×

Habari

MSANDO AFUNGUKIA LIVE VIDEO YAKE NA GIGGY MONEY

MWANASHERIA maarufu nchini aliyekuwa Chama cha ACT Wazalendo na hivi karibuni akahamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Albert Msando, kwa mara...

READ MORE

SpotiHausi LIVE: Selemani Matora Alivyoikazia Simba SC

LEO  katika kipindi cha SpotiHausi kutakuwa na mahojino na Kocha wa timu ya Lipuli, Selemani Matora kupitia Global TV Online....

READ MORE

Atupwa Jela Miaka 10 Kwa Kukutwa Na Bastola, Risasi

MFANYABIASHARA Gairo Mtozoma (43) amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukutwa na...

READ MORE

Jokate: Uvumilivu Ndio Kila Kitu Maishani

JOKATE Urban Mwegelo, Miss Tanzania namba 2 mwaka 2006, ndiye tunaye leo kwenye ukurasa huu wa Ulipo Mwanamke Tupo. Yeye...

READ MORE

Wanasiasa, Wanataaluma Washiriki Mdahalo Kuhusu Demokrasia

TAASISI ya Twaweza ikishirikisha wadau mbalimbali,  leo imefanya mdahalo kutathmini hali na mustakabali wa demokrasia nchini  ambapo wadau, wanasiasa na...

READ MORE

BancABC na Muhimbili Watoa Bima ya Afya kwa Watoto

BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, imeshirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kutoa huduma ya bima ya...

READ MORE

RC Akanusha Kumuomba Msamaha Rais Magufuli

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amekanusha taarifa kuwa, anakusudia kuandika barua ya kumuomba radhi Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

WAZIRI MKUU AIBUKIA BANDARINI, AMPA AGIZO IGP SIRRO

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw....

READ MORE

AKATA NYETI ZA MWANAYE KWA SHOKA KUONDOA MAPEPO

MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa...

READ MORE

Korea Kaskazi Yarusha Kombora Linaloweza Kuangamiza Sehemu Yoyote Duniani

KOREA Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kudumu angani kwa dakika 53 kabla ya...

READ MORE

Wahitimu wa Ufundi Kupitia VSOMO Watunukiwa Vyeti

Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es saalam , Habibu Bukko akikamkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya VSOMO kwa njia...

READ MORE

IGP Sirro Kupeleka Magari Mawili ya Polisi Pwani

IKIWA ni siku chache baada ya Rais John Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini ya dar es Salaam na kukagua...

READ MORE

Bibi Wa Miaka 73 Aomba Talaka

MWANAMKE ambaye yupo kwenye ndoa kwa miaka 55, amefungua kesi mahakamani kuomba mumewe ampe talaka kwa madai kuwa hamjali, na...

READ MORE

Raila Odinga Naye ‘Kuapishwa’ Desemba 12

Nairobi, Kenya. Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Nasa, Raila Odinga amedai atakula kiapo kama “rais wa watu” Desemba 12....

READ MORE

FIGISU NZITO MAPOKEZI YA LISSU!! KUTUA NA DEREVA WAKE

WAKATI akiwa amekaa hospitalini kwa siku 82, tangu alipojeruhiwa kwa risasi Septemba 7, mwaka huu, mapokezi ya Tundu Lissu kutua...

READ MORE

Wabunge CUF Wadai Viti Vyao Bungeni

WABUNGE wanane wa viti maalum wa Chama Cha Wananchi (CUF), walioshinda kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama katika Mahakama Kuu, Kanda...

READ MORE

Samia Suluhu Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital (Video)

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),...

READ MORE

Lema Amjibu Mange Kimambi Kuhusu Uchaguzi wa Madiwani

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema, amemtoa wasiwasi mwanadada anayefahamika kama mwanaharakati wa mitandaoni,  Mange Kimambi,  kwamba asijali kwani wananchi...

READ MORE

Vurugu Zatanda Kenyatta Akiapishwa, Polisi Wafunga Mtaa Kuzuia Mkutano wa NASA

MTAA wa Jacaranda jijini Nairobi, Kenya, leo umefungwa na polisi ili kuzuia mkutano wa umoja wa vyama vya upinzani nchini...

READ MORE

Biblia ya Kenyatta Yatumiwa Kumwapisha Uhuru

KATIKA hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Kenya na Makamu wake, imeelezwa kuwa, nakala ya Biblia iliyotumiwa kumwapisha Rais Uhuru...

