×

Habari

VODACOM YAJA NA PROMOSHENI YA ‘TUSUA MAPENE’

  Vodacom itatoa mshindi mmoja Niwakati mwingine tena Vodacom Tanzania imewaletea wateja wake na watanzania wote kwa ujumla promosheni mpya...

READ MORE

Nay wa Mitego Adaiwa Kufumaniwa

DAR ES SALAAM: MKALI wa Hip Hop Bongo anayesumbua na Wimbo wa Acheze, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amedaiwa kukwaa...

READ MORE

Mume wa Bi Harusi Aliyefariki Baada ya Ndoa Azua Taharuki

DAR ES SALAM: Mume wa aliyekuwa Bi harusi aliyefariki saa chache baada ya kufunga ndoa, Zainabu Mkiwa, Yasini Juma, mkazi...

READ MORE

Denti Atwangwa Risasi Dar

  DAR ES SALAAM: Hii haikubaliki! Denti aliyehitimu kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya Jitegemee, Idd Niachieni (23)...

READ MORE

Mzungu ‘Mtata’ Aendelea Kusota Rumande (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 18, 2017 imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos,...

READ MORE

Rugemalila, Singasinga Mambo Magumu Mahakamani (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi, Agosti 17, 2017 imeahirisha kesi inayowakabili mmiliki wa kampuni ya kufua umeme ya...

READ MORE

Mamia Waliofariki kwa Maporomoko, Sierra Leone Wazikwa

  WIZARA ya Afya nchini Sierra Leone imesema takriban nusu ya maiti 400 zitokanazo na maporomoko ya udongo na mafuriko...

READ MORE

Nelly Mwangosi Aelezea Anavyonufaika na Mjengo wa Global

  WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikaribia, mshindi wa...

READ MORE

Nusura Wamasai Watule Nyama-Gabo

MWIGIZAJI anayekuja juu katika tasnia ya filamu Bongo, Gabo Zigamba, amesema maisha yake ya uigizaji yamejaa kumbukumbu nyingi, lakini moja...

READ MORE

Gigy Money Unaanzaje Kumponda Stara Thomas?

Nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa wema wake wa kuniwezesha kukutana nanyi kwa mara nyingine katika safu yetu hii yenye lengo la...

READ MORE

Mhandisi Mzungu Aliyezua Timbwili Mahakamani Akosa Dhamana (VIDEO)

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, le imemnyima dhamana raia wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, anayetuhumiwa kwa kosa...

READ MORE

Semina ya Mabadiliko ya Simba SC Yaanza

Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam leo imeanza rasmi semina maalum kwa wanachama wa klabu hiyo ikiwa ni...

READ MORE

Uamuzi Wabunge Waliofukuzwa CUF Agosti 25

MHAKAMA Kuu imeahirisha kutoa hukumu juu ya pingamizi lililowasilishwa na wabunge wanane  wa Viti Maalum wa CUF kupinga Bunge la...

READ MORE

MBEYA: Taarifa ya Serikali Kuhusu Moto Ulioteketeza Soko la Sido

Natoa pole kwa wote walioathirika na janga la moto kwa wafanyabiashara soko la Sido. Soko la Sido lilianza kuungua saa...

READ MORE

UVCCM: Wahandisi Zanzibar Jengeni Barabara Bora

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekemea baadhi ya wahandisi wasiowajibika ipasavyo kwa kujenga barabara chini ya kiwango...

READ MORE

Airtel, Veta Wazindua Namba Maalum Kuwahudumia Wanafunzi

  Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Stadi Tanzania (VETA) kwa kushirikiana Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mradi...

READ MORE

JESHI LA ZIMAMOTO LAFANYA MABADILIKO MAKAMANDA WA MIKOA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania Bara, Thobias Andengenye, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa...

READ MORE

Nyaraka za Kughushi Zazidi Kuwasotesha Aveva na Kaburu Mahabusu (VIDEO)

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Agosti 16, 2017 imeahirisha kwa mara nyingine kesi ya kutakatisha fedha na kughushi nyaraka...

READ MORE

VITA YA MAREKANI VS KOREA, MIKWARA YATIKISA DUNIA

WAKATI kukiwa na vita vya maneno kati ya Korea Kusini na Marekani, mikwara yao inayoambatana na tambo za matumizi makubwa...

READ MORE

Rais wa Zambia Atangaza Kila Mwananchi ni Lazima Apimwe UKIMWI

Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi...

