaidi ya 160 kulipa...

READ MORE

Uingereza: Theresa May Amtimua Naibu Waziri Mkuu

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amefukuza kazi Naibu wake, Damian Green baada ya kugundulika alidanganya kuhusu kwa video za...

READ MORE

Kimenuka… Wabunge wa Tanzania, Burundi Wamkataa Spika wa EALA

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika mashariki kuchaguliwa na wajumbe wa nchi nne za jumuiya...

READ MORE