×

Habari

Huduma Serikali ya Marekani Zakwama Tena

HUDUMA za serikali ya Marekani zimekwama baada ya bunge la Congress kushindwa kupitisha mkakati muhimu wa bajeti yake kwa wakati...

READ MORE

WAKUZA MISULI KWA KUJIDUNGA MADAWA HATARI

    NDUGU wawili wa kiume, Tony ‘Hulk’ Geraldo  (49)  na Alvaro ‘Conan’ Pereira (50)  wa Brazil wamekuwa wakijidunga madawa...

READ MORE

Kisutu: Wema Atinga Kortini na Wakili Mpya

KESI  ya mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo...

READ MORE

Diamond Kortini Sakata la Kumtunza Mtoto wa Mobeto – Pichaz

MSANII wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul ‘Diamond Platinumz’ leo amefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

AJIFUNGUA MTOTO KWENYE KORIDO HOSPITALINI

    JESICA HOGAN, mama wa watoto sita mkazi wa Riley, Kansas, Marekani, amejifungua mtoto pekee wa kiume katika korido...

READ MORE

Mtwara: Mtoto Auawa Kikatili kwa Kukatwa Panga

MTOTO mwenye umri wa miaka Mitano Jazaka Mussa, ameuawa kikatili kwa kukatwa na Panga kichwani na mtu asiyefahamika katika kijiji...

READ MORE

Breaking News: Tambwe Hizza wa Chadema Afariki Dunia

KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)  Tambwe Hizza, amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake akiwa amelala, msemaji wa...

READ MORE

Mlinga: ‘Maprofesa wa Tanzania Wana Matatizo Gani’?

  MBUNGE wa Ulanga mkoani Morogoro, Goodluck Mlinga (CCM) amemvaa Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Prof. Joyce Ndalichako akidai...

READ MORE

EWURA Watangaza Bei Mpya Ya Mafuta Kutumika Februari 7, 2018

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zinazoanza kutumika leo Februari 7,...

READ MORE

WASHINDI 2,000 WAIBUKA KIDEDEA SMATIKA YA AIRTEL

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando,(katikati) akiwapigia simu washindi wa  Yatosha SMATIKA Internet  baada ya kuchezeshwa droo kwa kuwapatia bando...

READ MORE

GLOBAL HABARI: CHADEMA YALIA KUTEKWA MGOMBEA WAO WA UDIWANI

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha mwanachama wake, Athanas Makoti, ambaye ni mgombea udiwani katika kata...

READ MORE

MTOTO ASHANGAZA; AZALIWA NA JINO!

  MAMA mmoja, Shannon MacAllister (17) mkazi wa Walker, Newcastle-Upon-Tyne, Uingereza, mwezi uliopita alipigwa butwaa baada ya mtoto wake kuzaliwa...

READ MORE

Mwigulu Avamia Shamba la Bangi, Alichokifanya… Bofya Hapa – Video

WAZIRI wa mambo ya ndani nchini,Mwigulu Nchemba leo ameongoza oparesheni ya kuteketeza jumla ya ekari  sita za bangi zilizokuwa zimelimwa...

READ MORE

VINASABA VYAONYESHA WAINGEREZA WALIKUWA WEUSI!

UCHUNGUZI  wa vinasaba (DNA) uliofanywa karibuni umeonyesha kwamba Mwingereza aliyeishi miaka ipatayo 10,000 alikuwa na ngozi nyeusi, macho ya bluu...

READ MORE

Chadema Yalaani Kutekwa Mgombea Udiwani Muleba

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani kitendo cha mwanachama wake, Athanas  Makoti, ambaye ni mgombea udiwani katika kata...

READ MORE

CHADEMA: PROF. JAY AMEKATALIWA KUMUONA SUGU GEREZANI

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa kimedai kuwa mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof. Jay na mkewe...

READ MORE

Aliyemuapisha Odinga Atimuliwa Kenya

MWANASHERIA maarufu wa nchini Kenya Miguna Miguna aliyemuapisha Raila Odinga, amefukuzwa nchini Kenya (deported) na kupelekwa Canada, chini ya uangalizi...