READ MORE

Samia Suluhu Amwakilisha JPM Kuapishwa kwa Kenyatta

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo asubuhi tarehe 28 Novemba, 2017 amewasili...

READ MORE

IGP Sirro Aibukia Bandarini Kukagua Magari ya Polisi Yaliyoibuliwa na JPM

MKUU wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Nyakoro Sirro, amefanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam, ili kufanya...

READ MORE

Kauli ya Nape kwa Upinzani Baada ya Uchaguzi wa Madiwani

MBUNGE wa Mtama, Nape Nnauye, amekiri kuwepo na vitendo ambavyo siyo sahihi ambavyo vilivyojitokeza katika Uchaguzi wa marudio katika baadhi...

READ MORE

Madaraka Matamu, Lakini Machungu Kwa Mugabe na Laurent Gbagbo

MWAKA 1789 ulikuwa wa kihistoria kwa Ufaransa na dunia kwa ujumla kutokana na mapinduzi makubwa yaliyotikisa nchi hiyo. Mapinduzi hayo...

READ MORE

Mauaji ya Kutisha Dar… Mume Afanya Unyama!

“KWa kweli ni mauaji ya kutisha! Wakati wakiingia chumbani kwao kulala, hakuna aliyetarajia leo (Ijumaa iliyopita) kama tungeamka na kuambiwa...

READ MORE

TRAFIKI ADAIWA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU NDANI YA GARI

Hili ni fumanizi la kufunga mwaka! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu baada ya kushuhudia tukio la trafiki aliyefahamika kwa jina la...

READ MORE

WAZIRI ULEGA AFUNGUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SIKU YA UKIMWI

  DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega, leo Jumatatu alimwakilisha Waziri wa Nchi Katika Ofisi...

READ MORE

Waziri Lukuvi Ampa Mtihani Mkurugenzi Wake (Video)

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi ametoa Miezi sita kwa Mkurugenzi wake kusimamia zoezi linaloendelea la...

READ MORE

Majimaji Watembelea Ofisi za SOKABET Sinza – Mori

BAADHI ya wachezaji na viongozi wa timu ya Majimaji FC ya Songea Ruvuma, mapema leo walipata fursa ya kutembelea ofisi...

READ MORE

Polepole: CCM Inaongoza Kata 42 Kati ya 43 (LIVE)

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema matokeo ya awali waliyoyapokea kutoka vituo vya...

READ MORE

Wanasayansi Wabaini Ziwa Victoria Huenda Likakauka

Wanasayansi wanasema kwamba Ziwa Victoria ambalo ni kubwa zaidi lenye maji tulivu Barani Afrika linalounganisha nchi za Tanzania, Kenya na...

READ MORE

Mmiliki wa Shule Mahakamani kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi

MMILIKI wa Shule ya Msingi na Sekondari ya Scolastica iliyopo mji wa Himo wilayani Moshi, mkoani kilimanjaro, Edward Shayo amefikishwa...

READ MORE

Kauli ya Zitto Baada ya ACT Wazalendo Kuambulia Patupu Kata Zote

KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumatatu, Novemba 27, 2017 amefunguka kuwa, chama chao wameshapata matokeo ya...

READ MORE

Mama Kanumba Afungukia Cheko Lake Mahakamani

MAMA wa aliyekuwa mwigizaji mahiri wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefungukia cheko alilolitoa mahakamani wakati wa hukumu...

READ MORE

Lowassa Amvaa RC Gambo, Asema Hana Mpango wa Kurudi CCM

ALIYEKUWA mgombea urais wa CHADEMA 2015 Edward Ngoyai Lowassa ambaye alihama CCM, ameweka wazi taarifa za kutaka kurudi CCM, na...

READ MORE

Breaking News: Jengo la Wizara ya Maji Labomolewa kwa Agizo la JPM (Video)

  Hatimaye Jengo la Wizara ya Maji na Umwagiliaji lililo ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro eneo la Ubungo...

READ MORE

Niyonzima: Mavugo Hakosi Timu

WAKATI tetesi za kutemwa kwa mshambuliaji Mrundi, Laudit Mavugo, kiungo mchezeshaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mchezaji huyo...

READ MORE

Breaking News: Meya Ubungo Aachiwa kwa Dhamana

Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob (Chadema) ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi...

READ MORE

BEATRICE SINGANO ALIVYOTUNUKIWA MASTERS (MBA)

Hongera Beatrice kufanikisha mpango wako. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya amehitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili...

READ MORE