READ MORE

DAKTARI ATEKWA KAMA ROMA

  DAR ES SALAAM: Ikiwa ni siku chache tu tangu msanii mkali wa Hip Hop, Roma Mkatoliki atoe kibao chake...

READ MORE

MBEYA: Vigogo Sita Kortini kwa Kutafuna Tsh. Bilioni 5 (VIDEO)

VIGOGO 6 kati ya 12 wanaotuhumiwa kuhusika kwenye kashifa ya ufisadi wa soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya wamepandishwa...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Sido Mbeya (Video)

Usiku wa kuamkia leo Soko Kuu la Jijini Mbeya maarufu kama SIDO, lililopo mkabala na maeneo ya Mwanjelwa jijini Mbeya...

READ MORE

Mke wa Mugabe Akamatwa na Polisi Afrika Kusini

  GRACE Mugabe, ambaye ni mke wa Rais Robert Mugabe aweza awe amewafanyia ubabe watu kadhaa nchini kwake lakini kitendo...

READ MORE

Prof. Lipumba: Maalim Seif Usinikimbie, Njoo Ofisini Tusameheane

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na msajili wa Vyama Vya Siasa nchini Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Katibu Mkuu...

READ MORE

Alphonce Simbu Awasili Nchini, Akabidhi Medali Yake kwa Mwakyembe (Video)

  MAMIA ya Watanzania wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe wamejitokeza kumpokea Mwanariadha, Alphonce...

READ MORE

Chid Benz Akamatwa Tena na Madawa ya Kulevya

RAPA Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz na wenzake saba, wamekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jumamosi baada ya kukutwa...

READ MORE

Benki ABC yazindua huduma mpya za uwakala wa huduma za kibenki

  DAR ES SALAAM: Ikiwa ni moja kati ya mikakati yake ya kuendelea kuboresha huduma zake kwa kutoa huduma kwa...

READ MORE

Lissu, Kibatala Wapinga Ushahidi wa Bangi Kesi ya Wema (VIDEO)

  USHAHIDI unaoendelea kutolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam dhidi ya msanii Wema Sepetu, umezidi...

READ MORE

Afikishwa Mahakamani kwa Kujipachika Cheo cha Msigwa wa Ikulu

Mfanyabiasha Ramadhani Athumani Juma maarufu kama Elias Jeremiah Mazimbaka amefikishwa mahakamani  katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  jijini Dar akikabiliwa...

READ MORE

Msimamo wa Raila Odinga Kujulikana

  Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, leo anatarajiwa kuwaeleza wafuasi wake mwelekeo atakaochukua baada ya kutangaza kuwa hatambui ushindi...

READ MORE

Polisi Watumia Mabomu Kumkamata Mwenyekiti Aliyemkataa Mtendaji

JESHI la Polisi wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi katika Kijiji cha Mwabasabi Kata...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta Aruhusu Maandamano ya Wanaopinga Ushindi Wake

Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya...

READ MORE

Polisi Dar Wamnasa Muuzaji wa Mishikaki ya Paka

HATARI! Njemba mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Sadiki, ambaye ni muuza mishikaki katika eneo lililo karibu na jengo la...

READ MORE

MKURANGA wautolea udenda mjengo wa Global

  WAKATI siku za kuchezeshwa kwa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili zikikaribia, wakazi wa...

READ MORE

Belle 9 Afunguka Kuwakacha Madairekta Wabongo

MWANAMUZIKI anayefanya poa Bongo kwa sasa na Wimbo wa Mfalme, Abednego Damian ‘Belle 9’, amefunguka kuwa kitendo chake cha kufanya...

READ MORE

Mke wa Mugabe Ampa Kipigo Binti

Mke wa Rais wa Zimbabwe, Grace Mugabe anatuhumiwa kumpiga na kumsabababishia majeraha binti mmoja aliyemkuta na wanawe wawili wa kiume...

READ MORE

CRISTIANO RONALDO AFUNGIWA MECHI TANO

Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amefungiwa kutocheza mechi tano kutokana na kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Barcelona, jana...

READ MORE

Shuhudia LIVE Mti wa Maajabu Unaotoa ‘Damu’, Upo Hapa Hapa Bongo!

KAMA ada yetu, jukumu kubwa la GLOBAL TV Online ni kukusogezea matukio yote muhimu ambayo wewe mdau wetu una kiu...

READ MORE