READ MORE

Serikali: Uchumi, Utawala Bora Tanzania Vimeimarika (Video)

  Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, amesema hali ya uchumi wa Tanzania imeimarika ikilinganishwa na awamu zilizopita ambapo imeshika...

READ MORE

LIVE: MKUTANO WA KUMI WA BUNGE

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO, FEB 7, 2018

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Feb 7, 2018. Ni yale ya...

READ MORE

Msukuma Amtolea Povu la Mwaka Waziri wa JPM

MBUNGE na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma amemshambulia kwa maneno Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina...

READ MORE

JPM Azindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi

RAIS Dkt. Magufuli leo  Februari6,  2018 amezindua Kituo cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi (Comprehensive Training Center – CTC) kilichopo Mapinga katika...

READ MORE

GLOBAL HABARI: SUMAYE AICHARUKIA TUME YA UCAGUZI

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mwenyekiti wa CHADWMA Kanda ya Pwani, Frederick Sumaye ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia...

READ MORE

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI WA LESOTHO ATEMBELEA MRADI WA DART

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho, Mhe. Lehlohonolo Moramotse (wa tatu kulia) akisisitiza jambo akiwa kwenye moja ya Mabasi yaendayo...

READ MORE

Rihanna Atua Senegal, Apingwa Kisa Freemason

Msanii maarufu duniani wa muziki wa Pop Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna, amewasili nchini Senegal licha ya watu wa...

READ MORE

DC ILALA AZINDUA UTARATIBU KUWATAMBUA MACHINGA KARIAKOO

  MKUU  wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, leo amezindua utaratibu maalumu wa kuwatambua wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama Wamachinga  kwa...

READ MORE

Chadema Hawamwamini Msimamizi Uchaguzi Kinondoni (Video)

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo wamesema hawana imani na msimamizi wa uchaguzi jimbola Kinondoni wakidai kuna njama zilizopangwa...

READ MORE

WASTARA AANZA RASMI MATIBABU INDIA – PICHAZ

Msanii wa filamu za Bongo, Wastara Juma, tayari ameshawasili nchini India na kuanza rasmi matibabu ya mguu wake katika Hospitali...

READ MORE

Breaking News: Moto Wateketeza Maduka Mbagala – Video

Moto umelipuka na kuteketeza maduka zaidi ya 10 katika maeneo ya Mbagala -Rangi Tatu, Raound About ya kuelekea Charambe, mchana...

READ MORE

Aliyekamatwa na Mabilioni Airtport Aachiwa Huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha...

READ MORE

Nassari Kortini kwa Tuhuma za Kumpiga Diwani

Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CHADEMA, Joshua Nassari leo Februari 6, 2018 amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya...

READ MORE

Mahakama Yaagiza Nabii Titto Apime Upya Akili

MAHAKAMA ya Wilaya ya Dodoma imeagiza mkazi wa mtaa wa Ng’ong’ona Manispaa ya Dodoma Tito Machibya, maarufu kama ‘Nabii Tito’ (45) kupimwa...

READ MORE

Baunsa Anayedaiwa Kumuua Mowzey Radio Atiwa Mbaroni

Mtuhumiwa namba moja ambaye anayedaiwa kuhusika na kifo cha msanii muziki nchini Uganda, Mowzey Radio amekamtwa na Jeshi la Polisi nchini...

READ MORE

Bilionea Aliyefunga Ndoa na Wake Wawili kwa Mpigo Aanika Alichofanyiwa na TRA

Ili kuisoma Exclusive hii…. ingia #GlobalPublishersApp. Kama huja-install tumekurahisishia sana, Install #GlobalPublishersApp sasa na uingie kwenye MENU ya MAGAZETI utasoma kila...

READ MORE

SHEHE MKUU AMVAA MANGE, AMPA MWAKA MMOJA – VIDEO

  SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea...

READ MORE

JPM, JK, Lowassa Walivyomzika Mzee Kingunge – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya...

READ MORE

Mwili wa Mzee Kingunge Waagwa Dar – Pichaz

MWILI wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe hapa nchini, Mzee kingunge Ngombale Mwiru umeagwa leo asubuhi katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar...

READ MORE

JK na Lowassa Waungana na Waombolezaji Kuaga Mwili wa Kingunge

  RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu wake kabla ya kujiuzulu, Edward...

READ MORE