×

Habari

RC Makonda Atoa Msaada wa Miguu Bandia kwa Walemavu (Video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amekutana na watu wenye ulemavu wa miguu kutoka jijini Dar es...

READ MORE

Hotuba ya Rais wa Mirsi na Rais Magufuli, Ikulu -Dar

MAPOKEZI SEHEMU YA PILI   IKULU, DAR: Rais John Magufuli amesema Tanzania imekubaliana na serikali ya Misri kuja kuanzisha kiwanda...

READ MORE

Rais wa Misri Awasili Tanzania kwa Ziara ya Kikazi

Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Pombe Magufuli kwa ziara...

READ MORE

INASIKITISHA, MWENYEKITI AFIA KIFUANI MWA BINTI GESTI

INASIKITISHA sana! Mwenyekiti wa Kijiji cha Mkamba Kata ya Kimanzichana mkoani Pwani aliyetambuliwa kwa jina moja la shabani anayekadiriwa kuwa...

READ MORE

Breaking News: Rais wa Misri, El Sisi Awasili Nchini, Apokelewa na JPM

IKULU: Rais wa Misri, Abdel Fattah El-Sisi amewasili hapa nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili na kupokelewa na...

READ MORE

BREAKING: MCT Yatangaza Ripoti ya Uchunguzi wa Uvamizi wa Studio za Clouds TV

BARAZA la Habari Tanzania (Media Council of Tanzania – MCT) limezindua Ripoti ya Hali ya Vyombo vya Habari hapa nchini...

READ MORE

Madrid Yaigonga Barcelona, Ronaldo Amtumia Ujumbe Messi

  Timu ya Real Madrid imeichapa Barcelona kwa mabao 3-1 na kujiweka katika nafasi nzuri ya kubeba ubingwa wa Kombe...

READ MORE

Amber Lulu Kanasa kwa Bwana Mpya, Mahaba Niue LIVE!

Muuza nyago (video queen) ambaye hivi sasa amejitosa kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’ ameamua kuwadorishia wenzake kwa kujishaua...

READ MORE

Abdi Banda Ateswa na Ugonjwa wa Jini Kabula!

ALIYEKUWA beki wa kati na kiungo wa Simba, Abdi Banda ambaye kwa sasa anaichezea timu ya Moroka Swallows FC ya...

READ MORE

Arusha: Waziri Lukuvi azindua Mji wa Kisasa (Picha)

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amezindua ujenzi wa Mji wa Safari pamoja na...

READ MORE

Agosti 13, Siku ya Watu Wanaotumia Mkono wa Kushoto, Haya ni Maajabu Yao

Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia...

READ MORE

BILL GATE KUISAIDIA TANZANIA KATIKA HUDUMA ZA FEDHA KIDIJITALI

MWASISI wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates Foundation, Bill Gate, aliyekuwa nchini wiki hii amesema ataisaidia Tanzania katika masuala...

READ MORE

Rais Magufuli na Mkewe Waungana na Waumini Misa Takatifu Kanisa la St. Joseph

            Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama...

READ MORE

Rais Magufuli Achukua Shamba Jingine la Sumaye

WAKATI machungu ya kupoteza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 33 lililokuwa Mabwepande yakiwa hayajatuliwa, aliyekuwa Waziri Mkuu Katika serikali...

READ MORE

Shuhudia RC Makonda Alivyokosa Penati (Video)

  IKIWA ni sehemu ya shamlashamla za Tamasha la Usalama Barabarani lililofanyika hapa katika Uwanja wa Taifa wa Uhuru Dar...

READ MORE

Wanajeshi Waichapa Yanga

Timu ya Yanga imefungwa bao 1-0 katika mechi ya kirafiki jioni ya leo ilipocheza dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja...

READ MORE

Kauli ya Kwanza ya Rais Karia wa TFF Baada ya Kuapishwa

KUFUATIA Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) uliofanyika leo katika Ukumbi wa St Gasper Mjini Dodoma na kumalizika...

READ MORE

Orodha ya Wajumbe Wapya wa Kamati ya Utendaji ya TFF Walioshinda

  Uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania umekamilika ambapo shirikisho hilo limepata wajumbe wake watendaji, makamu mpya wa rais...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Mkurugenzi Mkuu Mpya wa NHIF

Rais John Magufuli amemteua, Bernard Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Taarifa iliyotolewa...

READ MORE

Naibu Waziri Masauni Atoa Kauli kwa Madereva Kupunguza Ajali (VIDEO)

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Eng. Hamad Masauni amewaasa madereva wa magari na pikipiki kuzingatia sheria za...

