×

Habari

Sokabet: Jiandae, Pesa Kumwagwa Mitaani Kuanzia Agosti

Jiandae, Pesa Kuwagwa mitaani kuanzia Agosti mwaka huu, Sokabet Bashiri Ushinde www.sokabet.co.tz

READ MORE

EBITOKE: Msiba wa Mfanyakazi Mwenzetu Umetushtua Sana

  KUFUATIA kifo cha Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni,...

READ MORE

OFM Yabaini Utapeli Daraja la Kigamboni!

  Wakati Watanzania wakifurahia kukamilika na kuanza kutumika kwa daraja la kisasa la Kigamboni ambalo linaitwa Nyerere Bridge, mambo ya...

READ MORE

Dua kwa Wasanii Nazo ni Kiki?

  KUMEKUWA na tabia inayozidi kuota mizizi kwa baadhi ya wasanii, watangazaji na hata wafanyakazi wa nyanja mbalimbali kuamini katika...

READ MORE

VIDEO: Watangazaji wa Citizen TV Wapata Ajali ya Ndege

  Watangazaji wa Radio Citizen na Citizen TV za nchini Kenya, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuelekea Karbanet,...

READ MORE

Ali Kiba Hivyo Vipensi Vepee!!!!!

NYOTA kutoka kiwanda cha Bongo Fleva , Ally Salehe Kiba almaarufu kwa jina la Ally Kiba, amekuwa gumzo mjini kwa...

READ MORE

VIDEO: Magdalena Sakaya Awashukia Chadema

  Kaimu  Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) anayemuunga mkono Prof. Ibrahim Lipumba ameeleza  kusikitishwa na matamko mbalimbali yanayotolewa...

READ MORE

Nsajigwa kocha mpya Yanga

  NAHODHA na mchezaji wa zamani wa Yanga, Shadrack Nsajigwa, rasmi ni kocha msaidizi wa timu hiyo. Nsajigwa aliyekuwa anaifundisha...

READ MORE

VIDEO: Mcheki Rooney Akipasha na Everton Uwanja wa Taifa -Dar

Mshambuliaji hatari aliyekuwa Manchester United na kuhamia Everton wiki iliyopita Wayne Rooney, ametua Bongo akiwa na klabu yake mpya ambayo...

READ MORE

Bikira wa Kisukuma Azikwa Makaburi Ya Kinondoni, Dar (Pichaz + Video)

MWILI wa marehemu Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni, umeagwa...

READ MORE

Wapo Muhimbili Wodini muda mrefu, Ndugu Hawajulikani!

  Wapo Muhimbili Wodini muda mrefu, Ndugu Hawajulikani! Saidia kuwajulisha ndugu zao, wamekaa kwa muda mrefu baada ya kupata ajali...

READ MORE

SIMBA NA YANGA KUKUTANA AGOSTI 23 NGAO YA JAMII, OKTOBA 14 LIGI KUU BARA

Ligi Kuu Bara msimu ujao itawakutanisha vigogo Simba na Yanga Oktoba 14 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Seth Katende Alivyoagwa Viwanja wa Leaders Dar (Pichaz)

MWILI wa marehemu Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni, umeagwa...

READ MORE

Rooney Yupo Bongo… Ukitaka Kumuona Buku 3

  STAA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney ambaye ametua nchini leo Jumatano na kikosi cha timu yake mpya...

READ MORE

Ecobank Yaingia Makubaliano Na Ticts

Dar es Salaam. Benki ya Ecobank Tanzania leo imeingia katika ushirikiano rasmi na TICTS, ambapo wateja wa kampuni hiyo wataweza...

READ MORE

Meya wa Jiji Dar Ahudhuria Kuagwa kwa ‘Bikira wa Kisukuma’ Leaders Club

MWILI wa marehemu Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni, umeagwa...

READ MORE

Waziri Mpango Akifungia Kituo cha Mafuta GBP – Uwanja wa Ndege, Dar

  WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Uwanja wa Ndege wa...

READ MORE

Kuagwa kwa marehemu ‘Bikira wa Kisukuma’ Viwanja vya Leaders, Dar

MWILI wa marehemu Seth Katende ‘Bikira wa Kisukuma’, aliyekuwa mtangazaji wa kituo cha redio cha Efm, kipindi cha Ubaoni, umeagwa...

READ MORE

Mambo 3 ya Kumtengenezea Mwanao Njia ya Mafanikio!

  NAMSHUKURU Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema ambaye ameniwezesha kuwa na afya nzuri na nguvu za kutosha kiasi cha kunifanya...

READ MORE

Ngeleja Kurudisha Fedha za Escrow TRA Badala ya Rugemalira

Siku chache baada ya kutangaza kuwasilisha shilingi milioni 40 katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja...