READ MORE

BINTI HUYU ANASIKITISHA, APATA GONJWA ATIMULIWA KWAO

  INAUMA sana. binti mmoja mmoja aliyejulikana kwa jina la Joyce Joseph (18), mkazi wa magu mkoani mwanza, yuko kwenye...

READ MORE

WIZI WA LAPTOP UDSM, MREMBO HUYU AWATESA ASKARI

MREMBO  mmoja jijini, aliyefahamika kwa jina moja la Maisara anawatesa polisi kuhusiana na wizi wa Kompyuta mpakato (Laptop) unaoendelea katika...

READ MORE

Chid Benz, Q-Chilla Wakinukisha Tamasha la Wiki ya Usalama (VIDEO)

WAKONGWE kwenye game ya Bongo Fleva, Chid Benz na Q Chilla wamefanya makamuzi ya aina yake wakati wa Tamasha la...

READ MORE

LIVE: Wagombea Uchaguzi Mkuu wa TFF Mjini Dodoma Wakijinadi

  MGOMBEA wa nafasi ya Ujumbe ya Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Baraka Mazengo kutoka Kanda ya...

READ MORE

Mimba za Mastaa Hawa, Shehe Aanika Balaa Lao

MASTAA wengi wamekuwa na tabia ya kupiga picha matumbo yao pale wanapokuwa wajawazito na kujianika mtandaoni wakidhani ni fasheni lakini...

READ MORE

Mwakyembe: Rais Mpya TFF Ataapishwa Leo

TOFAUTI na miaka iliyopita ya rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuapishwa siku chache baada ya uchaguzi lakini leo...

READ MORE

Kenyatta: Nawashukuru Wananchi Kwa Kuwa Na Imani Nami (Video)

Rais Uhuru Kenyatta, akihutubia baada ya kutangazwa mshindi wa urais  wa Kenya, amewashukuru wananchi kwa kuwa na imani naye na...

READ MORE

Wanafunzi Barani Afrika Wakutanishwa Dar

WANAFUNZI wapataao 250 kutoka katika shule mbalimbali Barani Afrika wamejitokeza kushiriki katika mashindano ya mdahalo ulioanza leo katika Shule ya...

READ MORE

Rais Magufuli, Kagame na Museveni Wampongeza Uhuru Kenyatta

  Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli amempongeza Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa urais...

READ MORE

Yanayojiri Uchaguzi Mkuu wa TFF Kutoka Dodoma

SHUGHULI za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimeanza rasmi katika Ukumbi wa St. Gaspel mjini Dodoma ambapo...

READ MORE

Mke wa R.O.M.A Amlipua Mbunge LIVE, Kisa ‘Zimbabwe’ (VIDEO)

IKIWA ni siku moja tangu mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A kuachia video ya...

READ MORE

Nyumba za Yamoto Siri Nzito Yafichuka, Fela Ahitaji Sapoti!

KATIKA Muziki wa Bongo Fleva, kuna wadau wengi ambao wamekuwa wakijitolea kwa hali na mali kila kukicha katika kuwaunga mkono...

READ MORE

Airtel Yatoa Vitabu Vya Sayansi Kwa Sekondari Sumbawanga

Ikiwa ni kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano ya kuhakikisha kila mtoto kuanzia chekechekea mpaka kidato cha...

READ MORE

Uchaguzi Kenya 2017: Uhuru Kenyatta Atangazwa Mshindi wa Urais

Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais...

READ MORE

DPP Aondoa Shtaka Dhidi ya Mbunge Lwakatare Kuhusu Ugaidi

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameaondoa maombi yake dhidi ya Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kuhusiana na shtaka la...

READ MORE

Mbunge wa CCM Atiwa Mbaroni Akidaiwa Kugonga na Kuua Mwanafunzi

Jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia Mbunge Manyoni(CCM), Daniel Mtuka (51) kwa tuhuma ya kumgonga kwa gari mwanafunzi wa darasa...

READ MORE

SHINDA NYUMBA YAACHA GUMZO MKURANGA

  Kuelekea droo kubwa ya Bahati Nasibu la Shinda Nyumba Awamu ya Pili kutoka Kampuni ya Global Publishers, wachapichashaji wa...

READ MORE

Chadema Yashutumu Masharti ya Kibaguzi Mikopo ya Elimu ya Juu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshutumu masharti mapya yaliyotolewa na serikali kuhusu utoaji mikopo kwa wenye kutaka kujiunga na...

READ MORE