READ MORE

LIVE: Kuaga Mwili wa Marehemu ‘Bikira wa Kisukuma’, Leaders Club

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji wa EFM Radio ya jijini Dar es Salaam, Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma (31)...

READ MORE

Breaking News: Everton Wawasili Dar, Wayne Rooney Yumo

  KLABU ya Everton ya Uingereza tayari imewasili katika ardhi ya Tanzania tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kesho dhidi...

READ MORE

Ratiba Ya Mazishi Ya Ndugu Yetu Bikira Wa Kisukuma Leo (Video)

Meneja Mkuu wa Radio Efm na TV-E,  Dennis Ssebo, ametoa ratiba ya mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wao Seth Katende ‘Bikira...

READ MORE

Swahiba wa Lowassa Ataitiwa Harusini kwa Prof. Jay

  MWENYEKITI wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Hamisi Mgeja ambaye ni swahiba mkubwa wa waziri...

READ MORE

Mke Yamkuta Akitoka Kwenye Ngoma!

  SOPHIA Mashala ( 29) mkazi wa Kijiji cha Kishapu wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga amekuwa katika mateso kwa miaka mitano...

READ MORE

VIDEO: Aliyetobolewa Macho na ‘Scorpion’ Amtelekeza Mke, Watoto

  Kumbukumbu zikiwa bado mbichi vichwani mwa watu juu ya tukio la kutobolewa macho kwa kijana Said Mrisho linalotajwa kufanywa...

READ MORE

Jina Jayden K Smith Latumika Kusambaza Meseji Feki ya Udukuzi

WATUMAJI wa mtandao wa kijamii wa Facebook wamekuwa wakibabaishwa na meseji yenye ujumbe feki inayowaonya wasipokee maombi ya urafiki kutoka...

READ MORE

JEURI! Singida Utd Yashusha Mashine Mbili, Yumo Mfungaji Bora Rwanda

  JEURI YA PESA! KLABU ya Singida United ambayo imepanda daraja msimu uliopita, ikiwa kwenye maandalizi ya michuano ya Ligi...

READ MORE

Tanzia: Waziri wa Rais Arap Moi Afariki Dunia

#TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, Nicholas Biwott amefariki dunia akiwa na miaka 77...

READ MORE

Everton Yaanika Jezi za Ugenini, Zitafunguliwa Taifa Keshokutwa

Everton FC ya England wamezitangaza rasmi jezi watakazozitumia watakapocheza kuivaa Gor Mahia kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Tamasha la Mwezi wa Familia la Victory Christian Centre

MCHUNGAJI Dkt. Huruma na Mchungaji Joyce Nkone wa Victory Christian Centre  (VCC) Tabernage wametayarisha tamasha la Mwezi wa Familia la...

READ MORE

Diwani Chadema Ajivua ‘Gwanda’, Ajiunga CCM

  Diwani wa Ngabobo (Chadema), Solomon Laizer ameandika barua ya kujiuzulu udiwani na kujiunga na CCM kwa maelezo kwamba anamuunga...

READ MORE

Harmorapa – Bongo Hakunaga Kama Alikiba

  RAPA chipukizi ambaye haishiwi vituko Harmorapa, amefunguka na kusema Alikiba ni msanii ambaye amekosa mfano hapa Tanzania kutokana kazi...

READ MORE

Wanafunzi Wa-Bongo Kushiriki Mashindano ya Roboti Marekani

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolijia Mhandisi Stella Manyanya leo amekabidhi Bendera ya Taifa kwa wanafunzi Watanzania kwenda kuipeperusha...

READ MORE

Mwalimu Abakwa na Wanawake Watatu Wakitaka Mbegu Zake za Kiume

  MWALIMU mmoja wa kiume, mwenye umri wa miaka 39, amelazwa hospitalini nchini Zimbabwe baada ya genge moja ya wanawake...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-4

  MAISHA ya watu wa Kabila la Wabodi waishio Ethiopia katika Bonde la Mto Omo wanategemea ufugaji. Japokuwa huwa wanakula...

READ MORE

Watu 16 Wafariki kwa Ajali ya Ndege ya Jeshi

  Watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi la Marekani aina ya C-130 Hercules kwenye Jimbo la Mississipi...

READ MORE

IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA KISIWANI PEMBA

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa...

READ MORE

Mpasuko Kanisa Anglikana Mwanza Tishio

  KANISA la Anglikana Dayosisi ya Victoria Nyanza jijini Mwanza, limeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Wazee wa Nyumba ya...

READ MORE

Hawa Jamaa Wamevurugwa Hatari

  UZALENDO ni kukubali kilicho chako hata kama kibaya. Lakini si dhambi kusifia cha mwenzio kizuri. Nasema hivyo kwa sababu...

READ MORE